Тёмный

ELIMU DUNIA: MAMA ASIMULIA ALIVYOMTELEKEZA MTOTO WA MIEZI 2, BAADA MIAKA 20 AMPATA 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 239   
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Hii inatufundisha tusiwatupie lawama halaka halaka wazazi wanaotupa vichanga vyao maana hatujui kilichowasibu Mungu nisaidie sana nisiwe miongoni mwa watoa lawama bila kujua kiini chake🙏🤲
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 2 года назад
Masha Allah ! Hii diyo kazi ya mawifi ! Mm pia kapitia hiyo REHEMA Alipitia ! Kwa sasa ALAHAMDULILAH kwa sasa watoto wangu wameniweka salama na ALLAH Awape wema Maishani yao AMIN AMIN! PIL WATANGAZAJI DUA ZANGU ZIWE MAQMBL KWENU AMIN AMIN ! Kazi nzuri ! MAWIFI DIYO KAZI YAO HIYO !
@furaharyana5019
@furaharyana5019 2 года назад
Kumwacha mtoto wa miezi 3 ni kosa kisheria maana mtoto hakuwa na kosa hata angenyimwa matumizi angepambana tuu ata angefanya kazi za ndani wamama inatakiwa tuwe majasiri ata ukiwa na ali ngumu Mungu angemjalia angepata tu maisha
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 2 года назад
Kabisa mi mwenyewe mimepambana kuna wakati najiuliza nilipopita najishangaa
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Usijishangae mpendwa ni Mungu tuu mie mwenyewe nikijiulizaga nakuta namshangaa Mungu sio sisi ila ni Neema tuu Kila jaribu Lina mlango wa kutokea dear
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 года назад
Waraaah wanaume kuna muda huwa wanasambalatisha family daaaah huyu mama moyo wake unamaumivu anaongea mpaka anatetemeka
@lisahhans295
@lisahhans295 2 года назад
GEA KAPENDEZA NA GAUN LAKE NA ILE RANGI YA MTUME KAWA KAMA MWARABU JAMANI.MWIJAKU ANATUNZAAÀ!!!!.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
@@lisahhans295 kwani gea mumuwe ni mwinjaku
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 2 года назад
Mama Anuari yupo sahihi ulitaka afanyeje?
@dorrinahlutaa7458
@dorrinahlutaa7458 2 года назад
Wamama wanapitia magumu.mungu bariki kina mama 😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamilamwangoka1055
@jamilamwangoka1055 2 года назад
Akuna lolote mama ni Mama tu mbaona uyoshangazi take aeleweki anataka kumtia ubaya kwamwanae ilimtoto amuone mbaya
@williammorgan2204
@williammorgan2204 2 года назад
😭😭😭😭Mama ni mama2 hakuna mama anae penda kumuona mwanae anateseka ni changamoto za maisha2
@shabanihassani7115
@shabanihassani7115 Год назад
Wapo wengne hawalijali wanawatelekeza makusudi
@saniasezzy9085
@saniasezzy9085 2 года назад
Shangazi anasahau njinsi kaka yake alivgomtesa mkewe, huyo shangazi mshenzi hakupaswa kuwa hapo wangemleta huyo mume wake akaumbuka kwa tabia yake chafu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 года назад
Basi shangazi ndio ukome unaadhirika kweupe Anwar mamake uyo
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Keshamjaza sumu za kutosha
@mamarazaki8975
@mamarazaki8975 2 года назад
Huyu shangazi inaelekea kampa sumu nyingi anuari Ila kwamungu hakuna linaloshidikana anuari mpokee mama yako hakuna mkamilifu chini ya jua Allah atakufanyieni wepesi kwakila jambo
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 года назад
Ndio mana anaazirika usikute yeye ndio aloficha mtoto halafu anaongea uongo eti kasema anapiga debe na mtoto shangazi shangazi hakuna kama mama wewe shangazi tu
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭 Kipindi kinaniliza sana kwasie tuliolelewa bila mama hatuwezi jua mama zetu walikua wanapiyia yapi kwa baba zetu ilobaki nikumshukuru MUNGU kwakukutana na kusameheana na kuruhusu Maisha mengine yaendelee
@melvinkyando9081
@melvinkyando9081 2 года назад
Asantee sana grouo kakunyima aunt maelezo maana nimswahili
@agnesmgohele2413
@agnesmgohele2413 2 года назад
Soo touching 😭😭 Hakuna mkamilifu Shangazi shangazi🙌🙌
@irenebaraka9268
@irenebaraka9268 2 года назад
Mtu yeyote aliezaa anaejua uchungu wa kuzaa lazima ulie pole mama na hongera sana kwa kukutana na mwanao
@saumugunga8453
@saumugunga8453 2 года назад
Habari zenu mimi ninafuraha sana kwa kazi nzuri mimi ni saumu kutoka kenya mombasa ninaomba msaada kwenyu niko na kijana anaitwa RAJAB SALIM kutoka Dar salama. Ako na miaka mingi sana hajaenda kwao naomba msaada
@khadijaabdul1970
@khadijaabdul1970 2 года назад
Rajabu na mie namtafuta ndugu yangu mtoto wa dada angu tumepoteana tokea mwaka2003 baba ake alipo kuja kumchukua mkononi kwa Bibi ake 0659175958
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 года назад
Tusimlaumu sana mama anuary... huenda alikuwa na umri mdogo!
