Тёмный

BEST NASO asimulia kilichotokea SHOW yake na ya DIAMOND zilipogongana siku 1 NJOMBE, ilikuwa kivumbi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

15 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 129   
@jeremiahbilinje
@jeremiahbilinje 10 месяцев назад
Best Naso, toka enzi anamiliki kibanda cha simu karibu na CRDB Musoma, 2009 hiyo. Saluti sana kwake.
@ellymakongo656
@ellymakongo656 11 месяцев назад
Naso mtu poa sana, very humble guy siyo kwa kuongea tu bali hata matendo.
@iam_sami
@iam_sami 11 месяцев назад
Kama unamkubali best naso gonga like hapa tujuane 👍
@paschalgabrie1099
@paschalgabrie1099 11 месяцев назад
Best Nasso, home boy, yupo humble, anaamini katika MUNGU, ni Msanii bora sana...MUNGU amubariki.
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 11 месяцев назад
Nakumbuka kipindi niko kitado cha nne alinipa alikuja home na wakati anaondoka anakinachia perfume yake. Ilikua pouwa saaana yaaani. Maisha yanaenda kasi saana but sio mtu wa kusahau bado, last time 2015 niko musoma msbani kwa broo alinitia moyo saana. Mtu pouwa saaana Nassoro.
@johnmachibya9951
@johnmachibya9951 11 месяцев назад
Huyu mwamba midia nyingi haizimhoji lakini ni bonge la msanii harafu sijui nyota maana nyimbo zake ni nzuri sana
@leahzuu6468
@leahzuu6468 11 месяцев назад
😂😂😂haujagundua tatizo?
@johnmachibya9951
@johnmachibya9951 11 месяцев назад
​@@leahzuu6468Nimegundua tatizo ameshalisema mwenyewe mwishoni mwa mazungumzo kuhusu midia kutozilaum👌
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 11 месяцев назад
Msanii mwenyewe anatakiwa awe mchangamfu ukipoa hâta media hazikufwati
@BigZhumbe
@BigZhumbe 11 месяцев назад
Mganga wake alikufa 😂😂😂
@demungamsenga9486
@demungamsenga9486 11 месяцев назад
Uyo ni kiboko wa musuc
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 11 месяцев назад
#sns forever, nmefurahi sana #skytanzania kuleta huyu mwamba
@mrdramatz4481
@mrdramatz4481 11 месяцев назад
Mwamba Huyu Hapa🔥🔥
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 11 месяцев назад
Sns Mashaalah mmefanya vizur❤❤❤🎤🎵 pia mko juu zaidi
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 11 месяцев назад
Msanii wangu pendwa✌🎤🎤🎤🎤
@msetijr2123
@msetijr2123 11 месяцев назад
The best interview in 2023.
@Nyaburyaofficial217
@Nyaburyaofficial217 11 месяцев назад
Much respect bro naso
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese 10 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Nipeni liké zangu
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 11 месяцев назад
The best Artists Ever
@princejamaalvevotv2525
@princejamaalvevotv2525 11 месяцев назад
Best naso mtu wa kwetu kule mkoa wa mara msoma,tarime handi Riagati
@RilaRichard-hg2sn
@RilaRichard-hg2sn 11 месяцев назад
Uku congo best nasso tuna mupenda sana
@mwanashoogobo1785
@mwanashoogobo1785 11 месяцев назад
Mlete na spark kaka sky sijamskia kitambo 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
@shuzashadyproduction8438
@shuzashadyproduction8438 11 месяцев назад
SKY TUITIE D'JARO ARUNGU PLZ TUPATE INTERVIEW YAKE HAPA SNS KAFANYA MAKUBWA SANA.
@agustinopaulo8416
@agustinopaulo8416 11 месяцев назад
Mwambie naso tunampenda sana
@Eunicemakokha-gc9ss
@Eunicemakokha-gc9ss 5 месяцев назад
Best nazo nampenda bure na nyimbo zake kaka mungu kazidi kukuinua uzidi kwenda. Mbali❤❤❤
@nelsondunia8992
@nelsondunia8992 25 дней назад
Mzee Naso namukubali sana
@abelhilonga1095
@abelhilonga1095 11 месяцев назад
Ana fanana sauti na nay wa mitego kwa haraka nawaza anaeongea ni nay ila big up
@josephfrank4446
@josephfrank4446 10 месяцев назад
Naso
@pierrebigirindavyi4378
@pierrebigirindavyi4378 11 месяцев назад
Best Naso love you bro
@PamelaJonas-dh6lg
@PamelaJonas-dh6lg 10 месяцев назад
❤❤❤❤❤ so much naso
@OfficialBlanco796
@OfficialBlanco796 11 месяцев назад
Big up sana bwana Sky na Best Naso
@abdulabdallh9506
@abdulabdallh9506 11 месяцев назад
Anaswaga kama za Ney wamitego ❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 месяцев назад
Ila huyu jamàa anaonekana Hana roho mbaya,,safi
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 11 месяцев назад
Ndio maana anazid kuwa mdogo hazeeki❤
@BMT2023
@BMT2023 10 месяцев назад
Huku Australia tunaziita Bush Tour unaenda vijijini watu hawajui Kingereza na show zote kama uko tayari serikali inakulipa unazunguka Jangwa from North to South.” Australia.
