Тёмный

Weusi Wajibu kuhusu Diss Track ya Kikosi Kazi | Watoa Msimamo wao kuhusu Beef | XXL Jiwe la Wiki. 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL Ambapo Weusi na Interlude yao imesimama Kama Jiwe la wiki.
#Naiaminia255

Опубликовано:

 

16 июл 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 221   
@viwawakwembe
@viwawakwembe 4 года назад
Uzuri wa hip hop si vizuri kurushiana maneno kama taarabu, ushauri iandaliwe freestyle battle kati ya weusi na tamaduni, tufunge mjadala. kama umenielewa gonga like.
@azytv9012
@azytv9012 4 года назад
Very smart
@jacksonsabana2150
@jacksonsabana2150 3 года назад
Ujuwi . Misingi ya hip hop nakushauri we sikiza singel ndo size yko
@viwawakwembe
@viwawakwembe 3 года назад
@@jacksonsabana2150 freestyle battle ni moja ya nguza ya hip hop ambayo nimeshauri itumike.sasa sijui habari za singeli unazitolewa wapi.
@seifbagilo2516
@seifbagilo2516 4 года назад
Kama umegundua jamaa wanaongeza jesh taratib baada ya kugundua vita ngum sana
@mligogodfrey8882
@mligogodfrey8882 4 года назад
Kikosi kazi wale jamaa ni nooma sana.UKISHINDWA KUSHINDANA NAO UNGANA NAO.ushauli tu.
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
Mashabiki acheni unafiki nyie ndo mnawaangusha wasanii mnapretend mnataka mziki mzuri kumbe ukija mbaya mnaacha mzuri mnaenda kwenye mbaya, sasa ebu niambie ni ngoma gani ya kikosi kazi ulosaport mpaka sasa?
@beatusnestory2983
@beatusnestory2983 4 года назад
@@kijokombao5345 wazi mkuu hao kikosi kazi wameyumba sana ila weusi wanatupa burudani nzuri
@Joekwid960
@Joekwid960 4 года назад
Umenena mkuu
@ramog6132
@ramog6132 3 года назад
Kweli wale ninoma sana
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 года назад
Weuuuuuuuuuuuuuusi
@uwezoamani2236
@uwezoamani2236 4 года назад
Weus wame sanda hawawezi kushindana na kikos kazi kikos kazi hatali zaid ya ngono bila msos ovaa chafuu
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 4 года назад
Azma anasema 'moto mliouwasha mtateketea' hata kama clouds watawabeba.
@boniphacemwakipesile6080
@boniphacemwakipesile6080 4 года назад
Token zenu huko weusi ni moto wa kuotea mbali mtapata tabu xana mnaowadic weusi
@georgewilson5117
@georgewilson5117 4 года назад
Sisi ndo majungle weusi ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@omaressau3299
@omaressau3299 4 года назад
@@boniphacemwakipesile6080 shabiki andazi ww
@boniphacemwakipesile6080
@boniphacemwakipesile6080 4 года назад
@@omaressau3299 unatexeka kama unateseka poleeee mana utapata tabu xana weusi chama kubwa acha ukichaaa
@justinmmoko6060
@justinmmoko6060 4 года назад
Weusi bhana Ni brand kubwa sana. I'll wananiboa hawanaga video Kali yakusema hata wamedhubutu kuifanya hata ifike intanational
@ramsbeca2878
@ramsbeca2878 4 года назад
Hamna kitu hapo hyo media ndio inawabeba
@salimmnzava1883
@salimmnzava1883 4 года назад
album itakua moto laana.... WEUSI ON TOP
@dallysaid3482
@dallysaid3482 4 года назад
Wamesanda kikozi kazi ni shida nyingine hiyo Kama mmakonde na korosho hatariiiii sanaaaaaa shaaaaa
@bernardomgongole5675
@bernardomgongole5675 4 года назад
Nguvu za kujibu mnazitoa wappp
@kingkili8838
@kingkili8838 4 года назад
Weusi Chama Big, I need that album yerooo,Weusi untouchable! Na hatuna airtime ya kuwapa Machoko!Weusi on Top🔥🔥🔥
@ennevidmsorongo5686
@ennevidmsorongo5686 4 года назад
Kikos kaz ...💯% ..big up niki mbiship
@ramsbeca2878
@ramsbeca2878 4 года назад
Msanii ni g nako tu hpo
@logatesimon9046
@logatesimon9046 4 года назад
Na ndo msanii ambaye ht tamaduni wanamkubali
@muslihelbarca6435
@muslihelbarca6435 4 года назад
Umeongea point
@patrickamandusi6781
@patrickamandusi6781 4 года назад
we unaelewa nn,tuliza mshoNo
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
Kwahiyo G ana mafanikio au nini kuliko Joh siyo?
