Тёмный

WATOTO WAPOTEA SIKU 29/BABA ASHUKIWA /MAMA ALIA NA SERIKALI 

ZamaradiTV
Подписаться 240 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Развлечения

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 205   
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w 4 дня назад
Jirani kaongea kwa uchungu mkubwa kuliko mama mzazi mgfff😢
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 10 дней назад
Majirani pongezi nyingi kwenu 🎉🎉 ni mashujaa, na waume zenu pia mmejitolea na kubeba jukumu zito na hatari, mna miiyo ya upendo wa kipekee, Mungu awe nanyi ktk harakati zenu za maisha 🙌🙏Poleni sana muwe na subra Mungu atajibu
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 10 дней назад
Siku izi hutakiwi kumuamini mtu yoyote uliyekutana nae njiani😢😢😢😢
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 8 дней назад
Umeona ee kabisa
@PendoMatemba
@PendoMatemba 7 дней назад
Kweli kabisa
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 дней назад
Kwa matukio haya jamani itafika wakati atandugu unamuogopa kumpa mtoto mana misielewi kabisa
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 7 дней назад
Awashike sana majirani zake hao ni ndugu zake..hakika Mungu anaweza kukuletea watu wenye ni kumbukumbu kweny maisha yetu hakika kapata ndugu huyu dada nasikia namuonea na wivu kwa majiran aliopata
@latifamubba100
@latifamubba100 10 дней назад
Daah mama anapitia magum San wanaume asaiv kama auja mjua mda mlefu usiolew akun kaburi la alie kuwa single
@PendoMatemba
@PendoMatemba 6 дней назад
Huyu mama anaemia ananafuu, huyu wa watoto ambae halii, anaweza kufa ghafla,, yaani naumia kwakweli
@estakapufi7582
@estakapufi7582 10 дней назад
Duu iyosura ya mtuhumiwa anaonekana jangiri mwee wanawake sisi tunajua kufakamia wanaume apa tujifunze sana kubeba mijanaume kuipeleka nyumbani unapokaa na watoto wako nihatari sana inauma ila tujifunze sana.
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 8 дней назад
Pole ndugu yangu m mungu akupe katika kipindi kigumu unachopia na ishaallah watoto watarudi
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 8 дней назад
Mungu akupe subira katika kipindi kigumu unachopitia
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 8 дней назад
Na ishaallah watoto watarudi kwa uwezo wake endelea kusali na kumuomba
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 8 дней назад
Hao wenngine sio Waume kidini mtoto wa nje ya ndo ni was mwanamke peke yake vipi alazimishe ende kwa baba ake Kama kweli amasoma dini
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 8 дней назад
Hao wenngine hujitia ushekhe ili aaminiwe upesi hatari usiamini kwa vigezo vya dini vya uongo hao wanafiki tu na m munguatawalipa watu kusingizia dini kumbe Wana yao
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 6 дней назад
Km nijirani mama samweli umempata Kwenye ulimwengu wasasa majirani watakusema kwenye uovu tu ila kwenye matkio ya hivyo hawapogo Kiukweli mama poo 🎉🎉🎉🎉 upo vzuri
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 7 дней назад
Asante mama wa jirani kumshika jambazi mungu atawalipa neema kwa kheri ya kumpata huyu mjinga mtoto atapatikana
@Sisterjemi1
@Sisterjemi1 3 дня назад
Kwanza hakuna mtoto wa haram uharamu ni lile tendo alofanya baba na mama kuzini kwa uislam lakini huyu baba hajui uislam muwe na hadhari si ukiona kanzu tu ukadhani wana dini kumbe sio lazima uchunguze Pole sana INSHA allah watapatikana
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 10 дней назад
Mm ni muislam lkn hawa waislam wenzetu wanaojifanya ni waislamu wenye itikad hua wana matatzo sana
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 7 дней назад
Hana itikadi kali wala nin tapeli,jizi muhalifu katili tu huyo hamna uislam hapo
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 7 дней назад
Mana Kama anaitikad kali angesimama na ukwel kuwa mtoto ni wa mama
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 дней назад
Usiuchafue uislamu kwq kosa la mtu mmoja
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 дней назад
@@maryamtanzania9743 wap nimechafua uislam hebu kanye mbele huko
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 6 дней назад
@@fathiyahmuzney7367 uislam wa kwel ni kuwa mtoto wa nje ya ndoa ni wamama na si baba yeye mama angelikuwa ni mtu wa itikad ndo angesimama kuwa huyo mtoto ni mama ndo ana haki na malezi nae..pia hivyo vitu vya kumwaga maji ndani sijui mara ngap sijui msomee mara ngap huo ni ushirikina katika uislam hakuna kitu Kama hicho isopokua mambo ya kizushi so huo uislam wake ni wa mashaka
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 8 дней назад
Kiukweli siezi kuripuka na limwanaume nisilo lijua, kisa ndoa. Mshenzi kweli huyo muuaji. Pole Mahi
@veronicabwamukuru1265
@veronicabwamukuru1265 10 дней назад
Sasa jamani mwanaume unakutana nae hata mwezi haujamaliza umemkubali na kutangaza ndoa khaaaaaa. Huu ugumu wa maisha tutakaribisha na majini majumbani mwetu.
