Тёмный

Engineer Afunguka A-Z Manara Kuhamia Yanga "Mapenzi Yake Na Simba Yashakufa | SALAMA NA ENGINEER PT2 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Engineer Hersi ndo chachu ya furaha kwa mashabiki wa moja ya timu kongwe kabisa ya Taifa hili, timu ya wananchi, timu yenye mataji mengi zaidi yaani mabingwa wa ki historia. Nikiwa kama shabiki wa Simba Sports Club basi sina la zaidi la kufanya ila kumpa mtani wangu Hongera ya kuongeza taji jengine kwenye historia yao na pia kumsifu round hii kwa kutuzuia kuchukua ubingwa kwa mara ya tano MFULULIZO.
Engineer Hersi Ally Saidi aliingia pale kwa njia ya mdhamini (GSM) ila baada ya kuonekana kazi nzuri ambayo ameifanya kwa kipindi cha miaka miwili, Yanga sasa inaingia katika mchakato wa kuifanya timu iwe na muekezaji na mchakato huo yeye ndiye ambaye anauongoza. Kama mshabiki wa klabu, suala la GSM kuwa mdhamini mkuu kulileta chachu ya yeye kuweza kuongoza mabadiliko hayo ambayo yataanza hivi karibuni. Na yeye ndiye anatabiriwa kuwa Rais wa klabu yake pendwa baada ya uchaguzi ambao utafanyika mwezi ujao.
Narudia tena, kama shabiki wa SIMBA, mchakato ambao watani wetu wanaenda nao mmoja anaweza kuwa kakaa mbali na kutamani tu yale ambayo yanaendelea na kuomba (kwa nia njema) wenzetu wafanikiwe zaidi ya pale ambapo sisi tulifika kwenye mabadiliko hayo. SIMBA ndo ilikua timu ya kwanza kwenda kwenye mchakato huu ila inaonekana kama kuna sehemu zoezi limekwama na maswali mengi yamekua yakijitokeza na kuulizwa na baadhi ya mashabiki, mashabiki ambao pia wengi wao ni watu wenye vyeo na mamlaka. Tena, yangu matumaini wenzetu wataweza kukamilisha zoezi hili mpaka mwisho ili wengine waweze kujifunza.
Engineer pia ni Engineer, Baba, Kaka, Rafiki na mtu poa sana, mfanya biashara pia kwa upande wake mwengine wa maisha. Ametoka katika familia ambayo ilihakikisha anapata elimu na kuwa mfano bora kwa jamii ambayo inamzunguka. Amekua Baba mzuri kwa watoto wake watatu, Engineer mzuri kwenye kazi yake, moja ya kazi yake ni ile HQ ya GSM pale mtaa wa Samora na kiongozi BORA mbele ya macho ya wana Yanga Afrika.
Niliongea nae pia kuhusu maoni yake kwenye suala la mfupi wa elimu hapa Tanzania na kama huwa anasaidia maoni yake hasa kwenye kitengo cha elimu ya ufundi zaidi ukichukulia yeye ni mmoja wa uzawa wa shule za ufundi.
Yangu matumaini basi uta enjoy na kujifunza jambo kama ilivyo kawaida yetu.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

18 дек 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@albertlokoya7937
@albertlokoya7937 Год назад
Huyu Jamaa is well spoken na hii ndio maana halisi ya shule. Humble and intelligent , Interview bomba sana
@YahStoneTown
@YahStoneTown Год назад
Asante Na Endelea Kuenjoy
@dorahmwaqsa168
@dorahmwaqsa168 Год назад
Rais wangu Heirs una nusu ya moyo wa wana Yanga tunakupenda sana 😘😘😘
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Год назад
Kweli wee engineer kiukweli nilikuwa simpend haji ila alivokuja yanga nikachange nakuanza kumuelewa, nb well done boss we trust you ndani ya miaka miwili mmetengeneza history unbeaten, ubingwa fa, league, na ngao sio mchezo
@jacobmagehema8886
@jacobmagehema8886 Год назад
He deserves to be called president, a very composed guy
@melangachikubati9253
@melangachikubati9253 Год назад
Naamini ipo cku yanga itakuwa namba one football club in the world. VIVA.