@mussakulanga2910
@mussakulanga2910 4 года назад
Kweli kabisa ni g nako na mkundu wako basi
@hassansamata5995
@hassansamata5995 4 года назад
Wenye mji wao wamechoka na uchoko wenu na radio yenu ndio inapotea hiyo
@ramog6132
@ramog6132 3 года назад
♉😂😂😂😂
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
Sema joh umekaa kinyamwezi sana yaani daah
@annaclaramsangiracare894
@annaclaramsangiracare894 4 года назад
WEUSI NI KWERE. MAFALA WANASUBIRI MROPOKE HAWAJUI CHUGA HATUNAGA USHOGA WA KUONGEA KIFALA
@shahbanyusuph3136
@shahbanyusuph3136 3 года назад
Weus hawawez bato na kikos kaz uclete upenz
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 года назад
Hatuna ngo'nyong'onyo tunasaka mkwanja
@baltazarykatengesya6845
@baltazarykatengesya6845 4 года назад
Hvi vijamaa ka viimba taarabu vinamaneno ya shombo but factless
@yambadox5801
@yambadox5801 3 года назад
Weusi ni kwer nyingine joo
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 4 года назад
Pancho genius... RIP jamaaa alikua hatari sana...alitengeneza hits nyingi sana RIP Latino
@ramsbeca2878
@ramsbeca2878 4 года назад
Adam hpo roho kwat hao hawana kitu
@aliabubakar2161
@aliabubakar2161 4 года назад
Weuzi wameogopa kumamazenu
@ezekiangailo6330
@ezekiangailo6330 4 года назад
MNAJISKIA SANA ILA IKO WAZ MNABEBWA HAKUN APO WA KUMFIKIA NIKKI MBISHI
@florianmasawe9520
@florianmasawe9520 4 года назад
Kikosi kaziiiiiiiii kaziniii🔥🔥 mmelipata 😱
@lovenessluoga6373
@lovenessluoga6373 4 года назад
Nikama majike mtapigwa mpk m bleed kwa kichwa
@khaleedybrave6155
@khaleedybrave6155 4 года назад
Hatar mamaqe
@pascleshayo9740
@pascleshayo9740 4 года назад
Mnaboa matangazo mengi
@omaressau3299
@omaressau3299 4 года назад
Weusi wamelikoroga then hawataki kuongelea issue ya diss yao
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 4 года назад
Hapa najiuliza maswali. WEUSI kama walijua watachanwa sasa kulikuwa na haja gani ya #WEUSI kuwachana #TAMADUNI hata kama kwa mistari 2 kati ya 80. Kumbuka hata kama ukinitukana mimi tusi moja tu kwa mfano MSENGE, alafu ukazungumza mambo mengine ambayo hayanihusu. Basi tambua kuwa nikikusikia nitakuja na lundo la MATUSI hadi ujute.
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
Kuna reason behind apo....ila tamadun hawana mchongo....mtu nane kwa mtu nne ..tamadun hawana akili wakaimbe tarabu huko wabishane na khadija kopa
@richardduwe
@richardduwe 4 года назад
TSG talented social group hujui kitu wewe weusi maboya tu
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 4 года назад
@@ditrickluoga1185 kajifunze hiphop vizuri alafu uje ulete hoja.
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
We una hoja gani ya maana uliyoleta... Nini maana ya Hiphop?
@mussamsella5801
@mussamsella5801 4 года назад
Clouds mnafeli sana kuwabeba watu ...weusi mmewadiss wengi sana sema nyie mafisi coz waoga sana ... Hiyo diss imewapanikisha sana kiasi joh anaonekana kabisa hayuko sawa ...mnaenda international wapi toka miaka hiyo hakuna iliyovuka mipaka... Nikk good failure kwenye game sema kundi limekupa bebeo la kutosha
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 года назад
Nyie ni marapa wepesi sana hakuna ma panch wala ma buzz ya kutosha
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 года назад
Vp yule Bughalee nd mmeshamtelekeza au naona aliwabeba sn yy na Lufa...