@ankalmzito254
@ankalmzito254 11 месяцев назад
Mwisho nikimuona naso alikua amenyoa rasta... 🇰🇪🇰🇪
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 11 месяцев назад
Nimekula nae wali maharage saana home huyo, Enzi za Tuma.
@EdsonRichard-tv5cu
@EdsonRichard-tv5cu 2 месяца назад
Nakukubali san besi naso kwasababu huna Ngoma mbaya pamoja San 👊
@asmetkevtz
@asmetkevtz 11 месяцев назад
bena beu & vegas club
@maxmiletz4563
@maxmiletz4563 10 месяцев назад
Kubwa hii bro
@ramadhansagutangu
@ramadhansagutangu 3 месяца назад
Baba nakukubali sanaa
@Moses_DanMos_Officiel
@Moses_DanMos_Officiel 10 месяцев назад
wew ni mwanalimu mzee wangu NASSO
@josepeter8033
@josepeter8033 10 месяцев назад
🙌🙌
@farajastephano6363
@farajastephano6363 10 месяцев назад
Naso ww mwamba nakukubari sana kaka ang ww nimsanii bora sana
@emabm01
@emabm01 11 месяцев назад
Jamaa anajua sana na anangoma kali sana Ila media hazimpi nafasi
@user-ov4gk9gf8b
@user-ov4gk9gf8b 11 месяцев назад
Noma
@augustomariosama1542
@augustomariosama1542 10 месяцев назад
Jamaa napenda nyimbo zake sana
@TALLUBOY
@TALLUBOY 11 месяцев назад
Broh kiswahili chako Kipo good Kabisa kaka Na pia nimejifunza sana Bonge la interview kaka
@zaudolutambi9895
@zaudolutambi9895 11 месяцев назад
Nmekuelewa sana kaka best
@katoro3733
@katoro3733 11 месяцев назад
Ziligonganaje wakat sisi wenye hatuna hela ndo msanii wetu make kiingilio chake ni rafiki kwa mtanzania mwenye kipato chachini unamuona best nasso kwa kiingilio Cha buku buku v,i,p buku mbili 2 utamuona msanii gani kwa kiingilio hicho wasanii wengi tunawaona mitandaoni hatuwaoni live 😂😂😂😂 bigap best nasso
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy 11 месяцев назад
Best nasso napenda Sana nyimbo zako uwa hazichuji kabisa
@user-xg7ph7bz7p
@user-xg7ph7bz7p 10 месяцев назад
@deejayvlctz
@deejayvlctz 10 месяцев назад
R.I.P CR MABADILIKO😢 alikuwa anamkubali sana nasoo
@eliariro5514
@eliariro5514 11 месяцев назад
Wototo wa Musoma town.
