Тёмный

Mbunge Bwege kawasha moto “Mimi nina ushahidi Polisi wameua watu wangu” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Mbunge wa Kilwa kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge Bwege ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 ambapo alilieleza Bunge kuwa ana ushahidi wa Polisi kudaiwa kuua watu bila hatia.

Опубликовано:

 

8 ноя 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 лет назад
Inauma sana japo watu wanaona mh bwege anavyowasilisha wanafikiria hayuko serious
@deusdedithkitaly8337
@deusdedithkitaly8337 3 года назад
Mrudisheni Tena bungeni bwege wetu.
@tggghbhj
@tggghbhj 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I54SM0gPqr0.html
@simbomart6186
@simbomart6186 3 года назад
Huyu jamaa anatrend sana Kenya mtandaoni
@aronmutai9565
@aronmutai9565 3 года назад
Kule kilwaa dhafathali mpee huyu bwege tano tenaa
@tumainimbise5946
@tumainimbise5946 3 года назад
Ni yeye 2020 tena anafaa
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 3 года назад
😄😂😆😀😅😁😃🤣 Sawa sawa akili kazi yake ni kujua uwongo na ukweli 🤣😃😁😅😀😆😂😄🏇🤭
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 года назад
Hahahahaha
@happybatou667
@happybatou667 3 года назад
CCM hamjamtendea haki mheshimiwa bwege plz
@baltazarierro1575
@baltazarierro1575 3 года назад
Yani nami wameniudhi Sana kutomrudisha bwege
@robertcosmas9233
@robertcosmas9233 3 года назад
Daaaah tutamumisi sana mh bwege
@abdallahjosephnfulaa4245
@abdallahjosephnfulaa4245 3 года назад
Yaan we Acha tu.. Loho inaniuma sana yaan
@kimwelshebuge8772
@kimwelshebuge8772 3 года назад
Professor sio lazima
@khamissmlenga4083
@khamissmlenga4083 3 года назад
Hongell xn mbunge walikukose xn
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 3 года назад
Mh Ndugai ww unajua kufurahisha sana daaaaa
@vitalisnyagali2204
@vitalisnyagali2204 5 лет назад
Polisi wa tanzania ni waonevu wa raia wake bwege uko sahihi
@deobundala3888
@deobundala3888 4 года назад
Nihatari xana
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 года назад
Mm narudia kungali hili bunge, kuliko kutizama bunge ra2020,,
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 4 года назад
Polic watanzania wanadhan wataixh mill
@wainainagideon2068
@wainainagideon2068 3 года назад
I just like this guy. He's an activist.
@kyfuchumigroup
@kyfuchumigroup 2 года назад
😂😂😂😂
@allymahamudu9492
@allymahamudu9492 3 года назад
Ujumbe umefika
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 лет назад
Bunge retu nikomed tupu
@abdallasalim6543
@abdallasalim6543 5 лет назад
Udini syo nzuri km mtu unamuhisi muharifu si umkamate umfikishe mahakamani mchunge ikipatikana hatia haukumiwe kulingana na kosa lake ,,lkn mnaua km si udini nn ,,ila mtachemsha ueni waislam wote lkn dini ya uislam itabaki pale pale haitokufa kw cbu ni dini ya kweli
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 лет назад
Hapa hakuna comed sikiliza hoja ameongea nyingi sana jamani labda usikilize upya
@simbomart6186
@simbomart6186 3 года назад
Huyu jamaa anatrend sana Kenya mtandaoni
@abdallahjosephnfulaa4245
@abdallahjosephnfulaa4245 3 года назад
Yuko vizur sana.. wa Tz Tunampenda sana Bwege wetu
Далее
Как пронести Конфеты В ТЮРЬМУ
19:16
вернуть Врискаса 📗 | WICSUR #shorts
00:54
Best exercises to lose weight ! 😱
00:19
Просмотров 10 млн
Cheka na vituko vingine vya Mbunge 'Bwege' Bungeni
16:06
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Просмотров 732 тыс.
Как пронести Конфеты В ТЮРЬМУ
19:16