Тёмный

VITASA | Selemani Kidunda Vs Asemahle Wellem | Full Fight | - Usiku wa Vita 01/03/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 317 тыс.
50% 1

Hizi hapa hekaheka za Selemani Kidunda na Asemahle kwenye pambano lao la raundi 12.
Pambano hili limemalizika bila mshindi yaani droo.

Спорт

Опубликовано:

 

29 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 753   
@mussamsella8560
@mussamsella8560 4 месяца назад
Watanzania kama tunaka kuwa bora tukubali bondia wetu alipigwa,Seleman kidunda kapigwa.
@user-wt1vn4yn8z
@user-wt1vn4yn8z 4 месяца назад
Patrick nyembela huwa nakuheshmu sana broo katka ufea ila jana kama ulianza kutoka kwenye uhalisia wako hv yan msouth akiwa ana score nyie mnapga story,ila aki score kidunda mnatangaza huo ni unazi wa hovyo sana.
@user-vz4xj2ci2w
@user-vz4xj2ci2w 4 месяца назад
inaruhusiwa kuvunja miiko ya utangazaji kisa uzalendo mzee
@ricklandennis
@ricklandennis 4 месяца назад
Baba tumepigwa huo ndio ukweli
@ololosokwani1140
@ololosokwani1140 4 месяца назад
Kitu kingine ukiangalia vizuri wanamaliza round kabla ya muda hii sio fair kabisa yani kidunda akichoka wanamaliza round khaaa huu ni usenge.
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 4 месяца назад
Kidunda angetolewa macho , nadakika zimembeba walikuwa wanazikatiza
@user-he6so9yg2d
@user-he6so9yg2d 4 месяца назад
Ila haki yake apewe jamaa Yuko vizuri predeta
@user-rr3jl3ni1k
@user-rr3jl3ni1k 4 месяца назад
Huyu kwel mwanajeshi ingekuwa mwingine angenyosha mikono juu
@2003hintay
@2003hintay 4 месяца назад
MAjaji mnapendelea kidunda kapigwa ngumi nyingi tu za uso. Kidunda uso umevimba kabisa kijana Yuko Safi acheni ubongoman
@hadijahassan-gs8vr
@hadijahassan-gs8vr 4 месяца назад
Tumeongea mwanzo mwisho Bila ubishi Seleman kidunda amepigwa Kinoma noma Ila kwa stahili hii tutaogipesesh mabondia wageni kuja kupigana Bongo 😢😢
@musaamos2431
@musaamos2431 4 месяца назад
Kabisa watakua wanaogopa kuja
@charlesluzegea6721
@charlesluzegea6721 4 месяца назад
Sio kweli ndio mana makocha wameweka Droo
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 4 месяца назад
Kidunda ni wa kwetu lakini ukweli kachezea kichapo
@user-ig8wc8ye3k
@user-ig8wc8ye3k 4 месяца назад
Mm nilijua huyu kidunda atafia ulingoni Jana maan alikuwa anakimbia huku anatia huruma maan alikuwa haoni hadi huruma ndio maan round zilikuwa haziishi ili kumbeba kidunda asije akafia ulingoni...
@taurehassan7399
@taurehassan7399 4 месяца назад
Mpaka mtamkubali mwakinyo kwamba anaweza,mtapigwa mpaka mukubali mwakinyo km ndo bondia champz Tz
@remmysbrand
@remmysbrand 4 месяца назад
Kidunda kadundwa! Nikijumlisha sekunde ambazo Kidunda kabebwa zinafika jumla ya dakika Tano Hadi Saba! Yani round inaisha Bado Kuna sekunde 40,35,25 hii sio kweli! Kidunda amepigwa Sana! Tena dogo kamwonea Kidunda Huruma
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 4 месяца назад
Jamaa anaweza kumtoa bondia wetu macho 😂 upigaji gani huu siampige ata tumboni
@user-ih4kw5eb3d
@user-ih4kw5eb3d 2 месяца назад
Hakuna drow kabisa hiyo ni longo longo kabisa yani hata kipofu alikua anaona hii Game
@user-ro8rm4kd8c
@user-ro8rm4kd8c 4 месяца назад
Sikuliangalia pambano la kidunda na huyu msouth but nilivoamka nimeliangalia kwenye you tube but niwe mkweli t kidunda amepigwa sna hili pambano
@user-ig8wc8ye3k
@user-ig8wc8ye3k 4 месяца назад
Asije akaenda mtanzania south Africa kwenda kupigan nahuyu dogo itakuwa aibu maan tutaenda kumsindikiza huyu dogo nakumuongezea cv kubwa kidunia...