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 5 дней назад
Yani nimebaki nimetumbua macho 🙄🙄🙄🙄
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 5 дней назад
Pengine huyo mwanaume alimroga mama wa watu huyu
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 3 дня назад
Yani kuna wanawake adi Leo hii wanatamani kuolewa tena kwa lazima mladi aonekane kaolewa bila kuchunguzana vzr ndio hayo sasa
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 6 дней назад
Huyu mwanamke achunguzwe vizuri mana macho makavu sana
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 5 дней назад
Ulitaqa aweje😢😢
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g 4 дня назад
Nilikuwa najisemea mama mkavu haionyeshi kama ameibiwa mtoto puuuuuuu mtoto anauma au ataka kusema amelia mpaka machozi yameisha
@Awaasha-cn6bx
@Awaasha-cn6bx 6 дней назад
Mmmh singel mama's kuweni makini na haswa ukiwa na watoto sasaivi hali sio nzuri usimwamini mtu kirahisi hivyo
@ZeyanaKhamis-if7lf
@ZeyanaKhamis-if7lf 6 дней назад
Pole san my
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 4 дня назад
Jamani wanawake aliewaambia ndoa nimafanikio ninani.wewe pambana .Kama Mungu alipamga wewe kuolewa utaolewa tu.lkn acheni kuharakia ndoa.mtakuja kufabule.
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 6 дней назад
Jirani nimekupend❤
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 3 дня назад
Yaani kwa sasa usimuamin mtu yeyote hata bwana unaeishinae usimwamini maisha kwa sasa yamebadilika sana watu wamekuwa wanyama sana 😢😢
@mimahtv2974
@mimahtv2974 3 дня назад
Kina mama kuweni makini dunia imeisha hii unaolewaje na mtu usiyemjua hata ndg zake mtaolewa na majini.haya sasa Ona alivyofanya jamani 😢😢
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 2 дня назад
Dada jirani wa mwisho kaongea kwa uchungu mnoo wallah nimelia kwa uchungu😢😢😢😢😢😢😢mungu Awalinde watoto wetu
@firdaus7428
@firdaus7428 9 дней назад
Ingelikuwa Askali wanafanya kazi zao kama walivopangiwa na Serikali, nchi ya Tanzania raia wasingesumbuka
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 2 дня назад
Wadada ,masingo maza kuna la kujifunza sio kila mwanaume akija tu unamkaribisha kwenye himaya yako wengine ni madui zetu wapo kutuumiza subhanallah 😢😢😢😢😢😢😢
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 6 дней назад
Duuuu,ila huyu mwanaume alivyo!! Mungu tucmamie, wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu 🙏🙏😭😭😭😭
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 8 дней назад
Watoto wamepotea majirani wanaongea kwauchungu ila mama watoto anarelax
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 дней назад
Siyo anarelax uchungu mkubwa
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s 3 дня назад
Maajabu kabisa.
