Тёмный

HIGHLIGHT | PAY BACK NIGHT | KIDUNDA VS KATOMPA - WBF SUPER MIDDLE 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 245 тыс.
50% 1

HIGHLIGHT | #KidundaVsKatompa
HIvi ndivyo ilivyokuwa shughuli ya Selemani Kidunda 'Mtu M Bad' alipotawazwa bingwa mpya wa mabara, Mkanda wa WBF, super middle Weight.
#PayBackNight #UsikuWaKisasi #KikiSongea #VitasaSongea #KatompaSongea #KidundaSongea #KidundaVsKatompa #Vitasa #VitasaNight #UsikuWaVitasa

Спорт

Опубликовано:

 

29 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 133   
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 Год назад
Asante Mungu kwa ushindi maana angepigwa jeshi langu linge dhalilika.
@omaryshafii1284
@omaryshafii1284 Год назад
Kidunda ameonyesha uwezo na kipaji hongera sana ameshinda bila chenga good job bro
@christianosimba6083
@christianosimba6083 Год назад
Salute camanda wangu umewakilisha vizur tanzania yetu umecheza vizur sn👊
@elishangomele9937
@elishangomele9937 Год назад
Hongera sana kidunda umetuwakilisha vyema🇹🇿 Lakini Eric anaweza pia na mtu ana nizamu sana na Hana maneno mengi hongera Kwa ote
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 Год назад
Wow Kidunda shukran kwa kutuwakilisha vyema wana kigogo DSM TANZANIA
@iddyjuma6967
@iddyjuma6967 Год назад
Nimefurahi xana hii uyu Jamaa alikuwa akijifanya anajuwa sana hongera seleman kidunda hongera tz yang
@lazarogatahwa1106
@lazarogatahwa1106 Год назад
Kiujumla huyu jamaa yangu kidunda huwa namuelewa sana hajawah kuniangusha big up sana kamanda wangu
@soudmnyamacharlieshortfunn8831
Soja hajawai feli kizembe KIDUNDA 😍
@rangos4749
@rangos4749 Год назад
Kidunda ndio bondia mzur kwa ngumi na ni namba moja kwa sasa tz
@casmirmakoye3017
@casmirmakoye3017 Год назад
Kazi nzuri Selemani Kidunda
@ibrahimabdallah8076
@ibrahimabdallah8076 Год назад
Jamaa kastahili kidunda ni bondia bora nchini lakini hasemwi sana kama wengine
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Sijui kwanin awa ndio wakubeba nchi yetu
@manpierre571
@manpierre571 Год назад
👏👏👏Tupende vyakwetu Jamaa anajua sanaa...👏👏
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Tena sana alafu mwepes sana Seleman
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
Yaani Katompa size yake Kidunda kwa hapa bongo coz Kidunda ana speed na pumzi na ngumi zake nzito. I would suggest aongeze zaidi speed na ngumi,upper cut za bondia anae inamana na mbavuni na Guard iwe intact. Pia namshauri awaangalie Dogbe wa Ghana hafu Spence nimesahau nchi na Israel Adesanya hata km yupo kick boxing atajifunza kitu,Hand speed haijawahi muangusha bondia yoyote..mifano ni Mike Tyson,Mayweather na Usyk.. Jwtz waangalie namna ya kukuza kipaji hiki, Mjeda yuko vzuri sana
@samwelmichaelchangarawe5800
kwenye guard hapo ungebold kabisa
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Год назад
sikupingi kaka yote umenena fact♥️💪💪💪
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
@@samwelmichaelchangarawe5800 hahahaaaa nadhani somo lime eleweka🤝🤝🙏🙏
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
@@jimmymbella997 pamoja mkuu🤝🤝🤝🙏🙏🙏
@kamugishaernest6227
@kamugishaernest6227 Год назад
Kidunda ni bondia namba moja Tanzania.hakuna kama Kidunda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@infantbatalianbatalian4947
@infantbatalianbatalian4947 Год назад
nipo pamoja na ww
@kimbyarungwe4959
@kimbyarungwe4959 Год назад
Selemani kinunda ndiyo bondia ninae mkubali tz🔥🔥🔥🔥🔥
@farajaanderson4463
@farajaanderson4463 Год назад
Kidunda mtu hatari sana tz ndio bondii no 1 tz kwa sasa
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Hongera sana kaka ushindi umeonekana kabsa umeshinda kaka
@emmajud1237
@emmajud1237 Год назад
Safi sana kidunda mtu mbadi lazima ukae 💪💪
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Год назад
Ushindi wa Wazi, Hongera sana
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
Kidunda umetuwakilisha vyema Brother 🙏
@hasanimndeme3151
@hasanimndeme3151 Год назад
Never
@mtopwaally8733
@mtopwaally8733 Год назад
It's all about KIDUNDA🇹🇿
@lama6310
@lama6310 Год назад
Kuna wale waliokuwa wanamshabikia Katompa😂nawatafuta kwa Comment. Kwenye lile Pambano lao la kwanza
@hamadali1696
@hamadali1696 Год назад
pambano tamu sana huyu jamaa kidunda namuelewaga sana
@elishuasegere1108
@elishuasegere1108 Год назад
Ww soja ni noma haupigiki kizembe kama kina mandonga 👮
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Год назад
Mabondia watz muwe serious when it comes to boxing gear... Kidunda kavaa airmax ... Zinateleza na si viatu vya boxing...