@AlphonceShija
@AlphonceShija 4 месяца назад
Huyu dogo hatariiii sana tusifinye maneno jamaa anajua mno Jamaa wameamua kuilinda taasisi,maana angepigwa angekua kaaibisha jeshi
@user-ow4vj2lw8r
@user-ow4vj2lw8r 4 месяца назад
Lakin kilicho mnyima ushind n kucheza fauls nyingi
@modestusmayowa-vc4gj
@modestusmayowa-vc4gj 4 месяца назад
Kuiabisha taasisi kivip wakati huo ni mchezo ambap yeyote anaeweza akashinda tu,mbona Bonabucha alipgwa Kenya,Gilinya Tano nae alipg mzungu M1 alichosndw kumpg knock out tu na ubngw akapew mzungu...!! Mbona huyo Mjeshi Wa Uganda nae kadhbitiwanvkali na bwan mdogo tyu MT
@user-sg6xf3nl6x
@user-sg6xf3nl6x 4 месяца назад
Huyu sio jini makata kashakua jini mahaba, maana dogo alikua anamtembezea jebu mwanzo mwisho, dogo kadhilumiwa ushindi
@burhaanmamboleo3551
@burhaanmamboleo3551 4 месяца назад
😂
@modestusmayowa-vc4gj
@modestusmayowa-vc4gj 4 месяца назад
Ni matokeo sahihi kabsa ingawa ingekua nchi zingne kidunda angetangazwa mshindi....!! Ni fight ngumu iliyojaanufundi na ununda flan hiv!! Mmetufurahisha sana wadau hususani mimi binafsi 🥊
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 4 месяца назад
We aliyekuambia watanzania wote tuko n kidunda ni nani.. mimi niko na kijan anaejua sana huyu
@allymohamed4764
@allymohamed4764 4 месяца назад
Round ya kumi sekunde hazijaisha mmepiga kengele kumuokoa kidunda ndio mana boxing haikui mnapanga matokeo
@balljmushi9599
@balljmushi9599 4 месяца назад
Jamaniiiii,,,nyieee majajii wteee WA tz,,WA hili---pambano!!!!?????achenii upumbavuuu!!!mtasababsha tasnia ya ngumi tz,,iporomoke duniani. Hili pambano===Kidunda kapigwaa round zoteee.
@user-kf7kv7nc2c
@user-kf7kv7nc2c 4 месяца назад
Kama unamkubali kidunda gonga like❤
@SuleymaniBashiru-rq5hb
@SuleymaniBashiru-rq5hb 4 месяца назад
Boya tuu huyo
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 4 месяца назад
Msouth yupo vizuri sana kumnyima ushiindi ni kumuonea tuu na kumdanganya kidunda!
@user-ig8wc8ye3k
@user-ig8wc8ye3k 4 месяца назад
Hahahah...muamuz alitakiwa kumaliza pambana hili round y 9 kwasababu kidunda alikuwa haoni pia alikuwa anatoa damu nyingi mdomon...so refa alitakiwa kumaliza pambana hili ila sijui aliogopa kitu gani...
@barnabassassiyo4741
@barnabassassiyo4741 4 месяца назад
Kidunda kaogelea sana ngumi ila sema tu kwa Heshma walivyotinga nayo kama Kambi Ulingoni imebidi tu atunziwe!!
