Тёмный

HEKIMA ZILIZOFICHWA - GeorDavie TV 

GeorDavie TV
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Опубликовано:

 

18 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@ISSA-up3zq
@ISSA-up3zq 5 месяцев назад
Amina mkuu kiukwel nimewai vunjwa moyo kwa swala la kuomba kwa kiasi nmebalkiwa na ujume huu
@cosmasmakoa3117
@cosmasmakoa3117 8 месяцев назад
Hakika baba mungu atufungulie milango yetu iliyofungwaa ameen.
@user-du2gt8ff1r
@user-du2gt8ff1r Год назад
Mafundisho mazuri kweri MUNGU Yehova ajioneshe kwangu sasa naa zijazo mpaka mwisho wa Dunia Amen
@user-kf6ox4pe5b
@user-kf6ox4pe5b 2 месяца назад
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
@KamangoSebastien-yv6cr
@KamangoSebastien-yv6cr 11 месяцев назад
Merci beaucoup pour la belle prédication nabii mukuu
@AllanMollel-ri7qb
@AllanMollel-ri7qb 10 месяцев назад
Amina
@SaimonNdalahwa-lc9ci
@SaimonNdalahwa-lc9ci 2 месяца назад
Hiv n mtumish gan wa mungu wa kwel anawategemea wanadamu?wanadamu hawana lolote maan n mavumbi t ,mlinzi wa milele n yesu t pekeake ambapo ..ukiwa nae maadui wanadamu hawakuwez mpaka shetanshetan hakuwez jaman mungu n mungu t na atabk kuwa mungu na mtakatifu sku zote haogopi kifo maan n her auae mwili na roho kuliko auwae mwili t.jna la mungu libarkiwe
@user-il9xc2jw4v
@user-il9xc2jw4v 11 месяцев назад
Tazama nabii wa Mungu🙏
@user-qo3nu2ok2m
@user-qo3nu2ok2m 3 месяца назад
Huyu ndo Nabii wa KWELI
@user-nx5og4cz7b
@user-nx5og4cz7b Год назад
Mungu mwenyewe Ana majeshi ya mlaika wakiongozwa na malaika mkuu wa Vita mikaeli aliye pigana n shetani kwa iyo ilewa somo hapo unaweza ukawa kanisani huna walinzi ila nyumbani kwako unarundo la walinzi.sasa si umtegemee Mungu.
@ruthnaiyeso9944
@ruthnaiyeso9944 11 месяцев назад
Man of Wisdom❤
@user-il9xc2jw4v
@user-il9xc2jw4v 11 месяцев назад
Naiwe kwangu🙏
@nellykibukila5677
@nellykibukila5677 2 месяца назад
Amen ours dady .
@agnesmbula5261
@agnesmbula5261 2 месяца назад
The source of annointing is only in christ jesus...kuweni macho wapendwa wa yesu kristo
@salmampinga4995
@salmampinga4995 Год назад
Shukrani Daddy kwa hekima za Kiroho unanivusha🙏🙏
@vickystellah3194
@vickystellah3194 Год назад
Hallelujah be blessed Man of God
@prophetshukurumongela3085
@prophetshukurumongela3085 Год назад
Ameeeeeen Kipekee nimekuelewaaa kabisaaaaaa vizuuu Nabiii
@King_David2.
@King_David2. 7 месяцев назад
God's kingdom administer❤❤
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Год назад
BARIKIWA SANA MTUMISHI HEKIMA HIZI ZA KIROHO
@geraldlazaro4523
@geraldlazaro4523 11 месяцев назад
Ameeeeeeeeeeeeeen
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Год назад
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ni viongozi vipofu hakika Mungu azidi kukuinua waumie zaidi nakuelewaga sn baba nipo marekani nakufatilia unajielewa baba
@geraldlazaro4523
@geraldlazaro4523 11 месяцев назад
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Год назад
Amen..nimeinuliwa juu sana milele sitoshuka kamwe ...Haleluya
@renathamgeni3869
@renathamgeni3869 Год назад
Amina nabii.wa.bwana.mungu snipe. Loho.na.moyo.wa.unyenyekev
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 Год назад
Lord, give us eyes that see beyond the horizon.