@mrben227
@mrben227 Год назад
Kidunda yupo vyema, ila hachezi kwa kujilinda, anaruhusu ngumi kumuingia
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
Hivi ndivyo zinavotakiwa kuchezwa. Mabondia wa Tanzania wajifunze classic ngumi kutoka kwa Selemani Kidundaa. Sio mnacheza ngumi za mitaani mtu anaanguka chini unaenda kumshambulia.
@fredymbawala6291
@fredymbawala6291 Год назад
Presenter of Tanzania county is kidunda very good my brother have good perform ,❤️💯🤔🤔
@shabaniselemani9159
@shabaniselemani9159 7 месяцев назад
Kwa tanzania hakuna bondia bora kama kidunda
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 Год назад
Kidunda tatizo haweki gadi ya kushoto anapigwa nyingi
@themanwithnoname5824
@themanwithnoname5824 Год назад
Mwanangu sana MANDONGA
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Kidunda ongeraaa kwa kumrudushiaa heshima dulla
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
Dulla Mbabe ni mzito mno hawezi toboa kwa Katompa, faida ya hand speed angalia pambano la Anthony Joshua vs Usyk... just for a refence.
@joshuadavid7937
@joshuadavid7937 Год назад
unatixha sana champi
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 Год назад
Kidunda ni jitu na nusu
@fatumabhallo8518
@fatumabhallo8518 Год назад
Ushindi wake hauna utata hongera kidunda
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 Год назад
Katompa yuko fit sana shifa sio jasili nimuoga wangumi kupigwa nandii sababu yakushindwa kwake
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Год назад
Kidundaaaa wew ni noumaaa sanaaaaa
@abdulhilaal3671
@abdulhilaal3671 Год назад
KIDUNDA NO1 EAST AFRICA
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Год назад
Watangazaji vipi? Mmojammoja basi
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Год назад
Kidunda japo ameshindwa lakini anapaswa kidundishwa namna ya kuji-defend maana yupo so loose ...akipata mshindani jamii ya akina Mike Tyson round ya kwanza tu anapotezwa
@johnsonkibadeni5053
@johnsonkibadeni5053 Год назад
Huu ndio ushindi sasa sio yale makandokando mengine hongera kidunda oneofourown
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 Год назад
Hongera kwa kidunda
@badstartz8715
@badstartz8715 Год назад
Kidunda yuko sawa
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Год назад
Selemani Kidunda M2 M'BADI!