@annakinyami2998
@annakinyami2998 2 года назад
Shangazi. Wa anuary hakutumia hekima kabisa akumbuke chanzo nikaka ake alitakiwa amchukuwe mama na mtoto ili amnyonyeshe mwanae huyu mama angeweza kujiuwa au kutoa mimba au kumtupa
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 2 года назад
Inaumiza sana yaani mama umenitoa machozi sana hila ni raha mungu ni mwema
@marykakolaki1169
@marykakolaki1169 2 года назад
Mama ni Mama Asantee mtt kumsamehe Mama yko sie wazazi tunapitia Shida sana , Niwashukuru sana .Mbarikiwe wotee mapoja na Mwijaku
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 2 года назад
Hongera watangazaji,mtoto ni mama....shangazi tulia....
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 года назад
Shangazi kiherehere anaadhirika mama ni mama tu ata kama alimtupa mtoto anataka mamaake shangazi weee
@judithmollel626
@judithmollel626 Год назад
Uyu shangazi mnafiki sana Yani kanikera kweli kuna mzazi anaweza kumtelekeza mtoto wake
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Shangazi hata ubinuke huwez kuwa kama mama utabak kuwa shangazi tuuu
@juneydeatakujadaimondomar5549
@juneydeatakujadaimondomar5549 2 года назад
Mama anuary bado alikuwa ni mdogo ictoshe hana wazazi
@juliethjohn413
@juliethjohn413 2 года назад
Mmh aisee nimelia Sana Leo jmn kwakweli wanaume Wana weza kusababishasisi wanawake tukaonekana tuna roho mbaya sana hat wanaotupaga watoto Maji yanakuwa ymefika shingon kulingana na maadili mtu anaona familirahi Bora atupetoto atapata mweingin e mmh Mungu tusaidie wanawake Mimi ninalea watotl watatu Kila mtoto na baba yake na sikuwahi kuwaza Hilo nasijui huwa nakosea wapi mpaka sio lew mmm hhhh nimelia sana jm😭😭😭😭😭😭😭😔😔😔😭
@adrophinakamugisha5014
@adrophinakamugisha5014 2 года назад
Mungu ndo anaepanga maisha yetu,kikubwa watoto unao kuna wenye ndoa na hawana watoto,hakuna fraha kama kuitwa mama,tuko wengi ila life linasonga alafu milo yote 3
@nassoralinassor1698
@nassoralinassor1698 2 года назад
Innaumaaa yaaniii annuar huyo ni mama ake shukuru kwa kukubeba tumbonii kwake na kukuleta duniani
@mauasylla5024
@mauasylla5024 2 года назад
Huyu shangazi alijuwa huyo mama hatomtafuta mwanaye. Na bila Shaka walimjaza huyo Anwar maneno mabaya kuhusu mama yake. Sasa analia sababu huyo Anwar atapata stori kutoka pande mbili na ukweli ataujuwa. Huyo shangazi analia kwa mengi. Jamani , "tenda wema nenda zako, usingoje shukrani". Mungu ndiye mlipaji usilazimishe malipo.