@donasianaloyce3202
@donasianaloyce3202 Год назад
Kweli hii busara na ni mafunuo,Mungu akulinde sana.Amen
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Hakika baba umenibariki Sana keamahubiri yako kuliko mtumishi yoyote duniyani umekuw baraka kwetu sana
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Год назад
Powerful Anointing Teaching Father
@renathamgeni3869
@renathamgeni3869 Год назад
Amina Nani. Mkuu
@keshenizabron1472
@keshenizabron1472 Год назад
So amazing tiching
@amissitundula8568
@amissitundula8568 Год назад
Ibyo nibya Mungu unazarau maisha ya watu
@SamweliEzekiel-ks7sl
@SamweliEzekiel-ks7sl Год назад
Elewa ki2 ndo ujibu
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 6 месяцев назад
Nyote ni watata,ipo ck MUNGU atashuka awakaange kiboko
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Год назад
Mafundisho mazuli ee mungu nione
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Год назад
Achana na hao mtumishi.Hao ni wanadamu tu. Hata Yesu aliwasaidia mengi akawaponya magonjwa yao akawalisha mpaka na mikate na samaki lakini bado walimsulibisha wengine wakamuita ana pepo.
@godfreykaaya2344
@godfreykaaya2344 Год назад
Good subject
@prophetshukurumongela3085
@prophetshukurumongela3085 Год назад
Ameeeeeen
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Год назад
Come on Father.
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Год назад
Amen
@okanpaul238
@okanpaul238 10 месяцев назад
Tumtumie vyema nabii mkuu....siku moja tutamkumbuka....maana ni wachache kwenye hii dunia
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Amina nimepokeya🙏🙏🙏
@AmosSniper
@AmosSniper Год назад
Nisawasawa ibadani kuingia na kapelo Tena mtt wakike
@SelinaChares
@SelinaChares 9 месяцев назад
Amen baba
@teresajepkemboi-mw6zs
@teresajepkemboi-mw6zs 10 месяцев назад
🎉
@MajolaChimanyo-zx7ik
@MajolaChimanyo-zx7ik Год назад
Mtumishi Mimi nakubali Sana mahubiri yako
@WorshippersofGodarmy-ef3tb
@WorshippersofGodarmy-ef3tb Год назад
Ubarikiwe sana nabii mkuu Kwa ufaham mkubwa mkubwa sana na hekima kubwa kama Kuna watumishi wa kweli Tanzania wanaokupinga basi huyo mungu wanayemtumikia Bado hawajauona mkono wake siku wakiuona watakukubari na kuona kweli kwamba wewe ni mfano Tanzania na Africa hata Dunia yote ikutambue umekuwa unanitia moyo sana hata kama Niko Zambia kwa Sasa kanisani kwangu huwa nawaambia washirika kwamba Tanzania tuna nabii wa kuigwa, mfano wake hakuna, Africa, japo wapo wanaojitahidi Nigeria, kama nabii Jeremiah omoto, na wengine wengi lakini hakuna Africa kama geor Devi wa Tanzania,yesu kristo ameweka vitu vyema kwenye moyo wake, kweli kanisa limeshawishika sana na wametamani kama ungetembelea Zambia wilaya ya mpika Sasa wengi wanakufuatilia kupitia RU-vid, wanajionea wenyewe matukio Yako, ubarikiwe unanitia moyo na mimi, najua kwa sehemu ya utumishi ambao mungu ameweka ndani yangu nitafanya kwa sehemu kama unatoonyesha namna mtumishi anatakiwa kuwa, ni mimi Alfred asanwisye mwankotwa namba ya watsap kwa anatependa kuwasiliana na mimi, ni +260777431008 ya Zambia hiyo) kwa Tanzania ni +255763444450 hii haipo watsabu mpaka tu ninapokuwa nimerudi Tanzania
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 Год назад
sasa hii c njaaa inayokusumbua ndugu yangu, text ndefu isiyokuwa na maana, namba za nini, mtegemee Mungu ndugu
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 9 месяцев назад
Mtfe makes life better there after🧐🧐🧐🧐
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
Mafundisho potofu, kwa watu vipofu.
