Тёмный

Zari awachana wanao mtukana mtandaoni "hamna hela wala furaha, mimi nina pesa na siongei sana" 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 15 дней назад
😂kujisifia una MAISHA bora nitabia ya roho kilicho bora mwisho mwema nyoka alikosa miguu juu ya majigambo sokwe alikosa mkia kwa kuwazomea watu chunga MAISHA mwenyezi mungu alali usingizi
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 15 дней назад
Kafilisika huyo. Alie bora ni yule anaemuabudu mola wake. Akajiandaa siku atakayokutana nae. Haya ni mambo ya kidunia tuu. Allah amuongoe
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy 15 дней назад
Kwani wewe ndio accountant wake? wawapost hao walio bora waachane nae
@emmadora7848
@emmadora7848 15 дней назад
Kuwa huna pesa haina maana ndio unamcha Mola ,unaweza kuwa masikini na Mola humchi kabisa ,
@steveanthon5523
@steveanthon5523 15 дней назад
Kweli kabisaa!​
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 15 дней назад
Tena hela za urithi kama sie mumewe hizi nyodo zote zisingekuwepo
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy 15 дней назад
@user-id8 Wewe huna marehemu wa kumrithi? toka mmeanza kusema urithi imepita miaka 7 hizo pesa zipo tu hadi leo? Tafuteni wengine wa kuwatukana achaneni nae kwa nini yeye?
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 12 дней назад
❤❤❤❤️‍🔥❤️‍🔥🫶🫶🫶❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥🔥ZARI forever ❤❤❤❤❤
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 15 дней назад
Anamjibu lokole kisomi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 15 дней назад
Why does she need to react to them every time?
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 15 дней назад
Sawa😂akifa aende nazo 😅
@TabithaAlfred
@TabithaAlfred 14 дней назад
Zari dada mm nakupenda bure nisaidie mdogo wako mtaj namm nataman kufika ulipo
@kijeshiabdalla6316
@kijeshiabdalla6316 14 дней назад
Nyote hamna pesa, alie na pesa amekaa tulii anawaangalia tu😂
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx 15 дней назад
Safi sana zari ❤❤❤❤
@salomewandya7257
@salomewandya7257 13 дней назад
Hataree 😅😅
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d 14 дней назад
Kakalia kuchamba watu tu kusali aah 😂😂😂 ushungi aaah
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 15 дней назад
Safi
@Maryc2G
@Maryc2G 14 дней назад
It’s doesn’t hurt to be nice Zari. Money is not everything, utaenda kaburini na uboss lady wako?D…… Crezy’s
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 15 дней назад
Kumbe watu wana penda kiki tu kabisa ha kumbuke kifokiko hata mwenye ali bitafuta ali fariki akabihacha duniya ni mapito sote ni wakufa bitabaki bibi zari
@ilmoprince4655
@ilmoprince4655 12 дней назад
Wacha kuringa na Pesa za devil
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 15 дней назад
Hatar sn 🤣🤣🤣
Далее
Alikiba feat Billnass - Fallen Angel (Visualiser)
4:22
МАРИЯ ГОЛУБКИНА О БАБУШКЕ #shorts
00:43