@nuruemma7258
@nuruemma7258 2 года назад
Shangazi hakutaka mama amtafute Anuary
@rodageoffrey8556
@rodageoffrey8556 2 года назад
Ni kaz sana kumuelewa huy mama lkn najiona mm kweny kiatu chake😭😭😭😭😭ila tuliotelekezwa na mmba dah
@rodageoffrey8556
@rodageoffrey8556 2 года назад
Shangazi💏😅😅😅😅😅hzo pole za nn c mwanae huy ahya mwemzie kaeleza alkopata jina la anuar aahya na yy aeleze au anajibebisha hapo nawachukia mawif mm😡
@malkiawanguvu3150
@malkiawanguvu3150 2 года назад
Aiseee hivi vipindi vinaliza saana saana ctaki tena kuangalia😭😭😭😭😭😭
@imeldaelias6303
@imeldaelias6303 2 года назад
Unalia coz Kuna Mahali umepita ni pachungu Sana! Always aliyepitia kwenye kipindi kichungu lazima Alie tu we are the same road hata Mimi nimelia sana
@malkiawanguvu3150
@malkiawanguvu3150 2 года назад
@@imeldaelias6303 nakumbuka mamayangu nilimjua nikiwa darasa la 4 sasa hiyo siku nililia saana tena saana na huwez amini alikuja shulen nikaitwa ofisin nikaulizwa huyu nani ,. Nikilio tu na machozi huku nikisemama mama wakati cjasahi kumwona ndio ujue damu nzito
@malkiawanguvu3150
@malkiawanguvu3150 2 года назад
Ila kwa mwanamke yeyote kwa maelezo ya huyu mama lazima ulie tu! Kilanmmoja anamapito na historia za machozi ktk maisha yake, history zangu ni nyingi saana, nikifumba macho hiviiiiiiiiiii nikiwaza na nikifumbua ni machozi! Ila Mungu ni mwema mpaka sasa nasema asante ndio kujifunza ktk dunia hilii
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 года назад
Kweli ndugu mimi nimelia sana sana sana san
@Estherbongo
@Estherbongo 2 года назад
Nilichojifunz kwa anuar si kwamba ni kibur ila anajikaz
@Kanezaestella1481
@Kanezaestella1481 2 года назад
Nimewapenda sana group bongo 5 kwa kumnyima shangazi muda wa kuongeya kwani hakuna kama mama.
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 года назад
Kabisa shangazi anataka kuleta kiherehere chake
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Akae Kwa kutulia
@gililwise
@gililwise 2 года назад
Mungu wangu wasaidie wamama wanaopitia katika matatizo kama haya.
@adrophinakamugisha5014
@adrophinakamugisha5014 2 года назад
🙏🙏
@zainakurro5698
@zainakurro5698 2 года назад
Maskin mama Anuary mpk anatetemeka pole alhamdulilah
@johngerald4677
@johngerald4677 2 года назад
Mama anual aombe msamaha kwa shangazi anaonekana ujana wake alikua mshenzi huwezi acha mtoto wa miezi miwili alafu akalizika
@tifadent1112
@tifadent1112 2 года назад
Nikwel kabisa mama anuary amekosea inabid amwombe msamaha shangaz
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 2 года назад
Sure John
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 года назад
Mwacheni Shangazi alie kwasababu alisimamia makuzi ya mtoto.
@madawakemikali776
@madawakemikali776 2 года назад
Huyo shangazi kiranga Sana na inaonekana alikuwa mtu mbaya Sana anavtoho mbay
@charlessilwimba4770
@charlessilwimba4770 2 года назад
Kwajinsi ninavyowajua mashangazi jamani! Huyu shangazi pia ni mama, ahsante Kwakua hukustahili iyo adhabu ilihali starehe zilkuwa zao wawili, ilipaswa akuombe msamaha na akushukuru hakupaswa kulipwa hayo, sawa n sahihi mama kukutana na mtoto ila aombe msamaha & amshukuru, hongera kwa busara anuari ni wazi shangazi amekulea kwa maadili mazuri.
@tinnabenben2328
@tinnabenben2328 2 года назад
Inaumiza Sana jmn pole Sana mama angu uchungu wa mtoto aujuae mama nimelia sana
@gracembise906
@gracembise906 2 года назад
Wow Gea na timu yako... Nmewapenda .... MUNGU AWATUNZE...
