Тёмный

Huyu Ndiye Chalamila aliyetumbuliwa na Rais 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 124 тыс.
50% 1

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Juni 11, 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa na kuteua baadhi ya viongozi wengine.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu inaeleza kuwa kiongozi mkuu huyo wa nchi amemhamisha mkuu wa Mkoa wa Mara, Robert Gabriel kuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza kuchukua nafasi ya Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Lakini embu tujikumbushe baadhi ya video fupi fupi zilizowai kutrend kwenye mitandao ya kijamii za Albert Chalamila akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na hata Mwanza

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 года назад
Huyu jamaa ni chizi sijui n kiongozi au n comedian
@jasimmohamed1425
@jasimmohamed1425 3 года назад
Hhhhhh
@kanaelinaiman8889
@kanaelinaiman8889 3 года назад
Huyu mkuu wa mkoa yuko sawa Sana
@piusthobias880
@piusthobias880 3 года назад
Kauli zinaponza mzee cheza namambo mengine siyo ya mungu
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 года назад
Mtumishi wa shetani,hahahaaa
@issahmartin6131
@issahmartin6131 3 года назад
Point
@Allyhujjat
@Allyhujjat Месяц назад
Genius uyu ndio president
@cozeboze4793
@cozeboze4793 3 года назад
CHALAMILA ANAFAAA
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 3 года назад
Mbona Jpm alivokua anawatumbua mlikua mnashangilia tu ila sasa Mama akitumbua mnaanza kujadili mwishoe mfee kwa kihoro 😄😄😄
@f.a6043
@f.a6043 3 года назад
Safi sana Mama tumbua akajiongoze mwenyewe
@emeresianamichael5163
@emeresianamichael5163 3 года назад
Mungu akulinde ulikuwa unawatoa watu stress
@saidiabdul1635
@saidiabdul1635 3 года назад
Huyu jamaa kilichomponza kusema kabsa yey mshabik wa yanga... Wakat sasaiv Simba ndyo habar ya mjini
@wailosvijevania1049
@wailosvijevania1049 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ismailyusuf3629
@ismailyusuf3629 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kusinayusuph3949
@kusinayusuph3949 3 года назад
Mkubwa unafurahisha Sana hatakama umetenguliwa Ila una amani moyoni amini yote ni yetu
@alfredypeter1934
@alfredypeter1934 3 года назад
Kabisa
@asiflazaro3773
@asiflazaro3773 3 года назад
Well done our President mama samia, hakika kwa kauli mbovu za jinsi hii hata mimi ningelikuwa raisi ningemtunbua tu na kabla ya kumtumbua ningempeleka kwanza rokapu kwa siku moja akanuse hewa ya SUSU na JOJO huko kwanza.
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 года назад
Jembeeeeee, hiii ndio tabia iliyonyeupe sio kujificha kwenye kichaka cha unafiki .
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 месяцев назад
Hili jamaa ni chizi😂😂😂
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 года назад
Hakika huyu sii kiongozi huyu n muhuni tu flani
@hekimaandindilile4000
@hekimaandindilile4000 3 года назад
Sawa. Jumong piga mishale
@mamawadudu48
@mamawadudu48 3 года назад
Kumbe doh. Bora apumpzike
@avizpaul3086
@avizpaul3086 3 года назад
Kafanana na Wakuvanga wa Original comedy
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 года назад
😁😁😁😁
@johnmilly2737
@johnmilly2737 Год назад
Hiyo ngoma iliyoko background ni ya nani? Nisaidieni studio
@walimwengu_creation6058
@walimwengu_creation6058 2 месяца назад
Ni ncs music
@OmarySagala-dy4xg
@OmarySagala-dy4xg Месяц назад
😂😂😂
@aksinosingano8054
@aksinosingano8054 3 года назад
Hapa hakuna kiongozi walahi watoto wake wanahasara ya baba kweli...Mama hujakosea kumtumbua..