@mimahtv2974
@mimahtv2974 3 дня назад
Kwani Ww dada akili zako sio nzr maana unayoongea mbona sielewi jamani 😇😇
@user-qg9nj2yw7e
@user-qg9nj2yw7e 2 дня назад
Hata mimi simuelewe hivi mwanae kapoteza kweli maana anaonekana hana huzuni kabisa
@omanoman2044
@omanoman2044 8 дней назад
Kumbe kaleta jambazi mungu wangu mjin hakufai sai
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 4 дня назад
Hii sasa movie😂😂😂
@PendoMatemba
@PendoMatemba 6 дней назад
Huyu mama wa 4 kuongea nimempenda sana, anaongea vizuri
@elizabethchikoti3534
@elizabethchikoti3534 4 дня назад
Hili swala ni kweli na hadi leo watoto hawajapatikana serijali tunaomba mwingilie kati
@salhaomar5382
@salhaomar5382 9 дней назад
Daa poleni sana haifai kumuamini mtu jamani mungu awatetee muwapate watoto wetu
@omanoman2044
@omanoman2044 8 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂 mungu wangu duuh polen wamam msojitambuw wallah siku moja mtaibiw kila kituy et siyo mawe mbon ulikubali kumuleta mtuy usie mjuw duuh
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 10 дней назад
Asante sana jirani.umefanya kazi ya ziada sana
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 6 дней назад
Kwakweli Rais Samia tunakuomba upaze sauti kwa Askari police. Police wanapewa rushwa na watuhumiwa. Pole Sana mama. Police wanajua kila kitu nyuma ya panzia
@siliviamushi4119
@siliviamushi4119 3 дня назад
Jmn mbona jamaa yuko kama jambazi jmn uyu dada mzr hiv alumkubalije jmn au alitumia kimbola duuh
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 дней назад
Mama wa mwisho kaniliza sana pia nyi ni majirani wema sana
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 6 дней назад
Wauwaji wote wanashirikiana na maafisa wakuu si Kenya si tz, poleni sana 😢😢
@PendoMatemba
@PendoMatemba 6 дней назад
tunamuomba Makonda amsaidie huyu mama, inavyoonekana huyo polisi kahongwa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 8 дней назад
Jamani wanawake tuwe makini sana kisa ndoa
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 7 дней назад
Poleni sana 😭😭Mungu awabariki majirani 🙏🙏💕❤️
@starlily07
@starlily07 10 дней назад
Mtangazaji unafell sana, kifupi hujui kuuliza maswali
@nancyg8664
@nancyg8664 10 дней назад
first year yuko field
@faithlucas1723
@faithlucas1723 10 дней назад
Anamaswali ya kisenge
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 8 дней назад
​@@faithlucas1723Sasa hayo matusi ndio ueleweke kama unauchungu sana ama ni utovu wa adabu tu.
@emilianapaskal7319
@emilianapaskal7319 10 дней назад
Daaah sasa amewapeleka wapi? Sema wanawake na Sisi tuache tamaa ya ndoa yaani mtu hamna hata mwezi tayari ndoa,daaah pole sana
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 7 дней назад
Lo pole sana
@omanoman2044
@omanoman2044 8 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂 mungu wangu duuh polen wamam msojitambuw wallah siku moja mtaibiw kila kituy
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 6 дней назад
Tunaomba mtupe taalifa ya watt 😢 nimelia sana natamani kujua wapi watt
@MagrethCharles-ne2ts
@MagrethCharles-ne2ts 5 дней назад
Ila mama mkavu 🤨🤨
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 8 дней назад
Pia nendeni global kwa zari
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z 10 дней назад
Tabia ya simba dume anapohodhi familia huwa anaua watoto wote wa dume la zamani sasa usikute huyu bwege nae ameiga tabia hiyo kapeleka watoto kwenye kafara kwa sababu siyo DNA yake. Wambane atasema vizuri malaika hao wako wapi
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 6 дней назад
WAshatolewa Figo ao nakurushwa mtoni mbona Kenya wanasema naawapelekwi police
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 7 дней назад
Wala sio muislam muongo
@so12221
@so12221 10 дней назад
Wauza viungo vya binaadam huyo
@verynicemonyo8671
@verynicemonyo8671 День назад
Mtu wiki mbili tu mmejuana unafunga ndoa na kumweka kwako hata ndugu yake humjui 😊
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 10 дней назад
Wapili jamani dada pole yani kuweni makini na wanaume wanaotaka hifadhi mtanga mwenzangu katapeliwa nyumba mbande nahao matapeli wanaume mpakaleo anajuta bola ungemlipoti polis
@user-xn1fv5fl7u
@user-xn1fv5fl7u День назад
Serikali ya Tanzania saivi ipo kama serikali ya india kwenye movie
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 5 дней назад
Mama Opah❤ maua yako🎉🎉🎉❤❤
@janemusumba820
@janemusumba820 10 дней назад
Huyo mwanaume angekuwa Kenya angekuwa asha toa watoto kichapo
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 9 дней назад
Ndoa sio lazima jamani💔🥹….polis tunawaamini sana tunaomba mtusaidie tujue mtoto yuko wapi ni mdogo sana kuwa nje ya mzazi wake ingali bado yupo hai siku 29 ni nyingi mnoo jaman🙏
@latifamubba100
@latifamubba100 10 дней назад
Mungu nilindie wanangu mm
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 18 часов назад
Hao wamepelekwa kwenye makambi yao hao watu sio wazuri wamejificha kwenye koti la dini..
