Тёмный
No video :(

Jussa:Nyie bandari tu mnapiga kelele sisi mmetupora kila kitu na kuwafanya Wazanzibari kuwa ombaomba 

Weyani Tv
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Ismail Jussa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo akihutubia mkutano wa hadhara Paje, mkoa wa Kusini Unguja.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 Год назад
Naunga mkono Kama Kuna uwezekano kila nchi ijitegemee,wazanzibar wapewe nchi Yao na Tanganyika ibaki Tanganyika
@Mfundo272
@Mfundo272 Год назад
Unaijua hatari yake??
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Год назад
@@Mfundo272 Muungano haujafika hata miaka 60 madhara yake tutapata maendeleo Makubwa na tutakua na Nchi yetu km mwanzo
@sadih5333
@sadih5333 Год назад
Yes Jussa
@yurasa2551
@yurasa2551 24 дня назад
Zanzibar inchi yanguuu naipenda sanaaa
@khamisbedui3323
@khamisbedui3323 3 месяца назад
Kazi ni moja tu, imarisheni viongozi wa majimbo wawashawishi vijana wamiliki vitambulisho nanyi ng'ang'anieni tume iwe ya usawa
@florianrweikiza2852
@florianrweikiza2852 Год назад
Upitie mkataba kabla ya kuubeza mh.nini maana ya Tanzania?
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh Год назад
Tanganyika atujawapora hak zenu unaongea ubaguz uco tija.Znz mna rais uku bara tumerdhia kua bila rais hatuna kiongoz wa taifa la watanganyk tushkamane jmn
@JuwairiyaHassanKhamis
@JuwairiyaHassanKhamis Год назад
Mh.jussa nakupnda bureee mpigakura wako 4:37
@AbassAwesu
@AbassAwesu 4 месяца назад
Pigeni kazi wazee wetu vijanatupopamojananyi
@ahmedhamdan8526
@ahmedhamdan8526 Год назад
Asante bro jussa fact
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Год назад
Hakuna upinzani Zanzibari tena.
@salimabdallah5304
@salimabdallah5304 Год назад
Mpaka masheikhe waliwauwa. Abdallha farissi
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 11 месяцев назад
HAWATOSHEKI WANA NJAA WEZI NDIO UTAMADUNI WAO 😮😮😮😮
@omarhemed448
@omarhemed448 Год назад
Wapige Nondo. Jusa babalao
@MaaoudMasoud-xd3hj
@MaaoudMasoud-xd3hj 11 месяцев назад
Kwn wanangangania huku kwetu tuachen na maisha ye2 si mna kwen watanganyika mmeeka chenu kp semen tuwape mtuache na maisha ye2
@ibel4lf
@ibel4lf Год назад
Hatujawahi kuwashobokea nyie wa Zanzibar mkijitenga heri sana
@hanifamohammed9941
@hanifamohammed9941 Год назад
Absolutely🎉🎉🎉🎉
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 Год назад
nje ya muungano hakuna znz utakuta kuna wapemba na waunguja pia hakuna watanganyika bali utakuta kuna wasukuma na wanyamwezi😮
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Год назад
Ngoja muungano muuvunje mtakata mapanga tunawajua sana
@salma0000
@salma0000 Год назад
Andika kwa kiswahili basi tufaham
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
Hiv wazanzibar sifa yenu kubwa ni hao wenye mapua marefu au ni waswahili? Mmelogwa kabisa mnadhani kwa sababu anaongea kiswahili mnadhani ni mzanzibar huyo?
@othmansaid2059
@othmansaid2059 11 месяцев назад
DHAMBI YA UTUMWA BADO INATUTAFUNA. MWALIM NYERERE ALIWAHI KUTAMKA KUMWAMBIA RAZA. "ANASTAAJABU KUONA MHINDI ANASEMA LEO HII'
@josestudio4534
@josestudio4534 Год назад
Huyu kiongozi anaongea ukweli kabisa japo mini mtu wa Tanzania bara
@user-cc2cz8mh9t
@user-cc2cz8mh9t Год назад
Hakika ila ipo siku allaa atatufanyiaa wepesii
@salma0000
@salma0000 Год назад
Aamin
@hbtv4169
@hbtv4169 Год назад
Wacha tuangalie moveee mpk imalizee tujuwee mwishooo wake
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Год назад
Sisi watanganyika tumeporwa Taifa letu kabisa na utambulisho wetu.
