Тёмный

WACHAGGA Walitaka Kujitenga na TANGANYIKA! Tumshukuru NYERERE Aliyezuia 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#youtube
#youtuber
#subscribe
#youtubelikes
#youtubevide
#youtubemarketing
#youtubeviews
#instavideo
#instayoutube
#youtubeindia
#youtubeuse
#youtubelife
#youtubesubscribers
#youtubelive
#youtubecreator
#youtuberewind
#youtuberp
#youtubepremium
#video
#vlog
#live
#life
#youtubechannel
#memes
#twitch
#viral
#lol
#trending
#newvide
#youtubevideos
#youtubemusic
#youtubechannel
#video
#live
#youtubecreator
#subscribe
#viral

Опубликовано:

 

20 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@orestndakidemi125
@orestndakidemi125 7 месяцев назад
Wangetuacha tu pengine leo tungekuwa next level
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 7 месяцев назад
Sana tu. Nchi nzima hapakuwa na Eneo lina watu Organised kama Kaskazini.Kilimanjaro na Arusha.ukisoma kwenye historia
@emmanuelymeresta-si4ur
@emmanuelymeresta-si4ur 10 месяцев назад
Wangekuwa mbaliiii sanaa
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 месяцев назад
Kaka umeelezea ukweli wote safi sana kwenye upande wa elimu ni kweli kabisa
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 10 месяцев назад
Heshima kwa wachaga ❤
@charleschavala434
@charleschavala434 10 месяцев назад
Ilikuwa na mashiko sana kwani Kwani ingekuwepo dola ya wachaga ingechochea dola nyingi ndogox2 kuzaliwa ambazo zingekuwa hazina nguvu. Mataifa yanaungana kuwakabili wadogo. Umoja no nguvu.
@dismaskombe5092
@dismaskombe5092 10 месяцев назад
Nimeinjoy sana hii story!!Hongera mkuu
@mukamaprojectcoordinator3103
@mukamaprojectcoordinator3103 10 месяцев назад
Sure,good finding
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Nyerere alitupa hasara kubwa sana 1.kifukiza wazingu walio kuwa na viwanda hapa tanganyika. 2.mfumo mbovu wa elimu kusoma kwa kiswahili vhekechea hadi la saba ni ushenzi 3.mwaka 1995 alianzisha wizi wakura .kwa kipindika matoke ya uchaguzi kule zanzibar na huki bara. 4.hakutaka ushauri wowote kutoka kwa mtu yoyote walisema zidumu fikra za mwenyekiti 5.alikuwa mtu mwenye wivu sana aliwafunga bifungo vya nyumbani wasomi waliomchallage Kama kina tumtemeke sanga na akina babu. 6.alikuwa mkabila kwa siri kwa kuweka watu wa mkoa wake jeshini kwa wingi . 7.maazio mabovi ya arusha na zanzibar.
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 10 месяцев назад
Peacefully
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 11 месяцев назад
Ongera
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 7 месяцев назад
Nyerere Alikuwa na Tamaq ya Kihimaya
@johnswai1231
@johnswai1231 2 месяца назад
Safiii
@FlorianMassawe-pu8jj
@FlorianMassawe-pu8jj 9 месяцев назад
Mbn wengne mnacomment makasiriko jmn😊
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 10 месяцев назад
Nimependa huyu chifu kujiuzuluu na kuruhusuu nyerere ajenge tanganyika
@musakihama7205
@musakihama7205 10 месяцев назад
Angewaacha tu.
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 11 месяцев назад
Anayesimulia yuko sahihi. Ila kichwa cha habari hakiko sawa. Thomas Marealle ndie aliwakatalia waingereza waliotaka kutoa uhuru kwa dola ya wachagga kwa kigezo kuwa ingekuwa nchi yenye uchumi finyu kutokana na eneo kuwa dogo na watu wachache. Marealle akawa tayari kuahirisha uhuru wa Wachagga hadi Tanzania yote ipate uhuru. Dhana hii Mwalimu aliichukua pia na mwaka 1961 alikuwa tayari kusubirisha uhuru wa Tz hadi Kenya na Uganda iwe huru kwa kusudi la kuunda shirikisho la nchi za Afrika mashariki. Mwalimu hakufaulu kusubirisha uhuru wa Tz.
