Тёмный

🚨Uchambuzi Wasaffm,Mazito kutoka Yanga,Baleke Kutua weekend hii?,Alikamwe Atangaza balaa linakuja. 

mtanange tv
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 4 дня назад
SIMBA WALIMUACHA TAMBWE AKAWAFANYIA ROHO MBAYA SIMBA MPAKA HAWAKUAMINI
@saidsalum6101
@saidsalum6101 4 дня назад
Baleke nimchezaji kweli hasa
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 дня назад
Hawakumuacha hakuwa wao alikuwa kwa mkopo
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 дня назад
Hapana buana Baleke anaumiza mioyo ya Wana simba
@MusaClement-tw6om
@MusaClement-tw6om 4 дня назад
Simba oyee
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 4 дня назад
Makolo wao wanakula matapishi ya Coast union😂😂
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 4 дня назад
na geita gord
@Kabeya410
@Kabeya410 4 дня назад
😅😅Yaani Yanga kweli nyoko kaondoka mayele tukastrago wafungaji walikua mido watupu sasa kuna mastraika wanne 4 😅mboga moto, ugali moto, na kachumbari moto kwa pili pili akitoka moto anaingia moto hakuna nafuu kwa mabeki watajivunja saana 😅
@user-ge3yd1tx5e
@user-ge3yd1tx5e 4 дня назад
Matapishi wap Kwan mnaumia nn
@josephgalandu128
@josephgalandu128 4 дня назад
Hasira fc endeleeni kufaaa kwa presure😅
@josephgalandu128
@josephgalandu128 4 дня назад
Nauliza ,aliyesema Chama akienda Yanga atakufa,je ameshafika kuzimu??😂😂😂😂
@NillanMjunga-fr5ze
@NillanMjunga-fr5ze 4 дня назад
Kwani baleke ni mchezaji wa simba?
@abdalahsalimu
@abdalahsalimu 4 дня назад
Yani nyie sijui ni wachambuzi gani baleke anasajiliwa yanga halafu pigo litokee simba?
@user-vm5og4np4k
@user-vm5og4np4k 3 дня назад
Achaushamba wewe subilien 5og nyingine sawa
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 4 дня назад
PIGO KWA SIMBA SI WALIMUACHA,?
@mwanangusana
@mwanangusana 4 дня назад
😂😂😂 walikwambia wamemuacha ??? Au tuli wa pressurize wawaache Moses Phiri na Jean Otto's Baleke..... Shida yetu ilikuwa ni Baleke Baleke Baleke Baleke
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 4 дня назад
WINGA WA NINI WAKATI DUBE,CHAMA NI MAWINGA NA BALEKE NAMBA 9
@mwanangusana
@mwanangusana 4 дня назад
Dude ni strike sio natural winger .. chama ni advance playmaker ni inside 10 as Aziz ki na Paccome Zouzoua.... Ila wanaweza shift inside
@kassidpandu866
@kassidpandu866 4 дня назад
Mnaendelea tu kula Matapishi ya simba kila siku na mlishawahi kusema hakuna anaefaa kuchezea timu yenu
@user-fi2gf6ks7h
@user-fi2gf6ks7h 4 дня назад
Ukiwa na kichwa uwe na akili yanga tuliwaza upepo nyie makolo kwinyo mkaingia kwenye mfumo tukawapiga nje ndani Kono la nyani 😂😂😂😂😂😂😂kolo we
@vaxminja9053
@vaxminja9053 4 дня назад
Hivi Baleke alikuwa mchezaji wa Simba? Uwe basi na akili kidogo
@user-mo8pq4pt3r
@user-mo8pq4pt3r 4 дня назад
Ilikua maind gem! Mkajaa kwenye mfumo
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 4 дня назад
Simba alimchukuwa morisoni ,niyonzima ,gadiel Beno je nimatapishi acheni stori za sizitaki mbivu hizi
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 4 дня назад
Young tunachukua Simba ila makolo wao wanachukua Coast union 😂😂😂
Далее