@Kiddomafiaso
@Kiddomafiaso 4 месяца назад
Kidunda kapigwa sana tuache uzalendo kapigwa hadi huruma… wamemuibia msouth 🙌🏽
@user-ee9kl1ob3v
@user-ee9kl1ob3v 4 месяца назад
Kidunda bondia bora tz akuna bondia yeyote tz Mwenye kummudi kidunda.
@Victor-ht1zy
@Victor-ht1zy 4 месяца назад
Apa ndy tunauwona ule msema mcheza kwao utunzwa ila ukweli ni kwamba kidunda kachezea kichapo tu tuachen kubebana bebana tunahudumaza mchezo wa ngum sisi wenyewe
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 4 месяца назад
Nakupenda sana kidunda ujawai kufeli kaka najua umeshinda Ira wameamua tu kusema mmetoka droo sio mbaya mm nakuamini sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@barghashally7791
@barghashally7791 4 месяца назад
Tanzania hatupo wawazi jamaa kashida tena wazi kabisa 😂 uzuri mchezo upo wazi kabisa mwenye haki apewe haki yake
@issakapemba6115
@issakapemba6115 4 месяца назад
Kidunda kapigwa kapigwa bana mmemnyima kijana ushindi wake tuu
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 4 месяца назад
Kidunda hy dogo umuwez
@user-jr5bq5xg5p
@user-jr5bq5xg5p 4 месяца назад
Wanaosema kidunda kapigwa ni wale watu wa mwakinyo
@stanslausmajalla8896
@stanslausmajalla8896 3 месяца назад
Daaaah!bro ulipigwa kusema kweli,kama unaamini hii ni sare,tumfate south Africa 😂
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 4 месяца назад
Kidunda kapigwa wachambuzi nanyi mna mahaba Kidunda kapigwa mnaleta unyumbani
@user-wz7uk5ox4g
@user-wz7uk5ox4g 4 месяца назад
Huyu wellemi ni nomaaaaaa,hongera kidunda umejitahidi
@user-ei6fs2ih8b
@user-ei6fs2ih8b 4 месяца назад
Hii mechi ya boxing sasa, yani ngumi zipo sexy ufundi unaonekana,energy is superb,tunaona jab,counter punch,combination na vitu vingine kiduku alituhujumu mashabiki lile pambano
@allexmathias3593
@allexmathias3593 4 месяца назад
Kiduku hajui kucheza ngumi
@user-dm3rk4ni7m
@user-dm3rk4ni7m 4 месяца назад
Bondia tz nMmoooja2 Hassaan Mwakinyo
@bahatimpilly5302
@bahatimpilly5302 4 месяца назад
Msouth ujanja mwingi.... Ila kidunda kajitumaa sana ❤
@meckraudndelwa-jv8co
@meckraudndelwa-jv8co 4 месяца назад
Marefa wanamaliza mapema round kumuokoa kjn wao 😅
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 4 месяца назад
Nimegundua wasouth Africa wanazingatia sana kutembea katika ring (foot work) na upiga jab.Nimeona kwa profesa na huyu Wallem na hata Vabaza.hii tulikua nayo zamani kwa mabondia wetu kama mambea bakari.Mbwana matumla miyeyusho Nassibu nk
@frankomary3888
@frankomary3888 4 месяца назад
Uyo jamaa kocha wake atafutwe aletwe apa nchini atufundishie vijana hao wanaodhani wanajuwa
@mussamhando22
@mussamhando22 4 месяца назад
Sele amejitahidi, lkn asirudiane na huyu dogo hamuwezi kwasasa aanze kujiandaa kuwa kustaafu awe Mwalimu, kwasababu umri umeenda pumzi na speed zinamuacha apigane na bondia wa umri wake
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 4 месяца назад
Huyu dogo msouth mtu mbad sana alimtoa manundu Kiduku, Kidunda amekutana na mtu hatari pambano likirudiwa itakuwa balaa Kidunda anatakiwa kujipanga kwelikweli
@emmanuelchamba08
@emmanuelchamba08 4 месяца назад
Kidunda ni bondia mzuri sana na alistahili kushinda kwa fauls alizocheza huy dogo ndio zimemaliza nguvu ya kidunda,pili umri mtu na baba yake all in all Tz we are best in fighting althogh south africa are more than talented.
