Тёмный
No video :(

WEMA SEPETU AWACHANA WANAOTAKA AACHANE NA WHOZU KISA KUPIGWA/SISOMAGI COMENT ZA INSTAGRAM/KURUDIANA 

Carrymastory
Подписаться 473 тыс.
Просмотров 83 тыс.
50% 1

WEMA SEPETU AWACHANA WANAO TAKA KUACHANA NA WHOZHU KISA KUPIGWA/SISOMAGI COMENT ZA ISTAGRAM/ #whozu #wemasepetu #WEMAKUPIGWANAWHOZU #WEMANAWHOZU #carrymastorytv #NYUMBANIKWAWEMA #NYUMBANIKWAWHOZU

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 242   
@user-zz5kz3sb2g
@user-zz5kz3sb2g 5 месяцев назад
Muacheni mtoto wawatu kwakuwa ni star ndio mnaona madhambi ila hao mlionao mnajua wayafanyayo eeh jamani
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 5 месяцев назад
mashallah mola aujalie mtoto wema ISHAALLAH
@IbrahimZumba
@IbrahimZumba 2 месяца назад
Dah wema uzeek kila siku uko mmmwaa ❤❤❤
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 4 месяца назад
Usijali wema endelea kutenda wema km jina lko mungu atakulipa tu hp hp duniani siku zote mtu mwenye roho nzuri watu wabaya hawaachi kukuchukia ukiwa mwema lazima wabaya wawepo karibu yko
@JulianaAlex-wj6fe
@JulianaAlex-wj6fe 4 месяца назад
Love you my sister wema Mungu akujalie maisha mema na marefu
@EshaSaidi-mq5zy
@EshaSaidi-mq5zy Месяц назад
Wema nakupenda sana
@Baraka-wo9rw
@Baraka-wo9rw 3 месяца назад
Pwpw may sister nimeipenda iyo
@aliAliAbu
@aliAliAbu 4 месяца назад
Wema UMEPENDEZAAAA❤❤❤❤❤❤SANAA
@hamidaiddy2278
@hamidaiddy2278 4 месяца назад
Maashalah umependa sana wema endelea kuvaa stara hivyohivyo❤
@user-th6df3mb5x
@user-th6df3mb5x 4 месяца назад
Mashallah mdogo wangu daa wema umependeza ❤❤❤
@gloriamwalongo3661
@gloriamwalongo3661 4 месяца назад
Mwenyezi mungu akutunze wema
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 4 месяца назад
Allah akuhifadhi. Uwe mtu mwema katika wema inshaAllah
@SofiaAhmad-rp8sm
@SofiaAhmad-rp8sm 4 месяца назад
Allah akupe umri na afya njema katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani
@user-oc4hv7bv5b
@user-oc4hv7bv5b 4 месяца назад
Hahahahahahah leo namzidi umri wema jmn
@JujuAdam-uf1je
@JujuAdam-uf1je 4 месяца назад
Kabisa dada angu umeongea vyema kabisaa❤
@FatumaBaruti-qw6jm
@FatumaBaruti-qw6jm 4 месяца назад
Wema wangu tangaza adi bangi. Matakataka yote. waache hao waseme. Wanao sema ivyo ujuwe bado wanakula kwao. Na kazi za dada zao
@LailaAlbreke-ec2sf
@LailaAlbreke-ec2sf 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 5 месяцев назад
Hongera wema kufunga
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 4 месяца назад
Amependeza mashaalah ❤
@MmasaKirango
@MmasaKirango 4 месяца назад
Kbx mumeo to ndio ana haki ya kuona mwili wako nakupenda wema
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤nnakupenda wemawangu
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 4 месяца назад
Ramadhan karim .saum makubull.chi mami umependeza sana sana tena sana .lovu yuuuuuuuu
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 4 месяца назад
Nakupenda wema ❤❤❤❤❤❤cnaa dada yng
@user-qs2mx4ez6z
@user-qs2mx4ez6z 4 месяца назад
Sionagiii apo napeda umekuwa ❤❤❤
@francinebutoyi5547
@francinebutoyi5547 4 месяца назад
Jameni hajaongea anamyaka 36 anasema nimyaka 36 anaanza kufunga ameanza kufunga ku myaka18 hongela dada wema
