Тёмный

🔴 LIVE MAKONDA AKINUKISHA TENA HUKO ARUSHA MOTO UNAWAKA MUDA HUU 

KAYUNI ONLINE TV
Подписаться 37 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

KAYUNI TV.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@Dizzoboy-u2c
@Dizzoboy-u2c 4 месяца назад
Hongera sana mh makonda na mungu akipenda utakuwa raisi wa nchi hii ya Tanzania
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 4 месяца назад
Saaaana
@MsafiriKalegeya
@MsafiriKalegeya 3 месяца назад
Chapa kazi makonda,Mungu akusimamie
@RahimaRahima-ig6vm
@RahimaRahima-ig6vm 4 месяца назад
Allah akufanyie wepes inshallah akulinde na husda zawatu natena tembelea mikoa yote uwapge pini hadi wanyooke😅😅😊😊😊tuna kupenda sana muheshimiwa makonda❤
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 4 месяца назад
Kwakwel nnabarikiwa sana kwa kazi njema ya makonda
@EliassaningooLaizer
@EliassaningooLaizer 4 месяца назад
Hongera sana mheshimiwa mkuu wa mkoa kazi nzuri wapige spana
@taurehassan7399
@taurehassan7399 4 месяца назад
Makonda kweli umeamua kuwasaidia watu kw idhini ya mungu,mungu atkulipa,upo siriasi kweli
@bonifacelutumo1196
@bonifacelutumo1196 4 месяца назад
Makonda anafaa kuwa waziri mkuu
@raphaelmshaula6368
@raphaelmshaula6368 4 месяца назад
Asante mama kwa kumtuma Makonda Arusha awakomboe ndugu zetu waonaonewa ktk haki zao.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 месяца назад
Mh Rais Mtarajiwa Baada ya Mama Sama
@PiusNjelekela
@PiusNjelekela 4 месяца назад
jinyenyekeze Mungu azidi kukuinua asante mh Rais kwa jembe hili
@pastor-Chrisfeston1
@pastor-Chrisfeston1 4 месяца назад
Mungu akupe maisha malefu makonda wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Much love you
@RajabuMkopoka-ry1jh
@RajabuMkopoka-ry1jh 4 месяца назад
Mh , makonda mungu akupe hekima zaidi mungu akulipe baba mtenda haki kwenye haki munguyupo pamoja nawewe mweshimiwa ewe muumba mjarie afya njema subra utendajika kwausawa muheshimiwa makonda aamiiiina 14:31 14:33
@KingAmos-il6ce
@KingAmos-il6ce 4 месяца назад
Makonda wapige supana hadi wanyokeeeeee😄😃😃😃😃😃😃
@WilliamDumbi
@WilliamDumbi 3 месяца назад
Nimekuelewa makonda
@SasatyaMagwali
@SasatyaMagwali 4 месяца назад
Wachapa kazi wangu ni moja ni mama Dr samia hassan suluhu na wa Pili ni makonda na watatu ni biteko Miami ni chawa wenu niko nyuma kwa kile mnachokifanya kwa watanzania Mungu awalide na kuwabariki Amina
@chefr3020
@chefr3020 4 месяца назад
Naomba nimuongeze na jerry slaa
@JonathanNtauta
@JonathanNtauta 4 месяца назад
Mungu mwema alimtwa magu kumbe alijuwa yupo mwingine anamuweka kuwa mtetezi wawanyonye. Hakika Makonda Mungu akurinde wewe ni mfano wa kuigwa natamani sana mama Akimaliza mhura uingie wewe.
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 4 месяца назад
Mm naomba uwe kaka yangu wa hiyari
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga 4 месяца назад
ARUSHA KWA MOTO KWA WAFISADI LAKIN KWA WANANNCHI SHANGWEEEE KARIBU IRINGA MAKONDA
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 3 месяца назад
Kaka kazkaziiiii
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 4 месяца назад
Mh Makonda we ni zaidi ya kiongozi..
@karimunjaulesahihi1459
@karimunjaulesahihi1459 3 месяца назад
Huy ndie anatakiwa kuwa raisi Hawo wangini weeez weeez weeez tu hata hofu ya mungu hawana
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 4 месяца назад
Kama kungekuwa na huwezekano uyu makonda angekuwa mkuu wa mikoa yote tz 🙏🙏
@EmmanuelJoseph-bq9we
@EmmanuelJoseph-bq9we 4 месяца назад
Hakika ww unamawazo kama yangu huyu nizaidi ya rais na apewe mikoa yote
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 месяца назад
yani nchii hii inaviongozi wababaishaji hadi unasikia kichwfu chefu
@LucacLucac-qk6vh
@LucacLucac-qk6vh 4 месяца назад
Mungu akutie nguvu kiongozi
