Тёмный

Zifahamu Siri na Matukio 6 ya kihistoria ambayo kamwe hayatatatuliwa majibu yake 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 139 тыс.
0% 0

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 224   
@frankkayange7358
@frankkayange7358 Год назад
Wanaficha history ya waafrika..afrika kwa ujumla ndio bustan ya eden .
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Год назад
Waambie.
@runyerukamasemonaef5068
@runyerukamasemonaef5068 4 месяца назад
Ndio, ila inafichwa. Ingia google uliza " Jina la Africa kabla haijaitwa Africa. Ancien nom de L'Afrique. fr.m.wikipedia.org/wiki/Alkebulan#:~:text=Alkebulan%2C%20ou%20Alkebu%2Dlan%2C,europ%C3%A9ens%20de%20la%20p%C3%A9riode%20moderne.
@runyerukamasemonaef5068
@runyerukamasemonaef5068 4 месяца назад
Someni Mwanzo 2:8-12, Alafu tafuteni vinavyo andikwa hapo vinapatikana katita Inchi gani ya Africa. Na hiyo ndo Shamba la Eden. Sfr.m.wikipedia.org/wiki/Alkebulan#:~:text=Alkebulan%2C%20ou%20Alkebu%2Dlan%2C,europ%C3%A9ens%20de%20la%20p%C3%A9riode%20moderne.
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Год назад
Kifo cha JPM, ndio fumbo kubwa lkn ninaimani litafunguliwa karne zijazo, Maana mwanzo alipewa sumu kwakua alinusurika akatuambia kunawatu wamejaribu kumuua sasa amekufa kweli hakuna wakutuambia ukweli
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
😂😆😆😆😆 JPM kaliwa na wazungu mze bb. Mzungu ukienda kinyume nae ujue ww huna mda mrefu duniani. Mimi naamini hivyo maana JPM alipinga sana harakati za udhalimu za wazungu dhidi ya watanzania.
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Год назад
JPM alipewa sumu Dodoma wakati akiwa Waziri wa Ujenzi sio wakati akiwa Rais. Wabaya wake kimantiki hawawezi kuwa ni wale wale.
@alisonikihedu9614
@alisonikihedu9614 Год назад
Hata Mimi naamini magufuli hakufa kifo Cha kawaida itavuja siku zjazo kama tutakua hai
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Hahahahaha
@nancyg8664
@nancyg8664 11 месяцев назад
@@humphreymwihambi4330 mh
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Год назад
Dah Sky Umeshindikana... Bless up sana
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 3 месяца назад
Kuhusu Bustani LA Eden ni vigumu kuitambua location yake kwa sababu lile garika LA Nuhu lilichafua kila kitu hata fuvu za watu WA zamani zilizopatikana Africa (Tanzania) huenda lilibebwa na garika na kuliacha Africa...
@josepherima8349
@josepherima8349 Год назад
Yap safi kabisa kulingana maelezo yako na uchungusi wangu binafisi bustani ya Eden bi zemu kumwa ya ndunia sindo kama nilifo firia awali
@fanulibopezzuto336
@fanulibopezzuto336 Год назад
Unaandika Nini wewe
@elizabethlukumay613
@elizabethlukumay613 Год назад
@@fanulibopezzuto336 😆😆😆 hajui kusoma itakuwa
@vitusjackson1354
@vitusjackson1354 Год назад
Bustani edeni baada ya uasi wa adamu mungu aliificha ikatoka kuonekana kwa binadamu aliyebeba mwili wa nya na kuwekwa kiroho ili uone lazima ufe uwe katika roho tu
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 Год назад
Hongera kaka kwa kipaji
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 Год назад
fredrick bundala nakupenda unasauti yako nzuri
@zenakhalfan1427
@zenakhalfan1427 Год назад
Kaka bustani ya Eden iko Tanzania ninayo clip inayoelezea mahali haswaa ukitaka naweza kukutumia
