Jamani viongozi wa yanga,naomba msimu huu kusiwe na mechi za bure,haiwezekani ukawaone pacome,Aziz,chama,max,aucho dube, bure. Tunajua viongozi mnatupenda Sana mashabiki na sisi tunawapenda,lakini timu inatakuwa iwe na mzigo wa kutosha. Pia wanachama inatakiwa tulipe Ada zetu,kwa wale ambao si wanachama nao wajisajili ili wawe wanachama,na timu itapata hela itakayo saidia kwenye uendeshaji wa timu.
Kikubwa sana kuliko wachezaji wawe na chemistry nzuri uwanjani na coordination safi wakati wote ndani na nje ya uwanja hakika we as wananchi we wanna win every game