@user-sl2hk8wp1p
@user-sl2hk8wp1p 4 месяца назад
Sasa uzuri wake uko wapi kupingwa au ?
@SamweliMasawe
@SamweliMasawe 4 месяца назад
Mmmh unajua ngumi wewe
@user-me7ip7vl2c
@user-me7ip7vl2c 4 месяца назад
Kapigwa bwana nawewe huoni au
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p 4 месяца назад
We kwnye kutafuta hela hakuna ukbwa Wala huluma za refa
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 4 месяца назад
Kidunda - Kadundwa!
@user-ci9hx5iy1n
@user-ci9hx5iy1n 4 месяца назад
Uyo jamaa ata mwakinyo ajichungulie yan kiufupi uyoo jamaaaa yupoo njema sanaaa yan kakaetu apo kachezea kiukwel ila😢
@user-rj5ct4bz6j
@user-rj5ct4bz6j 4 месяца назад
Ni kweli uyo mwanajeshi kapigika sema Tanzania ni tanzania
@gman3245
@gman3245 4 месяца назад
Very Poor judgments ideed! south Africa🇿🇦 guy dominates almost all rounds how comes final scores draw?? Abroad day right robbery 😔😎
@user-rw9vl7xv8m
@user-rw9vl7xv8m 4 месяца назад
Sijui Pius Mpenda anacheza katika uzito gani, ila ndiye bondia atakayemuweza huyu..! Pius Mpenda pekee ndiyo anaweza kuingia ndani na kumpiga ngumi huyu jamaa..!!!
@user-ie6nm6dk9p
@user-ie6nm6dk9p 4 месяца назад
Yote sawa lkni kw hay matokeo yni bro kidunda katuanguxha maana sis! Atuja mzoea ivi afu wkati mwingine machmpioni w bongo kuna ki2 cha kujifunza hap angalia pmbano vzr! Na tujiandae vya kutosha..😂 ..
@MwafricaMweusi
@MwafricaMweusi 2 месяца назад
Kidunda hakuna kitu mbele ya dogo mchumbaa tu
@user-fm3ll2rs1f
@user-fm3ll2rs1f 4 месяца назад
Hii ni aibu jitu limepigwa km ngoma😂
@jkifutu7936
@jkifutu7936 4 месяца назад
Selemani kidunda uyoo mtoto humuwezi kakupiga ila home kumekubeba
@PonjoMlilo
@PonjoMlilo 3 месяца назад
Msauz kashinda sema Tu MTU kwao
@binseif2216
@binseif2216 4 месяца назад
Kidunda kabebwa
@AllyKinda
@AllyKinda 4 месяца назад
Kweli mtanzania lakini mimi unafki siwezi jana kapigwa kila haina ya ngumu ndio mana mabondia wetu wakitoka nje ya nchi wateseka tujichunguze sisi wenye kwanza
@EvanceCornel-bf4jp
@EvanceCornel-bf4jp 3 месяца назад
Mmmh kambeleko kametumika,mwanetu kabebwa!
