Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: SUZY wa JUAKALI AELEZA MATESO BAADA YA KUJIFUNGUA KISHA MZAZI MWENZAKE KUINGIA MITINI...
Msanii wa filamu za Kibongo, Nyamaka almaarufu Suzy wa Juakali amefungukia mateso aliyopitia baada ya kujifungua, kutokana na kutelekezwa na mzazi mwenzake na kusababisha apitie kipindi kigumu katika maisha yake.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

14 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@hamidahnassoro-12
@hamidahnassoro-12 Год назад
Yaa Allah tufute machozi sisi wanawake tunaolizwa na wazazi wenzetu .wanatutelekezea watt tushike mkono ee mungu baba .cku moja wake watuone tuko na furaha kubwa na maisha bora kuliko wao ..yaa Allah aamina rabbi amina
@aminaakida8744
@aminaakida8744 Год назад
Lamata mungu akulinde hakuna mwanamke uliyembeba akakuzungumzia ubaya..ckujui hunijui lkn mungu akubariki sana dada
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 Год назад
Pole dada ndo maisha yalivyo had nimejisikia kulia NAMI pia! Ipo siku watakuheshim pia ridhik ni mafungu 7 ndugu yngu.
@rodaananias6541
@rodaananias6541 Год назад
Usijali mrembo, tupo wengi ambao tunapitia hizi changamoto na bado Mungu anaweka mkono wake juu yetu na kwa watoto wetu, machozi yetu watakuja kuyalipa siku moja hawa wanaume
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Год назад
Nampenda sana huyu dada Mungu aendelee kumbariki afanikiwe
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Cjawahi ckia Mtu anajutia kufanya kazi na Lamata. Dada ubarikiwe sana kwa kusaidia Watanzania hawa❤
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
Mashallah lamata mungu akuifadhi na sisi pia tufate nyayo zako
@nailaty
@nailaty Год назад
Wanawake tunapitia magumu lakin hatukati tamaa mungu ametujaalia roho za subra na uvumilivu😢😢 pole sana dada tukisema kila mtu aseme aliyo yapitia utajikuta yako yana afadhali pambana dada
@JenipherKavusha-ff9zj
@JenipherKavusha-ff9zj Год назад
Nakupenda kadada unajua sana
@Christina-gn2xy
@Christina-gn2xy Год назад
Pole dada, na hongera kwa ujasili❤
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Wanawake tunapitiya changa moto lakini tusikate tamaa mungu yuko pamoja a yeye
@olicej7837
@olicej7837 Год назад
Kwa mama Kimbo nlikukubali sana😍😍😍
@praisesteven7774
@praisesteven7774 Год назад
mungu ambarik saan lamata
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Kmb yule mwanao kwl, hongera unajua kuigiza, pole pia
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Год назад
Pole sana
@monadinadi5295
@monadinadi5295 Год назад
Pole Sana ndio Maisha mdg wng ❤
@savelakaminyoge1220
@savelakaminyoge1220 Год назад
Very natura I love u dada
@edwardnchaillah4305
@edwardnchaillah4305 Год назад
My Actress
@JoyAgbiano-wr5cz
@JoyAgbiano-wr5cz Год назад
Lov u dada asiye shukuru ni kafili
@Ebben-hm8gw
@Ebben-hm8gw Год назад
Pole san Suzy kwa kipind cha nyuma ulchopitiah
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Mpambanaji, hongera sana.
@meryfrank5272
@meryfrank5272 Год назад
Pole sasna , changamoto ni lazima kweny maisha ila , yan mtu haitakiw kumnyanyasa mtu akiwa kweny changamoto mana kila kt huwa kina wakati wake
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 Год назад
Wajina wa mwanang MashaAllah ❤️❤️
@irenemlay9769
@irenemlay9769 Год назад
Pole sana dada 😭😭😭
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
NAKUPENDA DADA UPO VZR KATIKA UINGIZAJI KAZI NZULI UNAFANYA NAPENDA NGOZI YAKO YA ASILIA
@adelinachengula8519
@adelinachengula8519 8 месяцев назад
Natural beuty
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Aya
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Wamama tunapitia mengi sana😢😢😢
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 11 месяцев назад
Wanaume
@user-rl5gf6tj4n
@user-rl5gf6tj4n Год назад
Da Nyamaka wewe ni mwanamke na Nusu,Mungu akutunze sana nakupenda,Mungu amtunze Lamata maana amekuwa daraja la wengi kupitia 🙏🙏
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Год назад
Nimrembo
@mgenikombo4960
@mgenikombo4960 8 месяцев назад
nimeumia san nyamaka weng tumepitia waliokudharau watakuheshim
@ashuraash3680
@ashuraash3680 Год назад
madkini
@juniorjohn2233
@juniorjohn2233 Год назад
Hana maana huyo mwanaume bkra agongwe na gari afe mmbwa huyo.
@leilafsadickfsadick8541
@leilafsadickfsadick8541 Год назад
Bora wewe kushut mimi nilikaa siku 7 nikaanza kusukuma chapat😢😢😢😢nipata ugonjwa ambayo sito kuja kuusahau maana mgongo ulikua hauja ungaa 😢😢😢yaani nyie acheni tuu
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Pole sana jamani tunapitia mengi sana😢😢😢😢
@leilafsadickfsadick8541
@leilafsadickfsadick8541 Год назад
@@aishachambo8663 yaani mungu alinde vibarua vyetuu maana ndio kimbilio letu
@tinahwilliam1918
@tinahwilliam1918 Год назад
Pole Dada
@leilafsadickfsadick8541
@leilafsadickfsadick8541 Год назад
@@tinahwilliam1918 asantee mwaya ila kuna muda kama bado nahisi kama bado siko sawa japo ni miaka ime pita
@leilafsadickfsadick8541
@leilafsadickfsadick8541 Год назад
@@aishachambo8663 yaani ni mungu tuu jaman
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 11 месяцев назад
Ndoo ivo sisiote
@Tukubeny-zp7qq
@Tukubeny-zp7qq Год назад
Huwaga ni shabiki wako saaana nakupendaga sn
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Pole sana ila mengin c Ya kusema jamani 🤦🏿‍♀️😪kuweni na siri 😪
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Год назад
😂😂😂shoga hatupo sawa wengine tuna mioyo haiwezi kubeba vitu kaaa chakufia nn
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Muache atoe sumu
@olicej7837
@olicej7837 Год назад
Ila sjaona cha aajabu yeye aseme ili wadada wengne wajifunze
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Год назад
@@ashuuuaisha9122 😀😀😀mm mwenyewe kukaa na uchafu koon swez
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc Год назад
Kumbe ni mzuri hivi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Kwahy amkai chini 🤣🤣mna simama tu hadi misho kusimama🤣nyamaka Suzya mama cheusi tangu Jakarta sinza rong hapo.. Ipo siku na mmi 🔨
@olicej7837
@olicej7837 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@joycebuberwa7982
@joycebuberwa7982 Год назад
Mungu ataendelea kukutetea mpendwa,nakupenda sana.
@pudensianalyimo228
@pudensianalyimo228 Год назад
We dada una akili sana, God bless you, you are beautiful and bright.
Далее
They got a Golden Buzzer 🤣✨
00:46
Просмотров 13 млн
Телеграмм-Колян Карелия #юмор
00:10
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14
Просмотров 14 млн
They got a Golden Buzzer 🤣✨
00:46
Просмотров 13 млн