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 5 месяцев назад
Naiomba
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 Год назад
simulizi ya alexander the great wa masedonia mzee naitafuta sana hasa ukisimulia ww mr sky
@allykhamis7985
@allykhamis7985 Год назад
Sky mnapndaa story za kiyahudii na kinaswaraaaa lazimaa wawapotzee fuatiliaa que anni yko wazi yte hyo hta usiumizee kichwaa ,mwitee dokta sulee shkhee ponda utaona ufumbuzii wa yte hyooo
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Год назад
Wao pia wamezaliwa wamekuta hayo yalishatokea watajuaje yako wapi nawakati nawao walisomatu uhakika nahayo unahisi wanayajua hawana wote tunabaki tunasoma tu kama story lakini ukwel hakuna anaejua
@aloycemwambwiga2318
@aloycemwambwiga2318 Год назад
Safi sana!! ... (wana akiolojia)
@erastompongo8400
@erastompongo8400 Год назад
Nafikiria Kwanini bahari halikauki wakati Jua linakausha vitu vingi tu
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 Год назад
Bustani iko Afrika tena hata imepita hadi Tanzania. Ni vile Mungu anawaficha hawa panya wakijua lazma watatusmbua maana wao wanataka kila kitu kitoke kwao. Hata Adam na Eva si walikuwa Tanzania ama ni uongo si wao walisema waligundua fuvu la mtu wa kale Tanzania basi alikuwa ni Adam ila hawataki kusema. Kenge kabisaa kutaka kushindana na Mungu tu. Wazuie kifo sasa😏😏
@realscholarships-bolde.2344
Nina mawazo sawa na wewe... Ukiangalia Tanzania tunaspecies nyingi ambaZo nchi Zingine Hakuna.
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Год назад
😄😄😄😄😄
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Год назад
Ha,ha,haaaaaah
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Год назад
🙌🙌🙌
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
🤣🤣🤣bustani ya eden ipo mbinguni baada ya dunia kusafishwa na moto Mungu ataishusha tena🥰🥰
@Ramadhaniomary-kr3le
@Ramadhaniomary-kr3le Месяц назад
Hawa wazungu pumbavu kabisa wametuweka bize na vitu vya kusadikika wenyewe wanajenga manchi yao kwatuibia ss waafrica
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Nice one 🙏👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@mr.romancer9160
@mr.romancer9160 Год назад
Kuulizia pepo ilipo hiyo ni dhambi ni sawa na kuingilia siri za Mungu
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Год назад
Ni kweli maana hata bustani ya eden nahisi ni peponi sasa na hiyo bustani haipo duniani
@anchortechnicx5014
@anchortechnicx5014 Год назад
Kuchunguza Siri za Mungu ni moja za maarifa pia yeye mwenyewe ameruhusu kumchunguza
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Год назад
aacheni upuuzi..... Yaani tusichunguze. Km ni uongo wa wazungu na waarabu je?
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 Год назад
Mie naulizia motoni ni wapi
@jojo-ne3oy
@jojo-ne3oy Год назад
@@mariamramadhani3860 🤣🤣🤣
@angelique10
@angelique10 Год назад
Nimewahi kujiuliza hilo swali la sanduku la agano liko wapiiiiii
@nikitalucas2323
@nikitalucas2323 Год назад
Saduku lipo linamilikiwa na kabila mbili za Israel ambazo ni Benjamin na yuda
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 Год назад
Bustani ipo huko peponi kabla hawajaja duniani
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb Год назад
Kwahyo duniaa iliumbwa kwaajili ya nani na Eden kwaajili ya nani?
