Тёмный

BILA UOGA LUTENI WA JESHI NA WENZAKE WALIVYOMKAMATA MTOROSHA MADINI ASUBUHI MERERANI "TII MAMLAKA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 209 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@Baba-JJ
@Baba-JJ Год назад
Dotto is one of the few smartest guys in the Gov. Hongera sana. Mining sector has no complains though challenges are there.
@maswimarwa1403
@maswimarwa1403 Год назад
Kazi nzuri inayofanywa jeshi wananchi wa tanzania
@dannyhaibey1294
@dannyhaibey1294 Год назад
Clament kazi nzuri kamada🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Год назад
Kwa Mawazili Wangu..wa kwanza Bashee, wa Pili Dotto na Uweso, hawa jamaa viongozi wamenyook. Kazi zinafanyika wanawizara ngumu sana.
@topfootballtrends6517
@topfootballtrends6517 Год назад
Tunakamata Wachimbaji wadogo Ila Viongozi wakubwa ndo Wezi wakubwa nchini wanaiba Mchana na Tena Hawakamatwii kwa hyo TUTENDE HAKI KWA WOTE
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Unamaanisha wadogo wasikamatwe au na wakubwa wakamatwe mkuu
@romanilyimo
@romanilyimo Год назад
@@hijazhija316 wacha kujitoa ufaham kwamba ujamuelewa wapigaji ni wote lkn wakubwa awakamatwi kama wadogo ww
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
​@@romanilyimoanajizima data kwanza mi nikiona maskin kaaibia serekali nafurahi
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Doto biteko anaupiga mwingi.hongera kwa kazi nzuri.
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Haayaa kakamateni na waliouza bandari yetu
@husseinally5550
@husseinally5550 Год назад
Imeuzwa na nani.acha u...
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Год назад
Ndiyo kazi mnazo ziweza Ila siyo kuvunja mikataba isiyo eleweka
@zezeshort
@zezeshort Год назад
4:18 kweli kabisa hawa wanajesh wa hovyo kabisa wezi wengine wanataka kutu uza pamoja na bandari zetu
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 9 месяцев назад
Hii nchi balaa wengine wanaiba madini wengine wanaiba mabilioni ya Kodi zetu yaani hatari.Nchi yetu hatuna viongozi wazalendo hata kidogo.Vyeo na nafasi za Kazi wanapeana kifamilia yaani shangazi mjomba baba mama watoto binamu vitukuu mpaka vilembwe.Ukiwa na itikadi tofauti na chama kilichopo madarakani na unaelimu nzuri ajira hupati.Ila ukiwa kwenye chama tawala kesho mkuu wa wilaya mara mkuu wa mkoa nk
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
Waliouza Bandari mnawakamata lini?. Mmekuwa wanafiki, mnachuja inzi huku mkimeza ngamia.
@khadhiriramadhan5984
@khadhiriramadhan5984 Год назад
😅😅😅😅😅
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v Год назад
Mwanajeshi huyo kweli ?? Mmmh unaongelea mchimbaji mdogo huku nchi inauzwa bandari zote...
@mauamkamba4906
@mauamkamba4906 Год назад
Smartest Minister, huyu apewe uwaziri mkuu aidha yeye au bashe
@user-yx5wf4wt6f
@user-yx5wf4wt6f Год назад
Asante Mzalendo wetu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Kaokoeni na hiyo bandari yetu acheni kumnyenyekea samia
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Mwambie aliyesaini mkataba
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
@@TM.Sullusi Heh...!!!
@user-tt8lm3fe8s
@user-tt8lm3fe8s Год назад
Mungu akirinde Sana Kamanda
@dismasngowi6285
@dismasngowi6285 Год назад
Walioiba hela kulingana na ripoti ya CAG bado wapo mtaani wanakula shushu. Tanzania yetu sote jaman😢😢
@ismailchongera9812
@ismailchongera9812 Год назад
Kwel kabisa
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
Wadogo wakiiba maneno kibao na macamera juu.... Ripoti ya CAG mpk leo kimya
@aliasgarhussein1157
@aliasgarhussein1157 9 месяцев назад
hao wamepatikana leo tu kwa bahati yao mbaya lakni hayo madini kila siku zinatoroshwa tu .. kakamtwa moja lkni kuna mia wapo bado huko ..
@paulmanda801
@paulmanda801 Год назад
Sasa hatutaki na bandari yetu iuzwe kwa waarabu wa mama samia hatutakubali daima
@michaelnjau741
@michaelnjau741 Год назад
He is smart. Kongole kwako mh. Waziri
@josephk90
@josephk90 Год назад
Millardayo siyo UOGA ni WOGA.
@williamsville3493
@williamsville3493 Год назад
Mbona mnakamata wadogo wadogo wakati kuna mijambazi sugu mingi tu
@FadhilyShammy-qq4uy
@FadhilyShammy-qq4uy Год назад
Wachingaji wadogo ndio wanaoteseka huku wakuu wakila bata
@boneyme9433
@boneyme9433 Год назад
Fantastic
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Год назад
Acha wavushe madini kabla hawaja uza kama bandari.