@jacksonkihongosi2862
@jacksonkihongosi2862 10 месяцев назад
Isingekuwa wakoloni mkwawa alishatengeneza dola alikua nakaribia kuitanua kwenda kwa wachaga na tanzania nzima 😊
@ahamadially8351
@ahamadially8351 10 месяцев назад
Hata kilwa ilitaka kujitenga maana ilishaanza hadi kutengeneza pesa zake
@fadhilfurahini2518
@fadhilfurahini2518 10 месяцев назад
history kama hizi ndio yapaswa tuzisome watanzania
@eriminahmshai
@eriminahmshai 8 месяцев назад
Pia Africa nzima tunastahili tuwe na vitabu vyetu kama africa
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 7 месяцев назад
Wachaga kabla na baada miaka michache ya uhuru walikuwa wako vizuri sana kielimu,kijamii,kisiasa,kidiplomasia na kwa hakika karibu kila nyanja enzi hizo,walikuwa wako mbele sana. Sasa hivi wapo lkn hawana nguvu tena kama miaka ile huku makabila mengine yakichipukia kwa kasi zaidi kuliko hata wachaga. Wamekosa uongozi na muelekeo uliochagizwa na ubinafsi kupita kiasi kati ya wachaga wenyewe kwa wenyewe toka marangu,kibosho,Rombo hadi machame, na udhaifu mkubwa mwingine uliowakumbuka ni kukosa maadili kwenye biashara na kutokuaminiana ndani na nje ya kabila lao wenyewe, huku ushirikina badala ya dini miongoni mwao ukishamiri. Kuanguka kwa uchumi wa kenya ambako mitaji,uwekezaji na biashara nyingi za kimataifa mpaka wa holili na Namanga kumewaongezea maumivu kwa sababu pamoja na wachaga wengi kushika maeneo nyeti ya serikali miaka mingi iliyopita, pato la utalii Arusha na Kilimanjaro,uwepo wa viwanda vingi siku za nyuma na mapato ya fedha yaliyotumwa toka nje ya nchi kuja Kilimanjaro,walishindwa kujenga na kuendeleza viwanda na biashara ktk mkoa huo matokeo ni ukosefu wa ajira za maana na umaskini uliokithiri. Kuwekeza zaidi kwenye chama fulani ambacho hakijaweza kushika dola kwa nguvu na muda wao mwingi imekuwa hasara sana,vile vile show off zinawaponza. Wana nafuu lkn kuliko kabila nyingi Tanzania choka mbaya. Wachaga wameweza kuexport warembo wengi sana ndani na nje ya nchi hongera sana lkn Bora mlisalimika na marealle he was serving Britons interests and was a clown to the west Nyerere alifanya vizuri sana kumdhibiti hadi leo Tanzania ingekuwa kama weatern sahara. RIP Mwalimu Nyerere
@AllyMkerenga
@AllyMkerenga 3 месяца назад
Yes hoja na hofu za Nyerere zilikua na mashiko kulingana na mazingira ya wakati ule Kwakua ingelikua 2 in one country Kamailivyo leo Z'bar leo siunaona hatujatulia , EAC ? Na sass inatakakuja (EA )shirikisho hatima take sijui¡!
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 10 месяцев назад
Nyererealifanyavizuritu kilimanjaroilikuwandaniya Tanganyika hatamiminisingekubali.
@HonestMsoffe-zx8jf
@HonestMsoffe-zx8jf 10 месяцев назад
Hadi sasa mkoa wa Kilimanjaro umeendelea sana. Na mikoa ambayo wachagga wako.
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 10 месяцев назад
Sehemu zilizoendelea mwanzo Afrika mashariki ni sehemu za pwani kuanzia juu Somalia mpaka chini Msumbiji sio huko milimani.
