Тёмный

“Mimi sielewi mkisema nchi hii ina amani”-Mbunge BWEGE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 118 тыс.
50% 1

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Busagara maarufu Mbunge BWEGE akiongelea matukio ya Askari Polisi kutuhumiwa kuwakamata na kuwaua baadhi ya watu jimboni kwake.

Опубликовано:

 

8 апр 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 134   
@experiuscyliro5313
@experiuscyliro5313 6 лет назад
Asanteeee.
@alhabibunjuu715
@alhabibunjuu715 6 лет назад
Kama unatokea masoko, singino, pande, kivinje, songa,...like hapa show lv kW mbunge wetu
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 6 лет назад
Nyerere angekuwepo angesemaje...angeonaje ama akipewa nafasi ya kurud Leo atatuonaje......Mungu atulinde watanzania na awape viongozi wetu hekima ya hali ya jaa
@chachajohn6841
@chachajohn6841 6 лет назад
Daah huyu mbunge nmempenda saana kwa kuupasua ukweli
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 лет назад
Safi sana Bwege Kwa kutambua kuwa maaskofu ni watu wa Mungu na maneno Yao ni ya Mungu
@zemayeye7403
@zemayeye7403 4 года назад
😃🤣MIMI nikimuona tu uyu MHESHIMIWA bwege najisika RAHA sana
@ludewayetutv
@ludewayetutv 4 года назад
Very nice leader
@sehemunzuri
@sehemunzuri 6 лет назад
😂😂asee tunacheka kama mazuri.. ebu like twende sawa
@kassimmohammed2175
@kassimmohammed2175 6 лет назад
Allah asimamie amani ya nchi lakini ukweli mwelekeo sio mzuri....allah awe oamoja nasi sote ni ndugu
@fbensony
@fbensony 6 лет назад
Mungu akubariki sana Bwege, your a man
@ndelemwalonde2145
@ndelemwalonde2145 6 лет назад
semeni ukweli tu Hakuna kuogopa kitu,shauli yenu
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 4 года назад
Watu wabara ni wanyama hatumtakini natabia chafu zenu si watu wa Zanzibar msije tuabukiza ukatili wenyu kumwagiana damu hizo tabia zakwenyu metuharibia Zanzibar mnakuja kua watu kila siku mkauane kwenyu kweli mbwa mweusi sana mpe kisu yamuwe mwezake
@emmanuelpaul5704
@emmanuelpaul5704 6 лет назад
Kweli ndo tanzania yetu imefikia hapa a mnakaa mnajisifu kweli jamn
@richmwangoc6037
@richmwangoc6037 6 лет назад
Ni bora mmeliona hata wana ccm maana tukiongea wapinzani tunaambiwa wachochezi , big up mh Bwege kwa kuongea hoja zenye ukweli
@alibakar1489
@alibakar1489 5 лет назад
Ukichunguza Ao waliopigwa wote Ni waislamu
@herefkibus5083
@herefkibus5083 5 лет назад
Hongera kwa ukweli
@mudhakirudauda7933
@mudhakirudauda7933 6 лет назад
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Ipo siku hii dhulma italipwa hapa hapa dunian
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 лет назад
Kama wewe ni mcha Mungu haya maneno lazima yakulize/yakutoe machozi bila kujali we ni mwana ccm, mpinzani au mpagani kisiasa
@ndelemwalonde2145
@ndelemwalonde2145 6 лет назад
jambo linafika mahari linakuwa ukweli mtupu,,mficha maladhi kifo humuumbua.
@ibrahimdavid1088
@ibrahimdavid1088 3 года назад
Ningekuwa rais ningekuteuwa wew kuwa mbunge wew upo vzri
Далее
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Просмотров 732 тыс.