Тёмный
No video :(

Joel Nanauka | Namna ya kutimiza malengo 1 | THE GATES TV 

The Gates Media
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

#JoelNanauka #TimizaMalengoYako #TheGatesMedia #TheGatesTv
Joel Nanauka, Mwandishi wa kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO akielezewa namna ya kutimiza malengo yako. Usisahau ku subcribe, kushare, ku Like na ku comment ilikupata video mpya zaidi.
For video & photo coverage
Call/text/whatsapp: +255 787 411 564 or +255716 000 931
Visit our Website: thegatesmedia....
Follows us Instagram: / thegatesmedia
Follows us Twitter: / thegatesmediatz
For more videos subscribe to our channel: / @thegatesmedia

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@momkabura8955
@momkabura8955 4 месяца назад
Asante kiongozi najifunza vingi Mungu awe nawe hakika
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w 2 месяца назад
Asante sana Kaka MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki Sana
@aminamlungula9787
@aminamlungula9787 2 года назад
Somo zuri Sana ni kweli hatuna malengo wala muelekeo niunge kwenye group lako na tunaomba video ya pili nimekuelewa sana
@ashapilly4724
@ashapilly4724 4 месяца назад
Nakupenda sana kaka yangu na nakufuatilia naamini nitafanikiwa
@JamalPaulo-jt1ju
@JamalPaulo-jt1ju 5 месяцев назад
Na shukulu Mungu kupata mwilimu mpya wa maisha yangu . Joely . P6
@barakambise1970
@barakambise1970 3 месяца назад
The best
@neemamapenzi4963
@neemamapenzi4963 2 года назад
Mungu akubariki
@ayubsambala5878
@ayubsambala5878 4 года назад
Uko vzr sana
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 2 года назад
MUNGU akupe nn cjui we Kaka dah ubarikiwe Sana an,ur so unique big up💪thaks alot for ur message 🙏
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Год назад
Very powerful message brother ,,umenitia nguvu sana ,be blessed
@mundiajamesfurahia477
@mundiajamesfurahia477 4 года назад
Sawa sawa kabisa
@lightnovel.06
@lightnovel.06 4 года назад
Asante kwa Darasa. Naomba nielekeze jins ya kupata kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO. Niko mbagara Mbande
@sardkibona2249
@sardkibona2249 6 лет назад
Asante kk kwa inspirational word kupitia hili nina kitu cha kufanya
@oasis_schools
@oasis_schools 10 месяцев назад
Kazi nzuri ubarikiwe sana.
@aminalumbi7031
@aminalumbi7031 2 месяца назад
Good
@isackchelleah5959
@isackchelleah5959 3 года назад
Kaka asante na Mungu akubariki sana. Person unanijenga sana.
@mwalimudismasherman
@mwalimudismasherman 4 года назад
Wow,wow...Laiti kama Ningeipata full video au sehemu yake ya pili,, maana kati ya vitu ambavyo Nimekuwa Nakabiliana navyo ni kuonekana kuwa Mimi sio mnyenyekevu, hasa tangu Nilipojitambua na kujua core Genius yangu, na changamoto kubwa ni hiyo but kwa habari ya Kuliishi kusudi Yangu I Can I must and I will..Ubarikiwe Life coach Joel
@mwalimudismasherman
@mwalimudismasherman 4 года назад
Mimi ni Mwalimu by Calling na kati ya changamoto kubwa Nilishawahi kukutana nao ni kuwafundisha watu Kuhusu Personal Development knowledge, ndoto na purpose, kupitia Inspirational talk! but hadi sasa hatua kubwa ipo...👏👏👏Wewe ni tunu kubwa kwangu
@godfreymalima9502
@godfreymalima9502 6 лет назад
I BELIEVE I WILL BECOME SOME ONE OUT OF NANAUKA
@edinestaantony3114
@edinestaantony3114 Год назад
Big up bro ; God bless u
@lightnovel.06
@lightnovel.06 4 года назад
Asante
@mwitaalphonce9827
@mwitaalphonce9827 3 года назад
Asante kaka sayansi ya mafanikio nilikipata je vitabu vyako vingine vinapatikana wapi mm nipo Dodoma hicho kingine kunamtu aliniuziatu.