@emmyfoyi8461
@emmyfoyi8461 2 года назад
Nisingemuacha mtoto wanguu mburaaaaaaaa
@leylascherer3111
@leylascherer3111 Год назад
Hichi kipindi😢 is the best 😢 Mimi nimenyanganywa watoto wangu😢kila siku nalia umama nikazi
@houseofbeatytv9682
@houseofbeatytv9682 2 года назад
Aii mejikuta nalia but All in all Pole mama shukran anuary kwa akili yako ya kujua mama ni mama
@ummyyusra6740
@ummyyusra6740 2 года назад
Mashangazi wamerogwa na nani mtoto kasamehe mengine mapito hayo
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 2 года назад
Pole sana mama na hongera kwa kukutana na mwanao
@julianamasato5655
@julianamasato5655 2 года назад
Mimi naona hapo mama anualy hakuwa sahihi kumuacha mtoto miezi 3 eti kisa hakuwa anapewa matunzo na baba anualy .miezi 3 hata kazi yamama ntilie angefanya akiwa na mwanae mgongoni .na kama maisha yamjini yarishindikana angeenda kijiji kwao na mtoto wake.hapo mama anualy aombe msamaha asiangarie kosa la mzazi mwenzie kutokumpa matumizi aangarie yeye kumuachia mtoto shangazi mtu akiwa na umri wa miezi 3 kulea nikazi jamani ,hata kufukuzwa na huyo baba alikuwa sahihi kabisa kumfukuza .
@halimarahma7450
@halimarahma7450 2 года назад
Mama ntilie wawapi anakupokea na mtoto wamiez 3 mfumo wa utaftaji n ngumu sana kama hujapitia unaweza ukaona wenzio wazembe
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Год назад
Mimi nilijitegemea na kulea mwanangu.sasa anaoa,baba karudi Kwa ushindii.siachi mtt
@peninabernardo2504
@peninabernardo2504 2 года назад
Uyu shangaz nyie wenzangu mmemuelewa?😳kwamba hatak mtt awe na mama ake au?
@lulutweve3516
@lulutweve3516 Год назад
huyu shangaz mbaya sana inaonyesha ana kinyongo rohon mwake
@Kanezaestella1481
@Kanezaestella1481 2 года назад
Shangazi hajafurahiya mtoto na mama kukutana. Shangazi pole ila NANI KAMA MAMA?
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 2 года назад
Mie nimefurahi Sana nawashukuru clouds. Mwiaku mungu awabariki maana mashangazi hamuwajui itakuwa huyo kaka yake alikuwa na pesa. Mie yangu ni makubwa mpk nimelia nayaona ni yangu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 года назад
Mie wangu aliambiwa nimekufa na mashangazi we Mungu acha aitwe Mungu asaivi nafuaha na Mwanangu wamebaki njoo Manunu njoo wapii pale mlipo ninyanganya na kunipeleka polis 👮‍♀️ na kunipeleka mahakamani mtoto wangu mwenyewe tena mdogo tena baba amefariki machungu na Msumari wa moto juu
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Pole mtoto ni mama!Labda akukabidh mwenyewe sio kumnyang'anya
@melvinkyando9081
@melvinkyando9081 2 года назад
Huyu mma anamaumivu sana ilaunaweza msema mtuu bila kujua historia yako. Inatia uchungu sana ila usipojua maisha yamtuu utamkosea Mungu
@iloveoman7515
@iloveoman7515 2 года назад
Uyu shangaz hapo ametuonuesha kua hakua na Tabia njema
@angelmollel3339
@angelmollel3339 2 года назад
Hapa nilipo nalia😭😭😭😭😭
@abigaelshossy5966
@abigaelshossy5966 2 года назад
Hii ngumu jaman machozi hayaishi. Pole mama Anuary kwa mitihani hii hakika Mungu ni baba wa Yatima. Yaan unamfukuza mtoto nyumban kisa kabeba ujauzito jaman
@halinotialicenunu656
@halinotialicenunu656 2 года назад
mungu azido kuwabariki
@eusebiaurassa3417
@eusebiaurassa3417 2 года назад
Shangaz kupewa🎤 ataka kuanza kumchamba mama Anuary mweee, haya tunashukur kwa kumlea kijana, afu kingine huyu shangaz anaonekana amemlisha maneno mengi Sana ya sumu😒
@lusekeloswebe9858
@lusekeloswebe9858 2 года назад
Huyu mama Annuar sioni kinachomliza alikuwa na uwezo WA kufika ustawi WA jamii mtoto alivofikisha miaka miwili angemtunza
@matswelopelemphela261
@matswelopelemphela261 2 года назад
Pole Sana Sana na hongera kwa kumpata mwanao.
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 2 года назад
mhh aiseh nimeumia sana mimi niliteseka kwanzia mimba mpk kulea mtoto japo sikumtelekeza mtoto au kumtupa ila niliyopitia mpk leo sijasubutu kuzaaa tena,kifupi tunaowapenda na kuwapa mioyo yetu wakishindwa kututhamini kipindi tumatatizo ni rahisi kufanya maamuzi magumu na huwa yanaumizaa baadaye,3 months my man married his x and chase me to his mother house,ila leo ninamaisha yangu na bado nalea mwanangu.more man's are evil,really nimerudisha siku nyuma nilizoteseka duh wacha nikae alone with my son.
