Тёмный

Mwanzo Mwisho Historia na Utata wa Mauaji ya IMRAN KOMBE Mkurugenzi wa Zamani wa USALAMA wa TAIFA 

Charles Kombe
Подписаться 155 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #charleskombe
Historia ya Meja Jenerali Imran Kombe, Mkurugenzi wa Zamani wa Usalama wa Taifa aliyeuawa na Polisi wa Tanzania mwaka 1996 akihisiwa kuwa Mwizi wa gari.
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#railing #designer #architecttips #designtiktok #safeafrica #safe #safetyfirst #buildingdesigners #africancheck #viral

Опубликовано:

 

5 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@humphreychristopher8577
@humphreychristopher8577 17 дней назад
Ajabu sana! Askari shupavu, mashujaa, wabobevu kwenye upekuzi na upelelezi, wasomi kwe vyuo vinavyoamika...tehe! Wote wsione plate number ya gari wathibitishe, wote wanamwinda mtu wasiyemfahamu kwa sura, rangi na umbo. Ajabu sana! Msimumulizi wa sakata hili pia hakutafiti vizuri kabla ya masimulizi
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 7 месяцев назад
One of the finest Legend soldier of JWTZ i ever hear.
@georgemwakalindile687
@georgemwakalindile687 13 дней назад
R.I.P Baba zetu .IMRAN KOMBE,TUMAINIELI KIWERU AND MARTIN MWAKALINDILE...waliingia JWTZ pamoja,walienda kozi ya utawala pamoja nchini Uingereza...wote walifika wadhifa wa Chief of Staff wakati tofauti.....kifo cha Imran Kombe kilimuuma sana Baba yangu... Hali ile niliwahi kuiona alipo fariki Edward Moringe Sokoine...Mungu awalinde mlipo....
@leokamil6284
@leokamil6284 12 дней назад
R.I.P poleni sana
@josephtarimo6521
@josephtarimo6521 5 дней назад
Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani mashujaa wetu
@josephtarimo6521
@josephtarimo6521 5 дней назад
Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani mashujaa wetu
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Mkapa anajua alipo mpeleka .kwani uchaguzi wa 1995 mkapa hakushinda uchagu na huyo alitumika kumpitisha baade walitofautiana mkapa akamwondo na kumpeleka na yeye alipo enda .
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 3 дня назад
Bongo ukiwa hutaki upumbavu na ukiwa very streight basi lazima uuliwe tanzania bwana mimi nipo Durban KwaZulu-Natal huku kuna umafia sana lakini Tanzania umafia upo serikalini r.l.p jpm wetu na viongozi wengine wote ambao wanapenda maslahi ya watanzania
@remmyyasinti1939
@remmyyasinti1939 2 месяца назад
Kazi nzuri kaka
@user-wx4ok9fx4v
@user-wx4ok9fx4v 4 месяца назад
Nikutokuwa makini kwa kazi yao. Hata namba za gari hawakuangalia. Lakini ni fundisho kwa wengine
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 18 дней назад
Picha ya Habyarimana,Rais wa Rwanda vinahusiana nini na maelezo haya?
@FilbertRobert
@FilbertRobert 15 дней назад
Daaah! Hatari sana 😢
@user-ty8xn6pv1y
@user-ty8xn6pv1y 15 дней назад
Innalilah Wainnailaih rajiun. Allah ndiye mjuzi.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
😢yani mnauwa mkijua na nyinyi hamtakufa.Mimi kwa imani yangu mkapa aliusila kuumuuwa kombe asilimia mia .kama kweli mimi ni mwongo Mungu anisamehe
@arnoldkimaro407
@arnoldkimaro407 19 дней назад
No comments.
@dismaskombe5092
@dismaskombe5092 7 месяцев назад
Naaaaammm
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 8 дней назад
Na ili ujue kuwa ulikuwa ni mpango wafungwa wote wawil waliohukumiwa kifo walikuja kuachiwa kwa msamaha wa raisi kikwete... Mungu anajua ya siri na ya dhahir na anahukumu juu ya hayo yote...