@cosmoantonio5682
@cosmoantonio5682 4 года назад
Kikosi kazi 🔥🔥🔥🔥🔥
@allysaid6058
@allysaid6058 4 года назад
Hawa ndio wana hip hop hpa bongo, hao kikosi kazi wanatafta kujulkana kupitia kwa hawa jamaa.
@blackpanther4825
@blackpanther4825 4 года назад
wasenge sana hao kikosi kazi mamaye zao
@marboycmg2542
@marboycmg2542 4 года назад
weusi chama tawala🔥🔥
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
Aleealeee...!!
@hopenassary7666
@hopenassary7666 3 года назад
iko waz
@daudishabani1587
@daudishabani1587 4 года назад
Amna uwezo apo nyie kikosi kazi ndio kilakitu bongo hapa maregends wenyewe wamusic huu wanajua
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 2 года назад
Clouds ipo kwa ajili ya watu wa Arusha au kaskazini mchomvu ni mtu anayetumika kuwabeba weusi akishirikiana na boss wake joh kusaga...kikosi kazi haina ukabila wala ukanda
@kemchodekim3797
@kemchodekim3797 4 года назад
WEUSI KAMPUNI hatuwezi Shindana na machoko Tuna lenga Jala👊
@georgewilson5117
@georgewilson5117 4 года назад
Miaka buku🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lovenessluoga6373
@lovenessluoga6373 4 года назад
Nauona utamaduni wa kusuka rasta
@georgewilson5117
@georgewilson5117 4 года назад
Loveness Luoga 😂😂😂😂😂😂sasa we rasta huzijui ama!! By the way yule alie sema atazikata na chupa yale maneno tu!! So waneona wamepotea ndo style ya kurudi cuz wa bongo unapenda ujinga sana,, amber rutty kalipishwa million kumi afu alie kula kondoo kapewa fom ajazi awekiongozi,, wasenge kweli kama viongozi wenu!
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 4 года назад
Hip hop iko Tamaduni.
@alkaullahmediaTz
@alkaullahmediaTz 3 года назад
tunaoelewa hip hop tunafurahia wote wawil.. tamadun/KK na weusi... wanachkifanyaa.. maana n moja ya sifa ya kuifanya hip hop ichangamkee...
@mndigaboy910
@mndigaboy910 4 года назад
Hee hawa jamaa kumbe makuma hv jibuni diss yenu nyie sindo mmeanza kumamake😂
@boscothobias4028
@boscothobias4028 3 года назад
Wana waoga hawan uwezo
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 2 года назад
WEUSI IN THE HOUSEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
@dreupdates8607
@dreupdates8607 4 года назад
CLOUDS INAPITWA NA WASAFI KWA VITU MBALI MBALI IKIWEMO KUBEBANA...MNAWABEBA SANA WATU SASA SIJUI NI HONGO AMA NINI MNAZNGUA SANA MAZEE
@futbolhighlights2061
@futbolhighlights2061 4 года назад
Wanawavunja
@mrzilla9096
@mrzilla9096 3 года назад
Kabebwe nawewe
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 4 года назад
Kumaamake mnaogopa kujibu maswali na harusi yenu wasenge nyie chupi imebanaaa mjibu tuu maswali ya diss yenu fuck
@faymaulid7850
@faymaulid7850 3 года назад
Wewe hip hop siyo taarabu useme weusi wajibu weusi wamesoma siyo kama hao wanao leta ushoga kwenye gem
@jeovangisc7957
@jeovangisc7957 3 года назад
Weusi wamesoma wapi.. sema Nikki kasoma!! Tamaduni wote wana Bachelor's degree
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 4 года назад
Kikosi kazi ni moto wa kuotea mbali
@khalfannguja9530
@khalfannguja9530 4 года назад
Weusi kama mnawahanya tamaduni vile
@godfreykyando3345
@godfreykyando3345 4 года назад
G wara wara akuna mwingine apo
@malcolmkomba4067
@malcolmkomba4067 4 года назад
Mbona beat ya huo wimbo ya wimbo wa masta ace?
