Тёмный

THE CLASSIC PT 2 : REKODI YA KUUZA NAKALA MILLIONI MOJA NA LAKI SABA/DUDUBAYA ALIJIHARIBIA MAISHA 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano Mr Nice kwenye The Classic na Jabir Saleh,katika sehemu hii

Опубликовано:

 

19 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@jeremiahkapela9859
@jeremiahkapela9859 5 месяцев назад
Respect mr.nice kwa muziki wako
@gentiljabpretty
@gentiljabpretty 5 месяцев назад
Am your best Fan from Goma DRC ❤🇨🇩🇨🇩
@lucasdismas4314
@lucasdismas4314 5 месяцев назад
mzee hongera kwa content nzuri. ila tatizo video zinakatakata yani kuna maneno hayasikiki
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 5 месяцев назад
Kweli kabisa
@robartifabiani
@robartifabiani 5 месяцев назад
Ilikua nyama ameigeuza imekua utumbo😂😂😂
@chinguilechinguile1501
@chinguilechinguile1501 5 месяцев назад
😂😂😂😂 ametisha sio?
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 5 месяцев назад
Legend 🔥🔥🔥
@bullychandy6509
@bullychandy6509 5 месяцев назад
Classic intervioew, naipa namba moja for this year lets goooooo
@barakaekuro
@barakaekuro 5 месяцев назад
Legend
@brotherblood728
@brotherblood728 5 месяцев назад
FANYIA KAZI UBORA WA SAUTI PLEASE
@hbizzymelodist1344
@hbizzymelodist1344 5 месяцев назад
legendery
@boscopeter6183
@boscopeter6183 5 месяцев назад
Inabidi Sugu baada ya show ya huyu kufanyika amchukue Dudu kwenye show inayofata itakua poa sana
@mtambogeof5648
@mtambogeof5648 5 месяцев назад
Kuvi, kwo hapa mzee mangi na mzee msukuma nani kkasema ukweli wa chanzo cha beef? 😂😂😂😂
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 5 месяцев назад
Mwamba huyu hapa😊
@dikamboy9513
@dikamboy9513 5 месяцев назад
mrnice🔥
@chandengao8795
@chandengao8795 5 месяцев назад
Pesa inatoka kwa watoto
@BoniphaceCosta-kd2yw
@BoniphaceCosta-kd2yw 5 месяцев назад
Wewe ndo maana ulipigwa
@ntopangonyani6964
@ntopangonyani6964 5 месяцев назад
Jabir, una ushahidi kamili😂😂😂😂
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 5 месяцев назад
Mnarusha kipindi bila ustadi hamfanyi edit achen izo
@user-um9zc8gl5c
@user-um9zc8gl5c 5 месяцев назад
😂😂, bola umewachana
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 месяцев назад
Jamaa aliimba bana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👍✌️👍。
@hadserhood2823
@hadserhood2823 5 месяцев назад
Nice music mwengine mi bwana ile FRIDAY NIGHT,KING’AST, kidali po ni moja ya masong hatari sana jamaa ni Mtu haswa kaka kuvi niletee crazy buffa broo huyu nilibahati kukutana nae kinondon studio ye alikua anaishi biafra kaka mkuu mtu Poa sana namba zake pia nilikua nazo mlete hapa
@chedielmchangila3971
@chedielmchangila3971 5 месяцев назад
Mr nice alikua anakaa kinondoni mtaa wa ufipa Na alikuwa anafanya show kwa macheni magomeni
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 месяцев назад
Huyu alikua ni atar sana na walijiheshimu sana
@whitemusic1419
@whitemusic1419 5 месяцев назад
ila mikka dah😅😅alijua kuupika mziki
@salumuseif3324
@salumuseif3324 5 месяцев назад
uyu mwamba bongo hakuna aliyemfikia enzi hizo
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 5 месяцев назад
Mbna video inakwama kwama
@stevewanga957
@stevewanga957 5 месяцев назад
Scrath mbona sauti inakataaa
@kagirasta1476
@kagirasta1476 5 месяцев назад
Kudadek copy 1.7M miaka iyo kwamba Tape CD na VHC zimejaa kwenye Kenta
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 5 месяцев назад
Audio mbovu
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 5 месяцев назад
Hayo Mambo yako na dudu baya achana nayo yalishapita mtangazaji acha uchonganishi hoji vitu vua maana bro
@gorbywilliam2617
@gorbywilliam2617 5 месяцев назад
Ni kitu ambacho ordinance wanapenda kusikia na mtangazaji hafanyi enteview kwa ajili yake.
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 5 месяцев назад
nyie mkiwahoji muwe mnawapa na tuzo kama aklama yakuwaheshimisha
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 5 месяцев назад
wasanii wa zamani mliibiwa sana na wahindi ndo mana hamna kitu mpk sasa,mnabaki kujifariji tu
@user-xq8bv6wg1z
@user-xq8bv6wg1z 5 месяцев назад
Bado anakuzidi maisha tena sana
@malimanyanja562
@malimanyanja562 5 месяцев назад
Au sikuelewa amesema maremu mama kumbe mama alisha fariki
@philipgaspar7508
@philipgaspar7508 5 месяцев назад
that means jamaa alikua billionea kwa io album 😮
@dicksonvalence2392
@dicksonvalence2392 5 месяцев назад
Jamani sound inasumbua
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 5 месяцев назад
Hayo Mambo yako na dudu baya achana nayo yalishapita mtangazaji acha uchonganishi hoji vitu vua maana bro
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 5 месяцев назад
Huelewi maana ya the classic wewe tulia
Далее
DOTA 2 - КЛАССИКА
19:17
Просмотров 210 тыс.