Allah akubarik sheik wetu proffesor mazinge kiukwel unafanya kazi kubwa katika dini yetu Allah ( S.W) akuweke uendeelee kupambania dini yetu na sisi tunakuombea inshallah
Sheikh Mazinge kuna Haja kubwa ya kuandika Kitabu (na kwenye RU-vid) cha kumbukumbu za Maisha yako,harakati zako za Da'awa na mikasa yote ilokufika ili iwe mafunzo kwa waislam wa sasa na wa baadae,In sha Allah.
Allaha atakulipa inshaallah kazi unayoifanya kubwa token mimi mdogo unawasilimisha watu mpaka sasa kweri bot linajaaa inanimate bot 5 kweri mazinge allaha atakilipa inshaallah
Maashallah taabaraka Allah!! Mungu atukulipa kwa kazi kubwA uliyojitolea kwa ajili ya Allah subhanahuu wat'aala. Una nuuru.mbele Allah. Mungu akupe mwisho mwema!! Inshallah!!
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
Yasalam Shah masinge mola akuzidishie kipaji zaidi na sadaka tunatoa Kwa ajili ya nafsi zetu Kwa mola sio Kwa mola 2 Hana shida wala hataki kitu kwetu zaidi ya kutuonea huruma