@FreshFizzo
@FreshFizzo 4 года назад
WEUSI MUISHUKURU SANA HII MEDIA YENU HAMNA JIPYA NYIE
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
Kikos kaz wana jipya lipi?? Utopolo ww
@FreshFizzo
@FreshFizzo 4 года назад
@@ditrickluoga1185 mkundu wako kwan lazima nachoona mim na ww huone kuma ww
@rashidmavullah687
@rashidmavullah687 4 года назад
Mm ni fans wa weusi na nifansi wa. Kikosi kazy Ila nadhan mmeogopa kuwadis Ila Kama mgeendeleza bato hip hop yetu ingeenda Mbali sanaa kwasababy sasaiv tumefhnika miziki mingine ni hip hop kwasababu yenu nyinyi weuse na tamaduni ila Kama mmetaka kuuwa game ya hip hop sawa
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 4 года назад
Safi sana A+ C tuntka kuona mnasonga mbele
@mussamsella5801
@mussamsella5801 4 года назад
Mawingu mmefeli kiasi mmeomba poo kwa commando...awasaidie kupata usikivu kitaa coz mmepotewa na raia
@guccij3549
@guccij3549 4 года назад
Clouds ni kwaajili ya watu wa Arusha nimejua
@kelvinsevelin1787
@kelvinsevelin1787 3 года назад
Mafara sana nyiee amnaa jipyaa wangeseee sana weusiii
@HansBwoi
@HansBwoi 4 года назад
Hamna lolote mna bebwa na media kikosi kazi ndio tuna wakubali kona zote
@HansBwoi
@HansBwoi 4 года назад
@shivoo TV ndio nyie mikundusi
@onesmopaulmwacha566
@onesmopaulmwacha566 4 года назад
Arusha hakuna mipasho ..hawa wadaresalade acha waendelee na mipasho .hatuwajibu ng'oo na hatuwapi kiki .wale wanasuta sana watajibiwa na hadija kopa
@fredrickloanyuni8990
@fredrickloanyuni8990 4 года назад
😂😂😂😂😂mulelule kaka tuwape kiki wanaume nane walioungana kujibu diss ya line mbili huo muda ukwaapi bana,,, weusiiii woyoooooooo
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 4 года назад
Weusi wanaogopa ,pale hawawez sem ki2 kwa kikosikazi
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
Kikos kaz hamna jipya ..weus hawawez jichosha bishana na watu wasio na mchongo waimba taarabu....wanateseka wahuni kusikika wanatafuta kiki
@vincentkims963
@vincentkims963 4 года назад
Wanacho fanya njamaa hawa ni kucheza na Psychology za haters then wana brings creativity alafu n kundi lililo dumu muda mrefu sna coz lipo kibiashara sana . Tofaut na wengine ambao wana ungana kwa mission tu na hupotea gafla
@championgm9311
@championgm9311 4 года назад
Marapa wa kibongo wanaroho mbaya hasa nikki mbishi yeye hujiona kama hiphop kaileta yeye msenge sana
@ennevidmsorongo5686
@ennevidmsorongo5686 4 года назад
Unatukana nni jomba ...bero iendele niki mkali sanaaaa
@mushiones9967
@mushiones9967 4 года назад
Niki nimkali sawa atukatai lakn / shida yake moja tuu apendi kupingwa ndo maana ! anaitwa m bishi ndo maana afikimbali / angalia mtu kama khaligraph Yupo mbali sana jamaa
@agnesezekiel4829
@agnesezekiel4829 5 дней назад
clouds achen kuwabeba amna hop hapo
@amanimushi4052
@amanimushi4052 4 года назад
Ipoiviii #kikosikazi nidunia nyingine kabisaa. Sijaona hapo kabisaa Hip hop ✊
@sellah4603
@sellah4603 3 года назад
A+
@GaudenceRaphael
@GaudenceRaphael 3 года назад
Unafiki sitaki, hawa wajamaa in A+ artist hawa majamaa mengine wanaiga tyuu "Weusi" Baba lao Big up manigerzz
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 4 года назад
Kikos kazi ni kundi hatar weus hawawez pambana na hv vichwa, P. Mawenge pekee hawamuwez
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
Huyo P mawenge kafanya kitu gani cha ajabu labda kwenye game......watu inawauma wajamaa kuhit bongo...big up weusi
@patrickamandusi6781
@patrickamandusi6781 4 года назад
kikos kaz hawana kiki hapa mjin,Hv wanafanyaga nini?