@dunialehani6188
@dunialehani6188 Год назад
Wenye azina kubwa ya ulimwengu kipindi cha empire Roma wenye ukweli kwa sababu wao wali dumu kuwa na nguvu kwa mdaa mrefu sana
@juniorivany9087
@juniorivany9087 Год назад
Hakuna cha fumbo apo hakuna ukweli wowote Mungu hapingiki wala hajaribiwi
@prisca1548
@prisca1548 Год назад
Napenda sana kujua ukuuu wa mungu
@Hamidhamid-xe8dz
@Hamidhamid-xe8dz Год назад
Good job bro ubarikiwe
@mucci_AI
@mucci_AI Год назад
Yaan vitu vyote unavo sema n vya kufikirika havina ukweli kbsa
@shidashida6060
@shidashida6060 Год назад
Asant Sana,.wajenzi wa Manara wababeli waliongea lugha moja mwanzo kabla,ni lugha gani hiyo moja waliokuwa wakiionge?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Mbarikiwe saaana
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Год назад
Story mzuri sana 🙏🇹🇿🇬🇷
@prisca1548
@prisca1548 Год назад
Braza natamani sana kujua izi stori niambie wapi nitapata Aya maarifa
@francisrichard5033
@francisrichard5033 Год назад
Egypt pyramids and the sphynx.... nazo zina utata mwingi!!
@BMT2023
@BMT2023 Год назад
Africa nEden kaka iko pal Ngorongoro Crater. Nasikia kikombe cha Yesu na Sanduku la agano wanalo Freemaa.
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 Год назад
Wazungu wajanja sana, hayo mambo ya adith za kidini inaonekana ni uongo dhahiri ndmn mabaki yake hayapo
@Juliuskayombo-tu8rk
@Juliuskayombo-tu8rk 3 месяца назад
Mmhl bro nataka kujuh meng kuhusu hidden things pliz🙏🙏
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 месяца назад
Tatizo wanayofanya tafuta hizo zote ni wachawi na ibilisi hivyo mungu nae kawapofusha wasione
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 месяца назад
Wazungu walikua ilipo watawahamisha webyeji hatakwakuwauwa wote
@goldenteotv9118
@goldenteotv9118 Год назад
Nice documentry ❤
@mariamtambwe8665
@mariamtambwe8665 Год назад
❤❤❤❤❤ I love history thank you sky for being there to us
@rayveenickdee7227
@rayveenickdee7227 Год назад
Nitafute
@parmondgoodboy8590
@parmondgoodboy8590 Год назад
I love you❤
@jumakhalid5554
@jumakhalid5554 Год назад
Yesu hajasulubiwa acheni uongo
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 Год назад
Yesu amesulubiwa ukubali ukatae litabaki hivyo ilivyo.
@nasibndaro6281
@nasibndaro6281 Год назад
jolini kimaro read Quran chapter 4 verse 157 -159
@nasibndaro6281
@nasibndaro6281 Год назад
juma khalid huyo nmempa aya katika Quran aende ajisomee apate ushahidi kamil
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 Год назад
@@nasibndaro6281 hiyo aya msemaji anatoka maka miaka 600 baadae ambaye wala hajui kusoma na kuandika analeta habari nyingine. na ujue hiyo aya haisemi hakusulubiwa inasema. inawaambia wayahudi wakipindi hicho. na ujue kifo cha yesu ni kitu kilitabiriwa toka kipindi cha musa.
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 Год назад
@@nasibndaro6281 quran yenyewe allah anasem "nitakufisha kisha nikuinue kwangu" maimamu wakubwa wanakubali neno "kufisha" maana nitakuua alafu leo mtu aseme yesu hakufa. ni mazoea tuu maana wakwanza kisema yesu hakufa alikuwa ni shetani.
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 Год назад
Haiwezi kupatikana kwa sababu hakuwa malkia wa kweli
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Год назад
We unajuaje ulikuepo enzi izo au na ww unasoma tu alafu unaamini ivyo
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Год назад
Wakalikague na sanduku lile la bagamoyo
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Год назад
ahahaha tulienda kuiba na mzito sana inawezeka kutakuwa na(...)ukifika pale alifunguki ka Mkubwa
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Год назад
Watalifunguaje ??
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@paschalmk313
@paschalmk313 Год назад
Ikiwa oxygen ndiyo inatufanya kuwa hai mbona mtu akifa akiwekewa oxygen hafufuki? 👍🏻@sns
@leylasalim9380
@leylasalim9380 Год назад
Kweli usemayo uhai ni wake Allah SW anausarifu atakavyo km kuumwa n.k
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Год назад
Kwasababu ukiweka oxygen kwa mtu aliyekufa unakuwa unaweka oxygen kwenye mwili. Kinachokufa ni roho. Mtu sio mwili ni roho inayoishi kwenye mwili.