@user-uy1zb8cr5u
@user-uy1zb8cr5u 5 месяцев назад
Pamoj na yote waxemay bd2 ntakupendaaaa❤
@officialidakeys
@officialidakeys 5 месяцев назад
My Kipenzi Forever❤❤❤❤ Allah awajalie mausiano yenu ya zidi kufika mbali❤❤❤❤❤
@Official83640
@Official83640 5 месяцев назад
Usimuhusishe Allah kwenye uzinifu Subhannallah
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 5 месяцев назад
Kwel​@@Official83640
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 4 месяца назад
Zinaa unaiombea duwaa😂😂😂
@user-fs7bs6gy4z
@user-fs7bs6gy4z 4 месяца назад
Unashangilia zinaa pumbav ww, elimika kuna uhai na umauti
@fatmahmuhamad7301
@fatmahmuhamad7301 5 месяцев назад
Acha fitna mwenyezi mungu ana abudiwa kila siku dada ukitubu tubu kweli sio mwezi ukiisha urudi upuuzi
@jenestermerchades9111
@jenestermerchades9111 4 месяца назад
Mti wenye matunda hupigwa mawe wala usijisikie vibaya wema wetu❤
@NeemaTokyo
@NeemaTokyo 4 месяца назад
Mm nakupendagaaa tyu❤
@aishatest4451
@aishatest4451 5 месяцев назад
nakumpenda sana wema❤❤❤❤
@JosephineKimaro
@JosephineKimaro 4 месяца назад
Kwa hiyo Wema anshakuwa mzanzibari kabisa eenhee!😂😂😂
@damsonshania6863
@damsonshania6863 5 месяцев назад
Watu mna wivuuuu😏😏
@Caren-og7qd
@Caren-og7qd 4 месяца назад
Wema is intelligent 😂,anavyokimbia maswali
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 месяца назад
Love you wema
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 5 месяцев назад
Mimi nampenda wema aisee
@LeilaAbdull-jg6ho
@LeilaAbdull-jg6ho 4 месяца назад
Mke mziri mwenyemaadiri akipigwa namume haendi media kulalama anaugulia ndani yanaisha
@user-jh3we5yc5y
@user-jh3we5yc5y 5 месяцев назад
Chimama na chibaba ❤
@user-xt5rn7kw3p
@user-xt5rn7kw3p 5 месяцев назад
Ni mwezi mtukufu huu wema unavyosema lakini dadaangu hizo kope machoni nizanini unasali vipi kwanza na hizo kope
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 4 месяца назад
Jamani kwani wema kupigwa na wanaume wake ni shida Gani sibinadamu km wenginao kwani wema ni nani yaani ustar ndio mpaka kumuona mtu km malaika
@tigejuma9865
@tigejuma9865 4 месяца назад
Kila mwaka najua watu wanaongezeka umri dunia nzima...lakin Kwa wema mbn iko tofauti!!? Ndio kwnza anazidi kupunguza miaka ata anaelekea Kwa kumi na sita...😅
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 5 месяцев назад
Wachaaaaaaaaa,Mungu akusame na hizo dua zako sio Allah kajibu labda Mungu wako pekee yako, sababu kwa dini ya kislam betingi iko katika zambi kubwa mno.
@RayanDai-fr7ks
@RayanDai-fr7ks 5 месяцев назад
Swadacta
@nishaabias5694
@nishaabias5694 4 месяца назад
miungu watu tena. we huna dhambi hapa duniani?
@Shakila-pq2gv
@Shakila-pq2gv 4 месяца назад
Mwenyezi mungu humjibu kila mja wake kadhalka wachawi nao wanajibiwa kutokana na uhitaji wao kwahiyo usimuhukum binaadam una haki hiyo kila mtu hujibiwa kwa maombi yake
@ramaizungu8587
@ramaizungu8587 4 месяца назад
Chenyewe ichi.. chenyewe..! Mwambie ukweli lakin wengine wanashoboka tu
@JosephKingwere
@JosephKingwere 4 месяца назад
Usimiache Usimuache wozu jamn
@user-ky2ch5rl7i
@user-ky2ch5rl7i 5 месяцев назад
Ngoja nisome comments kwanza...
