Тёмный
No video :(

MSIGWA ATAKA WAGOMBEA WAWILI KITI CHA MBOWE, HAKUNA KUPITA BILA KUPINGWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 2 месяца назад
Tukiwaambia chama Cha chadema ni chama Cha ukabila hamkuelew mbowe hawez kukubali kuachia uenyekiti
@erickmsigala138
@erickmsigala138 Месяц назад
Utakuwa na govi wewe siyo bure!
@hussein8200
@hussein8200 2 месяца назад
Haifai kukaa na jambo moyoni haiyakuwa linakuathiri ni veme kutema nyongo kama alivyofanya Mch. PETER MSIGWA. Congrats sana big brother kwa kusema ukweli. Hiyo ndiyo CHADEMA ilivyo kwa wale wasio ifahamu vizuri.
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 2 месяца назад
Daaah, TZ hatuna upinzani, shida tu , ndiyo maana Lissu naye ana kauli za kitoto toto tu, Ukiutaka Urais angalau uwe na kauli za staha , hivi mtanzania gani mwenye nia njema na nchi hii atampigia kura za urais mtu kama Lissu
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 2 месяца назад
Kama kauri za Lisu ni kitoto kwanini mnakataa Tume huru na Katiba Mpya jalibuni kuruhusu tume huru mapate majibu yenu
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 месяца назад
Jengeni chama kwanza ​@@KamwandaNzowa-eo4ur
@chescokagali5962
@chescokagali5962 2 месяца назад
Utofauti uliouona hapo ni upi maana hoja ya Msigwa imenyooka au hampendi kisikia kukosoa kitu kibaya Ili kiboreshwe
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 2 месяца назад
Sisi tutampigia maana ametakakuliwa kwamaslai yanchi nawananchi
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv 2 месяца назад
Katiba mpya
@lucasgraduce1066
@lucasgraduce1066 2 месяца назад
That's great pastor! It signifies maturity in what you believe in! You've my total support bro!
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 2 месяца назад
Msigwa atakua amehongwa na CCM akivuruge chama kama akina Mdee, manake kwa namna hii Chadema watawezaje kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya wakaeleweka 😂😂
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад
CHADEMA HAKUNA DEMOCRACY KUNA UDINI TU NA UKANDA CHAMA CHA WAHUNI WENYE NJAA
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 месяца назад
Ninachoweza KUSEMA NI chadema NI lazima cha democratisia
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад
@@thomaskiponda6079 NEXT VICTIM LISU 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa 2 месяца назад
Mbowe ndo anaivuruga chadema jitambue ww uwe na akili
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад
@@RenatusMatungwa WOTE NI WAHUNI NA WADINI KUANZIA DIWANI MPAKA MWENYEKITI 🤧🤧🤧🤧🤧
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 месяца назад
Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu wa chadema, akifa anataka amrithishe mwanae chadema ni chama cha wachaga chama cha kifalme pumbuvu chadema
@shivobs4485
@shivobs4485 2 месяца назад
CCM ni chama cha nani mzee
@Ryanzabron
@Ryanzabron 2 месяца назад
@@shivobs4485 CCm kila mtu ni kiongozi ndo maana unaona hakujawahi kuwa na mwenyekiti mmoja.
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 месяца назад
ILA MSIGWA UKO SAWA SANA MABADILIKO YANATAKIWA KUANZIA NDAN YA CHAMA
@neemanziku5403
@neemanziku5403 26 дней назад
Mroho wa madaraka mbona hata ww unang,ang,ania madaraka, kumbe chadema unaipenda itakuuma sana ss tupo tena tupogo chadema
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 2 месяца назад
Msigwa akajifunze Kwa Mh Zitto kabwe kilichompata na anachokiyaka atakipata muda si mrefuuj
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 Месяц назад
SASA UPO CCM, HAYO SASA KAZUNGUMZE HUKO, UCJEGEUZWA MPIGA DEBE BAADA YA KULISHWA BAGIAAA, hakika umepotea kama mshumaa, CCM kijan na CCM mpauko, Utakatwa MKIA kama MWENDA zake alivyosema, WAKATI UTAZUNGUMZA
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 месяца назад
Msigwa upo sawa
@frankchaula6840
@frankchaula6840 2 месяца назад
Umechoka brother
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 месяца назад
Napongeza sana lissu na mbowe wafanye mdahalo😊
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 месяца назад
CHADEMA hakuna kitu rufaa, akina Mhe. Halima Mdee wamekata rufaa inayosubiri mkutano Mkuu wa chama lakini bila haya wala kuheshimu mnawatangaza kama ni watu hawana chama hali mkijuwa rufaa yao ipo mezani. Hebu naomba HAKI itendeke!