@sophsoph4740
@sophsoph4740 9 дней назад
Huyu mama uso mkavu kah😢😢😢..uskute kajua walikopelekwa walahi mana binadamu wamebadilika
@user-sh1xb2ot2l
@user-sh1xb2ot2l 21 час назад
huyo baba ndo anajua waliko hao watoto
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l 7 дней назад
Wanawake tunaugwadu sasà tutakumbana na wachawi km mm ningeenda polisi angetoka nawe hukua tayari aondoke sasa utajifunza maana hadi uchungu
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 19 часов назад
Pole mama ila uliyumba sana kuanzia hapo kwenye hii ndoa yako...unaolewaje bila ya kujua familia ya mumeo na yy kujua yako...?khabari za kulea wanaume matokeo yake ndio haya mmmh.pole sana
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 9 дней назад
Huyo baba inawezekana kishamweka huyo msichana kinyumba inaelekea alikuwa anatembea nae
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 дней назад
Na mimi nilifikiri hivyo,huyo baba kaenda kuolewa.
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 дней назад
Hata mimi namewaza ivo jamani
@user-jx9xc6vo9x
@user-jx9xc6vo9x День назад
Pole
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g 8 дней назад
Mama pio we jembe sana pamoja na mume wako nyie ni mashujaa mungu awabariki kwa kufanikisha kumkamata huyo jambaz
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 дней назад
Mungu wangu jamn daaaa mbaka naogopa wanaume Hawa mhhh
@Official83640
@Official83640 10 дней назад
Mungu anisamehe lkn huyo baba anahusika kwa 100% sasa mtu mmempeleka police mnashindwa kufatilia kesi jaman mmepotelewa au mnaigiza Astaghafilullah dd ulikuwa na shida ya ndoa hujawahi kuolewa ama aisee siwezi olewa hivyo km nimeokotwa jalalani😢
@AminaMtui
@AminaMtui 2 дня назад
Yani wanawake tujifunze kuolewa na wanaume tusio wajua na hatujui kwao ni mtihani
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 10 дней назад
Pole ndgyangu
@johnwilliam8980
@johnwilliam8980 День назад
Hawa ni mapepo sio binadamu
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 10 дней назад
Poleni sana
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 10 дней назад
wanawake jamani kukaribisha mtu humjui wala ndugu zake ndani kwako? kha!