@user-hb1jj5iq2n
@user-hb1jj5iq2n Год назад
Jeshi ra wananchi halijawahi kuferi😎😎😎
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Год назад
Wamesha piga kibunda wametosheka hapa bongo kuna mtu ambaye ataki Pesa aise ..🤕🤕
@naslee1010
@naslee1010 Год назад
Haya sawa tuna taka bandari yetu iwe chini ya serikali ya Tanzania kwa ajili ya watanzania.
@kulwaheadmaster1480
@kulwaheadmaster1480 Год назад
Tumepiga wote nakubali nemes
@marley42
@marley42 Год назад
JWTZ 🔥
@MathiasMusobi-ob9cn
@MathiasMusobi-ob9cn Год назад
Asante kamanda
@andrewemanuel2213
@andrewemanuel2213 Год назад
Mama jamani naomba tunawo po waleta watoto wetu jkt
@hanschuma7734
@hanschuma7734 Год назад
Hahahah bongo bhana kipindi at mtu mmoja hahahah achanicheke tena bongo usindiki uko mwingi sana.....swali kwahuyu jamaa inamana umemuona huyo tuu pekeake uonevu huo kwasababu tu huyo jamaa hayuko katika team yenu em achen kutufanya we are stupid.....
@zitongwang6278
@zitongwang6278 Год назад
Ilishatangazwa kuwa Kenya walipewa ndege na soko la dunia kwa kuuza tanzanite zaidi ndani ya huo mwaka, waziri tafuta TAARIFA .
@MeddyClever
@MeddyClever Год назад
Weka Link ya hiyo taarifa wachana na story za kahawa mjomba 🤣🤣🤣
@isdorynyoni9461
@isdorynyoni9461 Год назад
Mwaka upi
@peterkanshwi6040
@peterkanshwi6040 Год назад
Hii inchi vichwa vingi vimevulugwa
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Год назад
WASENGE
@pidasonnestory
@pidasonnestory Год назад
Ayo tv mkataba wa bandari hauwauhusu eti
@EnickoAlfredy-di7oe
@EnickoAlfredy-di7oe Год назад
Jitahidini maana hii nchi dah
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Год назад
ongea kikamanda bx mbona unaongea kwauoga au.huyo mtuhumiwa mmemuonea ndio mana hujiamini mzee
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 Год назад
Mbona mtuhumiwa aonekani uyo ni fisadi apewe kesi yaujumu uchumi
@user-ns8hw6fh1z
@user-ns8hw6fh1z Год назад
Simba Hanga
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 Год назад
Et mwanajesh kwenye siasa
@machinefannatic99
@machinefannatic99 Год назад
wanakamata kipindi cha ziara tu.
@reginaedward4883
@reginaedward4883 Год назад
Tanzanian army doing good job
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Год назад
Hapo mawaziri ndio wezi
@elirehemakimaroni7130
@elirehemakimaroni7130 Год назад
Hawa wanajua wajibu wao
@user-jn5kq9ce6y
@user-jn5kq9ce6y Год назад
Mimi naomba kiuliza ivi nafasi za kujiunga na jkt huwa zinatangazwa kila mwaka naombeni nisaidieni jaman
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
Ndiyo Kila mwaka
@user-jn5kq9ce6y
@user-jn5kq9ce6y Год назад
Ahsante ndugu kwa kunipa jibu maana wengine wangenitukana na je. ..Ko kila mwaka zinatoka na pengine labda kuna mwezi maharum kua zinatoka mwezi fulani ndugu yangu
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
@@user-jn5kq9ce6y mwanzo WA mwaka mara nyingi mwaka huu zimetoka mwezi wa 5
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Год назад
Mwanajeshi anaonekana kwa sura ni mpole mstaarabu
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Год назад
Kamchokoz uonee
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Год назад
@@julianaswai7846 c mpaka achokozwe ila usipomchokoza mnaenda sawa
@meryerick6053
@meryerick6053 Год назад
Walioiba Mabilioni mbona hamjawakamata acheni uongo kz za maana zinawaahinda mnaishia kukamata walalahoi
@thehunter5920
@thehunter5920 Год назад
Mbona hujaomba namba?
@khadhiriramadhan5984
@khadhiriramadhan5984 Год назад
jamaaa kashindwa kutoa maokoto wamemdaka😮😮
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Год назад
Kamanda nipe namba yako.huo upole ni wa familia yetu
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 Год назад
911 nipigie mwaya mpole mwenzangu
@jumakivuma5247
@jumakivuma5247 Год назад
hawana jpya
@andrewemanuel2213
@andrewemanuel2213 Год назад
Jaman tunapo leta watoto wetu jkt ukiambiwa mtoto ni mgonjwa bac uamini mxiwapatie mazoezi magumu jaman uxiombe ikutokee jaman mtoto anaenda jkt analudi maiti inaumaaa xana
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 Год назад
Hilo sio jeshi labda shirika la mikonge morogoro
@elysetv1107
@elysetv1107 Год назад
Ebooo
@sharifunyengedi6322
@sharifunyengedi6322 Год назад
Watoto wenu wanaficha ugonjwa wanataka ajira jeshini ......wagonjwa wanaojisema wanatengwa kabisa
@ibrahimzabron4619
@ibrahimzabron4619 Год назад
Waziri makini sana huyu
@TANZAFORUM
@TANZAFORUM Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-lZWw69nXKs4.html WAZANZIBARI WAROPOKWA SAKATA LA BANDARI
Далее
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Просмотров 778 тыс.