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 8 месяцев назад
Wachaga ndo ilkua dola ya wazawa Zanzibar ilijengwa na kutawaliwa na masultani kutokea Omani pamoja na mafia pwani wachaga walikua na sarafu,bendera,wimbo ,jeshi na Ikulu iliyopo kdc Moshi na wasomi wengi toka zamani wachaga oyee
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 10 месяцев назад
Ilikua wasiwasi wa Nyerere tu
@rogasianmassaweinjiliniuwe1212
@rogasianmassaweinjiliniuwe1212 10 месяцев назад
Mimi nakupongez kwa uchunguzi wako ongeza bidii
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 10 месяцев назад
Kumbe!
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 10 месяцев назад
Sio wachaga tu.. sehem nyingine wangepatq uhuru kabla ya Tanganyika yenyewe.
@kelvinmgendwa1438
@kelvinmgendwa1438 3 месяца назад
Huyo mangi alikuwa na akili sana
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 10 месяцев назад
Hebu uliza 1920 Zanzibar ilikua imefikia wapi? Au Zanzibar si Africa mashariki?!
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 10 месяцев назад
Hta njombe ilitaka kujitenga😊😊
@bizzy_boy_official
@bizzy_boy_official 2 месяца назад
Alikua ananuka shida huyo a alizuia maendeleo yetu
@5amediaonline335
@5amediaonline335 10 месяцев назад
TANGANYIKA ILIKUA KOLONI LA NANI ....... IMELEWEKA APO ss wahusisheni wengne wazungu kwenu sio kosa
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza 4 месяца назад
Waliona mbali sana sana sasa mambo kama haya si upuzi mtupu
@user-ic1fs9bf1v
@user-ic1fs9bf1v 9 месяцев назад
Wameturudisha nyuma Bora Tungejitenga tu Tanga Kilimanjaro Arusha Nchi
@ahamadially8351
@ahamadially8351 10 месяцев назад
Kwaiyo alikua na nguvu kuliko wachaga
@damarymkindi2027
@damarymkindi2027 10 месяцев назад
Mawazo Ya Mwalimu Nyerere Yalituonea
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 11 месяцев назад
Angeacha tu waende😂😂😂😂 utani
@charleskombe
@charleskombe 11 месяцев назад
😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 10 месяцев назад
Yani Ange tuacha tu maana huu ujinga unaoendelee Sasa hivi nikama unatukwamisha tu kimaendelee
@beatriceassey8178
@beatriceassey8178 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@tompeter1364
@tompeter1364 10 месяцев назад
Mna ardhi nyie?...
@musakihama7205
@musakihama7205 10 месяцев назад
Bora angewaacha tu,mpite hivi.
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 10 месяцев назад
We jamaa huna akili kweli sasa nyie mna nini cha ajabu hasa kukufanya uwe na uchumi mkubwa kwa pale kilimanjaro tu?
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 месяцев назад
@@tompeter1364 weee ukome ardhi ya wachagga ni kubwa kama nchi ya Rwanda
@bahamemagembe7485
@bahamemagembe7485 10 месяцев назад
Baada ya kutojitenga tumenufaika na nn
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 10 месяцев назад
Tusingeweza kujitenga kwasababu Tanganyika Ndiyo iliyotambulika umoja wa mataifa na hapakuwa na nchi iliitwa Uchagani.
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 9 месяцев назад
​@@brysonkaale3003chaga state
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Alisema anataka tongozwe na wajinga.Hataki Mhaya,mchaga,mnyakyusa na wala msukuma.mbaguzi na fikra mbovu na za kishamba
@hajially4527
@hajially4527 10 месяцев назад
Tatizo saivi chuga ingekua bangi tupu 😂
@wolfmboya
@wolfmboya 10 месяцев назад
Yani leeh tussingeongelea bandari ati,tungedili na kinapa kiulaini via Kenya
@njoostudio_
@njoostudio_ 11 месяцев назад
Saivi Chugga Ingekuwa Jamaica 😂😂😂
@surusuru1994
@surusuru1994 10 месяцев назад
Kwnini jamec pazur saaan jamn😂
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl 10 месяцев назад
Mbona hutaki kueleza jinsi mangi alivyokwenda UN na kuelezea kwamba TANGANYIKA BADO haifai kupata UHURU ila Chagaland?