@godfreykarata3710
@godfreykarata3710 4 месяца назад
Kidunda kajitahidi sana nibondia shupavu uyo msauz sio wamchezooo😂😂😂😂😂😂
@issakobakimanga7738
@issakobakimanga7738 4 месяца назад
Kidunda kapigwa hii
@wazirimokiwa
@wazirimokiwa 4 месяца назад
kapigwaaaaa kidundaa Azam wanaona aibu kidundaa kapigwaaaaa mnasema droo
@chechekhamisi8712
@chechekhamisi8712 4 месяца назад
watangazaji kidunda akipigwa ngumi hamusemi..anapigwa ngumi xinapenya ila mnajitia hamuoni...mnapendelea mpaka katika kutangaza
@user-pr5is9jb9f
@user-pr5is9jb9f 4 месяца назад
kidunda umepigwa mwamba wangu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 месяца назад
MAJAJI WA KIBONGO WASHAMBA SANA KIDUNDA KAPIGWA JAMAA KASHINDA LIVE KABISA HATA MI SIO REFA ILA KAPIGWA SANA YANI KAPIGWA SANA
@ahmedacklan6920
@ahmedacklan6920 4 месяца назад
Msauzi kashinda 💪
@estherjohn7784
@estherjohn7784 4 месяца назад
Ukweli kidunda kadundwa uyu jamaa anajua ngumi tena sana
@charlesluzegea6721
@charlesluzegea6721 4 месяца назад
Kidunda anawakilisha vyema Tanzania,tumpe maua yake
@samirmswahili
@samirmswahili 4 месяца назад
Huna macho hauoni au ndo nyani haoni.......🤣🤣
@abbassalum6824
@abbassalum6824 4 месяца назад
Blaza umeangalia Pambano au umesikia kwa watu
@user-qd2mn7ml4f
@user-qd2mn7ml4f 4 месяца назад
nyie watanzania wezangu asilimia 90 wachawi seleman kamkanda vizuri sana ila refa nawahandawaji wapambano wanamalengo yakupoteza kidunda
@samirmswahili
@samirmswahili 4 месяца назад
@@user-qd2mn7ml4f utakua umeangalia pambano jengine maana kama una macho huwez kuongea zero🤣
@abbassalum6824
@abbassalum6824 4 месяца назад
@@user-qd2mn7ml4f Daah aisee we sio mzima ivi hivi unaandika Mwenyewe au unainjoy tu watu
@didamugya6039
@didamugya6039 4 месяца назад
Sijawahi ona hii popote duniani, Round inaisha bado sekunde 38😂😂😂😂
@user-zk4ob4ev9l
@user-zk4ob4ev9l 4 месяца назад
mnaosema kidunda kapigwa angalien Tena round ya kwanza Hadi ya Tisa ndo mseme watu hatupendan
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 4 месяца назад
Kapigwa bana ukitoa round3 zote kadonyolewa yemwenyewe kidunda anajuwa yule dogo nomaa na anajuwa kuwa majaji wamemlinda2 asizalilike
@andrewdaudi9968
@andrewdaudi9968 4 месяца назад
Kidunda fundi lakini huyo dogo Levo nyingine
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 4 месяца назад
Huyo dogo mpeni mwakinyo
@donmilzjuma6990
@donmilzjuma6990 4 месяца назад
Huyu bodia wa S.africa ebu mpeni mwakinyo tuone km atabaki salama
@ronymichael6396
@ronymichael6396 4 месяца назад
IMENIBIDI NIRUDIE KUANGALIA GAME NZIMA NMEGUNDUA WABONGO WENGI HAWAJUI MCHEZO WA NGUMI WANAANGALIA NANI KAVIMBA AU KATOKA DAMU SIO NANI ANA POINT NYINGI MAJAJI WAKO SAHIHI NA ISINGEKUWA KIDUNDA KUTELEZA ANGESHINDA PAMBANO KACHEZA VZURI SANA ✅
@hassannassoro5542
@hassannassoro5542 4 месяца назад
Kuvimba Kwa Mtu sio ndo kupigwa. hii Ngoma ni droo kweli. Msouth anamwili mkavu Ngumi Nyingi zimeingia lkn akuvimba. Kidunda Mwili wale uson ni mtenge lkn ananguvu Sana. Hii n droo kweli
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 4 месяца назад
Beautiful I like it amna upizani wote sawa ❤
@isayacharles1382
@isayacharles1382 4 месяца назад
Kidunda kapigwa
@MrishoMohamed-ey5zf
@MrishoMohamed-ey5zf 4 месяца назад