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 19 дней назад
Nimeisikiliza kwa makini sana simulizi hii lakini imeacha maswali mengi badala ya majibu. Mfano, ukweli halisi wa kifo chake bado ni tata, kuondolewa serikali kuhusika sababu hazitoshelezi
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 8 дней назад
Polisi walijua wanamuua nan na nan aliewatuma pia alijulikana... Siku alipouawa alikuwa ametoka kuonana na mrema pale kizi hotel...
@juliusmwakaleja2811
@juliusmwakaleja2811 3 дня назад
Pia polisi wanahitaji elimu. Polisi waliotajwa hapo ni wa vyeo vya chini sana. Elimu elimu, na tena elimu. Na sisi wananchi tunahitaji elimu ya Sheria ili tuweze kuelewana na vyombo vya dola.
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 4 месяца назад
Nafikiri ni uoga tu wa Maafisa wetu lkn hakukuwa na njama yoyote ovu Allah ni mjuzi zaidi R.I.P KOMBE
@ramsonmugisha961
@ramsonmugisha961 14 дней назад
Hiyo picha ni ya marehemu Rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana sio huyo kombe unaemsema
@josephtarimo6521
@josephtarimo6521 5 дней назад
Ni kweli kabisa
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 15 дней назад
Charles kombe unahusian vipi na imran kombe
@kevintruman9981
@kevintruman9981 4 месяца назад
RIP Lt colonel Imran kombe hakika hii sio fair police department daah
@thespaniardinme
@thespaniardinme 4 месяца назад
*Lt. Gen. na si Lt. Col. Lt Gen ni mkubwa sana jeshini, kama Chief of Staff, akiwa chini tu ya General (Chief of Defence Forces kwetu), kama Mnadhimu Mkuu wa Jeshi (Chief of Staff), ilhali Lt. Col. yuko chini hata ya Col (Kanali) jeshini
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 20 дней назад
Safi sana kutuelimisha vyema.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 7 дней назад
Hakuwa luten canal..alikuwa luteni generali...
@juliusmwakaleja2811
@juliusmwakaleja2811 3 дня назад
Kwa maoni yangu tu. Ukiwashiwa taa na police simama.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
👊✌👍.
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 10 дней назад
Asante sana kwa ufafanuzi huu mzuri ila pia nawaza kumbe Daniel Arap Moi na Rais my a Rwanda na Mabutu Seseseko walikuwa wamepangiwa kuuwawa? Nilizani ni Rasi Habriyamana tu wa Rwanda ndio aliyeuwa kumbe hivi video havikua vya kawaida? Je nani aliyehusika kununua Daniel Arap Moi?
@mussaissa6796
@mussaissa6796 17 дней назад
WALIMUUA MAKUSUDI TU, NA NI KWA KUWA ALIONYESHA WAZI NIA YA KUJIUNGA NA CHAMA FULANI CHA SIASA JAMBO AMBALO NI HATARI KWA SERIKALI KWA MTU AINA YAKE KUTOKA KWENYE CHAMA TAWALA NA KUINGIA CHAMA PINZANI,KWA KUWA ANAJUA SIRI NYINGI ZA SERIKALI NA CHAMA TAWALA. NAWAZA TU MSINITOLEE MIJICHO.
@kinanaomar
@kinanaomar 7 месяцев назад
Itakuwaje uwatume makachero watafute gari lililo ibiwa bila ya kumjuwa mwizi wala gari lililo ibiwa na kuanza kufetuwa risasi kwa mtuhumiwa mpaka kumuwa hiyo ni report ya kimazinga umbwe tu na jeshi la polisi wa serikali ya Tanzania hawaja bobeya kuwa makachero wazuri na hilo lime sababisha mwisho umri wa marehemu na umri wao wenyewe
@highskills5883
@highskills5883 8 месяцев назад
Nataka kujua hao waliohukumiwa kunyongwa je walinyongwa sabab kama ni njama ya serkali basi hao asikari wasingehukumiwa kesi ingeisha kimagumashi
@charleskombe
@charleskombe 8 месяцев назад
Polisi hao wawili yaani Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku walikuwa wamehukumiwa kunyongwa walikaa gerezani kwa miaka 16 na hatimaye Mwakatumbula 2011 aliyekuwa Rais wa Tanzania wakati huo Jakaya Kikwete aliachia huru. Rais Kikwete aliipunguza adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha miaka miwili ambapo kwa msamaha wake waliachiwa huru.
