Тёмный

VIDEO: MAMA AKUTANA NA MWANAE BAADA YA MIAKA 17, "KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@lucasmshiu2600
@lucasmshiu2600 2 года назад
Baba Mungu akubariki saana umekuwa mfano wa kuigwa kwa malezi, nakupa kongole
@aishamaganga5304
@aishamaganga5304 2 года назад
Mwenyez Mungu awape umri mrefu!🙄🙄 wallah Mungu hakuna alishindwalo.
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
asante Mungu,bdo huyo Baba namuona mwema Baba yetu alikuwa akitwambia mabaya kuhusu mama, lakn mama alisistiz nimuheshim Baba ,Baba kaja kumuongelea vizur mama alivyojuwa wajomba zangu wamepata KAZI nzuri
@eliudiezekieli6293
@eliudiezekieli6293 2 года назад
Dah Inauma sana hongereni saana kwa kukutana Tena
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 года назад
Pole sana mama inauma sana ila mshukru mungu mmeweza kukutana tena
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 года назад
Mungu ibariki clouds mnafanya mambo mamkubwa katika Maisha ya watu Mungu ahusike na Maisha yenu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 года назад
Huyu mjanja mjanja sana lakini ana akili sana.Mungu awabariki sanaa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Kweli jicho LA. Mungu alilali Hatimae damu imepatikana
@sarahmgaya4870
@sarahmgaya4870 2 года назад
Jamani jamani ww mzee kumbuka inauma sanaa kuwanyima watoto haki yakuonana na mama yao huo niunyanya saji ,hata mm nayapitia hayo
@rahelimuhehe7068
@rahelimuhehe7068 2 года назад
Wababa acheni roho mbaya, kuzaa kunauma nyie hamjui tu. Kwann usiwarudishe watoto kwa mama yao? Hakuna mwanamke anayeshindwa kulea watoto wake. Najua namna mwanamke huyo alivyoishi kwa uchungu kwa miaka 17.
@fatumaali4275
@fatumaali4275 2 года назад
Baba uko sawa💪
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 2 года назад
Watoto wangu au watoto wenu,mbn mnapenda kujikuuza yaan sasa hiv wanaume tunaonekana km hatun haki kwa watoto
@fredyodoyo7523
@fredyodoyo7523 2 года назад
😁😁😁😁😁😁
@samuelpaschalofficial5557
@samuelpaschalofficial5557 4 месяца назад
Kwaiyo wanarudiana sasa au watakulana kila mtu afate yake😀😀😀😀
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 месяца назад
Duhh
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 6 месяцев назад
Baba anaakili sanaa
@40kstore
@40kstore 2 года назад
Mzee amejutia na yuko poa sana
@estermdachi246
@estermdachi246 2 года назад
Mzee msela huyu 🤣🤣🤣🤗
@naomybenedict1787
@naomybenedict1787 2 года назад
😁😁
@htx1873
@htx1873 2 года назад
Mzee mshenzi sana , pumbavu sana
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 2 года назад
Wow
@NeemaZacharia-d8n
@NeemaZacharia-d8n 3 месяца назад
Mimi ninauchungu sana maana Nina miaka 28 simjui baba yangu to go inaniuma sana
@lucysanga4941
@lucysanga4941 2 года назад
Bora umemuona mwanao dada
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 года назад
Huyu baba nimemuelewa.
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 2 года назад
Mbona kama Laly Bwalya
@jamessichimata36
@jamessichimata36 2 года назад
Safi sana mzee
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Mzee alichungulia mbali akaona ni bora akimbie na mwanae wasije wakamfisha kilemba
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
kuvishwa kilemba ni vipi ?
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 года назад
Nimekuelewa Baba
@Estherbongo
@Estherbongo 2 года назад
Huyu mzee ni mjanja sana
@tinluwna3783
@tinluwna3783 2 года назад
Huyu baba huyu mshenzi
@nicklyanga7044
@nicklyanga7044 2 года назад
Maswali mengine buana ...sasa unamuuliza et je mnweza kuish pamoja...
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
Masikini pole mama na mtoto hiii ndio duniya tulio nayo
@yuriaudi9746
@yuriaudi9746 2 года назад
Makosa ya mm
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 2 года назад
Huyu c bwalya wa simba kumbe alikuwa anamtafuta mama yake
@anjelanyaulingo7314
@anjelanyaulingo7314 2 года назад
Ndy nan
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 года назад
Hii kuchanya muislam kuzaa na mkilisto na mkilisto kuzaa na muislam bb Anaona nikimuachia mtt atakua kwenye maadili nisioyskubali atimae unaenda waficha wtt jiiiii
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 2 года назад
Me kwakweli naheshimu dini zote ila nikiona mtu abae so dini yangu sitakagi kabisa hata kusogeleana
@consoojoseph3918
@consoojoseph3918 2 года назад
@@maryamdunga3896 Kusogoleana?
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 2 года назад
@@consoojoseph3918 namaanisha kusogeleana kimahusiano
@doreenmkwamila1229
@doreenmkwamila1229 2 года назад
Kweli nimekuelewa sana
@yuriaudi9746
@yuriaudi9746 2 года назад
Msenge ww mwanamke bb kapamban
@tatotato506
@tatotato506 2 года назад
Huna ata aya unamtukana mama wawatu bilasababu mjingawewe kwan alitumwauyo baba awaxhukue
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Baba unanudara mno
@victorburetta2972
@victorburetta2972 2 года назад
V
@grandmaempiresecret
@grandmaempiresecret 2 года назад
Mvuto wa hatari utanishukuru mwanamke tu sikiliza hapa 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-JGTuSviKHUk.html
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge 2 года назад
Jamani mm wakiislamu kuweni makini. Unaolewa na mkristo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Waoe wee basi hao waislamu wenzako wewe unafikiri Tanzania ni nchi yakidini basi kama roho inakuma nendakaishi Afghanistan au Palestina Waisrael wakakupopoe na mabomu upotele mbali na ubaguzi wako
@venasbengway3405
@venasbengway3405 2 года назад
Kwani wakristo wana shida gani ninyi wavaaji mabomu? Wewe sidhani kama akili yako ina akili, mjinga sana wewe.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
@@venasbengway3405 Ndimu huyo mimi mkristu lakini ninandugu zangu wa damu waislam tena ni wazanzibar nasi wabaguzi ni watu poa sana huyo upepo hana akili aende Palestina akaishi wayahudi wapoteze kabisa
@joycekalago532
@joycekalago532 2 года назад
@@Mpakauseme umemjibu vema kwann wasioane wao kwa wao waislam wanafuata nini kwetu wakristo
@davidmgaya4385
@davidmgaya4385 2 года назад
Huyu ana kiroho Cha upimbi mapenz huchipua popote
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge 2 года назад
VP wewe mwìislamu unaolewa na mkristo
@neemaamon4960
@neemaamon4960 2 года назад
Kwan haitakiwi au? Unajua mapenz ww au unajicomentisha tu humu
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 года назад
Ila kuna baadh ya waislam MNA matatizo ya kubagua wakristo
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 года назад
We kaolewe na mbwa basi
@dianamkita6571
@dianamkita6571 2 года назад
Acha ubaguzi,,mapenzi hayachagui Dini,kabila,rangi etc..
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 2 года назад
Awajamiguraisha atakukumbatiana
Далее