@user-ru7np8ji9p
@user-ru7np8ji9p 10 месяцев назад
Kaka uwo mwonekano wako sas hivi ndo wenyewe ❤❤❤
@patriciatumain172
@patriciatumain172 11 месяцев назад
❤❤❤❤huyu mwambaaaah #bestnaso atariiih sanaaaah anaujua mziki ila sky umeuwa vituoving vya media avifanyi interview ila today mimi kama Mimi nime #enjoy
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 11 месяцев назад
Nice interview ❤❤
@divadaqueen6558
@divadaqueen6558 9 месяцев назад
Namkubali sana huyujama❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 11 месяцев назад
👑🔥
@fabicshofficial
@fabicshofficial 11 месяцев назад
Kali sana
@user-wm9oi5fw3r
@user-wm9oi5fw3r 11 месяцев назад
Nimependa stor best naso Yuko vzuri
@legawayz6093
@legawayz6093 10 месяцев назад
na ukitembea vijijini ndani ndani nyimbo za watu wengi ktk simu zao ni best naso na 20% percent asilimia mia
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 11 месяцев назад
Best interview,
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy 11 месяцев назад
Best nasso ni 🔥🔥🔥🔥
@dianasago9214
@dianasago9214 10 месяцев назад
Msanii wangu kabisa bora huyu bonge la msanii
@MAJILTV
@MAJILTV 11 месяцев назад
Mwafanana sana
@paulchalres5221
@paulchalres5221 10 месяцев назад
Daaaah hapo naaso umeongea point wew mtu wa watu nakuona mbal sana bro
@DM_15
@DM_15 11 месяцев назад
Jamaa hajawai toa wimbo nikaacha kuusikioliza , alaf kitaa tunamuelewasana. Niki msikia tuu namkumbuka na Djaro warungu
@Shabani-xr2ec
@Shabani-xr2ec 10 месяцев назад
Shabiki namba 1 wa naso
@jacksonmars7894
@jacksonmars7894 10 месяцев назад
Naso Bubemba Kwao
@Nyamataga22
@Nyamataga22 6 месяцев назад
Hapo ni wapi au n pemba?
@josemtataofficial
@josemtataofficial 11 месяцев назад
Best Naso Mwamba anaandika sana huyu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 11 месяцев назад
ile kishenz
@JosephJackson-jv1so
@JosephJackson-jv1so 11 месяцев назад
Mzee wa chaka to chaka . Namba moja hukai ..ila we ni msanii Mkali sana.
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz 9 месяцев назад
Jamaa anajua sana mziki ila maringo mengi apunguze
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 11 месяцев назад
Tunasubiri hiyo #Top4Storry
@samwelmakanzajr1194
@samwelmakanzajr1194 10 месяцев назад
Nakumbuka enzi hzo alikuja katoro pindi hcho anajitafuta saluti sana
@miyongatz7283
@miyongatz7283 11 месяцев назад
msanii wangu pendwa wa siku zote
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 месяцев назад
Huyu mwamba sauti inafanana na ney wamitego
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 10 месяцев назад
Huyu Jamaa anajulikana sana kwa mashabiki lakn sio kweny media
@rasvegas8991
@rasvegas8991 11 месяцев назад
Shooo za laki mbilii
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 11 месяцев назад
Laki 2 kamwwmbie maako weer unaweza fes maji weer
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 11 месяцев назад
Huyu ni sawa na rambo wa bongo fleva😅 mnoma sana
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 11 месяцев назад
Huyu jamaa anajua biashara yake ya mziki lakini anaijua fedha pia na burgain yuko fresh
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 11 месяцев назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
@user-xg7ph7bz7p
@user-xg7ph7bz7p 10 месяцев назад
Nassoro salum
@allymbondo111
@allymbondo111 11 месяцев назад
Brother Sky, mimi binafsi nimeanza kumsikia jamaa tangu 2010 na recently naishi Musoma huku...huku Mara huyu jamaa ndo Diamond wao asee, heshima kwake
@anthonygenge4366
@anthonygenge4366 10 месяцев назад
Et ndiyo Dimondi wao,
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 11 месяцев назад
Enzi analetwa na mzee Genya ndie promota wake wa show. Sijuy walikorogana wapi hahaaa…
@njoroboihastla
@njoroboihastla 11 месяцев назад
Inaonekana unamfaham sana😁
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 11 месяцев назад
@@njoroboihastla sio kihivyo. Zamani saana mambo yamebadilika now. Mwaka wa 8 sasa sijaonana nae. Siwezi sema namfaham tena.
