Тёмный
No video :(

KAMA UNA ROHO NDOGO usiangalie, Mtoto ananyofoka nyama na kukatika Mifupa, mama amlilia RC MAKONDA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@user-sc1gx5zi8i
@user-sc1gx5zi8i Месяц назад
Mungu akupe nafuu amponye mtoto wetu. Tupo nawe. Mungu ambaliki mkuu wa mkoa poul c. Makonda.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Месяц назад
Mama Ni wakati wa Bwana kwa ajiii yako...
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Месяц назад
Dada yangu pole Sana mungu awafanyie sakhali na Hali mnayo pitia.
@hyy4114
@hyy4114 Месяц назад
Subhanna Allah pole sana dada Allah akupe moyo wa subra Mshukuru mungu dada usikufuru bora ufe hapana dada mitihan tu hii
@mwanakhamiskhamis3115
@mwanakhamiskhamis3115 Месяц назад
Pole sana dada. M/Mungu atamjaalie apowe mtoto. Mume hongera sana
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 Месяц назад
Kwani mbeya hakuna mkuu wa mkoa ?? Kwa kweli viongozi woote wanacho cha kujifunza jamani kuna viongozi halafu kuna watawala makonda ni kiongozi😢😢😢
@taliyagogo1481
@taliyagogo1481 Месяц назад
Kwa nini madaktari na wauguzi hawakumsaidia? Je, ni lazima kulipa kiasi ili kuokoa maisha ya mtu nilifikiri kwamba watoto wanitibiwa bure?, au ne uzembi😢
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Pole Sana mama mtoto Mungu ampe shifaa mtoto wako Mungu awe faraja kwako. 😢Pole Sana
@saluwatimalyeta5587
@saluwatimalyeta5587 Месяц назад
Najisikia vibaya sana mungu amponye huyu mtoto na baba yake apone
@SalumGadafi
@SalumGadafi Месяц назад
Pole sana dada yangu Allah atakupa shifa
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Месяц назад
Mie jaman kwamakonda sina usemi namuombeatu
@user-tw9wu2gz4g
@user-tw9wu2gz4g Месяц назад
Mtu na nusu.
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s Месяц назад
Mungu akusaidie baba ubarikiwe unapotoa
@costantinejohn-xn6lw
@costantinejohn-xn6lw Месяц назад
Pole sana dada.....
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 Месяц назад
Mungu akujalie afya zaidi
@anastazialushika
@anastazialushika Месяц назад
Nikwel inauma lkn sio vizr kuongea huku unalia! Pole sana dada
@melchiadmbeho8040
@melchiadmbeho8040 Месяц назад
Amekata tamaa
@saluwatimalyeta5587
@saluwatimalyeta5587 Месяц назад
Mimi nimetokwa machozi sebuse yeye
@imanikiponda5004
@imanikiponda5004 Месяц назад
Vaa uhusika,ndo utajua kama kulia anajitakia au ni uchungu usiozuilika
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Месяц назад
Pole sanaa
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Месяц назад
Makonda Allah akujalie upate nuru ya Uislamu
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 Месяц назад
Heee
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Месяц назад
😂😂😂😂
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 Месяц назад
😳
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np Месяц назад
Kweli dunia anaficha mengi hiii apana nizaidi ya maumivu.
@hashimuchikayuma
@hashimuchikayuma Месяц назад
pole yake san
@djbahangala4729
@djbahangala4729 Месяц назад
Pole sana mama😢😢
@habibamura5255
@habibamura5255 Месяц назад
Yarabi 😭😭😭😭
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Месяц назад
Mwanaume apewe mauwa yk
@nasraswakala
@nasraswakala Месяц назад
😭😭😭
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Месяц назад
Ugknjwa wamifupa rain uwo
Далее