Тёмный

Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 25/05/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 77 тыс.
50% 1

Joseph Guede, Maxi Nzengeli na Stephane Aziz Ki ndiyo waliotikisa nyavu za Tabora United na kuipa Yanga ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa raundi ay 29 #NBCPremierLeague ukipigwa Benjamin Mkapa Stadium.
Goli alilofunga Aziz Ki dakika ya 90 kwenye mchezo ni goli lake la 18 kwenye ligi msimu huu akizidi kukifukuzia kiatu cha ufungaji bora, akiwa na mechi moja mkononi.

Спорт

Опубликовано:

 

25 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg 2 месяца назад
Ni mara ya kwanza namuona Aziz anafunga Kwa kichwa
@mtorokhalifa5739
@mtorokhalifa5739 2 месяца назад
Mzize kazingua sana kamkosesha AZIZ kİ assist 3 mamae.....All in All yashapita
@sadahamad6158
@sadahamad6158 2 месяца назад
Yanga bingwa 💪💪yanga tamu💛💛💚 yanga rahaa 💃💃💃
@mashekamachage2021
@mashekamachage2021 2 месяца назад
Aisee hii yanga sijui wanagombea nafasi gani maana si kwa kosi hilo
@omarmatata-dc3mv
@omarmatata-dc3mv 2 месяца назад
Mzizeeeeeee😎💛💚
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 месяца назад
Mzize ni striker mzuri sana, anafika kwa wakati kwenye njia za assist anazopewa, pia ana kasi nzuri ya kuwaacha mabeki, tatizo lake ni accuracy kwenye finishing. Hesabu zake zinakuwa mbovu. Hi mechi alikuwa na hat tric, lkn akaishia kutofunga hata goli moja.
@FbiSmart
@FbiSmart 2 месяца назад
True bro😮
@fabiandanielkatikiro1478
@fabiandanielkatikiro1478 2 месяца назад
Kukosa magoli sio kosa ila kukosakoaa zaid ya mara tatu, alafu unakosa kipuuzi tu ni makosa hayo. Clement mzize jirekebishe katika hilo kwakweli. Hii game tulipaswa kupata goli zaidi ya 3 . CLEMEN MZIZE jirekebishe
@shabanintongeka4213
@shabanintongeka4213 2 месяца назад
Walimloga miguu wakajisahau kumloga kichwa
@consolathamlimi7883
@consolathamlimi7883 2 месяца назад
😂😂😂
@hamadfadhil7815
@hamadfadhil7815 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@paulowilliam3319
@paulowilliam3319 2 месяца назад
ni kweli subira mara ya kwanza azizi ki kufunga na kichwa
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 2 месяца назад
Tungeshinda tano ila mzize kazingua sanaa
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg 2 месяца назад
Inamana mwanamke anaye nipenda Mimi bado hajazaliwa kweli 😢
@mashekamachage2021
@mashekamachage2021 2 месяца назад
❤❤❤
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 2 месяца назад
Kwani mzize huangalii marejeoo ya mevhi huwasomi wenzako cjui unapapsra lanini
@fihirishemaadihussein6124
@fihirishemaadihussein6124 2 месяца назад
Balaaa na nusu
@tanzaniabusesupdates5311
@tanzaniabusesupdates5311 2 месяца назад
Kabombe kila ukitangaza guede lazima afunge
@francisletara4316
@francisletara4316 2 месяца назад
Yupo mjanja mmoja anafanana sana namsemaji wa Yanga. Vipi?
@paulokamole-vy9vm
@paulokamole-vy9vm 2 месяца назад
Gede hhh azizi pole
@UlomiIsack
@UlomiIsack 2 месяца назад
Sgoli kama la mamelod hili
@user-bx9bp5dr5g
@user-bx9bp5dr5g 2 месяца назад
Yanga tamuuu
@upepobeka6877
@upepobeka6877 2 месяца назад
Mzinze ni bogasi kweli yn nafasi zote kakosa
@henrickmangililwe9137
@henrickmangililwe9137 2 месяца назад
Hajui kutuliaa
@user-hr7th1ik9w
@user-hr7th1ik9w Месяц назад
Mmh uligoli sikosei kam vil la mamelodi 😮
@DenisiMmarika
@DenisiMmarika 2 месяца назад
Mmmmmh
@Rianahjohaness
@Rianahjohaness 2 месяца назад
Unyama mwingi
@AmosiVicente
@AmosiVicente 14 дней назад
Nihak yao
@user-jt1lc2tt5j
@user-jt1lc2tt5j 2 месяца назад
So kufunga kwa kichwa tu bali hajawai hata kupiga kichwa
Далее
Your bathroom needs this
00:58
Просмотров 13 млн
🔴liveRAYON_SPORTS  VS MUSANZE
Просмотров 593
AGASEKE K'AMAKURU AGEZWEHO YO MU KARERE 26 07 2024
7:06
Players with Their Kids
0:31
Просмотров 18 млн
Футбол - командная игра!
0:51
Просмотров 1,6 млн