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 10 дней назад
Tatizo la wanawake wa Tanzania 🇹🇿 warogwa na kuolewa mwanamke unawatt wako unafanya kikazi chako unapata kipato sasa kuolew kunahusu mwanamke mzuri kwani hamuwezi kuishi bila kuolewa ?mange anayaongea kilasiku hamsikii mtu ameisha kataa mtoto wako nabado unamuweka ndani kusa kuolewa ona sasa 😢
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 4 дня назад
Jaman ni huruma 😢 mi nikisikia watoto wamepotea uwii
@stellamanda4466
@stellamanda4466 3 дня назад
Nendeni kituo cha polisi chenye dawati la Jinsia
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 4 дня назад
Siku 15 ndoa inafungwa😏😏
@aboudybahmesh5424
@aboudybahmesh5424 4 дня назад
Police inaweza kuwa wako pamoja na huyo jamaa aingii akilini kabisa ni njama yao police nyinyi amjui lkn police wanaju wasinge kua wanasema mpaka tumuhuji la la police wako pamoja na mshukiwa jambazi sikuizi watu wanajua police anakula na jambazi dunia yote watu wajua huyu jamaa inaweza kua ni jambazi musiani watu saai watu ni wanyama musiache kuomba mungu pia sisi tutaomba mungu mtoto warudi salama kwa nguvu za Allah biidhini Allah
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 дней назад
Yaani hilo shetwani,lingewexa kuwauwa ucku.pia vai ni mjinga,xee lenyewe halina hata mia ya chakula,halafu anadanganywa apelekwa beach
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l 7 дней назад
Atawabaka pia
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 3 дня назад
Mtangaziji anachosha
@user-cl6ro2un9h
@user-cl6ro2un9h 10 дней назад
So saf
@Official83640
@Official83640 10 дней назад
Halafu we dd mbona maneno yako unajichanganya mara likizo ya mwezi wa 3 alikataa wasije akasema watakuja mwezi wa 6 nitapanga chumba wakati mwanzo umesema umekutana nae ndani ya mwezi mmoja mkaoana
@naifathassan2607
@naifathassan2607 10 дней назад
Ndio sasa labda walikutana mwezi wa kwanza wapili wakaoana watatu ndio akakataa wasirudi
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 дней назад
Ahongere sn jirani waxuri
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 10 дней назад
Mungu atawawaukumu vibaya sana polic awawasaidii wananchi kabisa
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw 3 часа назад
Uyo.baba.kawachukua.watto.atakua.kesha.wauwa.
@emilianapaskal7319
@emilianapaskal7319 3 дня назад
Mtupe update jamani wakipatikana
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 День назад
Kwani wanasikia
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 8 дней назад
Mama pole umekutana na tapeli
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 6 дней назад
Tapeli au muuaji
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 дня назад
Dada aliolewa na chizi😢
@ZenaZena-vx2ee
@ZenaZena-vx2ee 7 дней назад
Pore Sana mama
@user-xn1fv5fl7u
@user-xn1fv5fl7u День назад
Mbona mkavu
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 7 дней назад
Muongo hakua mwislam huyo atakua alikua mgangaa mchawi Huo sio uislam
@Abbychibu
@Abbychibu 9 дней назад
Serikar wakuu police tanzania polis kaz yenu nn jmn mnakatisha sana tamaa
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 5 дней назад
Jamani tuishi kwa amani, jirani ni ndugu.
@omanoman2044
@omanoman2044 8 дней назад
😂😂😂😂😂😂 huu ndo uj8nga tunafanya et ndoa mungu wangu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 6 дней назад
Jamani Serikali inawapa Wanawake wakati MGUMU sana.
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 10 дней назад
Sasa zamu ya wababa kupoteza watoto.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 9 дней назад
Ila tanzania kwenda kumkamata mtuhumiwa wananchi ndio wanatoa hela ya mafuta 😂
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 7 дней назад
Muombe mama Samia akusaidie
@omanoman2044
@omanoman2044 8 дней назад
Yan unakutana na mtu stend unamchukuw nyumban kwako subkhan llah
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l 7 дней назад
Watu wanataka mabwana jamani uyo hafai atafute mwengine
@omanoman2044
@omanoman2044 7 дней назад
@@user-ft2vq5on6l asara yakutaka mabwana ndo hiyo mtihan huo
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 5 дней назад
wanasubiri wafe ndio waje wakupe pole na kukemea kinafiki
@omanoman2044
@omanoman2044 8 дней назад
Mungu wangu huyo alikuja kuwaiba tuy alitumia kukupenda ww mwezi unaleta mwanaume ndan et mme wanawake jitambuien kwan ni h8zo nyege zinawasupuw am ni ujinga tuy umetujaa sasa mtamtafutia wap huyo baba
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 10 дней назад
Analia analia analia.😂😂
@rayahamisi118
@rayahamisi118 7 дней назад
Sio ya kucheka
Далее
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 8
23:49
Просмотров 9 тыс.