Тёмный

AFISA UTUMISHI AKUTANA na KIBANO Cha MAKONDA - "NIKISEMA UNALINDA WEZI NITAKUWA NAKOSEA?" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 3 месяца назад
mwenyezi mungu akuongoze uwe kiongozi bora natumai mama kuna siku atakupa nafasi kubwa ya uwaziri wa ulinzi utafufaa sana inshaallah.
@msalice4451
@msalice4451 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤ JAMAANI hivi makonda Yuko wapi selikali sisi wananchi tunampenda sana kiongozi wetu❤❤❤❤❤
@marcobahati800
@marcobahati800 3 месяца назад
Mungu akuatamie sana kama kuku aatamiavyo vifaranga kwa maana unachokifanya hakika kinaleta utukufu kwa mungu wetu aliye juu
@msalice4451
@msalice4451 2 месяца назад
Makonda❤❤❤❤ ni kiongozi WA WANYONGE kama baba YETU makufuli snaupendo WA kweli Kwa wananchi❤❤❤❤❤
@tegemeantenga102
@tegemeantenga102 3 месяца назад
Ikimpendeza Mungu,siku moja uwe waziri Mkuu.
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 3 месяца назад
Afu umkute huyo Dada kwa ofisi ndo utajuta kuzaliwa, yaani anajua kila kitu ndani nje😅😅😅😅😅😅
@ekelaalex9411
@ekelaalex9411 3 месяца назад
Mungu akubariki m'y mkuu wa mkoa mungu azidi kukulinda
@saidyusuph7357
@saidyusuph7357 3 месяца назад
Allah akusimamie, piga chini wote hao
@IsmailKikas
@IsmailKikas Месяц назад
Natamani Sana upande cheo zaidi ya hapo ulipo namba 3,Rais 2,Makamu wa raisi 1,Waziri mkuu.
@ADIMUSALUMU-ko6zp
@ADIMUSALUMU-ko6zp 3 месяца назад
Makonda nakukubali sana naipenda hiyo uduma yako ungefika songea namtumbo halimashauli pale kunamajizi kweli
@BiteMacha
@BiteMacha 3 месяца назад
❤❤❤sFiii Wales pana tuuu
@alphoncekachira696
@alphoncekachira696 3 месяца назад
Tukuombee kwa mungu azidi kushuha neema kwa raisi wetu akuache kwenye uongozi uzidi kusaidia wanainchi
@MsafiriKadege
@MsafiriKadege 3 месяца назад
Piga nyama chini kaka mkubwa hakuna kucheka nao hao ndo wanaharibu nchi
@MsafiriKadege
@MsafiriKadege 3 месяца назад
We ndo rais wetu tena sio wa badae 2025
@AroycePankaras
@AroycePankaras 2 месяца назад
Makonda nakuombea uchukue fomu ugombee ulaisi maana unafanyakazi kwelikweli.
@edsongodzy386
@edsongodzy386 3 месяца назад
Mmechoka wasafi Habari ya mda mnapost leo😂
@hatwabiswalehe262
@hatwabiswalehe262 3 месяца назад
Wavivu sana kutafuta Contents
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 3 месяца назад
Wajinga
@generosennko8343
@generosennko8343 3 месяца назад
Huyu afisa utumishi, shes a very weak leader. Tena ni muoga. Hafai kwa kweli kuwa kiongozi
@Mariasmith-c9q
@Mariasmith-c9q 3 месяца назад
😅😅
@VeronicaPaul-cj1yu
@VeronicaPaul-cj1yu 3 месяца назад
Wewe jembe... Kama unavyujua jembe alikati jembe linachimbua... Dogo Poul ... Wachimbue.
@vitusmrishiwa126
@vitusmrishiwa126 2 месяца назад
Uongozi by nature. Mungu akubariki sana jembe
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 108 тыс.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 148 тыс.
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,1 млн
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 108 тыс.