@yapukahassan
@yapukahassan Год назад
Huyu anapayuka 2 nikiwaulza wazanzibar kuwa mnamashamba
@AliSalum-hw8lw
@AliSalum-hw8lw Год назад
Ajuae anajua tu jusa wewe unajua,%100000
@rosemaryrosemary9154
@rosemaryrosemary9154 Год назад
Nahuyu mmempa adhabu gani maana kaongea mpaka kapitiliza
@JeshuaNdulet
@JeshuaNdulet Год назад
Asate sana
@MaaoudMasoud-xd3hj
@MaaoudMasoud-xd3hj 11 месяцев назад
Labda kuzd kutuua tumechoka
@omarhemed448
@omarhemed448 Год назад
Jusa babalao.
@lameckmbele5901
@lameckmbele5901 Год назад
umeporwa nn Jusa ndy maana ulipigwa
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 Год назад
Wacha ujingaa😁😂
@salimukimwaga
@salimukimwaga Год назад
Kipi ulichoibiwa wewe bwabwaja nchi hii bahari ina kila kitu waje wapate kitu gani huko mnamvuruga aliewavusha
@agriphinasaidi5067
@agriphinasaidi5067 Год назад
Sawa na sisi tumekubali wa tanganyika
@plumbingtanzaniaplumber7570
Njaa hizo
@lazarojohn6256
@lazarojohn6256 Год назад
Nas hatuwataki na tubaki rasilimali zetu tuone
@plumbingtanzaniaplumber7570
Kama vp kaeni huko zanzb mctuzngue kwa nyie nan
@MohamefMullah
@MohamefMullah Год назад
Waliopora mamlaka kamili ya zanzibar sio mzanzibari wala wazanzibari bali ni Watanganyika
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
Ccm waleshika madaraka ndio chanzo ya hayo na kutukwamisha kimaendeleo
@rosemaryrosemary9154
@rosemaryrosemary9154 Год назад
Unavuruga amani hauna lolote mchonganishi ww
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
@@rosemaryrosemary9154wewe una tatizo la akili???
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Год назад
Kila mtu kivyake nogwa za Nini
@sadikykiyago3030
@sadikykiyago3030 Год назад
Hakuna zanzibari wara tanganyika
@TANZAFORUM
@TANZAFORUM Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ElFqTS-K5bg.html kauli ya waziri mkuu kuhusu sakata la bandari
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Год назад
Kweli bandarin tu hawana usingiz akili zimewaruka ila wamewapora wazaznzibar kila kitu na wenyeq weshakataa Ila bado wanazid kuwakandamiz
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Год назад
Umeporwa nini?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
MKATABA WA MUUNGANO NA MKATABA WA BANDARI Mkataba wa Muungano ni baina ya Nyerere (Mtanganyika) na Karume (Mnyasaland), bila ya ridhaa ya Wazanzibari na Watanganyika. Mkataba wa Muungano ni mbaya zaidi kuliko Mkataba wa Bandari baina ya Dubai na Tanganyika. WATANGANYIKA CHUKUWENI BANDARI NA TANGANYIKA YENU.
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Aliyewapora ni mzenji mwenzenu
@ahmedhamdan8526
@ahmedhamdan8526 Год назад
Asante bro jussa fact
@nuriyatnuriyat-gg7xl
@nuriyatnuriyat-gg7xl Год назад
Mhe Jussa sema ss tupo na ww
@nuriyatnuriyat-gg7xl
@nuriyatnuriyat-gg7xl Год назад
Sawant sawa haturidhiki na hali hii ya ukoloni wa Kitanganyika
Далее
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 24 млн
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 57 тыс.
Othman Masoud Ajitosa Suala la Mafuta na Gesi Zanzibar
6:05
When I met the most famous Cristiano
01:03
Просмотров 24 млн