Тёмный

🔴LIVE: MAKONDA ANAUNGURUMA ARUSHA MUDA HUU, ANAWAFYATUA VIONGOZI BILA HURUMA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

Опубликовано:

 

3 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@FredPaul-fy8wq
@FredPaul-fy8wq 14 дней назад
Baba makonda unachapa kazi nzuri mungu akulinde uixhi miaka mingi Duniani
@user-qi2uv5zr3l
Magufuli alipofariki watu walikata tamaa wakisema hawezi tena kupatikana kiongozi mwingine kama yeye, sasa leo magufuli wa pili huyo hapo kajitokeza, mheshimiwa RC Makonda amevaa kiatu cha magufuli. Kwa kweli Makonda anafanya kazi kwa haki. Mungu tunaomba ulinzi wako juu ya Makonda.
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 14 часов назад
Mungu akubariki kakaangu makonda unaokoa sana wananchi wa arusha mungu amekuweka sababu ya wananch
@joachimgolola62
Piga kazi na Mungu,akulinde.
@leahkabura4271
Nmelia aki ya Mungu😢
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 14 часов назад
Nyoosha arusha nyoosha baba mungu amekuleta kwa ability yetu
@IsayahNgoiva
Makonda safi,,ufisadi itakoma arusha jiji
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 14 часов назад
Happy kakaangu makonda uelewe ndio mana wananchi wanasema rawalpindi ccm ujue wananchi tunateseka hivo na hilo sio arusha tu seem zote Tanzania wananchi hawajui kama ni viongozi wetu wa China ndio wanafanya hayo wanajua ni chama hongera sana makonda waeleweshe wananchi tunauana sis kwa sisi sio chama
@user-ru4wm6bn7y
Mungu akutie nguvu na kukupa afya njema kwa neema zake.Amina.
@dorcasmfaume4796
Tunakuombea ulinzi Mungu aachilie malaika zake walinzi wakuzingire Kila unapokuwa kwa jina la Yesu Kristo
@kimandafukitefu2999
AISEE JAMAA ANAFANYA KAZI SANA UKWELI USEMWE
@JumaAbdallah-gn5qu
🔧🔧🔧🔧🔧spana spanaaa😆😆😆spanaa😄😄😄🔧🔧🔧Piga KAZI Baba
@migombaelinest3500
Mungu akubaliki kaka makondo kwa kila hatua unayopiga.
@lukooaugustino9424
Makonda Mungu akujalie njema ili iendelee kupiga kazi
@esterlaurent9395
Nampenda sana makonda jaman ♥️♥️♥️♥️piga kazi baba watanyoka tu
@hillarydominic1890
Congratulations MAKONDA 🇰🇪
@nicensheka8034
Mungu akulinde ndugu yetu Makonda. Kazi unaiweza sana sana, tungepata wengine wachache tu kama wewe, nchi ingesimama
@ConfusedBarbecue-he1nb
Makonda mungu akulinde naamina hawakupendi kwa kazi unayoifanya
@evidencekangimba1538
Jamaa akimaliza hotuba zake upigwe wimbo wa taifa kwa heshima yake
@user-yj2ki5fd3p
Mungu akutunze Kuna watu wengi wanatesekea kw ajil yawengine . Wantooshe na mafundisho pia
Далее
Good dad 🥰 #demariki
00:17
Просмотров 10 млн