@one2tell508
@one2tell508 Год назад
Mtu hutumia oxygen akiwa hai, akikosa uhai hawezi kuitambua hata hiyo oxygen
@valvederraymond6125
@valvederraymond6125 Год назад
@@humphreymwihambi4330 MTU sio roho MTU ni pumzii
@mussalameck2166
@mussalameck2166 Год назад
Inasemekana kua Mungu munyewe aliuporomosha huo mnara japo sikusoma vizur kuhus habari hiyo ila niliambulia kidogo tuh
@messaabbas739
@messaabbas739 Год назад
Thanks Sky #SNS,, never disappointed us,,❣️❣️❣️
@januarykirunga5351
@januarykirunga5351 Год назад
L
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Год назад
Watu Wana sema lipo Tanzania Arusha
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o Год назад
😂😂😂😂
@hadijamussa3136
@hadijamussa3136 Год назад
I like❤️❤️
@bishweko
@bishweko 7 месяцев назад
La kujiuliza ni Nchi waloahidiwa Waesrael iko wapi? Je walijuaje ni Parestina wakati hawakufika?
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 9 месяцев назад
MI NAOMBA UTUSAIDIE KUSEMA HILI MOJA KUWA NI NANI ALIILOGA AFRICA?
@restkalemile5274
@restkalemile5274 Год назад
Binadam waovu wa vizazi vya leo hawawez kuviona wla kuvipata vitu vitakatifu
@user-dz3rl1ki6u
@user-dz3rl1ki6u 4 месяца назад
Aise hii nimeipenda ubarikiwe Sana kwa fikra nzuri ya kiroho
@allykhamis7985
@allykhamis7985 Год назад
Kaka hyaa mmboo kwenyee Kur anii yapoooo waziii na sio mageni taftaa shekhee umuhijii kuhusuu hiliii
@S1rb0ny
@S1rb0ny 3 месяца назад
KUHUSU SANDUKU MAJIBU YAKO HAPA UFUNUO <a href="#" class="seekto" data-time="679">11:19</a> Hekalu la Mungu mbinguni likafunguliwa, na Sanduku la Agano lake likaonekana Hekaluni mwake. Kisha kukatokea umeme, sauti, ngurumo, tetemeko la ardhi, na mvua kubwa ya mawe.
@deidrim86
@deidrim86 Год назад
Baab = Gate Eli = God Babeli inamaanisha LANGO LA MUNGU, wala sio MACHAFUKO kama baadhi ya vitabu vinavyosema
@juniorivany9087
@juniorivany9087 Год назад
Ukifikiria vizur kwa upeo mzur utagundua hakuna ukweli wowote apo,ndo maana ikaitwa history
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Год назад
Kwani history maana yake ni uongo? History ni kumbukumbu ya mambo yaliyotokea zamani
@juniorivany9087
@juniorivany9087 Год назад
Kumbuka binadamu tulikuwa sokwe au hukusoma history
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
@@juniorivany9087 huo ndio ujinga kuamini ulikua sokwe lkn sns ametoa yaliokweli ya zamani ambayo si kusadikika
@erickfrank6362
@erickfrank6362 Год назад
History is about fact bro history n kweli tupu coz history is about evidence and fact history is about science history is everything
@jumajoseph9353
@jumajoseph9353 Год назад
history is a past event
@kimwalove
@kimwalove Год назад
Sky hii historia enye unaitoa unatupa naomba tuitaftir jina kama vile wasafi wana story book please
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Год назад
Kweli kabisa, umeongea na nafasi yangu
@princehancesam9892
@princehancesam9892 Год назад
Bustan iko Tanzania mlima kilimanjaro
@rashidsauti2786
@rashidsauti2786 Год назад
Well done❤
@jameswisdomtz8580
@jameswisdomtz8580 Год назад
Simurizo nzuli sana kweli
@KAIHULAKATUNZI-th9gt
@KAIHULAKATUNZI-th9gt 6 месяцев назад