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 5 месяцев назад
Wema kachoka lakinii
@ZaiHalifa
@ZaiHalifa 4 месяца назад
Hivi kama ni ramadan ya 36 na ameanza kufunga anamiaka 18 sasa wema unamiaka hamsin na nne 54 du wewe ni kibibi😂😂😂😂😂😂😂
@AishaMusa-fx2fp
@AishaMusa-fx2fp 4 месяца назад
Guys try to mind your business 😢❤ mashallah ❤️ daa wema
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
nenda ukatangaze kamari uko ucha mungu hujaukubali mpaka sasa
@AshrafAbdallah-fr3qe
@AshrafAbdallah-fr3qe 5 месяцев назад
Nyie ndo mashetan wenyewe
@barakakusa7606
@barakakusa7606 4 месяца назад
We ni malaika kwamba hujawahi kutenda dhambi
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 месяца назад
Wewe ni kuma tu
@salhasalim2223
@salhasalim2223 4 месяца назад
Kaambiwa kapendeza badala aseme Asante ye kaanza kujielezea tofauti na swali mweeeh au ndo swaum JAMANI MSINICHAMBE 😅😂
@dinaalfani
@dinaalfani 4 месяца назад
Hahah umemkomesh
@TaarabChannel
@TaarabChannel 5 месяцев назад
Wambea mpitie na kwangu mnisapoti
@fatmahmuhamad7301
@fatmahmuhamad7301 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@TaarabChannel
@TaarabChannel 4 месяца назад
@@fatmahmuhamad7301 🤣🤣🤣 umepitia weye
@queenlinda255
@queenlinda255 5 месяцев назад
Umeanza kufunga ukiwa 18🫣 umechelewa ila kikubwa unafunga
@user-iw8fm6tv7c
@user-iw8fm6tv7c 4 месяца назад
Ila ramadhani ikisha unazini kama kawaida ingekuwa vizuri ukaendelea na ibada na kuolea sio kuzini hapo ndipo mnavoshangaza
@teclakagai754
@teclakagai754 5 месяцев назад
My favourite wema ❤️❤️
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 4 месяца назад
Yaani wasanii hamjui tu mkivaa hivyo mnapendeza kweli umependeza cn
@fortunatuscharles6369
@fortunatuscharles6369 4 месяца назад
Kaanza kufunga akiwa na miaka 18 + na hii ni ramadhani yake ya 33. Kwaio Ana miaka 51 😂😂
@user-fl6lc6wt2p
@user-fl6lc6wt2p 5 месяцев назад
Mungu niwa ramadhan tu subhanallah Allah awaogoze
@ruqqyahimam6617
@ruqqyahimam6617 4 месяца назад
Ana miaka 34 mnaomsema mnapata zambi.
@AshuraMusine
@AshuraMusine 4 месяца назад
Wema umenichekesha sn.Alafu Hy miaka mh maama mm nilikua mdog sn nakuona ww nimkubwa na unagombea umis
@ankovictor1564
@ankovictor1564 4 месяца назад
Wambea tumeumbuka
@user-mv2ou6jw7p
@user-mv2ou6jw7p 4 месяца назад
Uki piga uka choka uta acha mwenyewe
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 5 месяцев назад
Yani hili Li Wema linavojidhalilisha kila siku linajidogosha IPO siku litaumbuka ohoooo,starehe gharama ona wenzie kina Uwoya wametulia zao
@mashejuma2885
@mashejuma2885 5 месяцев назад
Mbka kero
@salummakaveli4366
@salummakaveli4366 5 месяцев назад
Upo sahihi hilo ni libibi
@farajaprosper4666
@farajaprosper4666 5 месяцев назад
Nyie nao vichwa maji amuelewi hata 🤣🤣🤣🙏🏿
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 5 месяцев назад
Uwoya ana nini?