@albertlemau3980
@albertlemau3980 2 года назад
Kwa ww Lakin
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 года назад
Asate mama bora umefanya vizuri kumtumbuwa huyu hafai kuwa kiyongozi mjinga sana huyu anakwenda kupiga watoto wawatu bure mkoloni mweusi hafai duuuu
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 года назад
Ww ndio mjinga huelewi unachokisema acha ujinga mwenyewe
@alexjackson6608
@alexjackson6608 3 года назад
Saut ipo chini
@fanuelkitembe7404
@fanuelkitembe7404 3 года назад
Huyo Hagai hata tone big up mama
@masudirashidi7183
@masudirashidi7183 3 года назад
Akitumbua magu tunashangilia akitumbua Samia nchi unaenda wp mtajiuliza sana
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 года назад
Kuteleza kisiasa ni kawaida. RC kajiendeleze Phd yako ungali kijana ukimaliza pengine Mungu atakupangia lingine. Siasa zina kautelezi tembea kwa makini mwanawane.
@mkeshaally8026
@mkeshaally8026 3 года назад
Alitufaa sana mkoa wa waki dar es salaam mkuu wa nchi muangalie tena huyu chalamila tunamtumainia Maana ndio aina uongozi na makuzi yake ila anakua na maana yake kiutendaji kwamaana ili mafanikio yako ya uongozi yakamilike lazima uwe lafiki ya wale unao waongoza huyu chalamila nilafiki wa kila mtu kimaongezi ila kiutendaji hakawii kuchenji
@emmanuelngassa1817
@emmanuelngassa1817 Год назад
Ulimtabiria mema
@Kaizirege
@Kaizirege Год назад
Utabiri wako umetimia
@halisimediatz
@halisimediatz Год назад
Hongera Kwa Utabiri
@manasemwakagali9358
@manasemwakagali9358 Год назад
Kama ulijua
@IbrahimuLikolinji-ly2tp
@IbrahimuLikolinji-ly2tp 7 месяцев назад
Maombi Yako yamejibiwa
@PhilipoMwita-ge2oj
@PhilipoMwita-ge2oj 6 месяцев назад
Dah hii nchi Sheria mbovu
@ADAMJUMA-qz6pu
@ADAMJUMA-qz6pu 8 месяцев назад
Huyu ni mlevi fulani hiv hata maamuzi yake ni ya kilevilevi aliwafananisha watu na takataka wakati yeye ndo takataka
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 3 года назад
Chalamila kilichomponza ni maneno hanavuka mpaka, hata mimi ningemtumbua
@ephraimrugabandana773
@ephraimrugabandana773 3 года назад
Washauri wa Rais wanampotosha maana mabango ni sehem ya wananchi kutoa maoni yao KUMBUKA KUTOA MAONI KWANJIA YAKUZUNGUMZA/KUANDIKA(MABANGO) NI HAKI YA MTANZANI KWAMUJIBU WA KATIBA YETU!!!!! Labda pawe na sababu nyingine ila kama ni hiyo basi Tanzania tunaviongozi wanaovunja katiba kwakunyima RAIA Uhuru wa kutoa maoni.
@majaliwamaige4927
@majaliwamaige4927 3 года назад
Huyo ☠️🤦
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 года назад
Aiseee huyu jamaa hakuwa sawa katika uongozi..... hatari sana.
@minaziparasu3352
@minaziparasu3352 3 года назад
Wasalimiee
@Gastornprofession
@Gastornprofession 5 месяцев назад
Wewe sini mkuu wa mkoa
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 3 года назад
Huyu jamaa kwa mahono yangu kasoma farsafa anapohongea hinatakiwa umsikilize utafakali ndiyo umuelewe lkn kinyume na hivyo lazima umuhone tofauti kutenguliwa ni kawahida tu kabla ya kuwa mkuu wa mkoa I thing Kuna sehemu alionekana hataludi Tena hapo tutahona tutasikia tutashuudia mengi hawamu hii Mungu tuongoze!!
@michaelsaimonmuhojamichael8430
@michaelsaimonmuhojamichael8430 3 года назад
Unafaa kuwa raisi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂twangeni bia kila kty kinaumuhimu wake🤣🤣
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 месяца назад
Huyu jamaa akili ina mutosha yemwenyewe
@cozeboze4793
@cozeboze4793 3 года назад
CHALAMILA ANAFAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA CHALAMILA ANAFAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Anafaa kabisa huyu jamaa!
