Тёмный

FITINA ZIMEANZA ARUSHA, WAMCHONGEA MAKONDA KWA N/WAZIRI MKUU ili ATUMBULIWE,. 

HABARIMPYA TV
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Месяц назад
Kazi iendelee Makonda kaza buti !!! Kongole mchapa kazi
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 28 дней назад
Tunakuomba Rais wetu makonda Arudi kwenye uenezi kule mama ananguvu. Ole wao viongozi wanaompiga vita makonda Hakika wataondoka wenyewe duniani, Mama wananchi tunampenda makonda
@Kelvin-sd9gb
@Kelvin-sd9gb Месяц назад
Uko vizuri sana kiongozi
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Месяц назад
Makonda upo upo sahihi Sana akika mungu akulinde Sana sasa yule mkuu wa wilaya dar anaye shika wadada naimani ajifunze kwako makonda
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 Месяц назад
Time Will tell!
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 5 дней назад
Sina shaka na uongozi wako mheshimiwa makonda.
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 Месяц назад
Jembe
@godfreymasanja354
@godfreymasanja354 Месяц назад
Makonda piga kazi tunakuombea
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Месяц назад
Duuu
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Месяц назад
Unataka kwenye uchaguzi mchague madiwani wazur kwani wale waliopo ni wabaya? chama kinacho ongoza kuanzia serikali za mitaa mpaka serikali kuu ni CCM lkn miaka yote mitano imekwisha hakuna kinacho endelea isipokuwa ufisadi ndio umeshamili, mimi kama mimi cwezi kuchagua CCM kwa7bu ndio chanzo cha maisha magum, CCM hovyo kabisa.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 27 дней назад
Fanya kazi Acha uvivu na kutamani vya bure.Huku mitandaoni tuachie sisi wenye hela zetu
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i Месяц назад
clip mnazrudia
@axleymbuya761
@axleymbuya761 Месяц назад
Ulitaka wamchongee mama yako?
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Kama unatafuta ushauri maana yake huwezi hiyo kazi😂
@theempire4058
@theempire4058 Месяц назад
Hata rais wa nchi ana washauri wake
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Makonda kashaona cha moto😂​@@theempire4058
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Месяц назад
​@@theempire4058huyu ni wale wezi, kwa hiyo wanamuona Makonda adui, ila wajanja wanajua Makonda mkombozi.
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Месяц назад
@@user-gv8yn9lg1i ndioo maana bhass
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Piga kazi Mh Makonda
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Huduma bora ukitaka kwa wananchi wewe Makonda acha rushwa kwanza
@theempire4058
@theempire4058 Месяц назад
Umetumwa
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Месяц назад
Wewe ni chama pinga pinga ndo maana unamponda Makonda, kwa taarifa yako huwezi.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Hata wewe mla rushwa tu​@@user-gv8yn9lg1i
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Месяц назад
Rushwaa kampa babaaakoo .........acha chuki wewe ...makondaaa yupo vizuur Sanna natamanii sana makonda awe mkoa wetu pia..
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Месяц назад
@@abuushakiraddausiy8666 soma jina lake. Ni kabila fulani hivi huwa wanaukabila sana.
Далее
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14