Тёмный

Mfahamu EUGENE MAGANGA Mwanajeshi Aliyetaka Kumpindua NYERERE/ Kilichomkuta BALAA! 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 129 тыс.
50% 1

JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Nyerere jaribio lililoshindwa kufanikiwa kwa kile kinachotajwa kuwa ni uimara wa kitengo cha intelejensia yaani usalama wa taifa chini ya uongozi wa rais Nyerere.
_______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#youtube
#youtuber
#subscribe
#youtubelikes
#youtubevide
#youtubemarketing
#youtubeviews
#instavideo
#instayoutube
#youtubeindia
#youtubeuse
#youtubelife
#youtubesubscribers
#youtubelive
#youtubecreator
#youtuberewind
#youtuberp
#youtubepremium
#video
#vlog
#live
#life
#youtubechannel
#memes
#twitch
#viral
#lol
#trending
#newvide
#youtubevideos
#youtubemusic
#youtubechannel
#video
#live
#youtubecreator
#subscribe
#viral

Опубликовано:

 

17 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@charleskombe
Ahsante kwa kuendelea kufuatilia Channel hii. Ili kutusupport unaweza tucheki kupitia Airtel Namba 0782100209. Pamoja tunaweza!
@boniphacemmagori6286
Hao jamaa WALIKUWA mburura na wenye tamaa ya madaraka na kiburi cha uwezo waliopewa na jeshi. Ningekuwa cdf that time wangefanyiwa public fire squared....yaani mwanajeshi Tena wa Tz in service unapanga ujinga huo. Washukuru hekima ya nyerere😢😢
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku День назад
Tunachomshukuru Nyerere nikwamba alituletea uhuru lkn alivyowachapa baba Zetu kisa Kodi ya kichwa hata mm nisingependa
@RajabuAlly-os8gx
Hivi kwa nn hapo mwanzo tulipopata Uhuru wa Tanganyika na mpaka kufikia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wanyamwezi walijikita kuwa wapinzani badala ya kutafuta maendeleo ya Tabora? Ndo maana mpaka leo Tabora haina maendeleo imedolola kwani kina Fundikila, Kasanga Tumbo, Kasele Bantu, Mapalala, Lipumba Samweli Sitta Juma Kapuya nk hatuona walichoisidia Tabora labda Familia zao
@mussamalegesi8715
Binafsi na mtazamo chanya,,,,lnawezekana hawa jamaa ndio walisababisha akang'atuka Soo tuna washukuru kwa fikra zao za kimapinduzi ndio maana had Leo tz wakuu wa nchi hawang'ang'anii madarakani.
@DamaIbra
Haaa Nyerere hakuwa na kosa tatizo jua serikali yetu ilikuwa na wananch wachache sana je Taifa lingejengwaje? Hebu rudin nyuma kwanza mujue kuwa Taifa bila watu hakuna maendeleo. Pia alijitahid tusitawaliwe jaman so kazi kaz ndogo kuwafukuza mabeberu acheni ubinafsi angalien mpaka tulipo salama ni Nyerere mpaka Leo tuna aman ktk nch yetu kuliko nchi zingine
@mohamedmwatuwano5526
Nyerere pia alikuwa na mapungufu kwa hio sababu za kumpendua zilikuwepo, Lakini Maganga hangeweza kumpendua Nyerere labda kumtoa uhai. Wakati ule wananchi hawakuwa na mwamko na msisimko wa kisiasa.
@user-dd3ek5fh5g
Bado Nyerere anabaki kuwa kiongozi wa mfano kwani kwa wengine hao wote wasingekuwa hai R.I.P BABA WA TAIFA
@user-cz8ks5qi2l
Du hawa watoahadithi nao wakubali mengine wanasimuliwa ishu ya Tamim haikua mda mrefu hivyo
@stanaboytz9454
@stanaboytz9454 21 день назад
IV uyo Zakaria hansi pop Ni yule alikua mtu wa club ya Simba ama?
@BradOfficial-gf1fb
Bdo tumawataka kina
@FRANCIS19731
Naomba ututayarishie Simulizi ya Mwanajeshi Fred Rigema wa Rwanda.
@narcissusmakenge4710
@narcissusmakenge4710 21 день назад
Nyerere alikuwa mtu wa haki ndio maana kila aliejaribu kumpinga aliishia pabaya. Kubuka kina Kambona, Kasnga tumbo, chifu Abdalah Fundikira, Horece Kolimba, Orodha ni ndefu. Mwenyezi Mungu ampokee ktk ufalme wake. Aliwapenda watu wote kwa usawa bila kujali kabila, rangi wala dini.
@ObedMwamwenda-xg2lr
Ahsante kwa kutuhabarisha historian ya nyuma
@humphreygodfrey5400
Sio pombe bali ni mungu, Tanzania ni nchi iliyo chini ya ulinzi wa mwenyezi mungu.
@DamaIbra
Hatar kwa historia
@thedriver.michael.3975
Asante pombe makufuli itakuwa alikuwa baba ake John
@saidichitungu6273
Tamaa mbaya ni. Hatari sana Mola hapendi
@sixbertrobert3860
You are the best . Congratulations
Далее
impossible to understand how😨❓
00:14
Просмотров 2,5 млн
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 56 тыс.
An officer and a gen AI: the future of war
26:44
Просмотров 7 тыс.