Тёмный

Historia ya MANGI MELI wa WACHAGA Aliyenyongwa na Kichwa Chake Kuchukuliwa na Wajerumani 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
Hii hapa Historia ya Meli, Chifu wa Wachagga aliyepambana na Wajerumani karne ya 19 waliotaka kuitawala Kilimanjaro, alifanikiwa lakini mwishowe alishindwa baada ya kusalitiwa na Wachagga Wenzie ambapo alinyongwa mwaka 19000 na Wajerumani na kisha kichwa chake kupelekwa ujerumani.
_______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#tanzania #africa #travel #safari #nature #wildlife #photography #serengeti #travelphotography #love #travelgram #wildlifephotography #adventure #instagood #wanderlust #naturephotography #photooftheday #animals #instatravel #zanzibar #beautiful #explore #wild #picoftheday #kilimanjaro #travelblogger #natgeo #lion #holiday #trip

Опубликовано:

 

16 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
I'm here. Chat with me. Thanks for watching!!
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 8 месяцев назад
Natamani kuijua historia ya Tippu Tib ambae ni mzaliwa wa Zanzibar alie kua akijipatia utajiri kwa kushirikiana na waarabu kuwauzia watumwa jina lake la kuzaliwa ni Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab.
@ambrosefelixshayo6568
@ambrosefelixshayo6568 8 месяцев назад
Hongera kwa kufuatilia history ya Mengi Meli naomba uulize Serikali waliwezaje kufuatilia kichwa cha Mwinyigumba Mkwawa wasifuatilie hivyo vingie pia rudi mkoani Kilimanjaro kafuatilie mahandaki ya vita Wachagga walikua wanayatumia wakati wa vita
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 11 дней назад
@@ambrosefelixshayo6568 ujue nn serekali imeweka sana nyuma historia ya machifu wa kaskazini cjui n kwann wakati shuleni tumefundishwa machifu wa mikoa ya kusini ila kaskazini hatujafundishwa ila yote haya n nyerere
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 7 месяцев назад
Hongera sana Kombe kwa documentary hii. Serikali ya Tanzania iharakishe mchakato wa kurudisha mafuvu ya mashujaa wetu toka Ujerumani. Hizi kumbukumbu ni muhimu sana kwa historia ya Tanzania na pia ni namna ya kuvutia watalii.
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 2 месяца назад
Kweli
@onemedia5010
@onemedia5010 8 месяцев назад
Nzuri mnoo. Hongera kwa makala nzuri.
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 19 дней назад
hongera sana mzee kwa kufika umri huo na uko na nguvu yako
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s 4 месяца назад
Nimekuelewa Sana Mr tembelea nyumba ya Mungu leta historia na ziwa Chala
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Shukran sana. Nitafanya hvyo panapo majaliwa. Please subscribe ili uendelee kupewa taarifa mpya
@suzankawishe6154
@suzankawishe6154 5 месяцев назад
Una nguvu sana mungu akubariki
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 2 месяца назад
Jamani wachaga tuungane warudishe historia yetu
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 8 месяцев назад
Umejitahidi historia ya wachaga japo umekuja kivingine ila yapo mambo mengi sana ya kichaga hujayasimulia na hayopo Tanganyika nzima na ndio watu wakwanza kuona Mwezi
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Kweli kabisa. Nimekuja kivingine kuona namna nzuri zaidi ya kuwashirikisha nyinyi wafuatiliaji wangu. Ahsante sana kwa kufuatilia.
@corrolesscps
@corrolesscps Месяц назад
Mmmmmmhh!!!!!! African, Yaani wenyewe kwa Wenyewe Yaani ni kazi kuaminiana, toka enzi hizo mpka leo
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 месяцев назад
Historia yako ni nzuri
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Nashkuru sana. Ahsante pia kwa kufuatilia. Uiache kushare pia kwa wengine. Barikiwa!
@SudiNahoda
@SudiNahoda 8 месяцев назад
Nzuri kwa History yako
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Shukrani sana kwa kufuatilia
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 19 дней назад
nenda kilema ya marangu mtaa unaitwa kimaroroni kwa mangi sina
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 2 месяца назад
Yani walinyongwa na wengine 10
@user-mh4ib8ly2c
@user-mh4ib8ly2c 8 месяцев назад
Nimeona jina la mangi lobolu wa meru kumbe nayey alinyongewa hapo
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Yes, nae alinyongwa hapo. Jumla walikua watu 19
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 2 месяца назад
Yani jamani tujifunze historia yetu
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 8 месяцев назад
Historia ya wasambaa fupi sana Kimweri watu wenye matumbo meupe yaani wazungu aliwashangaa akamuuru wapewe sehemu isiyo ota kitu kwenye miamba na mawe Kimweri alipofanya hivyo akijua patawashinda wakimbie alipokwenda kuwatembelea kama bado wapo alishangaa kukuta wajerumani wametumia yale mawe kujenga nyumba Stori imeishia hapo week ijayo ntakupa ya Amboni na mapango yake kilimo Cha chai nk
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Ahsante sana. Barikiwa sana kwa kufuatilia na kwa maoni yak
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 8 месяцев назад
Natamani kuijua historia ya Tippu Tib ambae ni mzaliwa wa Zanzibar alie kua akijipatia utajiri kwa kushirikiana na waarabu kuwauzia watumwa jina lake la kuzaliwa ni Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab.
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 8 месяцев назад
Waarabu hawahusiki kabisa na utumwa.mbona hakuna vita ya waarabu na waafrika? Watemi wote waliopigana na mgerman walikuwa karibu sana na waarabu ndio maana wote walikuwa waislamu.kwanza huwezi kukuta picha ya mwarabu na mtumwa ukikuta utakuta ni ya kuchora
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 8 месяцев назад
@@mohammedamour4930 unavyo watetea utadhani miungu ya kwenu, nenda kaishi kwenye himaya zao urudi na ushuhuda, alafu mtu kua mwarabu haimaanishi ni mwislam waarabu wakristo pia wapo,ndugu chunga history ujue ni wapi wazee wetu waliuzwa na ni aina gani ya wakoloni walio kuwepo
@user-wt7lx5hp6f
@user-wt7lx5hp6f 8 месяцев назад
Cjui kwann kwenye profile picha umetumia watu waliovalia mavazi ya kimasai, je unadhani wana uhusiano?
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Huyo wa katikati ndio Mangi Meli. Ukitazama hata katika picha nyigine kuna mavazi mangi yaliyokua yakifanana na ya Wamasai alokuwa kivas
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 19 дней назад
Zamani walikuwa wanavaa mashuka ad leo uchagan wazee huvaa mashuka kama mablanget
@chazjerome9999
@chazjerome9999 8 месяцев назад
Tupe Historia Ya Wasambaa
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Shukran sana. Nitalifuatilia pia.
Далее
🏟️👋 Welcome to your new home, Kylian Mbappé!
00:14
HISTORIA YA CHIFU WA WACHAGA ALIYEULIWA NA WAKOLONI
3:19