@kamalissabig4631
@kamalissabig4631 Год назад
Leo Katompa limemkuta Jambo
@gervaslukaya1637
@gervaslukaya1637 Год назад
Anapigana vizuri ila hana haraka haraka sana
@eliamandella7983
@eliamandella7983 Год назад
Duuh bado sijamaliza kuangalia ila kidunda 🔥
@abouayman8713
@abouayman8713 Год назад
Uy ndio bondia bora ap tz
@mosiuledi4598
@mosiuledi4598 Год назад
Alijifanya mjanja katompa,,,,ila kakutana na kidunda mtu mbaya🤛🤛
@hamidamkoma4764
@hamidamkoma4764 Год назад
Seleeeeeee🤛🤛🤛
@yasinimohammed2213
@yasinimohammed2213 Год назад
Nakubal mike
@mretamreta8058
@mretamreta8058 Год назад
Wanajeshi sio watu wazuri
@jjmwanga1246
@jjmwanga1246 5 месяцев назад
Kidunda jwtz
@ibraabuemu9231
@ibraabuemu9231 Год назад
Maa sha ALLAH
@loner_wolf
@loner_wolf 4 месяца назад
Kidunda hatompiga msouth........ Mark my words😅😅😅😅 Lkn ili adumu round zote inabidi viatu na uringo visitereze ...yaan kiatu apate kinachoshika vzur. OVER
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Kidunda umepambana vzr
@jumaomari1185
@jumaomari1185 Год назад
Dullah mbona we jamaa kakupiga kama mtoto sasa maneno meeengi ya nn
@fujowaya2315
@fujowaya2315 Год назад
Kidunda Ali Fanya mtu akimbie huu mchezo was boxing
@adambajun7649
@adambajun7649 Год назад
Hongera pot
@abdulshebe5689
@abdulshebe5689 Год назад
Mtu kazi yani seleman kidunda salut kwako broo
@geofreyngaga5330
@geofreyngaga5330 Год назад
najisikia vibaya sana kulikosa hili pambano but congrats selemani kwa kutuwakilisha vema
@sembulimsangi2603
@sembulimsangi2603 Год назад
Tunaoangalia hili pambano tujuane
@costakamwaya2980
@costakamwaya2980 Год назад
Love co much kidunda
@amosmahona433
@amosmahona433 Год назад
Mtu kazi.
@stevenkimaro65
@stevenkimaro65 Год назад
MTU mbadi
@stevenkimaro65
@stevenkimaro65 Год назад
Kidunda champion
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 Год назад
Hakuna kubebwa Wala nn , show show
@octoojay8261
@octoojay8261 Год назад
Mbulahati stand up
@khalfanmohammed654
@khalfanmohammed654 Год назад
💪
@neemaismail6066
@neemaismail6066 Год назад
Good
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Год назад
Hivi Tz katika mchezo wa ngumi ni Jogoo la shamba au ?!?
@saidiniger5084
@saidiniger5084 Год назад
Yaaa kweli vitasa
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Год назад
Kidunda wa moto nataka wakutanishwe na kiduku nione bingwa hapo mana kidunda c mchezo au wadau mnasemaje?
@eddykatamba1008
@eddykatamba1008 Год назад
Kidunda nisamehe Sana mm nilijua huchomoki nilivoona dura alivochapwa Kama mtoto kwanzia Leo saluti kwako,, kamanda💯💯
@mashaka_son
@mashaka_son Год назад
Katompa mandonga 🤣🤣🤣
@athumankhalfan7836
@athumankhalfan7836 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Год назад
Suleiman ameshinda lakini ana makosa makubwa na hatari kama mpinzani atayatumia anaweza asisau athari zake maisha yote,, kama unacheza ngumi ni lazima mikono uiweke ktk position yake,, unapo bembeza mikono ukakutana na mtu ambaye yupo faster kutupa left huwezi kupanchi hiyo ngumi,, na hata ukijaribu kuhepa ilhali mikono umeibembeza ni rahisi kuyumba na kupoteza position ambayo mpinzani kama anaweza kuitumia na kumshinda Somo hongera kwa kushinda lakini hapo mmetupiana makonde sio boxa hizo
@giftmusa6543
@giftmusa6543 Год назад
Mkuu sikubaliani nawe kabisa,hakuna bondia Bora duniani kama Lennon lewis na style yake ndio hii ya kidunda ,unakuwa unamtamanisha mpinzani.Style ya kidunda ndio ilimfanya ashinde mashindano ya jumuia ya madola
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 Год назад
Hiyo ni mbinu ndio ilifanya akashinda ndio maana hutakiwi kukalili lazima uendane na mabadiriko ya pambano kulingana na mtu ambae una pambana nae 😃😃😃
