Тёмный

DUDU BAYA ANAVUNJA UKIMYA MAZITO ALIYOFANYIZIWA |ANAWATAJA WOTE |'MUNGU ATANILIPIA'| | SNR03 PART 2 

Dar24 Media
Подписаться 726 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Kwenye Story And Rhymes episode ya tatu, tunakukutanisha na msanii nguli wa muziki wa Hip hop nchini, Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya ambaye amefichua siri zote za chanzo cha kupotea kwake kwa muda mrefu na mengi unayopaswa kuyajua kuhusu maisha yake kutoka mwanzo wa sanaa yake mpaka sasa.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dudu #HarounTambwe

Опубликовано:

 

10 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 23 дня назад
Bigup
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 6 месяцев назад
Dudu baya ana knowledge kubwa sana
@stanastana3199
@stanastana3199 6 месяцев назад
Msanii wa kwanza kuweka nyimbo kwenye cd,dudu baya bana.
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 6 месяцев назад
Dudubaya ni mojawapo ya wasanii wanaojitambua sana, anajua kujielezea na ana kumbukumbu sana wa matukio.
@EsauBanda-cw3cf
@EsauBanda-cw3cf 5 месяцев назад
Kumbe na wewe ulikuwa unaiga muziki wa America wenzako wakiiga mapiano unawalaumu kweli nyani haoni kundule😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 6 месяцев назад
Pamoja sana kaka mkubwa mapenzi yanaumiza sana
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 6 месяцев назад
Hongera mtangazaji umetulia ongera sana
@mkatavitv1014
@mkatavitv1014 6 месяцев назад
NOMA SANA DUDU/wanawake pasua
@kaltumahamid7892
@kaltumahamid7892 6 месяцев назад
Uko na sauti kama mildayo keep it up from Nairobi.
@user-qw5oh4dk9m
@user-qw5oh4dk9m 6 месяцев назад
Rudi kwenye gem mkubwa tumekumissssss....
@EsauBanda-cw3cf
@EsauBanda-cw3cf 5 месяцев назад
😅
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 6 месяцев назад
Tunakupenda sana Dudu Baya
@King-Buda
@King-Buda 6 месяцев назад
Viva
@mshangaf1726
@mshangaf1726 6 месяцев назад
hawezi kuiba mkojo wake mwenyewe
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
@LovelyRacingHelmet-iv6ti 6 месяцев назад
Kweri konki
@AsajileMbukwa-ii6rc
@AsajileMbukwa-ii6rc 6 месяцев назад
Hongera mkuu nakukubali sana
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 6 месяцев назад
Kwani wao wataishi miaka mingapi?
@titus_maridhia
@titus_maridhia 6 месяцев назад
Ilikuwaje kuweka cover picha za Kusaga na Diamond?
@harountambwe9978
@harountambwe9978 6 месяцев назад
Fuatilia inteview nzima kuanzia sehemu ya kwanza kiongozi
Далее
Редакция. News: 128-я неделя
57:33
Просмотров 1,9 млн
UCHUNGU ANAOPATA MTU PINDI ANAPOFIKWA NA UMAUTI PART 2
55:29