Тёмный

WATU 548 WAFARIKI DRC, VISA VYA MONKEYPOX VYAONGEZEKA KWA ASILIMIA 160 KOTE BARANI AFRIKA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d 25 дней назад
Guys hem tuache hofu zisizo na msingi unapsem toka mwak uanze watu 500 wamefariki na sasa ni mwez wa nane Tukichukua takwimu kwa waliokufa na malaria au ugonywa wowote tukalinganisha huenda tukapat idadi Sawa na hiyo monkeypox So kun vitu vingine tuondoe hofu Kwanza mimi nilidhani ndani ya mwezi mmoja wamekuf wat 500 kumbe toka mwak uanze
@Revelation1412.
@Revelation1412. 25 дней назад
NAWASIHI WAPENDWA TUMWAMINI YESU KRISTO KUWA NI MWANA WA MUNGU HAKIKA TUTAKUWA NA AMANI HATA WAKATI WA DHORUBA KAMA HIZI
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 25 дней назад
Amen Amen 🙏 🙌 😢
@Zuu673
@Zuu673 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@ibrahim_427
@ibrahim_427 25 дней назад
😃😃eeeh
@Zuu673
@Zuu673 25 дней назад
@@ibrahim_427 nimejua kucheka 😄 🤣 😂
@Jabu415
@Jabu415 24 дня назад
@@Zuu673umecheka 😂😂😂 tukumbuke kujisanitize wapendwa 😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 25 дней назад
Kwann kila siku Congo jamn. Mungu atusaidie wafrica wazungu wanatumaliza kwa magonjwa
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 23 дня назад
Congo kuna mali nyingi. Wanadhofisha wa kazi wa Congo ili wamiliki madini muhimu ya kutengenza silaha kubwa duniani
@LovelyAfrica98
@LovelyAfrica98 21 день назад
MAILADY AYO MSENGE SANA AMELIPWA TAYARI NA SASA ANAANZA KAZI YA KUTOA HOFU WATANZANIA KAMA AWALI ILIVYOKUJA CORONA PROPAGANDA
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 25 дней назад
Congo nao Ina changamoto
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 25 дней назад
Sababu ya ugonjwa huu ni nini?? Tuache jamani kula nyani tuleni vitu vizuri😂😂😂
@AmaniMathod
@AmaniMathod 26 дней назад
Mungu ndio muweza wa kilakitu
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 24 дня назад
Nyie ndo wale unaumwa af huendi hospital et mungu ndo kila kitu kakupa akili ya Nini,tupambane
@fadhilimholo4722
@fadhilimholo4722 24 дня назад
vipi awa wahadzabe😮
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 26 дней назад
Eeee mungu tusadie
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 26 дней назад
Huko congo mbona magonjwa yote Yana anzia huko, mara ebora, monkey pox nk
@inocentlema5574
@inocentlema5574 25 дней назад
Me nahis yanapandikizwa😢
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 25 дней назад
Ndio maana yake ni wazungu tuu hao ​@@inocentlema5574
@eddymidi9241
@eddymidi9241 26 дней назад
Watanzania amkeni homa ya nyani ni Uchaguzi wa uraisi marekani, china lazima wapige chapuo kwasababu hawampendi trump congo ni uwanja wa majiribio kwa mabeberu 😂😂😂
@HadijaKiwambu
@HadijaKiwambu 25 дней назад
Heee mungu turinde waja wako mana hii dunia kira kukicha majanga mara korona mara mara iri nao sijuwi nini shinda mana ebu Tazania tuepushe na hii mitiani waja wako
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 25 дней назад
Na Tanzania wale wanakula nyani wajiandae na marathi
@sifunisamwel8830
@sifunisamwel8830 26 дней назад
Hawa wazungu wameshatuma tena magonjwa africa eee MUNGU tusaidie
@emanuelnyambo7486
@emanuelnyambo7486 26 дней назад
WHO hao...
@yohanakateko
@yohanakateko 25 дней назад
Tanzania tunamungu upitie mbali ugonjwa huo
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 25 дней назад
Amin
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 26 дней назад
Jesus
Далее
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Просмотров 241 тыс.
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 60 тыс.
FAHAMU KUHUSU WATU AMBAO HAWAWEZI KUAMBUKIZWA UKIMWI
4:20
SHANGAZI KAJA (Full Movie)
59:14
Просмотров 201 тыс.