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Месяц назад
Watanzania wengi sijui tunashida gani,kuna points za maana sana Msigwa anaziongea,kwa mwana chadema haswaa (anaetamani chama kipate uongozi wa taifa) angeguswa moyoni kabisa.Cha ajabu watu wanapondea tu utadhani hakuna lolote la maana hapo,sasa hiyo itakusaidia wewe wala siyo chama.vinginevyo mnaeponda kila alicho ongea msigwa muwe Mamruki.
@OS-pf6op
@OS-pf6op 2 месяца назад
Yes uenyekiti wawe wawili!
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 2 месяца назад
Hapo hamjapewa inchi na mkipewa je?
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 месяца назад
Chadema ukitaka kuonekana umenunuliwa ww gusa link ya mwenyekiti si unamsikia safari hii ngazi taifa hakuna cha kupita bila kupingwa ndo mgogoro huo timu Lissu na Timu mbowe
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 месяца назад
😂😂😂... Richardiiiiiiiiiiiiiii Nimecheka balaa Eti gusa link ya mwenyekiti ndio utajua... Hakika ukigusa link ya mwenyekiti ndio utajua chadema ni chama au genge la wahuni 😂 Yaliyomkuta Chacha Wangwe na Tundu Lisu yatamkuta na Msigwa
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 месяца назад
Chadema yangu mnanikatisha tamaa jaman mmeaza kulumbana Tena jaman daaah
@user-eg8ri1fy4h
@user-eg8ri1fy4h 2 месяца назад
Mahali penye njaa hakunaga umoja 😮😮😅😅
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 2 месяца назад
Tofautisha malumbano na kutetea haki pale mtu anapoona hajatendewa haki ana ana haki ya kutafuta haki yake na sio malumbano, kwani chadema Kuna wa malakini hakuna wanadamu kwamba hakuna mahali wanaweza kukosea? Kuna chama gani ambacho Kiko perfect kwa kila kitu, ivi Kuna chama kilicho na mikawanyiko kuliko ccm? Kwanini mkisikia jambo fulani tu kwa chadema kunaanza maneno, hayo ni kawaida na kila mtu ana haki ya kuongea pale anapoona Kuna jambo halijaenda sawa kwa upande wake na sio mbaya na ndio semocrasia yenyewe
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 2 месяца назад
Kwa ili mbowe kachemka na watu wake tunamkalibisha msigwa kwenye chama lao ccm👍👍👍👍
@user-si5rl7kc6c
@user-si5rl7kc6c 2 месяца назад
Mitifuano IPO mchungaji anaonesha hasira Kwa mwenykiti wake kisa kaporwa tonge mdomoni
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 месяца назад
Lakini si ndio demokrasia?
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 месяца назад
Lisu alivyosema ndan ya chama kuna rushwa mkakataa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 месяца назад
😂😂😂 HAPO MMEWAPA VIRUNGU CCM VYA KUWAPIGIA 2025😅😅😅MKISHINDWA UCHAGUZ MSISEME MMEIBIWA KURA MAANA MMESHA ANZA KUYAKANYAGA WENYEWE🙆🙆
@valencegustav1378
@valencegustav1378 2 месяца назад
Mbowe akitoka nadhan ni busara wakili msomi mwabukusi achukue usukani jamaa ni mzalendo kuliko hao wanaopiga kelele ...mdam mheshimiwa mwenyekiti wa CCM alishatuhakikishia ndani kuna fukuta hapo tunajua kuna mapandikizi tayari na Moja wapo ni mchungaji uyo
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 2 месяца назад
Wewe vp nani kamchoka mbowe.!! Na udikiteta ameufañyia nani.acha basi kuongea maneno ya kulishwa .kwanza wewe umemaloza mashamba ya famlya kwa kusomeshwa.hata hujui dikiteta.???
@josephmabula9658
@josephmabula9658 2 месяца назад
Hii timu tundulisu
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 месяца назад
Hakuna mhehe mwoga wala kumunyamunya maneno safi sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Aliyekwambia msigwa ni mhehe ni nani?
