Тёмный

DR.SULLE WATANZANIA HATUNA SABABU YA KUANDAMANA//KILA KITU CHETU NI KIZURI KULIKO MAJILANI 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 1,6 тыс.
50% 1

#drsulle #tanzania

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@nomar3708
@nomar3708 20 дней назад
MashaAllah dr Sule mwenyezi mungu amekupa haiba na sauti hatuchoki kukusikiliza. Itumie sauti yako imfikie kila mtanzania kumuelimisha faida ya amani kwenye nchi. Uwe na redio yako dr so sauti yako ifike kila kona ya tanzania. Vijana wetu wasije kukurupuka na kutuharibia nchi. Mwenyezi mungu akulipe kila la kheri
@ginazngo4317
@ginazngo4317 21 день назад
Mashaalla tabaraka alla alla akulipe machozi yananinitoka
@victorchiwai8831
@victorchiwai8831 20 дней назад
Dr sulle Mimi ni mkenya lakini umezungumza mambo ya kweli,wakenya wamejisahau kabisa wanamdhalilisha Rais wao,Mungu akuzidishie umri doctor
@moshantoj
@moshantoj 19 дней назад
Usiwe jinga
@HamisiMaraga
@HamisiMaraga 20 дней назад
Doctor sule nakupongeza kwa unachokizunguza nikweli kwasababu watu wengi hawana madili mazuri dini imekosekana kwenye nyoyo wana shabikia vurugu kuliko amani hawajuwi athari zake mungu akupe nguvu yakuongea ukweli..
@ginazngo4317
@ginazngo4317 21 день назад
Maana watu wengi wanaona wanafanya vizuri wana amri moja alla awarubisha kwenye imani 😢😢
@TwahaMaziku
@TwahaMaziku 21 день назад
Acha uchawa
@hassanalisimba455
@hassanalisimba455 16 дней назад
Usifate video fata bill ya ruto kisha fikiria
@TatuOmar001
@TatuOmar001 21 день назад
👏👏👏🌷🌹❤
@RashidAli-iw6iq
@RashidAli-iw6iq 20 дней назад
Msitukane mitatandaoni.... Matamshi mapotofu.. mimi mkenya... usitumie methali ma semi zisizo na msingi kuwa samaki mmoja akioza wote wanaoza... kiongozi wangu ni Muhammad (saw)
@HellenLemilya
@HellenLemilya 17 дней назад
Unajikosha kwa Samia,huna aibu shehe mzima
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 20 дней назад
Doctor sule , wewe una defend government , siwasapoti kumtukana Raisi, sio sahihi ila malalamiko yalikuwa sahihi
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 20 дней назад
Sule unanikwaza unavyo iteteya serikali , ninaujuwa uchungu ambawo serikali zetu za kiafrica , mkiongoza vizuri tutawasapoti, ila wakiongoza vibaya , lazima population isimame, sababu sisi watu wakawaida ndo tuna adhirika
@TatuOmar001
@TatuOmar001 21 день назад
Vijana wa kenya hawana adabu wamefuzwa na RAILA
@MwijakaSwalehe-dg4hw
@MwijakaSwalehe-dg4hw 20 дней назад
Kinachotusibu Kenya unakujua,na lau asingalikuwa Raila mabadiliko yote mazuri yasingepatikana,fikiria mara mbili kabla hujatukana
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 20 дней назад
Tatizo la hili taifa limeshikiliwa na waislam ndio maanake hata kubadilisha katiba ni ngumu
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 20 дней назад
Unachokiongeya sahihi 50/ parents ila Wanainchi wakawaida ndo wanaumiya zaidi , pindi serikali inauwa inchi, kwahiyo Wasipo simama wasimamiwe nanani?
@user-sr7dv3mu6g
@user-sr7dv3mu6g 20 дней назад
Dr sule Assalam aleku kabla haujasema hao tafuta,na,ujue ni kwa NN walifanye hivyo lazima kuwe na sababu ya kila kitu kufanyika utawala ukiwa mbaya Sera,walizo,zisema,watatekeleza,walishindwa,katiba yetu,inaturuhushu,kuandamana,,umetembea Kenya wapi sasa hiyo hata wewe unakosea busara,hiyo,Kenya,unadharau ndo imewajenga nini bure kabisa,endlea,kufuga,majini
@victorsabuni6801
@victorsabuni6801 14 дней назад
Hakuna mtu asiependa taifalake kinachoumiza nikuibiwa kilasiku nawaizi wanalelewa shekhe kemea uwovu onya kemea karipia
@jumaahagu4764
@jumaahagu4764 20 дней назад
Hiki kizazi cha kina sule baadhi ni wanafiki hawezekani serekali wanakusanya pesa za dhuluma mfano tozo, faini za unevu, kulipia kodi mtaji wako badala ya faida yaani kodi kulipia zaidi ya mara mbili halafu wajanja wanaziiba na kwa majina CAG anawataja na hatua hawachukuliwi ila iko siku kitanuka
@nyasimigeoffrey7737
@nyasimigeoffrey7737 20 дней назад
Majini ndio imekua mbia hii story? wachana na wakenya shugulikia majini zako bwana
@nomar3708
@nomar3708 20 дней назад
Wa kenya mnafata sana wazungu. Mara mpigane ukabila mara serikali. Ovyo kabisa. Mungu ailinde tanzania yetu
@HellenLemilya
@HellenLemilya 17 дней назад
Ishu sio matusi ongea kwa akili usijitie zuzu ,wanadai haki zao, matusi sio kilichowafanya waandamane ,tatizo watanzania wanaolenga masilahi Yao huishia kusifiwa rais hata kwenye uwongo,rais wa Tanzania ungejua hao ndio wachawi wako ,aibu shehe au mchungaji kujikosha uwongo mbele ya rais
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 20 дней назад
Hakuna democrats Africa, mimi hathari za vita nazijuwa, hata kura zinaibiwa, wewe unasema vilivyo haribika, walio poteza uhai je?
@ramakizito4934
@ramakizito4934 20 дней назад
Walipoteza uhai kwa kujitakia, mbona wewe hukufa
Далее
Отец Проводит Тест с Сыном 😂
00:48
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 4,8 млн
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 12 млн
DR.SULLE MTUME S.A.W ALILOGWA NA WACHAWI
33:02
Просмотров 1,6 тыс.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 56 тыс.
JE YESU NI MUNGU?
29:27
Просмотров 47 тыс.