@AminiMoshi-cn9wi
@AminiMoshi-cn9wi 10 месяцев назад
Hapoo hasemi
@calistassenga6489
@calistassenga6489 10 месяцев назад
Ilikuwa wasiwasi wa Nyerere tu
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm 10 месяцев назад
Akili ya Marialle ilizidi ya mwl ndo maana
@emanuellyatuu731
@emanuellyatuu731 10 месяцев назад
Chaga Ni tishio walikubali maendeleo na walisoma sana ndio maana mwalimu akaogopa kwani alichukua haya jinsi ya kuongoza kwa wachaga
@kisarikaassey-cb7jk
@kisarikaassey-cb7jk 10 месяцев назад
Wengi mnasikiliza porojo Ukweli mangi alikwenda kudai uhuru kwa watu wake na sio kukataa uhuru wa watu wengine Na alimsaidia sana Nyerere ila Wengi hawajui wanapiga porojo tuu Historia ya Taifa hili haijakaavizuri kwa sababu za kijinga Maana wapi Wengi waliomweka na kumsaidia Nyerere mfano Mzee Sykes Serikali haijaweka vizuri hii historia muhimu Mfano babu yangu alimsidia Nyerere hadi pesa za kwenda Moja wa mataifa lakini halisemwi na wapo wengi
@mrafm7285
@mrafm7285 10 месяцев назад
Kasome history maendeleo yameanzia pwani sio uchagani
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 10 месяцев назад
Kwahiyo wazaramo ndio walianza kuendelea.mimi naona labda Kwa kucheza ngoma
@lilyg2134
@lilyg2134 9 месяцев назад
@@samwelmatemu8873😂😂😂😂😂na singeli
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 месяца назад
Mzaramo hadi leo hajaendelea hata ipite miaka 1000 ipite hakuna kitu.Vigodoro na uswahili mwingi shuke hakuna .Nitajie matajiri 6 wazaramo
@judicalosika7642
@judicalosika7642 10 месяцев назад
🇮🇱Sina uhakika lakini nadhani wazungu walikuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya Knjaro. Kwanini kwa sababu, wazungu walikuwa wameshika sana maeneo makubwa ya mashamba na ufugaji
@charleskawo5572
@charleskawo5572 10 месяцев назад
Hivi sasa haifai tena kuwa nchi au kujitenga ?natamani kujitenga ili tuwe na nchi yetu
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 8 месяцев назад
Wachaga ndiyo wakwanza kuwa na maendeleo Afrika mashariki na kati na kuwa na Dola ya kichaga kabla ya wakati huo kukiwa makabila mengine hayajitambui napia kukuwa hakuna taifa huru lolote wachaga wanadola kubwa jeshi ,wimbo ,bendera ,Barbara shule Ikulu iliyopo moshi Kdc ndo ilikua Ikulu ya mangi mkuu wa wachaga ambayo Sasa ni Ikulu ndogo inayotumiwa na raisi wa Tanzania akiwa Kilimanjaro ni kabila lilikua na wasomi wengi toka zamani Zanzibar imejengwa na utawala wa masultani toka Oman pwani mafia imejengwa nasafiri wakiarabu pia ilikua inatawaliwa na masultani wa Zanzibar wachaga oyee.
@trizanetrizane2654
@trizanetrizane2654 2 месяца назад
Mchagga nipo hapa nafatilia historia yangu kwa makini chagga people we will rise again Mungu atatunyanyua tena tunapaswa kushika amri zake
Далее
다리에 힘이 풀려버린 슈슈 (NG Ver.)
00:11
Просмотров 2,5 млн
LYIMO CHAMECHA - AIKA MAE (OFFICIAL VIDEO)
5:32
Просмотров 74 тыс.