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 5 месяцев назад
@@mashejuma2885 anewakosea nini puñguzeni chuki
@andrew0502
@andrew0502 4 месяца назад
Pole sana dada, lkn duu life linachange yaani sio Wema wa enzi zile za Kanumba, nikikumbuka "Family tears" "Point of no Return" "Red Valentine" duu ulikuwa na umbo zuriii daah
@suzanmtey7574
@suzanmtey7574 4 месяца назад
Huna namna pambana tyuu dada umri huo
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 4 месяца назад
😂😢 Ina maana hapa yy mwenyewe anajikataa, hajielew ata miaka yk, kua muwaz tu kwani umr haurud, na mungu wakujistitr na kumuabud ramadhan t hayupo, uo n uongo na unafik, ila unaidanganya nafsi yako na unaingopea nafsi yako, rud kwa Allah Kama n muslam wakweli Kwan yy ndie anae kubal tooba zaviumbe
@RuqqyahFeisal
@RuqqyahFeisal 4 месяца назад
Linapenda kujifanya litoto hili
@JacqDaniels-hu5xj
@JacqDaniels-hu5xj 4 месяца назад
Mbn leo unaongea kama yule mama wa kungwi
@mackysuphian
@mackysuphian 5 месяцев назад
Wema umeanza kufunga na miaka 18?? Wengine miaka 7 tumeanza kufundishwa wafunga nusu siku miaka 10 unafunga hata 20😂😂😂😂
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt 4 месяца назад
Unaluusiwa kufunga ukibalee kwaiyo ata miaka 18 sawa
@ramaizungu8587
@ramaizungu8587 4 месяца назад
Dini ipi hio usiongee kitu hujui
@mackysuphian
@mackysuphian 4 месяца назад
@@FatumaShabani-mp9vt mmmh makubwa haya jamn we ulisikia wap mpka mtu abalehe au hujasoma madrasa??
@mackysuphian
@mackysuphian 4 месяца назад
@@ramaizungu8587 so wataka kusema watu hufunga kuanzia miaka 18 or umemjibu huyo alisema mpka mtu abalehe?? Madrasa tumefundishwa mtt huanza kufunzwa kufunga akiwa na umri wa miaka 7 so kaka umenikosoa mm bc juu yako kwa mm ninavyojua ni hvyo cwez ongea kitu nisichojua🙌
@ZainabuMoody
@ZainabuMoody 4 месяца назад
Love you wemaaa
@Prettymamu
@Prettymamu 4 месяца назад
Muongo uyo😅
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 4 месяца назад
Atakuua huyo fisi unaeficha
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 4 месяца назад
Duuuuuuh Wema na uongo jaman 2006 ulikuwa na miaka mingapi kwani?
@yassinm69
@yassinm69 4 месяца назад
Hivi wema ni mkristo au muislam
@E.N.A.243
@E.N.A.243 4 месяца назад
mkristu
@MaryWuantet
@MaryWuantet 4 месяца назад
Haeleweki huyo
@oneonone6628
@oneonone6628 5 месяцев назад
Mshunu ndio nini wabongo wenzangu🫣🫣🫣🫣🫣
@Zafaabutterfly
@Zafaabutterfly 5 месяцев назад
Mshuni ni mzuri
@oneonone6628
@oneonone6628 5 месяцев назад
@@Zafaabutterfly asante 😍😍
@user-qs5ok9py6i
@user-qs5ok9py6i 4 месяца назад
Mimi namkubali dida shaibu tu ndoanamsimamo kwenye mahusiano lkn Hawa wengine kama huyu anakera
@peninashungu6633
@peninashungu6633 4 месяца назад
Wadumu wavumiliane hakuna mkamilifu wasamehane kwenye makosa watadum
@nasmamussa282
@nasmamussa282 4 месяца назад
Kumbe anamiaka 52 still cute😜
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 4 месяца назад
Not true
@SuzanPeter-gk5qm
@SuzanPeter-gk5qm 4 месяца назад
Kwhy wema unalingana na mdogo wangu wa mwaka 1990
@aliAliAbu
@aliAliAbu 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤Swtheart
@Elizaclemess
@Elizaclemess 4 месяца назад
we ata ingekuwa ya 37 inakuhusu nn jaman binadam bhan
@samaliraven4210
@samaliraven4210 5 месяцев назад
😂😂😂😂 i love her❤❤❤
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 5 месяцев назад
Uso umechuja ana miaka 34😂😂😂😂😂
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 5 месяцев назад
Kakuagi!!!!