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 4 года назад
Mziki na issue zingine
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
@@hancymachibbula4355 sisi tuongelee mziki wana lipi jipya...maana ukiingia kwenye issue zingine utapotea mana kwa kisomo tu weus wapo good...mishe mishe ndo usijichangaje wapo gudi pia ...wanakulitafuta mtalipata
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 4 года назад
Wangapi sasa wenye kisomo hapo weus kama si mmoja tu maana bonta kama hayupo, pia mimi sijaongelea mambo ya kisomo nimeongea wanafanya mzik na issue zingine.
@amoursayyid419
@amoursayyid419 4 года назад
We don't see your game changing nyinyi ni Entrepreneurs na kwenye ulimwengu wa HIPHOP nyinyi ni combustible na KIKOSI KAZI ni Moto kwa so kaeni mbali msije mkadharaulika wale Jamaa HIPHOP kwenye dam
@selefaraji8074
@selefaraji8074 4 года назад
Kiukweli weusi hawana mziki wa kushindana na kikosi kazi hata huyo dogo raptcha ni msanii wa kawaida sana sema clouds mnampa nafasi kubwa na kusahau vipaji vya kweli acheni kubebana tunataka wasanii wa ukweli
@billnemess9369
@billnemess9369 4 года назад
Ninani anajuwa haka kawimbo ka msichana naimba akimalizia hii interview plz anipe jila la wimbo huu🙏
@paschalliving657
@paschalliving657 4 года назад
Ma ofsaaaa
@pascaltesha7329
@pascaltesha7329 3 года назад
Jibuni diss ya kikosi kazi mchangamshe hip hop
@michezomixer
@michezomixer 4 года назад
Wivu wa tamaduni ni jinsi mashabiki pamoja na mafanikio ya weusi ki maisha yalivyokua makubwa kuliko wao
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 4 года назад
Mbona matangazo mengi nyie wezi wa mb
@mgombazniggaz6948
@mgombazniggaz6948 4 года назад
Wameanya kikosi kazi ndo maana wanaogopa kujibu diss track
@dedsecmalis2005
@dedsecmalis2005 3 года назад
Ila KIKOSI KAZI ni wauwaji aiseeeeee
@alimadmaulid2567
@alimadmaulid2567 3 года назад
Hivi virapa navivaa kwenda chooni...dah hapo zaidiyao sijui anamaanisha nn.?
@agnesezekiel4829
@agnesezekiel4829 5 дней назад
hamna jipya hapo acheni kuvibeba hivyo vimbuzi mee
@emmanuelmisaac724
@emmanuelmisaac724 4 года назад
mamy bae uko too personal sana toka interview ya kikosi kazi try to change kua mid plz play your part. Otherwise tunapigia mstari kwamba kuna watu mnawabeba. Am sorry kama ntakua nimekukwaza lakini.
@mussakulanga2910
@mussakulanga2910 4 года назад
Hip hop ya bongo aisongi kwa sababu ya Mambo km zakina kikosi mavi,
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 4 года назад
We kiazi kweli #weus ndyo walioanza kuwadis kikosi kazi alaf saiz wanajifanya hawatak kuzungumzia diss track waliyoianzisha wao..
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 4 года назад
Alaf utamaduni wa hip hop ni battle na sio kukimbia battle ulilolianzisha.. hapo weusi ndo mavi
@sadickallykingengena4034
@sadickallykingengena4034 4 года назад
Weusi wamesanda wasiludie kudiss wanaume nyang'au kama kikosi kazi
@kapangeedward185
@kapangeedward185 4 года назад
Watangazaji wanaonekana wapo one side, Mamybby🚮🚮🚮🚮
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 года назад
Iko hivyo
@blackpanther4825
@blackpanther4825 4 года назад
Weusi wanajua sana hawa wasenge. Basi tu bongo nyau sana
@faitajogging8155
@faitajogging8155 4 года назад
SisiHaooooo
@uniqueboytz3770
@uniqueboytz3770 3 года назад
Km umegundua nikki wa 2 ndo aanajibu Sana maaswali
@robinsonjames9711
@robinsonjames9711 3 года назад
Air Weusi 💥💥💥💥
@blackpanther4825
@blackpanther4825 4 года назад
Hao KK wakija mazense tunawpiga mabisu mamaye zao. Weusi foreva
@Jamalsaid255
@Jamalsaid255 4 года назад
Wanaogopa 😂😂😂😂😂
@josephjackson3363
@josephjackson3363 2 года назад
Kwa kikosi kazi bdo tatizo uchaga mwng
@laurianmgata1390
@laurianmgata1390 3 года назад
Nyie hambadiliki sasa matangazo ya nn
@rumibarton2359
@rumibarton2359 4 года назад
Sayansi yetu ya kuchangamsha game ni kutoa hit jamanieeeeh
@francismicky5305
@francismicky5305 4 года назад
Siamini kama kwenye hiyo beat ni Mimi..
