Wema sina shida NAE lkn anapoongea ajue kuwa yuko TANZANIA na wanaomsikiliza na Watanzania. Hizo mbwembwe za Kimarekani wateja wa hizo Pedi hawazielewi. Kina Rihanna na wengine ACHANA nao. Kwa ujumla BE REAL. Please!!!!
hicho kiapo cha insta au cha kwa mungu? kwani mwanzo nani aliachwa? na kuwa chizi itakuwa ni kawaida kwa wanaume ambao hawajafikisha miaka 40, kukupa uchizi ni lazima oaneni ijulikane cyo viapo vya insta
Kwanza hawakuwa Couple WALIKUA WAZINIFU WAWILI TUU NA YEYE ASEME BADO ANAPENDA UZINIFU SIO anampenda Diamond yeye ni Malaya wa Danguro anayependa UZINIFU nakitabu chake CHA List ya Makahaba wezie aliye zini nao Sasa hay tumuachie yeye na MUNGU WAKE
@@suzysam6002 KWA HIYO WEWE NDIO UNAPEMBEJEA WAZINIFU NA MAKAGHABA WAENDELEE KUCHAFUA ULIMWENGU KWAKUA NI WATOTO WA WATU NANI MTOTO WA MBWA KATIKA WANAADAM????WACHENI KUPENDA DUNIA MKASAHAU AHEARA UMRI WETU NI HAFIFU SANA TUMCHE MOLA
Yaani hawa ma Star w bongo biashara wanayoiweza ni ya mshoo tu? Hawaonekani kuwa na akili ya mambo mengine ni pedi tu? Wema Pedi, mobeto Pedi, Giggy Money Peddy wenzao kina Zarry wako na GSM furniture na mambo ya akili
kwan zari hajawah tangaza pads amka ww kwa hio we waweza kataa ubaloz wa k2flan kisa kuna flan anatangaza kaangalie peps inatangazwa na mastaa wangap duniani na takriban wa tano ni wacheza mpira ie Messi nk