@nancyg8664
@nancyg8664 5 месяцев назад
Itakua anakula sana malimao
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад
Yaani hata mie wa 36 naonekana bado mtoto😅😅😅 huyu anadanganya umri na hana kitu
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 5 месяцев назад
Acha wivu
@user-rt3js8vl3f
@user-rt3js8vl3f 5 месяцев назад
Jmn acheni kagueni kwanza nyuso zenu
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 4 месяца назад
Hivi anajua maana ya stara
@goodlucklyimo1190
@goodlucklyimo1190 4 месяца назад
kwendraaaaaaaa huko sema umri wako wa halali
@user-nh7vc8ov2r
@user-nh7vc8ov2r 4 месяца назад
intaview ainogi km makande yasiyoiva
@annalubango9899
@annalubango9899 4 месяца назад
Na umeisikiliza mpk mwisho😅😅😅
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
Mwezi wa toba kweli ila ramadhan ikiisha,basi...Astaghfirullah, Allah Atuongoze
@ramaizungu8587
@ramaizungu8587 4 месяца назад
Huyu dada kweli wazazi wake ni waislamu na yeye kapitia kweli madrasa maana simuelewi ujue.. betting na ramadhani mara amefunga na anatarajia kusign mkata mkubwa na betting dada unapotea
@getrudatobias4848
@getrudatobias4848 4 месяца назад
Usihukumu ukajakuhukumiwa maana kipimokile unachompimia mwenzio ndicho utakacho pimiwa
@hubamwachome9769
@hubamwachome9769 5 месяцев назад
Hyo mshunu alkua lola au😂
@witnesstegga5994
@witnesstegga5994 4 месяца назад
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 untill everybody around talks shit hata kama umekosea kweli you will never understand wema.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 4 месяца назад
Huyu mwandishi aangalie wema kwa muda huu anafanya nini sio kila akikaa umbea tu
@salamamamashenge5493
@salamamamashenge5493 5 месяцев назад
Maskini kakingali kanaumia ila mpenzi yupo just hataki kuyaongelea😢❤Hang in there Girl 🫂Ushauri wangu #Whozu Anajuta kukupiga Ile interview alifanya na Ayo tv ilikua inamanisha upendo or Potential unayo kwakwe so don't let go now Babygirl 😭❤Maybe he will change 😮just last chance 😢😢
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 4 месяца назад
2006 wakati wema anapokea taji la umiss, mm nilikuwa na miaka 12, kwan uyu wema alikuwa na 16 years wakat huo?? Manake niko 30 sahii na wema bado ana 34, nipen siri ya mafanikio jmn na mm sitak kuzeeka😂😂😂
@mashejuma2885
@mashejuma2885 5 месяцев назад
Aisee nyie uyu sikio la kufa mbka kubadilika sio Leo 😅😅😅😅😅😅😅😅 mungu amsaidie
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x 5 месяцев назад
Hawezi kubadika hadi anakufa
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 5 месяцев назад
Kakosea nini labda?
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 5 месяцев назад
@@user-bx6rf6nv4x kakosea nini?
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 4 месяца назад
You born 28 Septembe 1988 una myaka 36 ukisema ukweli utakufa kweli ulikua miss 2006 with 18 age.
@mylulu4762
@mylulu4762 4 месяца назад
Jamani nisaidieni huyu wema muislam au mbona simuelewi mara kanisani mara kufunga
@zulfasaid4094
@zulfasaid4094 4 месяца назад
Mama muislamu baba mkiristo
@JosephKingwere
@JosephKingwere 4 месяца назад
Wema usimuache wozu utatoka na wanaume wangpi uw
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 4 месяца назад
🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️mmh
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 4 месяца назад
34 au 33= mbona huelewek
@JanethTikey-bp8dh
@JanethTikey-bp8dh 5 месяцев назад
Wema kumbe ni islamic😂😂😂
@scollantandu2350
@scollantandu2350 5 месяцев назад
Unafunga kumbe wema, sasa mbona unabusiana na hawara yako nasio mumewako wandoa?😂
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 4 месяца назад
😅😊😂anatangaza biashara❤
@evematinya6027
@evematinya6027 4 месяца назад
Kafunga nae ndoa mwez wa Saba mwaka Jana jamaniiii 😅😅😅
Далее
Cristiano ronaldo VS Tibo Inshape ! 😱😱
00:20
Просмотров 3,1 млн
NATOLEWA MAHARI
9:00
Просмотров 1,1 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
Просмотров 219 тыс.