Nice
@bongolife5448
@bongolife5448 Год назад
Nice story
@nasryabdala908
@nasryabdala908 Год назад
Unaongelea bible tuu fuatilia na Quran majibu yako wazi huangaiki tena kutafuta
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Bustani ipo peponi na peponi ipo binguni
@augustinomlowe8059
@augustinomlowe8059 Год назад
jamaa wakijua kama sasa hivi mbinguni ni kugusa tu watajsikiaje hao babeli
@jennahyahaya9117
@jennahyahaya9117 9 месяцев назад
🙌🙌🙌🙌
@fredymotela4858
@fredymotela4858 11 месяцев назад
Lakini hakuna siri kwenye bustani maana kama ni edeni ndiyo zayuni mpya na kama ndivyo basi edeni ipo mbinguni maana siku tatu baada ya eva kuumbwa alokosea na kuhamishiwa duniani na kuahidiwa kuingia edeni mpaka Yesu atakapokuja kuokoa kizazi chake , kama ni wapi Adam aliishi ni kusini mwa dunia ila baada ya ghalika Mungu aliwahamishia Magharibi kama alivyomuahidi Adamu kabla hajafa na alivyo ahidiwa Enoch
@salimkatama3262
@salimkatama3262 Год назад
Binadamu wa kwanza aliishi Africa na sio huko mnako Tanga Tanga kkutaja
@jumahasani9602
@jumahasani9602 Год назад
Tanzania
@MNexNexI
@MNexNexI 3 месяца назад
Good
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Год назад
Hivi vipindi vya makala uwe unavipa title mkuu.. kwa ushauri
@Life10061
@Life10061 Год назад
Mwazo hio busitani ya edeni nazani pale irak
@rachellebahati6126
@rachellebahati6126 Год назад
Eden ni sudan
@charlesdaniel6212
@charlesdaniel6212 Год назад
Hizi ndo vitu tunataka siyo mnatuletea cjui dj nani haeleweki anacho ongea yaan ni kuruka ruka tu kama maharage yanayo chemka
@moganfred6473
@moganfred6473 Год назад
Incredible
@user-zn1db2kp5h
@user-zn1db2kp5h 5 месяцев назад
No way
@jacquebanio7622
@jacquebanio7622 Год назад
Ansate na histoire
@lostjournals9859
@lostjournals9859 Год назад
Vingne tulipigwa na kitu kizito
@hansiempire5093
@hansiempire5093 Год назад
Eden ..Iraq
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Год назад
Bro kichwa cha habari hapo kina makosa
@bishweko
@bishweko 7 месяцев назад
Bustani la Edeni litafute ndani ya Qur'an. Utalijua liko wapi.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Iraq ina story nyingi sana
@aimableassumani2340
@aimableassumani2340 Год назад
Biblia ni uongo unadhani bustani ingekuwa Asia kisha mfupa wa mtu wa kwanza ku kutwa tanzania ?wawafrika tufikiri vizuri
@nelsonlaiza284
@nelsonlaiza284 Год назад
We mkali
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 7 месяцев назад
Bustani ipo sri lanka
@tinithegreatest654
@tinithegreatest654 Год назад
Hongera Kwa content nzuri na yenye kuvutia japo bado nahisi tunahitaji kujua kiundani Zaidi hata wewe pia bado Una hitaji kujua Zaidi na ukisoma kwenye Qur'an nadhan mambo mengi yapo kule jaribu pia kuifuatilia Zaidi Bible ving wanaficha Kwa mfano mnala wa Babeli sio ni machafuko au kutoelewana
@finiasezra7072
@finiasezra7072 Год назад
Wanakuficha ili wapate nini kwako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
@@finiasezra7072 WAULIZE WAFICHAJI WAO NDIO WATAKUJIBU.
@josephlorri431
@josephlorri431 11 месяцев назад
Au alete waandishi wa Qur'an na mazingira yake..