@highskills5883
@highskills5883 8 месяцев назад
@@charleskombe Asante kwa majibu Mr kombe....ila nahisi Basi pengine haikuwa njama
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 7 месяцев назад
@@highskills5883 Hiyo ilikuwa sio njama ya serikali. Ni Uzembe uliotukuka wa special task wa jeshi la polisi kushambulia gari kwa rangi na muonekano tu kama haitoshi walimfyatulia risasi mtu wasie mfahamu. ni kichekesho kwa kweli kusikia kuwa polisi walikuwa wanamtafuta jambazi sugu wasie kuwa hata wanamjua wala kuwa na picha yao, ila hii nchi hii haitaisha vichekesho aisee.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Huwa wanaigiza hivyo kuwafunga na ikibidi hawawanawauwa kuficha siri
@ShukulaniBaharia
@ShukulaniBaharia 3 месяца назад
Mungu mkubwa
@njoostudio_
@njoostudio_ 8 месяцев назад
Imran Kombe
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 3 месяца назад
Swali la kujiuliza ni jee kiongozi kama huyu anayeongoza kitengo nyeti kama hicho haekewi ulinzi??? Na kama ulinzi upo kwanini siku ya tukio hakuwa na ulinzi??? Na kama kiongozi kama huyo hana ulinzi wowote jee serikali haioni umuhimu wa kiongozi huyu wa taasisi nyeti kama hiyo??? Kiongozi wa kitengo chenye mambo muhimu ya nchi anakosaje ulinzi???
@ShukulaniBaharia
@ShukulaniBaharia 3 месяца назад
Kwa tanzania huongozi wako kama sio mzuri unafutwa kwenye ramani ya dunia tz
@PetersonMaina-lu7ou
@PetersonMaina-lu7ou 3 месяца назад
W
@user-ok3tb6ke9p
@user-ok3tb6ke9p 10 дней назад
Rest in peacs regend
@fredricksakagabo5198
@fredricksakagabo5198 3 месяца назад
Sasa mbona unaweka pc tofauti hiyo pc nni alikuwa president wa Rwanda Juvenile Havyarimana
@user-ky2it9ou2t
@user-ky2it9ou2t 10 дней назад
Bado wapo hai mpaka leo au nawao wamekufa
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv 17 дней назад
Serikali zote duniani ni katili 😢
@nashnene6326
@nashnene6326 15 дней назад
Hiyo fidia veepe? Story nusu nusu zina boa
@matiredms917
@matiredms917 18 дней назад
Siyo picha ya Imran Kombe. Picha uliyoweka ni Rais Michombero wa Burundi.
@charlesassey5642
@charlesassey5642 5 дней назад
Serikali inahusika moja kwa moja kwasababu, kama.gari ilikamatwa na kuachiliwa kwann waje waitafute tena moshi ??? Pili hao polisi kwann walifyatua risasi kwa kumlenga sehemu za kifuani badala ya kumjeruhi ??? Huo ni uongo wa serikali inavyoonekana serikali ilishakuwa na nia ya kumuua na wakaamua kununua gari iliyofanana na gari ya marehemu ili waweze kuwa na sababu ya kujitetea !!! We know it was political assassination
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 16 дней назад
Wewe unafahamu . Sisi siyo wapererezi usije utuweke ndani mwanzishe kesi upya.ya ngoso mwachiye ngoso.
@user-nr2bz5pq4m
@user-nr2bz5pq4m 19 дней назад
Askari walioua bila kukusudia
@user-wg6px3nv1u
@user-wg6px3nv1u 17 дней назад
Walioua wako wapi sasa hawa polis hutumwa
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t Месяц назад
Duniani haki haipo haki ipo kwa MUNGU
@saeedpazzi1767
@saeedpazzi1767 4 дня назад
Tuna jeshi la polisi lenye askari wa hovyo kabisa
Далее
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 55 тыс.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:14
Просмотров 5 млн
💜☀️✨
00:47
Просмотров 447 тыс.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:14
Просмотров 5 млн