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Hauna experience na mchezo wa bondia ni bora ungenyamaza kimya
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Год назад
@@Mpakauseme ungeleta point tukajadiliana ingekua heri kuliko kudharau,, hivyo wewe siwezi kusema na wewe
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Год назад
@@giftmusa6543 Nimefurahia sana heshima yako kaka cozy hukudharau nilicho andika ila umetoa maoni kwa mtazamo wako. Ila mchezo wa ngumi ni mahesabu haitoshi kurusha ngumi tu,, jiulize ni kwanini mtu akisimama sawa ni rahisi ngumi kumpeleka chini kulinganisha na yule alietanguliza mguu mmoja mbele?? Kama unapima kasi ya ngumi itokayo kwenye position na nguvu yake,, ukalinganisha na kasi ya mkono ulio elekea chini mpaka kurudi ktk position na kupanchi,, distance ya mkono ulio chini hauwezi kupita speed ya ngumi iliyotoka kwenye position hivyo utashindwa kupanchi. Wepesi wake itakuwa ni kukwepa,, ikiwa utakwepa ngumi ilhali miguu ipo sawa kwa staili ya kuruka lazima uyumbe kwa kwa sm 30 mpaka 40 kutokana na shambulio lilivyo,, kama mshambuliaji atatuma shambulio moja utayumba na kukaa sawa,, lakini hatari inakuja kama mpinzani ataleta mashambulio zaidi ya moja kwa wakati huo,, Advantage alioipata somo ni kumzidi jamaa kila idara lakini kama atapata mtu wa uwiano sawa na kasi,, hiyo staili ni mbovu cozy lazima uumie
@ommyclassbeyb9313
@ommyclassbeyb9313 Год назад
Nusu mtu nusu jini
@karibubongo-tv636
@karibubongo-tv636 Год назад
Mashabiki ya MANDONGA MLA UNGA TUKOMENT WAPI
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
Yule ashazeeka asisumbue wawekezaji. Haya mambo tuambiane ukweli, hata Tyson alipo chacha na kurudi ulingoni alijiaibisha sana😳😳😏😏😏
@kamanzicrouch3881
@kamanzicrouch3881 Год назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Год назад
MANDONGA MTU kazi
@Njambilo_na_wazazi
@Njambilo_na_wazazi Год назад
😀😄😄😁🤣😅🔥
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 Год назад
Ametisha huyu mwamba.
@noahjunior7144
@noahjunior7144 Год назад
Ila katompa ni hatari sana
@clemencelazaro7891
@clemencelazaro7891 Год назад
Kiduku na katompa sasa
@mumaheza151
@mumaheza151 Год назад
Nzure
@solomonlucas4112
@solomonlucas4112 Год назад
Bondia wa tz hakuna kitu kabisa
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Wewe utakuwa si mtanzania
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
Sasa km hamna kitu why kashinda? 😳😳😳Hebu kanye ulale😏😏😏😏 na hio tz ni tz ya nyoko, sisi huku tunayo Tz😏😏😏😏
@solomonlucas4112
@solomonlucas4112 Год назад
Uwezi sifia kisichostahili sifa
@solomonlucas4112
@solomonlucas4112 Год назад
@@KiongoziMwandamiziMama unakijitabia mpaka unabinjuka
@alexmichael9747
@alexmichael9747 Год назад
Ww boya
@benrhymes_1229
@benrhymes_1229 Год назад
pongezi kwaoru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iYjijfV-YRw.html
@georgempondela8858
@georgempondela8858 Год назад
Om boi hujaniangusha from mburahati moja
@georgempondela8858
@georgempondela8858 Год назад
Ayubu mbona mbona umefumba usu wangu from kitaa moja 👊
@ikramzamando810
@ikramzamando810 Год назад
Tunamtaka uyo bondia wenu wamchongo twaha kiduku Kama anajimudu apigane na mtu kazi kidunda nusu mtu nusu bedui
@brownjulius8514
@brownjulius8514 Год назад
Ila katompa mvumilivu sana
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Год назад
Bondia bora lazima uwe mvumilivu, angalia "all loses" za mike Tyson ni kichapo cha kufa mtu, hamna kulegea kizembe
Далее
Лайфхак с колой не рабочий
00:16
Просмотров 297 тыс.
At The End, Football Won! 👏
0:25
Просмотров 10 млн
Kids of Players Wonderful Moments ❤️
0:20
Просмотров 57 млн