Тёмный
No video :(

BREAKING!! Msigwa wa CHADEMA ahamia CCM na kupokelewa na Rais SAMIA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Месяц назад
2025 iko karibu pia kuna cheo amehaidiwa huyu mtasikia uteuzi hivi karibuni nimekaa palee nasubiri
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz Месяц назад
Congratulations mr msigwa
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Месяц назад
Duh, kazi ipo
@monicachacha455
@monicachacha455 Месяц назад
mamaaaaaa
@menelus911mene5
@menelus911mene5 Месяц назад
AMAKWELI CCM BABA LAO CCM MAMA YAO KARIBU CCM NA UTULETEE WENGINE PIA UBUNGE 25 UTAPATA CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEE ❤
@user-hs6vx4fp8v
@user-hs6vx4fp8v Месяц назад
Bando mjesema ccm mgesema lisu baba wa siasa nigelia
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Месяц назад
Mchungaji, Dah wa Afrika sisi ata tusomeje atuwezi kutoka kwenye asili ubinafsi unatutesa sana sana
@user-eh5xn9zm1g
@user-eh5xn9zm1g Месяц назад
Kwenye inchihii tujitahidi kumwomba mungu na nafanyakazi vizuri ilifamilia zetu zisikose chakula, ila ishu ya siasa niheri uchukue biblia uendeleee kusoma, ilisikuya mwisho ukafrahi pamoja na mungu mbinguni
@user-rd2no1sm2u
@user-rd2no1sm2u Месяц назад
Mlete msigwa
@ZahoroIdrissa-s6k
@ZahoroIdrissa-s6k Месяц назад
Duh!!! Tunasafar ndefu saana pole saana mbowe pole chadema bt let us keep going
@mochemba
@mochemba Месяц назад
Msigwa karibuni Sana chama cha mapinduzi, Nimefurahi kukuona. Kidumu cha mapinduzi
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 Месяц назад
Baada ya kukosa UENYEKITI wa Kanda kwa Sugu akaamua kuachana na chama Cha Mbowe!!!!!
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Месяц назад
Hapa duniani tumwabudu mwenyezi Mungu TU na kumwamini yeye
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam Месяц назад
😂😂😂yaani nimesubilia Hadi nikuone ndio nimekoment nyie Hawa wanasiasa usije waamini nawambia
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Месяц назад
Alikosa ubunge hela hana
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Месяц назад
Hatar sana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Месяц назад
Mmmh kaz ipo
@Japhary-sx3je
@Japhary-sx3je Месяц назад
Uyu wa nini
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Месяц назад
CHADEMA NI KUBWA KULIKO MSIGWA!
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in Месяц назад
Makonda alimwaambia msigwa njooo ccm ujengewe kanisa,makonda namkubali kabisa safi saana ccm ,mmechukuwa chuma hicho safi
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
😂
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
HAPA UCHUNGAJI WAKE NA UTU WAKE UMENUNULIWA KWA VIPANDE VYA FEDHA A 2:49
@user-wh2mm1eq2x
@user-wh2mm1eq2x Месяц назад
Huu ni usajili dilisha kubwa au?😂😂😂
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Месяц назад
Alafu akina mdee oteeee wataingia ccm kwa jina la kumuunga mkono mama mwenzao
@LatiphaRamadhan
@LatiphaRamadhan Месяц назад
Kalibu home
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Месяц назад
Si wahehe msituamini sana dakika mbili mbele😅😅😅
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Месяц назад
wasaliti wana wanaonekana hata lwa maneno yaoo
@user-rd2no1sm2u
@user-rd2no1sm2u Месяц назад
😂
@user-hc3ms3gh3o
@user-hc3ms3gh3o Месяц назад
Viongoz wanjaa wameenda kutafuta uongoz
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Месяц назад
Siasa ni piga nikupige
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Месяц назад
Msigwa Mchungaji feki ndo maana unatapika unayala tena
@StevenMtambo
@StevenMtambo Месяц назад
Tecniki imekubari tunasema ccm tutawagusa sehem hamjawahi kuguswa
@JosephKembe-ee6bd
@JosephKembe-ee6bd Месяц назад
Hatuna pengo nyasi Moja hayivujishi nyumba
Далее
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00