Тёмный

DC UBUNGO AFUKUZWA NA WAFANYABIASHARA WA SIMU 2000 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 12 дней назад
Mheshimiwa Rais Dokta Samia naomba utafakari muenendo wa wasaidizi wako. Sisi Vijana tunaenda kuleta Mabadiliko kuanzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025 na ndiyo mwanzo wa anguko la CCM. Vijana maisha yao yamekuwa magumu sana na Nchi inanufaisha wachache. Vladimir Putin wa Russia na Xi Jin Ping wa China wamesema Changes is coming to Africa na Kenya wameanza kuonesha njia
@godsonmngara5722
@godsonmngara5722 12 дней назад
CHANGAMOTO NYINGI ASHUGHULIKII KAZI KUKAMATA MADADA POA 😂😂😂😂
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 12 дней назад
Mbona Paul Makonda alivyokuwa Dar es Salaam hizi kejeli za Wakuu wa Wilaya hazikuwepo. Hata Mkuu wa Mkoa Chalamila inabidi awajibike haiwezekani Wasaidizi wako wanakurupuka kunyanyasa Wananchi
@htx1873
@htx1873 12 дней назад
GEN Z WATANDALE 🔥🔥🔥
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 12 дней назад
Chama cha Mapinduzi kinakosa Imani kwa Wananchi. Inabidi tuwe na Katiba mpya ili tuwe na mfumo wa Majimbo ili Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa wawe wanapigiwa Kura na Wananchi. Sasa unakuwa Mkuu wa Wilaya Kijana lakini unapenda kuona Vijana wenzako waliokosa Ajira Serikalini wanajiajiri bado unataka kuwaharibia mifumo ya utafutaji. Hili halikubaliki
@jumakivuma5247
@jumakivuma5247 12 дней назад
wew umefatilia chanzo au unaongea tu
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 10 дней назад
Alichoona ni kupambana na madada poa mjinga uyu unapewa kacheo ka ukuu wilaya unanyanyua mabega hufai
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 12 дней назад
Wanyonge wakianzisha pakishanoga mnatutoa,tukigundua dhahabu serikali inampa muwekezaji tukigundua mashamba mara utasikia tokeni tunataka kuweka hifadhi,ukiwa karibu na bara bara ndio baraha unaambiwa bomoa eneo la Tanroad,muda mwingine serikali ata kama Wananchi tumekosea muweke ubinadamu.kwanza kwa Allah kunahukumu..
@mohammededy7086
@mohammededy7086 12 дней назад
so hamumtak seme ukwel munachukia anachokifanya munapenda machafu yaendelee
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 11 дней назад
Piga kazi mkuu wananchi wenye akili timamu tupopamoja mama ikikupendeza mpandishe cheo awemkuu wa mkoa
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 11 дней назад
Mzee wa dada poa
@SamwelMbaga
@SamwelMbaga 12 дней назад
Kukemea uchafu ndo munamuona afai acheni ujinga
@zanzibar.
@zanzibar. 12 дней назад
ni kweli kwakuw akemea uchafu ndio wamuon hafai
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 4 дня назад
Kama kweli hamumtaki mgetia moto hilo gari ndo tungejuwa kweli mnahasira lakini mnazomea hku mnakimbia # kunguru waoga nyie
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 11 дней назад
Huu ulimwengu wa sasa ni mtiani mkubwa ukiwa unapinga mambo machafu ambayo kuna watu baazi Wana manufaa nayo utapigwa kila sehemu hii Ndio Dunia ya leo unafki Ndio pesa kuwa mkweli unakuwa maskin
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 10 дней назад
Huyu mkuu wa wilaya hafai
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 12 дней назад
Allah tunusuru wajawako
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 12 дней назад
Kitendo hiki kikufungue macho mh. Rais. Usiseme wanasema naziba maskio. Hawa wateule sio. Kuwa mkali.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 12 дней назад
Mkuu wamkoa yupo vixuri kimaadili laazima watuwahovyo wakuchukie nawapowengiwatuwahovyo. Duniani
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 12 дней назад
Huyu Mkuu wa Wilaya ni kijana lakini hana uzalendo mara avamie Guest za watu usiku wa manane, Chama cha Mapinduzi kibadilishe mfumo kama chama cha China Communists Party yaani kuwa Mwanachama tu unapewa Usaili angalau itapunguza kuwa na Viongozi wenye mihemuko kama huyu
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 11 дней назад
Mnaharibu iwe kama kenya
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 11 дней назад
Mmm acheni kuiga
@gililwise
@gililwise 12 дней назад
Mkuu wa wilaya hana busara bado hajakomaa kiakili ni mtoto
@user-lj7pu9js1d
@user-lj7pu9js1d 12 дней назад
Hii sio haki kiukweli
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 12 дней назад
Safari imeanza naona wamekaa kama wazamoiaji kwenye sherehe pole mkuu wa mkoa watu wananchi wanajitambua mzee think twice
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 12 дней назад
Waache2Time Will Tell🚶🚶🚶
@user-ow7pl6tz2c
@user-ow7pl6tz2c 12 дней назад
Huyo jamaa hafai tuludishie komba
@MwajumaMtonda
@MwajumaMtonda 12 дней назад
Mimi naona wahuni tuu hapo
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 12 дней назад
kwani muuni ni mtu gani akuna ata mmoja kwenu alie anzia ujana wote kwenu wazee watupu wewe kwa sasa upoje kijana au mzee
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 12 дней назад
Wahuni tena kuweni Sirius n kauli za wananchi
@Zero_og45
@Zero_og45 12 дней назад
Kavamia mji kwa pupa atakiona cha mtema kuni
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 12 дней назад
Hawanalolote wanzinxitu hao wanajua anachokifanya ndiyomaana inawsuma. Anawakamata machangudoa
@user-re5xb2hk4g
@user-re5xb2hk4g 12 дней назад
Wakenya tujuane😂😂😂
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 11 дней назад
Mimi ningekuwa rais ningempandisha cheo awemkuu wa mkoa awnyooshe vizuri
Далее
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 12 млн