Hawa watangazaji wafukuzwe kazi waende kwao cz hawajui kuuliza maswali ili sisi watamaji tupate kitu mf hajamuuliza swali je uliwah kuongoza toka shule ya msingi ,unasomaje tution nyingi au ,shule yenu mbona inafaul Sana kwann ?
Hii shule inakuwaga na mambo mengi sana. Kunakipindi iliwahi kufutiwa matokeo baada ya wanafunzi wote kupata straight A kwenye mtihani wa KCSE nchini kenya. Hii Shule ni group of schools and they mean business. Watch them kneely baada ya hapa.