@suleimanijumasuleimanjuma3793
@suleimanijumasuleimanjuma3793 4 года назад
Hv nyie mnajua beef au mnalisikia beef lilikuwepo zamani Kati ya Kikosi cha mizinga na nako 2nako mpaka nako wa kasanda wakaomba msamaha Kwa kutoa nyimbo ya try Love hapo Hakuna beef awo wanachananana tuuu
@midwest863dr4
@midwest863dr4 4 года назад
Weusi 🎻🕪🎷📣📢
@lucaskadeghe3958
@lucaskadeghe3958 4 года назад
Ukigombana na mjinga nawewe utaonekana mjinga. Nawakubali sana Weusi kwa kupotezea machoko,kazen wana kaskazin hakuna kundi bora kama weusi Tanzania na Afrika mashariki
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 года назад
Hawa "wehu sii ni mandezi kamwe hawawezi simama na "KK"watapotezwa mbayaaa mamae zao
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 4 года назад
U sound so funny....
@ezekiangailo6330
@ezekiangailo6330 4 года назад
Sana boby
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 года назад
Uwezo hawana wa kubattle wanajifanya ooh sie hatuna muda huo😆😆😆 this is hiphop ma meen!msiogope battle kama kweli nyinyi ni wana hiphop ila nyie ni wana "mdundiko!"kk wamewaonea walitakiwa wabattle na watu kama roma.stamina.fid q.na maemcee wengine ila sio kuwachana mandezi kama nyinyi mnaobebwa na "REDIO WAFU"
@ditrickluoga1185
@ditrickluoga1185 4 года назад
@@nakalikyumile4370 🤣🤣🤣....unaowaita mamc wako hao ndo wana mambo ya kimama ...wamejishuku af hawana kitu mbona wengine hawajaona ... Watu nane kwa mtu tatu..nan mwenye akili hapo
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 года назад
Tsg!😁😁😁kweli we boya!nyie maboya!wamejistukia!hivi unadhani kk wanawaogopa hao "WEHU???!!😁😁😁😁😁 nadhani wewe ni mmoja wa hao mchelemchele!mtu mmoja tu p the mc angetosha tu kuwachakaza wote!na wanajua hawawezi battle na kk!ndo maana wanaishia kufyata😁😁
@kabongahamisi4713
@kabongahamisi4713 4 года назад
Sasa huyo mamy baby mbona anashoboka kuwajibia maswali
@faitajogging8155
@faitajogging8155 4 года назад
MWAMBA KAMA MWAMBA 🔥🔥🔥
@jeovangisc7957
@jeovangisc7957 3 года назад
Weusi wanaogopa!!!!
@ramog6132
@ramog6132 3 года назад
Kikosi kaz ninoma
@championgm9311
@championgm9311 4 года назад
Jibu la mjinga kukaa kimya tu
@riffayahmad2021
@riffayahmad2021 4 года назад
WEUSI NI KUNGURU AU MASIZI..... HAMNA KITU HAPO WANYOOONGE.
@glucky2393
@glucky2393 4 года назад
Tunakwenda intranational 😂😂😂😂😂😂😂😂
@williamedward4751
@williamedward4751 4 года назад
Weuc
@mubarakamuba376
@mubarakamuba376 4 года назад
Uyu demu anacheka chekaa ovyoo 😈😈
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 4 года назад
Watu mnahug mabega yote mawili ushambaa 😂
@chaulee20c58
@chaulee20c58 4 года назад
New song Best rapper in Udom. Huyu ndo rapper best chuo kikuu cha dodoma ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GGTqj7DEbBA.html
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 4 года назад
Joh mkali sana
Далее
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
Просмотров 46 млн
ВИРУСНЫЕ ВИДЕО / Бекон 😅
00:31
Просмотров 227 тыс.
Kikosi Kazi - Kazini Official Video (WEUSI DISS)
5:56
Просмотров 444 тыс.
WEUSI - Interlude Nyeusi
4:05
Просмотров 455 тыс.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
Просмотров 46 млн