@davidmasanja9526
@davidmasanja9526 6 лет назад
Nakufatilia kaka uko vizuri naomba video ya pili uweke haipo.Barikiwa
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Год назад
Amen mwalimu
@user-sp7mv8xs6m
@user-sp7mv8xs6m 6 месяцев назад
Kazi njema mtumishi ninapenda sana kusikiliza mada zako zinatupeleka hatua Hadi hatua barikiwa wewe ni wasamani sana
@uwayolove
@uwayolove Год назад
thx mr NANAUKA
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 года назад
Ubarikiwe brooh joel
@assamwakasanga3570
@assamwakasanga3570 6 лет назад
Asante San kak Joel Arthur nanauka ....
@mwambauliohai5043
@mwambauliohai5043 5 лет назад
Ameen
@lucyloy1610
@lucyloy1610 4 года назад
Ubarikiwe San.
@carolynesimiyu3460
@carolynesimiyu3460 11 месяцев назад
❤❤❤
@user-sj9ko9xn7j
@user-sj9ko9xn7j 11 месяцев назад
Samhn kaka nilkuw ntk kujuw vitabu ambavyo vitanifunuwa akili juu ya malengo yng😢
@wilfredmichael5673
@wilfredmichael5673 6 лет назад
Asante kaka Mungu akubariki xnaa
@juventuskiiza6720
@juventuskiiza6720 4 года назад
Thanks for your inspiration sir
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 года назад
Amin
@muhsinyahaya5822
@muhsinyahaya5822 5 лет назад
Napenda sana somo lako kaka vtabu naweza kupata wapi
@oasis_schools
@oasis_schools 10 месяцев назад
Kiswahili sahihi Kwa jina naitwa.... hakuna kwa,majina naitwa...
@brightonshakila6406
@brightonshakila6406 5 лет назад
Amekufa akanipa utajiri kama Ibrahimu baraka zangu zipo juu yangu kwa maana Mimi ni mbarikiwa wa Bwana fedha na dhahabu ni za babayangu so ni vyangu..tena mithali 10:22 inasema baraka ya Bwana hutajirisha wala haichanganyi huzuni Nayo what a blessing
@neysanga
@neysanga 6 лет назад
Asante sana kaka
@alfredemil8017
@alfredemil8017 6 лет назад
Tunabarikiwa na speeches zako
@NaijiiStallone-gw8dd
@NaijiiStallone-gw8dd Год назад
Kweli kaka na mm nataman kuwa mshauri kama wewe
@tresstress9412
@tresstress9412 Год назад
Napataje vitabu vyako
@barakandabunganie6585
@barakandabunganie6585 5 лет назад
Hello barikiwa sana
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 2 года назад
Barikiwa sana kwa ujumbe wako..naomba namba yako ya simu tuwasiliane
@JustineHaule
@JustineHaule 4 месяца назад
Kaka ubalikiwe
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Год назад
Ile walahi iko wapi😂😂😂😂kadhani ni sheika
@resmattyibanga6706
@resmattyibanga6706 6 лет назад
Habari Joel. Naomba kuliza mbona siioni mafundisho ya siku ya pili?
@TheGatesMedia
@TheGatesMedia 6 лет назад
Tuwaombe radhi watazamaji wetu kwamba hatukuweza kuwa na audio ya Joel ya siku ya pili, Najua wengi walitamani waisikie pia. Stay Tuned THE GATES TV
@elizabethmkumbo2022
@elizabethmkumbo2022 6 лет назад
Mtaonyesha lini jaman tunaitaka hii ya pili
@ibrahimchiduo7029
@ibrahimchiduo7029 6 лет назад
namkubari sana joel
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 года назад
Joel, Yesu kristo asifiwe, Joel mbona malengo yng hayatimii kabisa? Mimi ni mkulima nalima zaidi ya ekari 10 na kipoto cha kila ekari kwa wastani wa chini ninapata gunia 4, na huwa nasubiri bei kg 1 ya maharage nitauza 2100 au 1900, lakini pesa zangu zote zinaisha bila kueleweka, cnywi pombe wala si hudhurii starehee zozote. Na huwa kila ninachofanya weka kumbukumbu za maandishi.
@damaridaudi9785
@damaridaudi9785 Год назад
mshirikishe mungu pia mipango yako
@tungarazabenard6249
@tungarazabenard6249 2 года назад
Nitakipaje kitabu hiki timiza Marengo yako ili niweze kujifunza maana mm no dereva nimefatiria mafundisho yako yako yananifungua fahamu zangu mm niko mwanza asante sana
@malalezengo4405
@malalezengo4405 6 лет назад
ukweli usio pingika watu hatujui malengo maana yake
@papykakozi4192
@papykakozi4192 4 года назад
leo na chukuwa atuwa
@petermasha4123
@petermasha4123 3 года назад
Hivi vitabu vyako ulivyoandika jee vinapatikana wapi katika jamhuri ya Kenya?