@mrsinia3064
@mrsinia3064 11 месяцев назад
SNS mnafaa kupokea maua yenu tafadhar maana mumefany kitu kikubwa sana kumleta Best nasso kweny kipaza chenu honger sana kwakwer make media nying zinamchukulia poa wakat yey ndie mwanzilishi wa Bongo fleva
@jkbofficial6905
@jkbofficial6905 10 месяцев назад
Nakumbuka sano Kuna kipindi alikujaga Tabora kaliua naso alijaza ukumbi kaliua , hadi wakazuiya kutoza Hela sababu ya ukumbi kujaa aisee ndo nikaona naso mikowani anapedwa acha tu na ukumbi ni mkubwa sio powa
@FadhiliKingwama-lk2cq
@FadhiliKingwama-lk2cq 11 месяцев назад
Dah nimeamua kuongeza bando kwaajili ya hii interview
@mophatymsanii7240
@mophatymsanii7240 10 месяцев назад
Kipaji hiko naso
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 10 месяцев назад
Huyu jamaa mi uwa namkubali sana sema vyombo vyote vya habari uwa wanamtenga sana ila tumshukuru sana Dijalo wa Rungu Tena Dijalo tumeish nyumba moja Mombasa ukonga ni mtu poa sana
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 11 месяцев назад
Huyu msanii ni Bora mno havumi ila mziki wake mmzuri
@Nyamataga22
@Nyamataga22 6 месяцев назад
Kama kuna msanii tunamkubali sisi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 basi ni nasoo, huyu mwamba anafanya tunawainamia majirani kipaji kajaliwa Mungu awe nae
@davidpaschal778
@davidpaschal778 11 месяцев назад
We sky mbn unakubali uongo na unajua mod alicha tolew kitbo
@kingsanya6860
@kingsanya6860 11 месяцев назад
👍👍👍👍🫡
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 11 месяцев назад
narudi kijijini mdo uyu kaka daaa nilimtafuta sana RU-vid ulikuwa wapi kuojiwa kwenye media 🤷🏾‍♂️😞🤔
@ramadhansagutangu
@ramadhansagutangu 3 месяца назад
Kwanza wasani wachaka tuchaka wamefanya watu wavijijini wawekezee kwenye vijiji vyao
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 11 месяцев назад
Huyu jama anaongea kama yule mubongo aliye imba na kenye west
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy 11 месяцев назад
Kayombombo Yu wapi besti naso' siku hizi sisikii ukimtaja kwenye nyimbo zako
@CleverMjaggah-uv8on
@CleverMjaggah-uv8on 4 месяца назад
Kayombo keshafariki
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 11 месяцев назад
Kaka nywele uliifadhi wapi!?
@mohamedmwinjuma
@mohamedmwinjuma 11 месяцев назад
Best nasso me shabiki yako namba moja
@leahzuu6468
@leahzuu6468 11 месяцев назад
Acha uhongooo😂😂
@issamatola2031
@issamatola2031 11 месяцев назад
huyo akaimbe huk kw wachoma mkaaaa
@michaelmisana650
@michaelmisana650 10 месяцев назад
Bezi napafaham sana pako vizuli
@majutoeliasi
@majutoeliasi 11 месяцев назад
Uyu ndo msani piga kazi sio ware machawa h baba mama Revo shoo mpaka wamsubiri mond
@shukurukitamuka6829
@shukurukitamuka6829 11 месяцев назад
Kwanini kondeboy ajaalikwa sns tunamutaka
@elianabarnaba1640
@elianabarnaba1640 11 месяцев назад
Kwao tang wilaya ya korogwa kata ya mkomaz kijijicha manga kibaon huyo ananiuz cn anakataa nyumban et mwanz hat hakuwah kukufik fal huyo
@veryboyplatnumz3506
@veryboyplatnumz3506 11 месяцев назад
😂😂😂 kwaiyo ata na sasa anaishi mwanza?
@victaboy7273
@victaboy7273 11 месяцев назад
Kwa hyo nini kinakukera? Mtu amesema kwao mala, wewe unapania kwao Tanga
@zengeummu9575
@zengeummu9575 11 месяцев назад
Hahahaha na umesoma nae shule moja😅😅😅😅😅😅
@jut1161
@jut1161 11 месяцев назад
Sio kweli kasema anaishi mwanza lakini kasema kwao ni mara
@amanimanase8798
@amanimanase8798 11 месяцев назад
Fatilia interview vizr acha hasira mbwa ww
@elianabarnaba1640
@elianabarnaba1640 11 месяцев назад
Acha uongo ww bestnado kwenu sio mwanz kwao tang huyo sky asikudangany namjua hd kwao
@victaboy7273
@victaboy7273 11 месяцев назад
Kwa hiyo?
@svt3
@svt3 11 месяцев назад
Hajasema kwao mwanza ila ameweka makazi yake mwanza sikiliza usirupuke ku comment
@kidoesther
@kidoesther 11 месяцев назад
Umeulizwa?
@boazmisango9797
@boazmisango9797 11 месяцев назад
Musoma
@MohamedJumbe-xn5sx
@MohamedJumbe-xn5sx 11 месяцев назад
Unajua kusoma na kusikia sikiliza vyema usoropokwe wew
Далее
Drive through the color🚗❓
00:13
Просмотров 5 млн
best naso ndani ya HERITAGE FULL
27:41
Просмотров 6 тыс.