@MtumwaAbdalla-m5n
@MtumwaAbdalla-m5n 4 месяца назад
Mungu akulinde mh R s
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga 4 месяца назад
Nimelia huyu baba anavojieleza hapa jaman HV hii nnchi kwann inaviongoz WA hovyo Sana?mama yetu kipenz Dr Samia Tunakushukuru Sana kwa jili ya Makonda,Mana mpk hapa najiuliza kumbe kuna watu wameona km dunia niyao mpk wanatufanyia Haya?😢
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 4 месяца назад
❤❤❤❤❤ Makonda Müñgu awe nawe
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 4 месяца назад
asante sana watanganyika makonda mbona unawaonea viongozi wa vijiji kawafafute wale. samaki wakubwa unaaribu kura zenu
@josephjsadian4770
@josephjsadian4770 4 месяца назад
Hujui chochote kaa kimya wewe nini kuhusu Mwanzo na ukomo wa utendaji wa Rc.?!!
@FekiHappy
@FekiHappy 4 месяца назад
Jmn watu watafika.mbinguni wamechoka.ila.midomoni utasikia.tunahofu ya Mungu hofu yaMungu sio.mchezo yaninunadhulumu watu hufanuika kazi kwa uadilifu Kisha unasema unahofu ya Mungu
@chriseskibet718
@chriseskibet718 4 месяца назад
Apa Kenya najiskia raha tu sana.
@HurumaAntony
@HurumaAntony 4 месяца назад
Uyu jamaa angekuwa raisi 😮😮
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 4 месяца назад
Kwahiyo inamanisha hayo mabishano nikwqmba ccm mmeshindwa kusimamia nchi,kama hiyo ni arusha kwa wajanja,je mikoa mingine 😢😢😢😊😊
@CondradMakoronja
@CondradMakoronja 4 месяца назад
Safi makonda uwe raisi jaman
@mauaabasi591
@mauaabasi591 4 месяца назад
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 4 месяца назад
Yani aibu sana
@shukulanihaonga8218
@shukulanihaonga8218 4 месяца назад
Nomaa makonda
@jamalmbuguni5640
@jamalmbuguni5640 4 месяца назад
Hengera makonda yaan kutoka mwez wa 7 mpk kesho kwn alishindwa nn kusema kesho mpk akabwe duuh watanzania tunarudishana nyuma ila wageni wanalipwa haraka haya bn
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 месяца назад
Makonda wasikuchezee Mimi kiumli nimkubwa namwaka mingi naku,omba msimamo huunimzuri Hawa vichaa wasikulubuni nais mag huyu safishaaa
@muhidinishauri-ux8ne
@muhidinishauri-ux8ne 4 месяца назад
Hivi hawa wakuu wa mikoa nikwamba hamuoni makonda anayoyafanya nikwamba mikoa yao haina shida kama hizi za arusha!!?? Kwa tanzania hii mikoa yote iko na shida kweli kweli!!
@salimumataula8073
@salimumataula8073 4 месяца назад
Makonda namuomba mungu uhamishiwe mkoa Tanga hatahuku hakufai
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 месяца назад
Bora aje songwe
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 4 месяца назад
Waiz kibao Tanzania mamae
@JackisonMesariek
@JackisonMesariek 4 месяца назад
Makonda MUNGU akulinde sanasana tu
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo 4 месяца назад
Good 🙏🙏🙏🙏
@salimumataula8073
@salimumataula8073 4 месяца назад
Mungu mlinde makonda muda wote
@mauaabasi591
@mauaabasi591 4 месяца назад
5:32
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 месяца назад
Huyo bidigadi nyuma ya mh makonda yuko vzr
@majaliwamwamengo8604
@majaliwamwamengo8604 4 месяца назад
Wewe ndo Rais
@MnyonyoRajabu
@MnyonyoRajabu 4 месяца назад
😂😂😂😂😂kubast
@kiboshokibosho-ou6um
@kiboshokibosho-ou6um 4 месяца назад
Mmbona wakuu wa mikoa mwingine hawafanyi hivyo
@sospeteralex378
@sospeteralex378 4 месяца назад
Kabisa
@EmanuelIsack-gb5jy
@EmanuelIsack-gb5jy 4 месяца назад
Nakuombea uwe lais
@PiusNjelekela
@PiusNjelekela 4 месяца назад
Ninaimani sana na wewe makonda na kikubwa kinachonibariki unajiweka upande wa Raia kutafuta haki Patam sana ukijiweka upande wa selikali tu peke yake kunavitu huwezi ona
@JohnNzwaga
@JohnNzwaga 4 месяца назад
Makonda piga supana
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@salimumataula8073
@salimumataula8073 4 месяца назад
Mama samia mlete kiongozi huyu tanga
Далее