@emmyfoyi8461
@emmyfoyi8461 2 года назад
Uyooo shangaz mwendawazimuu kaongopaa nn hapooo
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Huyu Shangazi tatizo kubwa sana amebeba mzigo wa kaka ake
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Mwache abebe si kimbelembele chake?Angeongea na kaka yake halafu stake kujua huyu to mwanamke aliyezaa na kaka yake Kuna shida gan yy si slimsikilizaaa alimsikiliza kaka yake tuu!!
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 года назад
Pole mama inaliza😭😭😭😭😭
@emmyfoyi8461
@emmyfoyi8461 2 года назад
Uwiiiiii nimeliaaa
@aishamohamed1210
@aishamohamed1210 2 года назад
Shangazi kila mja wa ALLAH anamapungufu yake msamehe tu mama Anuary kikubwa mmekutana wote niwazima tuseme Alhamdulila hakuna kama MUNGU
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 2 года назад
Ila kulea mtoto ni kazi kuliko kuzaa shangazi anaona kama kanyanganywa mtoto lakini asamehe tuu mtoto atakuwa na upendo kwa shangazi yake kuliko mama lakini
@nasizakayo3592
@nasizakayo3592 Год назад
Mwanamke hafi kwa kulea ila anakufa wakati wa kujifungua mama niwa muhimu baba asingekuwa msumbufu haya yasingetokea
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 года назад
Shangazi udimlaumu huyo wifiyo. Likakazako ndio lilikuwa maharuni
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 года назад
Wanaume tunadhambi sana ila wanawake wafundishwe tangu wadogo namna ya kujikinga na mimba tangu wadogo liwapo somo mashuleni hii inauma sana
@conymbetsa9377
@conymbetsa9377 2 года назад
Nimelia sana
@desirenathan3734
@desirenathan3734 Год назад
Shangazi huku mukali. Jamanii. Mama ni mama. Hata ikuwenje
@samiakikwete1762
@samiakikwete1762 2 года назад
Mungu anakupa mtihani ambao unauwezaaa
@rechogoda8920
@rechogoda8920 2 года назад
Mtihani pole sana ndugu yangu
@jackdaniels9323
@jackdaniels9323 Год назад
Daaah imn nmelia hd kwikwi
@daimamagehema8919
@daimamagehema8919 2 года назад
aisee inahuzunisha sna jamani hongera janual kukutana na mama yako
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 2 года назад
JAMANI MMENILIZA... UPENDO NDO MAISHA MAKUU YA UWEPO WA MWANADAMU DUNIANI...
@annamachaki3644
@annamachaki3644 2 года назад
Huyu shangaz katoa wp hayo maneno mbona mama Anuar hajayasema hayo?
@aishamohamed1210
@aishamohamed1210 2 года назад
Pole mama 😭😭😭😭😭 nimelia mm jaman
@BEATRICENYONGOLE
@BEATRICENYONGOLE 3 месяца назад
Mashangazi mmmmmmhhhh.Haya
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 года назад
Shangazi mnafiki ata anuar anaonekana kumbeza Hahahaha mama ni mama Weee kwani si kaka ako ndo aloharibu Mambo au kapaniko kusemwa mumewe uchafu wake wa kumtimua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mashalaizer3152
@mashalaizer3152 2 года назад
Kumbe na wewe umeona eeeeh anazingua mama ni mama tu
@ghazughazu4812
@ghazughazu4812 2 года назад
Nani mwengine amemuona mama alikua ashindwa kusimama alipoambiwa mwanawe yuangia😭😭😭
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 года назад
Shangazi hongera lkn hayo mengine hayakusemwa lbd km wamekata
@paulobonnifasi9215
@paulobonnifasi9215 2 года назад
Hongera kwa kumpata mtt,
@sifasanga7866
@sifasanga7866 Год назад
Shangaz Bado una nafasi Kwa huyo Mtoto....Usilie tulia...Huyo Mtoto Yuko Bounded na Wewe. Anamfariji tu Mama yake.... Kisaikolojia hawezi kuwa na Upendo nae
@suleshmacs1286
@suleshmacs1286 2 года назад
Shangazi yuwakaa kiherehere sana
@samiakikwete1762
@samiakikwete1762 2 года назад
Allah ndio mjuzi
@neemadaniel570
@neemadaniel570 2 года назад
Shangazi roho mbaya kama sura yake hata kama umelea ila una roho mbaya
@salharunguma4210
@salharunguma4210 2 года назад
Shangaz mchawi co bure..wnzke wanajenga yy anaharibu
@mamuwilly6182
@mamuwilly6182 2 года назад
Dah adi tumbo la uzazi limeanza kuniuma tunapitia mengi Sana😢😢😢
@rechogoda8920
@rechogoda8920 2 года назад
Huyu shangazi sio kwa hiyo ulitaka mtoto amkatae mama yake sio bhana
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Год назад
Acha tu!