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 месяца назад
Mch Msigwa oyeeeeeee
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 месяца назад
😂....hoyeeeeeeee
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 2 месяца назад
Mkitaka kuona hii dunia kua haifai kabisa mguseni mbowe na chama chake. Kumgusa mbowe na uenyekiti wake ni sana na kuigusa CCM na chama chao.mtapata tabu sana
@user-rg2py2yz4x
@user-rg2py2yz4x Месяц назад
Wewe..kwisha..kaaa..hukohuko..hatuna.mangufu..ccm
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 месяца назад
Yuko sawa Msigwa hizo ndizo siasa za nchi zilizoendelea.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Месяц назад
Kitapigwa mnada asubuhi
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 2 месяца назад
Mimi ni Chadema,ukwelinikwamba Mbowe hawezi kupita.Maana hana jipya.Kama nikwafaida ya wanainchi tafuteni mtu wakugombea
@akidajulius1581
@akidajulius1581 2 месяца назад
KAMA HATA MSIGWA ANAINGIA KTK ,MSUGUANO, NA SUGU na hawa ndio MAJEMBE TUNAYO YATEGEMEA,LEO WATAKA KUGOMBANA,,CNA HAJA TENA NA HIKI CHAMA,bola kubaki tu,bila kushabikia chama chochote,kupotezeana muda tu,
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 месяца назад
Mbowe muda wake umeisha
@chescokagali5962
@chescokagali5962 2 месяца назад
Nadhani mawazo na maoni ya Mchungaji Msigwa ni ya msingi sana na kama Chama Ione huo ndiyo utakuwa uwakilishi mwema kwenye Demokrasia ndani ya chama
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 2 месяца назад
Hakika Mimi binafsi kweli wewe Mch,Msingwa nakukubali sana maana ulikuwa shupavu kweli kipindi Cha mwenda zake jengeni Chama chenu Chadema
@rashidissa5887
@rashidissa5887 2 месяца назад
Huyu mtu anatafuta njia ya kuhama. Si chama changu lakini aende. Si tayari ameshaitwa huko!
@johnosunga6859
@johnosunga6859 2 месяца назад
Mchungaji ridhika kushindwa unaleta mgawanyiko chadema
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 месяца назад
😂😂😂...aaaah wapi usimzibe mdomo mtumishi hakuna cha kukubali kushindwa,muache afunguke ni ukweli na uwazi demokrasia gani ya mwenyekiti mmoja milele??😂😂 Tuone sasa kama na huyu mtampiga risasi halafu msingizie ni chama tawala Mchungaji kaa macho kuna kupigwa risasi au ajali kama Chacha Wangwe 😂😂😂
@lucasgraduce1066
@lucasgraduce1066 2 месяца назад
Kauli za staha zutatupunguzia mfumko wa bei? Zitatuondolea ubadhirifu wa mali za umma? Zitanusuru hatari ya mdororo wa uchumi? Kuna problem katika mfumo wetu wa kufikiri!
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 2 месяца назад
Katika wapinzani ambao sio wanafiki huyu jamaa siku nyingi tu alishalionesha hilo yupo realistic sana
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 месяца назад
Mbowe miaka yote hiki chama ina madikteta alitamka sumu haionjwi kwa kulambwa
@Adrianmellow
@Adrianmellow 2 месяца назад
Msigw tulia
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 2 месяца назад
Tofautisheni malumbano na kutetea haki pale mtu anapoona hajatendewa haki ana ana haki ya kutafuta haki yake na sio malumbano, kwani chadema Kuna wa malakini hakuna wanadamu kwamba hakuna mahali wanaweza kukosea? Kuna chama gani ambacho Kiko perfect kwa kila kitu, ivi Kuna chama kilicho na mikawanyiko kuliko ccm? Kwanini mkisikia jambo fulani tu kwa chadema kunaanza maneno, hayo ni kawaida na kila mtu ana haki ya kuongea pale anapoona Kuna jambo halijaenda sawa kwa upande wake na sio mbaya na ndio semocrasia yenyewe
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 2 месяца назад
Hata kwa Lissu nivigumu kupita
@godwinchengula6940
@godwinchengula6940 2 месяца назад
Kaka tulia maisja bado yanaendelea
@AngerusLijuja-bg6sb
@AngerusLijuja-bg6sb 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 yani najikuta nachekatu. MH MSIGWA iludie CPU yangu nilivyo jiuzuru niliyasema ayauliniponda SANA Leo wewe vipi mkuu
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Месяц назад
Kahama mbona 🫣
@josephinamkono5183
@josephinamkono5183 2 месяца назад
Mzee kubali yaishe
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 месяца назад
HII NDIO DEMOCRASIA SASA HAKUNA KUPITA BILA KUPINGWA UNAPITA BILA KUPINGWA WEWE NANI? TUMEPINGA SANA HAYA MAMBO YANAVYOENDELEA CCM. NINYI CHADEMA MNATAKA KUFANYA KAMA CCM? NYIE VIPI? MSIGWA YUPO SAWA.