Ndio maana tunawaambia Tanzania bondia ni mwakinyo tu Azam mnataka kumshusha mwakinyo lakina hamuwezi
@zedekiahjulius6
@zedekiahjulius6 4 месяца назад
Kapambana na nan mzuri
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 4 месяца назад
Majaji watanzania mnazingua kidunda kadudwa😂😂😂😂😂
@anthonybanda8679
@anthonybanda8679 4 месяца назад
Bongo maswala ya boxing we need some improvement round inaishia katikati sio HAKI
@sebastiankaole702
@sebastiankaole702 4 месяца назад
Wee ulitaka Sele apigwe KO!Refa kamfichia aibu bingwa
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 4 месяца назад
Ndiomaan mwakinyo anahakikisha umalizi round sababu ngumi za kibongo siasa zimeingia Kama mpira
@danielmwita2136
@danielmwita2136 4 месяца назад
Kidunda kaguswa sana uso kwa kweli
@jofisdory2108
@jofisdory2108 4 месяца назад
Yani uyo kudunda alikuwa hayuko sawa kapigwa vizuri tu ,afanye mazoez Zaid bondia gani mwili umeregea Kama yusufu mlela ,
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 месяца назад
😂😂😂😂 yusuf yuko fiti
@user-rp8cn1kb5j
@user-rp8cn1kb5j 4 месяца назад
Hawa majaji watafunya nisiangalie vitasa kidunda kapigwa kabisa alaf wanasema drooo... very poor judgement
@user-vy9pz7sk4z
@user-vy9pz7sk4z 4 месяца назад
Ujuichochote
@ricklandennis
@ricklandennis 4 месяца назад
Ajui chochote nn ukweli tumepigwa msouth ni boxer anapigana kwa akili, kidunda ni fighter anatumia miguvu trust me hata wakirudiana kidunda anapigwa huyo msouth
@simondaudi4197
@simondaudi4197 4 месяца назад
Kidunda ni bora kuliko mwakinyo na kwenye hii mechi kacheza vizuri hakuna upendeleo
@JacqClem
@JacqClem 4 месяца назад
Liandaliwe pambano la hao wasemaji inaonekana wanajua sana mbinu nying😅😅
@brysonmandari5694
@brysonmandari5694 4 месяца назад
Maneno mengi hakuna kitu,mjeshi alikata pumzi.Kidunda alidundwa nashangaa kua droo
@charlesluzegea6721
@charlesluzegea6721 4 месяца назад
Kidunda umefanya vizuri sana
@Winstonfying
@Winstonfying 4 месяца назад
Mabondia wa bongo wajifunze kitu hapa, kulazimisha KO na kukamia ni kumpa nafasi mpinzani. Msouth toka round ya kwanza hadi tisa anapiga jabs tu, ana score points na anahifadhi pumzi. Pumzi ilipopungua kwa kidunda kaanza kufunguka ngumi za ukweli
@user-jk8yp8mk2c
@user-jk8yp8mk2c 4 месяца назад
Wachambuzi acheni unazi ngumi mchezo wa wazi Kila mtu anaona kidunda kabebwa tu
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 4 месяца назад
kinunda have a high power punch than msauzi but look at his face
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 4 месяца назад
Nmeangalia kwa makin sana ili pambano kuisha kwa droo ni sawa majaji walikuwa makin hakuna aliebebwa hapa
@vianmarcel818
@vianmarcel818 4 месяца назад
Nyie watangazaji wa ngumi ni moja kati ya viumbe vya hovyo kabisa kwenye huu mchezo, hamna weledi mmejawa tu na ushabiki..., jamaa anapigwa nyie mnasema anapiga... Poor pipo
@wazirimokiwa
@wazirimokiwa 4 месяца назад
kapigwaaaaa Azam mnaharibu mchezo mnambeba kidundaa
@nathanmmasi3890
@nathanmmasi3890 4 месяца назад
Kapigwa ilembaya kidunda uyu dogo tumkutanishe na mwakinyo tu amna jisi anapiga mpaka watu wazima
@salummohamedi7052
@salummohamedi7052 3 месяца назад
Kwa mwakinyo uyo dogo hatoboi hata round ya tano
@shukurually8769
@shukurually8769 4 месяца назад