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 Год назад
Naam uko sahihi rais wetu uko vyema sana hongera kiongozi wetu
@elizalyimo7327
@elizalyimo7327 Год назад
Rais wa wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🔥🔥🔥🔥 unaongea kisomi sn bro hongera Sana😘😘
@jumashedafa
@jumashedafa Год назад
Engineer hersi nakuon kwend kuwa wazir, naibu, katibu au mkurugenzi wa mpira ktk wizara ya michez..Mungu akutangulie
@sinanindola93
@sinanindola93 Год назад
Humble man very intelligent and educated🙌
@peacegilbert6783
@peacegilbert6783 Год назад
Eng hersi salute brother I'm appreciate you
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
PRESIDENT OF YOUNG AFRICAN'S🙌🙌🙌💚💛
@classicmido88
@classicmido88 Год назад
Interview nzuriii sanaa but mnachelewa ku apload Interview
@dianabanga2625
@dianabanga2625 Год назад
hersi 👏👏👏💚😘
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 6 месяцев назад
Rais wa boli ume tutoa mbali sana tuna kujivunia allah akuzidishie
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 Год назад
Rais wa mpiraa🙌🔥
@edgardevis8152
@edgardevis8152 Год назад
Respect aunt
@gladnessmunyanyi5775
@gladnessmunyanyi5775 Год назад
What an interesting interview
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Год назад
Salama ACHA kumchafua Rais wa Yanga kwa kumwambia eti yeye ni shabiki wa simba timu zetu tunazijua mama kwani utasababisha shida sana kwake.
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Год назад
Salama interviews....excellent
@bonosaugustine6545
@bonosaugustine6545 Год назад
Tunaoitazama Sasa hvii one lovd
@InnocentKimambo
@InnocentKimambo Год назад
Hongereni
@maulididdy1071
@maulididdy1071 Год назад
Ipo poaaaa sanaaa
@binaljabirmshihirzanzibar8369
Leo hujaweka part 1 au? Part 2 jmn
@abdallahmdangadachi7030
@abdallahmdangadachi7030 Год назад
Salama kweli huyo Rais wa uto aendelee kuota tu
@iddybakar1946
@iddybakar1946 Год назад
😆😆😂😄 daah salama banah eti alikukimbia mayele wakat unaenda kumtongoza
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 Год назад
Anajibu maswali kisomi mno asee mpaka vitu usivyo vijua unajifunza, Yanga shikilieni bomba kwa uyu Engeniar
@ibrahimahead6133
@ibrahimahead6133 Год назад
Bonge ya interview
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
ENG, HERS
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Год назад
Kwenye swala la Haji kakosea Haji hatumtaki ,yanga ina watu wanaojilewa..hatutaki watu wa kuvuma kwa msimu hatuendi Kama bendera kufuata upepo...
@Malekanojr
@Malekanojr Год назад
we kolo potea
@diasalicastro5353
@diasalicastro5353 Год назад
We jinga sana ko juma anacheza tiny ya taifa ya congo
@dannylinguist15
@dannylinguist15 Год назад
Tafuta ela uache kutoa hasira za umaskini kwa watu wasiokujua 🤣
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Год назад
@@dannylinguist15 😂😂😂
@tawfiqsaid4918
@tawfiqsaid4918 Год назад
Tafuta pesa we ubwa
@tengarashid4703
@tengarashid4703 Год назад
Relax Mama,
Далее
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
#краснодар
0:14
Просмотров 2,5 млн
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3,5 млн
Приятного аппетита 🤣
0:15
Просмотров 6 млн