Тёмный

ASKOFU GWAJIMA AKUMBUSHWA ALIVYOONDOLEWA BUNGENI, AMWAMBIA MPINA “UMEKOSEA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@DaudiOkey-v2x
@DaudiOkey-v2x 2 месяца назад
Uliyasema hayo ya corona ata mm nilikuunga mkono kwa nn wewe unamuhukumu mwenzio ungesubili mda upite tuone kama alio ongea mheshimiwa mpina niya uongo ww ukosei Ila wenzio wanakosea apana jaribu kukaa kimya Kama una hoja
@hellenmarandu1787
@hellenmarandu1787 2 месяца назад
Hekima nzuri asante
@godiegodie1336
@godiegodie1336 2 месяца назад
Kumbe si tena juu ya wananchi bali ni kumlinda mtu na famalia yake😂
@storytownTv
@storytownTv 2 месяца назад
Ili bunge limejaa wahuni watupu
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 месяца назад
Maneno ya khekima....hongera sana mheshimiwa gwajima
@MauBonde
@MauBonde 2 месяца назад
Kitu ninachojiuliza ni kwa nini wabunge wengi wa afrika kama sio baba zao au familia zao matajiri na watu maarufu ndio wamejazana kuwaumiza raia wanyonge....
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 месяца назад
Viva Mpina
@timothsanga3086
@timothsanga3086 2 месяца назад
Huyu nae kafilisika kinoma
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg 2 месяца назад
Mwenye misonge mitatu ndo pekee ataelewa hapa. Wenye D zenu mtupishage
@GasperSteven-ob2pz
@GasperSteven-ob2pz 2 месяца назад
Nipoooo pamojaaaa mpinaaaaaaaaa
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 2 месяца назад
Huyu nae kashakuwa chawa tu... msamaha wa nini.. ningekuwa mimi ndio Mh. Mpina nisingeomba msamaha
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q 2 месяца назад
Alishatapepeta tuko na mpina mtetez wa wanyonge nae gwajma kashakuwa chawaaaaa
@robertphilip385
@robertphilip385 2 месяца назад
Askofu chawa
@awadhally1052
@awadhally1052 2 месяца назад
Bunge la machawa.
@stewardlwimbo3944
@stewardlwimbo3944 2 месяца назад
Watetea maslahi nyie kina gwaji boy
@casiusnjali8514
@casiusnjali8514 2 месяца назад
sioni kama kuna haja ya msamaha hapo
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 месяца назад
Gwajima kwanza umenunua ubunge
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 месяца назад
Mchungaji kaongea kwa akiri sana me naona yupo upande wa Mpina ila . Anamshauri mpina kwamba upo sahihi ila tumia akiri na angalia huo ukweri unaongea ukiwa wapi
@happinessconrad9737
@happinessconrad9737 2 месяца назад
Siasa ovyo
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 2 месяца назад
Swali bashe alitoa wap mamlaka ya kuipa kampuni ya simu na stationry kuagiza sukari? Pili kwann bashe ameandaa kibali kukubwa kuliko gape sugar ya nchii hii? Ata km yalikuwa makadrio kwann yawe makubwa hvyo?
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 2 месяца назад
Machawa wote
@mr.lawimagupa3914
@mr.lawimagupa3914 2 месяца назад
aSKUFYU MBABAISHAJI WW, WATU WA JIMBO LAKO UMESHINDWA KUWAPELEKA ULIKO WAAHIDI UNAKURUPUKA NA VITU VYA HOVYO, MPINA HAJAMPIGA TU KWA SIRI, MTU KAPIGWA HADHARANI NA TUMESIKIA, UNATUMIA BIBLIA KUFANYA UCHAWA WA CHAMA CHAKO
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Huyu hana uchungaji wowote ni wakala wa shetani
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 месяца назад
Siasa ndio hii
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 2 месяца назад
Gwajima apo umezngua .
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 месяца назад
Unaombaje msamaha Wakati umeshahukumiwa. Atumikie tu hukumu yake.
@sitamgeta7565
@sitamgeta7565 2 месяца назад
ANACHOMAANISHA ASKOFU NI KWAMBA MSULUBISHENI MPINA LAKINI UKWELI WAKE UTASIMAMA KAMA YEYE ASKOFU ALIVYOSIMAMA JANGA LA KORONA.
@petrosukums2510
@petrosukums2510 2 месяца назад
Msiseme amen
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 2 месяца назад
Je wewe ulifanyaje kwa Makonda ulishaomba msamaha??si ulimpiga kwa siri?ukimtaja ni mwongo
@BRM2025
@BRM2025 2 месяца назад
Walishapatana mpendwa
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 2 месяца назад
@@BRM2025 Amina lakini Gwajima naye anafahamu kwamba kwa sasa mr mpina naye ana jambo analoamini kwamba ndio la ukweli kulisema kwa sasa kwa faida ya watanzania hivyo sio busara kumpuuza lakini ni sawa maana katiba ya sasa inatubidisha kusifu kwa kila hali na kila mazuri na makosa na wizi kusifu tu maana ukikosoa wewe sio mkazi wa dunia ya Tanzania hata wabunge wanakushangaa itakuwaje kwa wanaopewa nafasi na Raisi?
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 Месяц назад
@@BRM2025 kama walipatana pia wangerudi palepale kwenye vyombo vya habari kuelimisha jamii walio itangazia yale mashambulizi ya kwanza,,nakumbuka mzee makamba alijisahau akasema wazuri hawafi eti hufa wabaya tu kwamba samia hatakufa yeye ni mzuri.. lakini samia alirudi kwenye vyombo alivyotumia makamba samia akarekebisha na jamii tukayaffuta mioyoni.na leo nimelisemea tu kama mfano wa gwajima mchungaji ali mchafua sana makonda sasa kama wamesha patana je na sisi tuliojeruhiwa na gwajima anatuachaje,,.?au mkubwa hakosei anarekebisha juu kwa juu au je yeye .....
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 2 месяца назад
Fact🎉
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 2 месяца назад
NAOGOPA KU-COMENT. Nawaheshimu Sana Wapakwa Mafuta.
@GasperSteven-ob2pz
@GasperSteven-ob2pz 2 месяца назад
Hayaja dhibitishwa kwa hoja 😂😂😂
@amospetro8789
@amospetro8789 2 месяца назад
Hakili kubwa hapo huwezi kuelewa
Далее
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 1,1 млн
НЕВОЗМОЖНЫЙ ЭКСПЕРИМЕНТ
00:39
Просмотров 63 тыс.
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Просмотров 665 тыс.
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 1,1 млн