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 года назад
Sanaaa. Huyu mama tuu naona anaapitiliza viongozi bora wakali hawataki
@f.a6043
@f.a6043 3 года назад
Anafaa sana kua kocha wa yanga utopolo
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 Год назад
Acheni kusifia ujinga mnasifia pombe ulevi
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 Год назад
@@زيتونتنزانيا nawye Zaituni unasifia ulevi hi khatari dalili za kiyaama hizi
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 3 года назад
Mama hafanyi uwamuzi WA peke yake Ana washauri wake huenda wanataka a kakae sehemu nyengine inayomfaa mna kauli tu za kijinga ati katumbuliwa
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 Год назад
Mkuu unanisaidiaje kauli Tata hizo mhmm.
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 Год назад
Unapiga wanafunzi hivi halafu unaendelea kupewa madaraka. Kuna jambo mungu anataka kutuonesha.
@williamwilifred6563
@williamwilifred6563 3 года назад
Da magufulibana huyuanaonekana nasurayakilevi kabsaa
@mussamalick1045
@mussamalick1045 3 года назад
Hili ni la ovyo sana.
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 Год назад
Yàani.mama..asinge mtowa uyo mbna yupo vizuli
@oraionsabibi2756
@oraionsabibi2756 3 года назад
Umagufuri unamalizwa kaka bado hapi makonda alipaona mapema
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 месяцев назад
Na bichwa lake kama kichwa cha tren ya mwendokasi😂😂😂
@denicemwitakabwere6770
@denicemwitakabwere6770 3 года назад
Tusiwe wanafiki kwa kuonesha mabaya yake inamaana hakuna mazuri yake??
@patrickchingenya2773
@patrickchingenya2773 3 года назад
Huyu jamaa konki
@maulidomary4965
@maulidomary4965 3 года назад
Sasa imekua tumbua tumbua
@amisimwizi6053
@amisimwizi6053 Год назад
Mumemuwa magufuri
@rashidyally8715
@rashidyally8715 3 года назад
Hii tumbua tumbua imekua habali ya Tanzania Sasa wachapa kazi ndio wanatumbuliwa
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 Год назад
Duu
@barutiboniphace4335
@barutiboniphace4335 3 года назад
Hapo sheria imefunja na aliekua DC sheria ya viboko inatakiwa mwalimu mkuu ndio amchape mwanafuzi tu sio mwalimu yeyote yule ni mwalimu mkuu tu tena kwa fimbo ilio pimwa kwa vipimo sahihi
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 года назад
Ulizoea matusi ukiwa na kakaako" Huyu mama ni mtumishi wa Mungu: Sasa kama umechukia, TEGULE UMULEGESI WINYONGE.
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 года назад
Acha unafiki matusi unayanapambanua vipi. Tulia unyolewe.
@nzellahchassama1008
@nzellahchassama1008 3 года назад
Asili ya mtu haipotei
@juwairiyasalim6768
@juwairiyasalim6768 Год назад
Uyo tichar hafai ata kuwa na familiya
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
Huyu mama kazi imemshinda . Chalamila ni mchapa kazi na mzalendo ndio maana JPM hakuweza kutengua kuwa mkuu wa Mkoa Mbeya.
@gooddeeds162
@gooddeeds162 3 года назад
Yani alistahili kabisa kuwekwa Ukuu wa Mkoa wa Dar wenye changamoto kibao,Wachapakazi Yeye ndiyo anawatoa dah!
@philipoinnocent6451
@philipoinnocent6451 3 года назад
Utajuaaa ww!!!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Kabisa!