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Год назад
Mjumbe Yesu alitoka wapi?
@tynahkidoti2732
@tynahkidoti2732 Год назад
Khaa nonsense
@omarysalim6876
@omarysalim6876 Год назад
🙏🙏🙏ukovizuri mkuu
@pierreenock339
@pierreenock339 Год назад
Never disappointed Sns for ever
@user-tj3rg1vl9e
@user-tj3rg1vl9e Год назад
Ok
@Mrofficial_forex
@Mrofficial_forex Год назад
Nataka story ya gengis khan
@lukasjoel9105
@lukasjoel9105 Год назад
Yanaweza kutatuliwa
@amimuramadhan2733
@amimuramadhan2733 Год назад
Ni mekupata
@fredmapunda
@fredmapunda Год назад
Sanduku laagano ina semekana lipo kwenye msikiti mkuu uko utuluki
@abdulkabila787
@abdulkabila787 Год назад
Kush ni Sudan
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Год назад
Ethiopia
@venancephilbert9397
@venancephilbert9397 Год назад
Ukanda hii wote yaan Sudan Ethiopia Eritrea na somalia zote ziliitwa kush enzi zile
@nakakyumile798
@nakakyumile798 Год назад
Waandishi hasa wa afrika mmekuwa watumwa na wapokea propaganda toka kwa vyombo vya wazungu na kuusambaza kwetu ili tuamini kuwa yesu alikuwa mzungu!ona vipicha hivyo mnavyozionyesha jamii zenu!waigizaji weupe toka hollywood ndio mnaijulisha jamii kuwa ndio mitume au manabii!aibu kwenu mmekuwa wapuuzi mno
@user-zb2zm2gy5x
@user-zb2zm2gy5x 8 месяцев назад
😊
@allykhamis7985
@allykhamis7985 Год назад
Ktk kitabu takatifuu Cha Quran utapta ufumbuzii wa kula kitu kwan kwa kila kitu kimewekwa wazii kaka sky
@finiasezra7072
@finiasezra7072 Год назад
Adam alikula tunada gani kama kweli kuna majibu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
@@finiasezra7072 MBULA
@gatekanene5753
@gatekanene5753 Год назад
Kama Quran inamajibu yote baba yake IBRAHIM jina lake nigani? Quran ilicop kwa Bible ndomana Quran haiwezi tow majibu yote kwanz nikitabu kilico kuja nyuma kbs na kikakuja kupinga yale yaliyo tanguliya sasa kama nikitabu ca kupinga maneno ya MUNGU iweje ten kitowe majibu? Quran nilisom vizur hata aiwezi kusema story kuanza mwanzo hadi mwisho inakata tuvipande vipande kwa sababu wamecop kwa Bible .
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
@@gatekanene5753 KONDOO WEWE VATICAN HAJAKOSEA KUWAITA KONDOO NA KUWAWEKEA WACHUNGAJI WEWE KONDOO MAMAKO KONDOO BABAKO KONDOO USIKATAE MR.KONDOO
@gatekanene5753
@gatekanene5753 Год назад
@@salimmalaka256 ukweli unauma eeee mbona povu lakutoka Quran si kitabu ca Mungu marehemu muhammad hajawahi kuw mtume wa Mungu iyo ni micongo meza na hiyo kisha ubwatake ten inauma ila itabidi uzoweye pol san
@J4UPro
@J4UPro Год назад
Safi sana mkuu
@oscarkariongi2101
@oscarkariongi2101 Год назад
🔥🔥
@hildapaul5422
@hildapaul5422 Год назад
Eden ipo Iraq
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Год назад
Afrika
@hassanhamisi9891
@hassanhamisi9891 Год назад
iyo bustan ilikuw huko waliko umbwa
@geofreyj.1986
@geofreyj.1986 Год назад
Ever burning lamp zipoje blood
@abouayman8713
@abouayman8713 Год назад
soma quran utajua
@bullychandy6509
@bullychandy6509 Год назад
🙌🙌💯
Далее