@Rastermirish
@Rastermirish Год назад
Unafundisha mpaka nafurahii
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Год назад
Nilizani😂billnas yupo hapo 😂
@PFD123
@PFD123 Год назад
Hivi Nyie kizazi cha Nyoka hamuonj kabisa Huyu Ni WAKALA WA SHETANI mafundisho gani haya hata hayana chembe ya roho mtakatifu
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Hebu lete mafundisho yako ya kweli tuyaone wacha upumbavu
@lameckmshana-gg6oq
@lameckmshana-gg6oq Год назад
hawajui ety , si YESU alisema mna macho lakn hamtaona mna masikio lakini hamtasikia ndio haya sasa
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Год назад
Umenena vyema
@salimkingu2108
@salimkingu2108 Год назад
Hiv watu kama nyie huwa mnafataga nini kwenye hii channel mnajifanya hamueliwe kumbe mnamueliwa kuwen wa wazi tu
@israelyeremia3439
@israelyeremia3439 Год назад
Wajinga ndo waliwao.
@deodatusmchunguzi1835
@deodatusmchunguzi1835 Год назад
HAKIKA BABA UMENIBARIKI KATIKA MAUBIRI YA LEO MUNGU AKUBARIKI
@edipidiusmoses1073
@edipidiusmoses1073 9 месяцев назад
Huyu mzee ni tunu baba hata wakisema Mabaya mengi juu yako nitatumia mazuri machache unayofanya kuku safisha ,binafsi sio mtu wa kufuatilia ama kuamini juu ya watumishi mbalimbali but wewe ni nabii hakika
@deusdedithhenry1524
@deusdedithhenry1524 Год назад
Nabii analindwa na malaika wa BWANA. Mwangalie Elisha alilindwa na nini (malaika na farasi wa moto). Acha utani na Roho zenu. Funguka akili zenu. Mtafute Yesu wapendwa. Yesu yu karibu kurudi, na mwisho wa dunia u karibu.
@salimkingu2108
@salimkingu2108 Год назад
Kam mwisho wa dunia umekaribia uza vitu vyako vyote hadi nguo zako coz mwisho wa dunia siumekaribia
@simonstephenuphamba5991
@simonstephenuphamba5991 Год назад
Kweli ujinga umekujaa na giza limekufunika, Njoo ufunguliwe utoke gizani wewe!!!
@Elizabeth-em3bp
@Elizabeth-em3bp Год назад
Ma bogard wa nini???? Nguvu za Mungu ni kidogo kukulinda wewe.....kaa jili....hapana hunishawish kukusikiliza hata kidogo. Nooooo
@salimkingu2108
@salimkingu2108 Год назад
Na wewe kalale mlango wazi mungu ataulinda
@salimkingu2108
@salimkingu2108 Год назад
Acha unafiki mpaka ume comment anamana emeshaangalia na kusikiliza sasa unajifanya nini
@Elizabeth-em3bp
@Elizabeth-em3bp 11 месяцев назад
@@salimkingu2108 kapakwe grisi ulainike achana na sisi
@EmmanuelSanare-bc7si
@EmmanuelSanare-bc7si Год назад
Amen
@DAZIZUbeàutysalon
@DAZIZUbeàutysalon Год назад
Amen
Далее
SOMO: KANUNI 5 ZA MAFANIKIO (2)   GeorDavie TV
1:11:10
Просмотров 10 тыс.
SOMO: IMARA KULIKO MWANZO - GeorDavie TV
48:41
Просмотров 1,4 тыс.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
Просмотров 4,7 млн
NABII NA UNABII PART 1
31:13
Просмотров 12 тыс.
Mapito hukufikisha katika hatima ya kuinuliwa kwako
27:34
UFALME WA MUNGU NDANI YAKO
1:04:01
Просмотров 58 тыс.