Kidunda jana alipigwa wote tumeona ila majaji wameleta uhuni huyu msouth yupo fresh sn
@anthonymsemakweli9250
@anthonymsemakweli9250 4 месяца назад
Msauzi alishinda bila wasiwasi hapa
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 4 месяца назад
Wachambuz wanaharibu pambano, mkiamua kutangaza Kama mpira hakikisheni mnatangaza kwa pande zote, round ya kwanza kidunda kupigwa jab zisizohesabika hamsemi then round hii kidunda anapiga ngumi za shingo mnasema anashambulia huku kumbe hapigi target... Then mashabiki wanadhani kidunda anapiga kweli kumbe hamna kitu. Mtua anakayemuweza huyu kijana ni mfaume akiacha bhangi, salum mtango akiongeza uzito wa punch na pumzi, mwakinyo (anajua kucheza mapambano magumu na kushinda kwa point), na Ibrahim class coz anajua kucheza mechi ngumu na kwenda na Kasi yamchezo na anajua kushambulia haraka anaposhambuliwa
@JosephKillonzo
@JosephKillonzo 4 месяца назад
Upo sahihi mm niliondoka nilikata tamaa na wala sikujua matokeo asubuhi naingia youtube naona ngoma draw
@eliasmichael389
@eliasmichael389 4 месяца назад
dah! aliyepiga kengere ktk hil pambano hafai hata kidogo round y 10 kamaliza pambano wakat bado kuna sekunde 39 za kucheza na sheria sekunde 10 kabla ya kumaliza inatakiwa upige kengere y taarifa hla hakukua na ktu hiko, round y 11 kazidisha sekunde 30 na round y 12 kamaliza sekunde 28 kabla yani alikua anapiga pale anapojiskia km ingekua hak kidunda hasingemaliza round y 10 kwa hari aliyokua nayo
@opportunities2767
@opportunities2767 4 месяца назад
Kidunda anajitahidi ila Tz ngumi bado sana , Marekani ana uwawa uyu na madogo tu kama kina Devin Hanney
@BetraminoKayage
@BetraminoKayage 4 месяца назад
Tuache unafiki huyu dogo Yuko moto sana hapa kidunda kabebwa live
@loner_wolf
@loner_wolf 4 месяца назад
Huyu Wellem mjanja sana, anaruka ruka mostly kukuchosha tu , alafu mwepesi sana ktk jap na hiyo inamuweka huru muda wote na kukusoma papara zako ili akumalize
@hafidhahmedabdallah5027
@hafidhahmedabdallah5027 4 месяца назад
Dogo nilimfuatilia cku nyingi na alipotaka kucheza na kiduku mm nikajua kbsa kiduku atapoteza na kidunda alivyomtaka dogo pia nikajua kidunda atapoteza kutokana na uwezo,dogo yupo vzri sana ila kwa upande wa mashabiki wanaotaka huyu dogo acheze na TEMBO Hassan Mwakinyo mm nasema kbsa na Comment yangu ihifadhiwe vzri kama kumbukumbu,dogo atapigwa na hassan tena vibaya sana.
@AlphonceShija
@AlphonceShija 4 месяца назад
Naamn litatokea mwakinyo hamuwezi hata robo huyu mtu ww
@hafidhahmedabdallah5027
@hafidhahmedabdallah5027 4 месяца назад
Sawa Sawa kaka
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Mwakinyo hamuwezi huyu dogo.Mwakinyo atafumuliwa balaaaa,dogo ana piga si kitoto.
@hafidhahmedabdallah5027
@hafidhahmedabdallah5027 4 месяца назад
Dogo hawezi kushinda kwa Hassan
@lamecksabasaba9659
@lamecksabasaba9659 4 месяца назад
Kapigwa dogo faulo kacheza nyingi sana alitakiwa akatwe points
@innoboxerboxer3830
@innoboxerboxer3830 4 месяца назад
Bongo ili mpinzan ashinde had ashinde kwa k.o
Далее
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Просмотров 1,5 млн
Erali va Abdurozik Super Jang Bo’ldi
13:01
Просмотров 607 тыс.
My signature pose💪🏻
0:19
Просмотров 3,8 млн
Football
0:16
Просмотров 8 млн
Football
0:16
Просмотров 8 млн