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 2 месяца назад
Kwa jirani moto unawaka, subiri muda ufike tu lazima maji mtayaita mmah!
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 месяца назад
Mbowe bado anahitajika chadema
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 2 месяца назад
Chacha Wangwe!
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 2 месяца назад
hawa wanajuana ya kaisali mwachie kaisali
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 месяца назад
Halafu nyie ndio muingie ikulu pumbavu zenu mtauza nchi yote.
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 2 месяца назад
Wew ndo huna akili kabisa
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 2 месяца назад
Ivi chadema ni malaika, kma mtu anaona Kuna sehemu hajatendewa haki kwaiyo akae kimya kisa ni chadema kwamba wao hakuna mahali wanaweza kukosea? Kwani Kuna chama kina migawanyiko na malumbano kama icho kilichopo ikulu, au wew uko nchi gani ndugu
@paulokateme7615
@paulokateme7615 2 месяца назад
Mvuto kushinei.
@johnshayo9635
@johnshayo9635 2 месяца назад
We tulia mkuu nenda tu ccm kale vinono
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 2 месяца назад
Humu Kuna matatizo ukimsikiliza huyu bwana unajua tu Kuna makundi mawili yaliojipanga kupambana vikali.naona anguko kubwa kabisa linakuja
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 месяца назад
Kwa kauli hizi Hali sio shwari,,,,
@devidmwakipunda1697
@devidmwakipunda1697 2 месяца назад
Kamaumekata lufaa subili lufaa ifanyekazi unalopoka nini sasa
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 месяца назад
😂😂...unauliza swali au umekerwa na ukweli?? Ni kweli kabisa anaropoka ukweli kuhusu madudu ndani ya chama..hakuna habari ya mwenyekiti mmoja maisha 😂😂😂
@user-tu8tl2lg4b
@user-tu8tl2lg4b 2 месяца назад
Wewe ndo utulie
@user-kq8dg5sd2n
@user-kq8dg5sd2n 2 месяца назад
CCM OYEEEE
@SamsonJohn-mo7en
@SamsonJohn-mo7en Месяц назад
😂😂😂😂
@warangisasa
@warangisasa 2 месяца назад
Mepdj
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 2 месяца назад
Kumeanza kuchangamka huku
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 2 месяца назад
Unadai demokrasia halafu wewe mwenyewe hutaki demokrasia,,mbowe ni wakati wako wa kupisha mawazo mapya
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 2 месяца назад
Wewe unataka mawazo mpya.!!.mbowe anastahili hapo.amewanyima usingizi ccm.anawauma nn.??kwani wao ni wanachadema.??.wanapandikiza mamluki kuleta fujo na kukashfu mbowe.eti amekaa muda mrefu.??sasa inawahusu nn.wanataka waweke watu wepesi wasambalatishe chama.labda lissu au mwambuksi.watahimili mashuti ya ccm
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 2 месяца назад
Msigwa Hana hoja yeye awarudishie ccm.hela zao.kama mwanzo alosema amepongeza ushindi akaongea maneno ya heshima.baada ya kukutana na waliomtuma wakamuwekea mdomoni maneno ili anchafie mbowe na akichafue Chama.
@silasponeka1773
@silasponeka1773 2 месяца назад
Mnafiki wewe
@JoseMwambyale
@JoseMwambyale 2 месяца назад
Ulañz
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 2 месяца назад
Wewe tulia ulitaka utawale mbaka lini muachie dogo aendeleze
@hussein8200
@hussein8200 2 месяца назад
Mbona M/kiti hataki kutoka na kuwaachia wengine? Bwege wewee!?
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 2 месяца назад
Hawa tunawapaje nchi 😢
@bongo39
@bongo39 2 месяца назад
Mbowe washakuchoka sasa wenzio hitaki kutoka madarakani mwaka wa ngapi sasa huu huu nu udikteta unaraka kuwa kama mugabe sasa ngatuka mpska wakufukuze ndio utatoka
@bilid4128
@bilid4128 2 месяца назад
😂😂😂😂
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 месяца назад
Mahesabu Mbowe yupo Chadema miaka 30 sawa na nusu ya miaka ya Uhuru ni udikiteta usiokubalika nusu ya Uhai wa maisha yake duuuu
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 месяца назад
Usiseme usicho kijua km huna uhakika haondoki na bado yupo sana coz Ccm mnataka aje mtu dhaifu mkibomoe chama Asubuh na mapema Hilo chini ya uwongoz wa mbowe halita wezekana tena ndomana kelele nying zinatoka Ccm ilihali sisi tunajua mnachotaka nyie kengeziii
Далее
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17