Тёмный
No video :(

Aliyepata Ujauzito Akiwa Shuleni Aeleza Uzoefu Wake | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo 

The Chanzo
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 692
50% 1

Jenerali Ulimwengu anazungumza na Helen Sisya, mwanaharakati wa haki za wanawake na watoto, kuhusiana na suala la mabinti wanaopata ujauzito wakiwa shuleni kuendelea na masomo kwenye shule za umma.
Helen, ambaye uzoefu wake kama binti aliyepata ujauzito akiwa shuleni ulimsukuma kuanzisha Her Education, shirika lisilo la kiserikali linalopigania haki ya kupata elimu kwa watoto, anatoa wito kwa jamii kuipa kipaumbele elimu ya afya ya uzazi kwa watoto.
Mwanaharakati huyo anasema jamii itafaidika zaidi kwa kuacha kumuhukumu binti aliyepata ujauzito akiwa shuleni na kuanza kutimiza wajibu wake wa kumlinda mtoto wa kike.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 4 месяца назад
Ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii. Hongera kwa maono uliyonayo
@huldamichael4445
@huldamichael4445 4 месяца назад
Sidhani kama hongera walikupa kwa kuwa Una mtoto lakini nadhani walikupa hongera ya kuinuka tena na mpk wakakuona chuo kikuu kama wao ambao hawakupata hiyo kadhia.
Далее
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 718 тыс.
Live: Times Network India Health Awards 2024
2:29:09
Просмотров 2,3 тыс.
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 718 тыс.