😂😂😂😂J hajawahi kuwa serious wallah weeeeh hamna lolote afu akitaja Hilo lolote lazima ugonge ili uwe umesaport nyie J Ila bonge la mjengo na la kupanga tu Hilo duh wakishua kweli❤
Yaan nna kaka yangu huyo ni Jackson ila wakamwita Juma mm nachukia alivyo najua Juma ndiyo shida yake sema huyu amejijua amepeleka uzinguzi wake kazini😅..