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 3 года назад
Kwan magufuli ndio nan
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 года назад
yaani ww hunaona kiongozi unaongea ujinga
@hekimaandindilile4000
@hekimaandindilile4000 3 года назад
Tunajua lengo la kuwatoa wafanya kazi wa jpm lkn sio shida maana saiv taalifa zote kuapisha sio kufanya Kaz hahahahahahahaha Tanzania ya ahadi uchafuut
@goodmorningafrica6409
@goodmorningafrica6409 3 года назад
Katumbua jembe LA kazi
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 3 года назад
hapa busara zero
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 года назад
Ila huyu baba hajafanya kosa ni kali tuu hapendi ujinga. Nannchiyetu hapendi ukali
@glorysungura3180
@glorysungura3180 2 месяца назад
Heri kuraruka nguo, kuliko kuraruka akili. Yawezekana walioko milembe watakuwa wamepona, tunahitaji tupite mitaani kutafuta wagonjwa wanaovaa nguo. MUNGU tusaidie
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 года назад
Siasa zinautelezi.kama kazi zingine. Mbona wapo wengi tu.hutenguliwa waliko.lakini kwa kuwa sio Wah haisikiki. Hakuna la ajabu hakuna aliyezaliwa kuwa mwsnasiasa tu ila ni.kujimwamvafai tu na kujijengea usultani. R C kasome Phd kama ulivyosema siku ya UDSM. Ukimaliza pengine utakuwa mtu.mwingine tena.
@cozeboze4793
@cozeboze4793 3 года назад
MAMA TUNAMTAKA CHALAMILA
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Kabisa!
@f.a6043
@f.a6043 3 года назад
Subirini atapewa uwaziri sasa
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 года назад
wewe na nani ulitaka mama atukanwe kwa mabango
@abubakarsalim1505
@abubakarsalim1505 3 года назад
Wajua unapofuta tu watu kazi kila mara ndio mambo mengi yanazidi kuwa hayasongi mbele sababu anapoingia mpya lazima aanze mwanzo tena
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 года назад
Ndio hivyo anakosea
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 года назад
Kichwa hiki ni shida sana, huyu mh, anaonyesha akili anazo nyingi mpaka zinamshinda kuzitumia
@f.a6043
@f.a6043 3 года назад
Nenda kawaongoze yanga sasa utopolo ww🥴
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 3 года назад
Kumbe ulikuwa chenga sana
@edinamyalla8622
@edinamyalla8622 3 года назад
Aisee ni chenga hatari na mimi ndo naamini leo ,unajua ukiwa kiongozi unahitaji kuongozwa na busara ya hali ya juu,sasa kama yeye alijichetua na kujifanya comedian akafanye hizo comedi eti a dukani mabango hata matusi sawa kweli jamani
@esterntandu1999
@esterntandu1999 3 года назад
Kweli huyu shetani
@samwelmangi843
@samwelmangi843 3 года назад
Duuu kumbe jamaa ndo aliwatandika watoto yeye mwenyewe, af kweli bna jamaa alikuwa mropokaj xna
@thomaskaungo11
@thomaskaungo11 3 года назад
Jamaa huyu ni shida
@abdulfadhilsaid4327
@abdulfadhilsaid4327 3 года назад
Saut umebana
@matymatiku7352
@matymatiku7352 3 года назад
Anapenda pombe utopolo mtupu
@mustaphanjagila6270
@mustaphanjagila6270 3 года назад
Hv viongoz kama hawa wanawatoa wp
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 3 года назад
Wateule wa magufuli hawa
@daudifabian705
@daudifabian705 3 года назад
We.vipi.akikosea.anatumburiwa.wasomi.kibao.awanakazi.sio.wakati.wakureayana.mabohayo.yarikua.zamani.watanzania.mpate.kujierewa.mkuuameshasemakasikirizekerozawananchiweweunaretautumbohironaroneno
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 года назад
Tumekuerewa.Mura.irakiingerezachako.kigumusana.muraa
@wilongobioebwa8329
@wilongobioebwa8329 3 года назад
Nimeamini sasa huyu mwanamke dhaifu na lengo ni kubadili serikali ya jpm
@ADAMJUMA-qz6pu
@ADAMJUMA-qz6pu 8 месяцев назад
Huyu ni mlevi fulani hiv hata maamuzi yake ni ya kilevilevi aliwafananisha watu na takataka wakati yeye ndo takataka
Далее
Women's Defending + Men's 😮‍💨❌
00:20
Просмотров 1,2 млн
BRUTAL STREET FIGHT KNOCK OUT
00:20
Просмотров 1,3 млн