Тёмный

Sakata la Mtoto ALIELAWITIWA Arusha lachukua sura mpya, RC MAKONDA aingilia kati, Mama asimulia... 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

Развлечения

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 23 дня назад
Mungu azidi kukulinda Mh. Makonda.
@EshaSalimAlly
@EshaSalimAlly 22 дня назад
Mh makonda mungu akulinde
@laylayl5166
@laylayl5166 22 дня назад
Mungu akulinde makonda huo mkowa wa Arusha niwatu wenye roho mbaya mnoo hata hofu yamungu hawana kabisaaa pesa kwao ndio wameona zinafutiamaovu yao
@NjuuAugustino
@NjuuAugustino 21 день назад
Mungu tusaidie peke yeti hatuwrzi!!!! Dunia inaeda Kasi sana
@gladnessmunisi3183
@gladnessmunisi3183 20 дней назад
Hayo maneno ya mwisho hapo kwa Mh yamenigusa sanaaa Very wise 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@allyfutto8763
@allyfutto8763 22 дня назад
SubhanaAllah
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 7 дней назад
Bunge la tz liko wapi?kwanini hawapitishi Sheria Kali zidi ya ushoga ndoa za jinsia moja na kusagana kama Uganda wako vizuri.tz inaharibika wanaume tutembee na pampasi! Tz ya Nyerere kweli! haya hayana nafasi ni uchafu uliopitiliza.
@sarafinasinkonde2711
@sarafinasinkonde2711 17 дней назад
Mwangu karawitia lakini kesi imezimwa kimyaa cjui hii serikari yet cjui nifanyaje Nini kinaendelea mtoto amelawiti harafu naishi ma hofu duu inauma jamani usikie.kwtu kesi imezimwa kimyaaaa 😢😢nimeghalamika kila siku natembea natembea hakuna haki Tanzania Ina watanzania wake naumiaaa
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 22 дня назад
Hapo mkamatemi uyo mume anaishi nae atakupeni habari.kwa upande wangu sijui kama mtu anatoka mbali.mtoto hato kuwa na nguvu ya kumwaribu mschana😢😢
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 19 дней назад
Kwani happy ni mahakamani? Nchi hii IMEOZA, INA MAFUNZA Mihimili yote. Hasa mahakama na polisi.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 21 день назад
Walikula hella, police
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 21 день назад
Looooooh
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 23 дня назад
👏👏👏👏👏👏
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 22 дня назад
Tarehe 21 mwezi wa 3 mwaka 2024 ilikuwa cku ya Alhamis siwezi hisahau iyo cku nilipoteza mtu muhimu sana kifo kilimchukuwa iyo cku saa 12 jioni
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp 22 дня назад
Pole sana ni nani uyo mpenz
@halimoabgal5039
@halimoabgal5039 20 дней назад
Pole sana
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 22 дня назад
Utakubali vipi mwanao alawitie,nenda kwenye sheria ikishindikana msomee Albadil huyo mtu awe chizi au afe ngoma iwe droo.
@user-nr6nn8nb9j
@user-nr6nn8nb9j 23 дня назад
Ivi jamani uyu mtt tunaeambiwa alikua anapigwa na bwanaake anaumrigani na huyu bwana anaumrigani???
Далее
Моя Жена Босс!
0:40
Просмотров 9 млн
🗿КОРОЛЬ МЬЮИНГА ИЗ ТТ
0:17
Просмотров 2,8 млн
Покормили бы кошечек?
0:18
Просмотров 4,8 млн