@fakisabour2818
@fakisabour2818 3 года назад
Nahitaji kitabu hiki npo zanzibar nitapataje
@yusuphmsely8734
@yusuphmsely8734 5 лет назад
Nahitaji kitabu cha timiza malengo kk joel nitakipataje
@paschallaurent7114
@paschallaurent7114 5 лет назад
day two haipo kaka.Tusaidie utuwekee, ila kitabu nitakipataje nipo mbeya MUST chuoni
@manjalamussa1215
@manjalamussa1215 5 лет назад
Nitapataje vitabu
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 года назад
Embu nishauri pls, na kwama wapi?
@godfreymalima9502
@godfreymalima9502 6 лет назад
KAKA VIDEO YA DAY 2 TUWEKEE HAIPO.
@paschallaurent7114
@paschallaurent7114 5 лет назад
Godfrey Malima kabisa day two haipo jamani tufanyaje
@mbangahamzambanga7544
@mbangahamzambanga7544 5 лет назад
Nahitaji kitabu cha timiza malengo vinapatikana maduka gan au sehemu gan namba yangu ni 0753179977
@nurudain5572
@nurudain5572 3 года назад
Mpango ni nini na malengo nini?
@joycemakarius8540
@joycemakarius8540 5 лет назад
Mtumishi nahitaji kitabu cha timiza malengo niko Songea simu no 0768392805
@chalakakatekista1662
@chalakakatekista1662 5 лет назад
Naomba hicho kitamb cha timiza malengo.Niko songea.0652101761
@jacobmathias6811
@jacobmathias6811 5 лет назад
Nimebarikiwa sana
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 года назад
Niko arusha ungalimited mkuu nahitaji kitabu
@deusntobi1450
@deusntobi1450 4 года назад
Napenda sana walau siku 1 nifike ofisin mwako ili niulize yale naamini kwako naweza pata majibu sahihi. Kwa kuanzia kama una WhatsApp group niunge tafadhali 0769672878
@negressmwanga4767
@negressmwanga4767 4 года назад
Plz naomba uniunge kweny group
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 лет назад
Mbona kama sauti sio ya Nanauka?
@clementministry2489
@clementministry2489 4 года назад
Nahitaji kitabu cha timiza malengo 0765408748
@TheGatesMedia
@TheGatesMedia 4 года назад
Karibu sana, kuna mtu atakupigia na kukwambia namna ya kukipata
@bonifacepetro6376
@bonifacepetro6376 6 лет назад
napenda uiweke namba yako hapo tuione kisha elekeza vitabu vyako vikowapi nambayangu 0620753514 nimie nambayako asante
@adelehridecosmas3404
@adelehridecosmas3404 4 года назад
Kaka kama unakundi la whatsapp niunge 0752679499 naitaji elimu zaidi ili nizidi kusonga mbele
@theprovitionofnature9188
@theprovitionofnature9188 6 лет назад
Naomba namaba ya Joel Nanauka yangu ni 0768 589 853
@manjalamussa1215
@manjalamussa1215 5 лет назад
Namba yangu ni 0658789979
@gershonerasto7824
@gershonerasto7824 5 лет назад
Ahsante sana ,nakipataje kitabu ,0682957296 namba yangu
@josephcrispo4718
@josephcrispo4718 5 лет назад
Kwajina naitwa chress napatikana mwanza nimependa mafundisho yako. Naitaji kitabu cha timiza Marengo no yangu 0624954072
@sardkibona2249
@sardkibona2249 6 лет назад
Asante kk kwa inspirational word kupitia hili nina kitu cha kufanya
@mkobaofficial8037
@mkobaofficial8037 6 лет назад
Asante
@davidmasanja9526
@davidmasanja9526 6 лет назад
Nakufatilia kaka uko vizuri naomba video ya pili uweke haipo.Barikiwa
Далее
Vitu 7 Lazima Uvijue Kuhusiana Na Kusudi Lako
27:20
Просмотров 83 тыс.
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Просмотров 100 тыс.
Jinsi ya kupanga malengo kitaalamu  Paul Magola
5:36
Просмотров 10 тыс.
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA PILI
35:42
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Просмотров 179 тыс.
Maximizing your season - Joel Nanauka
1:23:37
Просмотров 11 тыс.
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Kutembea Katika Mwanzo Mpya (Day 1) - Pastor Joel Nanauka
1:14:19
KANUNI MUHIMU ZA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA
11:59
Просмотров 87 тыс.