Mtoo Nile ( Fleuve Nil ) inaanziya Burundi sehem ya Bururi - Rutovu hata leo ukienda utapakuta chemechemu yamaji kama zam zam najinsi walipajengeya mi nimuislam kutoka Burundi na nakupenda saaana Docta Sule ila apo kosoa inshaAllah na Allah akujaz kheri
Aslm alkm ww... Popote pale pepo ilipo anzia na ilipo ishia. Allah atujaalie Kati ya vipenzi vyake na atujaalie pepo firdaus kila muislam. Jazakallahu kheir Sheikh.
Sh,Allah akujaze kheri kwa kufikisha ila kwa kukumbushana tu mto Nile unaanzia Burundi ndiyo kunapatikana source of Nile which is located in Bururi Province in south-western Burundi.Jazaakah llaukheir
@@mbarakachipota5047 In addition to Egypt, the Nile runs through or along the border of 10 other African countries, namely, Burundi, Tanzania, Rwanda, the Democratic Republic of the Congo, Kenya, Uganda, Sudan, Ethiopia, and South Sudan. Its three main tributaries are the White Nile, the Blue Nile, and the Atbara.Feb 22, 2019
Urefu wa mji waJinja ni futi elfu3950 toka mraba wa bahari ilhali Cairo ni futi 75 tu toka mraba wa bahari. Hapo naomba nnatofautiana na Shehe, lakini kwa heshma na taadhima.🙏🏾🙏🏾
Wacha uongo the highest city above sea level in Africa is Addis Ababa 2355,Mbaye in Tanzania is at 1700m above sea level while cairo in Egypt is only 23m above sea level. Hapo umetundanganya. Zire miji ziko juu zaindi Africa ni Addis Ababa na asmara in Eritrea!!!
As a County Tanzania is the highest on sea level in Africa,as a city is Addis Ababa,but remember River Nile is going upstream from Lake Victoria as the miracle itself.
sheikh unazungumza uzushi , toa dalili kwa unayoyasema. Maana tunaambiwa pepo hakuna jicho la binaadamu ilowahi kuiona au sikio kusikia . Na hamna kitu chochote duniani kinachofanana na vitu vya peponi zaidi ya majina tu
Ewe ndugu yangu sule acha kupotoxha watu na kuwafunza watu kito usicho kijuwa, Mito yote inayo izunguka Edeni ipo Afrika,ata chanzo cha mto nile umeposha umma, kusikia umesikia lakini ausikii kwa sababu umejiweka katika kiburi kwa kujifanya kujuwa angali ujui chochote, baxi nakusihi ndugu yangu acha kupotosha umma .
@@tryphonraphael1646 wewe mbona unaamini kuwa yesu ni mungu na ukilisto ni dini ikiwa sio kweli kuwa ukilisto dini tulia ndugu muache mtu aamini anachokiamin
Samahani dk sule Luna ushahidi wowote kwa hadithi ana aya za kurani,ama Hays no maono yako tu baada ya kuona maajabu ya huu MTO weweukaona umeanzia peponi
Huyo Kwanza muongo, maana MTO nile, unatoka nchini Burundi, unapita kàtikati ya ziwa Tanganyika...inapitiliza hadi misli. Hafu huyo mjamaa nae aseme yake, kama anaambia wenye hawakwenda shule. The source of Nile River, is Burundi.
Ukifika pale maeneo ya Rusumo wilaya ya Ngara kuna mito miwili inakutana ya Kagera kutokea Rwanda na Ruvubu kutokea Burundi na kutengeneza mto mmoja unaoitwa mto Kagera kuelekea ziwa victoria upande wa uganda
Nakutambua Sana DK sulle lkn unahitaji Sana kuijua vizuri geography Kabla ya kuongea vitu vinavyohusiana na geography. Kuna miji Mingi ambayo iko zaidi ya usawa WA bahati kuliko hiyo miji uliyoitaja ya mbaya na Cairo. Isitoshe Jinja unapoanzia mto ni juu zaidi kuliko Cairo. Mto Nile hushuka mlima haupandi mlima Kama ulivyosema
Mto nile unaanzia Burundi tena maji madogo sana ni kijito yanajikusanya mpaka karagwe Tz yanaingia kaka mpaka lake Victoria yanakatisha ziwa hayachanganyikani mpaka Uganda yanapandisha mpaka Misri na katikati yanajigawa kuna blue nile usipotoshe watu tafadhali na Geography iko hivyo, Mwenyezi Mungu yupo ila usemavyo sivyo unachanganya mambo
Kwa kuwa wewe ni muislam usiseme Inalillah wainailaih rajiuun kwa kauli hii kuwa mto nile asili yake ni peponi. Nakushauri upitie maelezo ya Abu Huraira kutoka kwa Mtume Muhamad yaliyoko kwenye sahih Muslim 2839. Insha Allah utapata ufafanuzi.
Kutoka Uganda kuelekea Egypt haimaanishi ni kupanda mlima, No,No.No.water can flow from any direction ta other direction with the help of gravitational force.
Ndugu nakurekebisha kidogo hapa river Nile na blue Nile ni mito miwili ilio na chanzo tofauti, blue Nile chanzo chake kimetoka kwenye milima ya Ethiopia ikaja hadi Sudan mji mkuu wake Khartoum ndipo ilipokutana kutana mito miwili blue Nile na river Nile na kuwa mmoja river Nile ukielekea misri
Si ukweli asli ya Mto Nile njoo Burundi source iko Rutovu Bururi nilipokuwa kwenye kongamano 2002 Uganda tumekatalia Professeur wa université ya kerere
Sasa wewe ndio hujui na hutajua mto nile umeanzia uganda na eneo hilo hilo jinja na nchi ulizo pita ni Sudan kusini na kaskazi na baanzi umepita ethiopia umeishia misri Burundi Kuna Ziwa tanganyika ambao ndio chanzo cha mto congo
Kwa kweli mnatukanisha Uislamu kwa kunasibisha ujinga wenu na uislamu. Pepo iko wapi? Mto vipi asili yake Peponi??? Ushahidi uko wap??? Kisha unasema altitude ya Cairo iko juu??? Wakati ni takriban 23m kutoka usawa wa bahari. Flow ya mto Nile inafuata mkondo na fizikia ya kawaida kabisa . Maji yanatoka high altitude kuelekea low altitude.
Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh Duh Ndugu zangu tusi vamie mic kwakuwatangazia watu mambo tusio na elimu nayo mambo na mito kutokea pepuni ushahidi gani sasa nile kutikea peponi jamani mbilona tunaongea vingine asili ya mto nile nihapo burundi jamani mbona mnakwenda kinyume