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 2 года назад
Hakuna wakulaumiwa but mama alibeba anuary tumboni na kumzaa kwaiyo yaliopita achana nayo hakuna kama mama
@babynahiya6640
@babynahiya6640 2 года назад
😭😭😭 inaumiza mno jaman ingawa kher ishapatikana
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 2 года назад
Shangazi unataka SIFA upewe wewe tu,sawa unastahili sifa ila hupaswi kumlaumu huyo mama,mlaumu kaka yako,mama kama asingemtaka angeitoa hiyo Mimba mama wa watu anakuwa KONDA na Mimba sababu ya kaka yako?
@zahranabdi8124
@zahranabdi8124 2 года назад
pole sana mamaa
@annakinyami2998
@annakinyami2998 2 года назад
Chanzo ni wanaume
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 года назад
Shangazi kiranga
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Huyo shangazi mnafiki tu.Anaona kama mtoto utampa msaada,msaada utakwenda kwa MAMA Masasi.
@anethgodwin3224
@anethgodwin3224 2 года назад
mama hakustaili kumuacha myoto, atakua alibugi sehem
@joycekiza2302
@joycekiza2302 2 года назад
Sasa shangazi alikua ataki mtoto alone mama?
@fsaad5116
@fsaad5116 2 года назад
Mbona music ya nini
@ungwamwangaza7297
@ungwamwangaza7297 2 года назад
😭😭 I cried a lot
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Shangaz ni baba kasoro surual ww ulisimama kwa niaba ya kaka ako inatosha ila chanzo ni nduguyo
@hellenhamani6056
@hellenhamani6056 2 года назад
Mama anuary pole mumy❤️
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 2 года назад
Shangazi chizi
@rehamalafari3357
@rehamalafari3357 2 года назад
,shangazi shikamooo
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 года назад
Huyu shangaz Vipi ?
@JamallyHMlela
@JamallyHMlela 2 года назад
Shangazi pole
@faridaali6850
@faridaali6850 Год назад
Inauma Sana 😭😭😭
@emmyfoyi8461
@emmyfoyi8461 2 года назад
Pole sanaaaa lkn
@khalila.matingas2448
@khalila.matingas2448 Год назад
Shangazi mnafiki huo si wakati wa kutaka kuongea vyenye kutaka kuchonganisha, akubali kashukuriwa kwani hakuna kama mama, asijaribu kumjaza mtoto mabaya ya mama yake wacha wapatane
@emmyfoyi8461
@emmyfoyi8461 2 года назад
Uyoo Mjomba hana utuu jmn anakwepaa kuumpa chakulaa
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 Год назад
Daha❤❤❤❤
@wariditambi8679
@wariditambi8679 2 года назад
Uyu shangazi kaniacha hoi
@miriamhassan6566
@miriamhassan6566 Год назад
shanganzi ake anuar ana jaziba hatariii
@mariamissamkajuna5344
@mariamissamkajuna5344 2 года назад
Team shangazi tujuane tafadhal# shangaz ana roho mbaya Sana
@MaryamAli-qt4wz
@MaryamAli-qt4wz 2 года назад
Roho mbaya unaiona ww huwezi kujuwa changamoto za ulezi alopitia mama kazaa sawa hatukatai ila kulea mtt ni kazi sana kuna kuumwa yaani changamoto ni nyingi ni shangazi yupi saivi analea mtt 🤔
@sylviah9666
@sylviah9666 2 года назад
@@MaryamAli-qt4wz mimi hapa nimelea watoto wa ndugu yangu na hata sijaolewa, bado nina umri mdogo ila nafanya kazi na ninawatunza watoto, wapo shule nawafanyia kila kitu, siwezi hukumu mtu yeyote,
Далее
This mother's baby is too unreliable.
00:13
Просмотров 22 млн
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Просмотров 129 тыс.