Тёмный
No video :(

Kauli ya Nassor Mazrui kuhusu ACT kuingia SUK 

Weyani Tv
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Mmoja wa wahanga wakubwa wa maovu yaliyofanywa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020, Nassor Mazrui, ametowa kauli hii baada ya uamuzi wa chama chake kukubali kujiunga kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@aybkham5795
@aybkham5795 3 года назад
Nadhani mtakuwa mmetafakari sana hivo maamuzi yenu ya kuingia, siyapingi kwa mana mtakuwa na uwezo wa kusemea japo jambo moja au zaid mkiwemo ndani, ombi langu na Wazanzibar wengi mashekh pia iwe sababu ya kuingia kwenu muwasemee watolewe sasa nao wanahitaji kuwa na familia na wake zao... Je kama ni wao! Hilo tu... Asanteni kwa kunisikiliza
@suleimanseif3290
@suleimanseif3290 3 года назад
Yani mara hii sikupiga kura lakini kwa uamuzi waliouchukuwa act nimefurahi sana na tukijaliwa uchaguzi unaokuja nitapiga kura kuichaguwa act naamini tutakuwa na tume ya pamoja Asante maalim Asante act
@yunusabdulrahma6700
@yunusabdulrahma6700 3 года назад
Kutengeneza kt gn wkt mashekhe wetu mpk leo wamo ndani
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 года назад
Kwani kawaweka yy ndani hao mashekhe au wamewaweka wao act wambie viongozi walowaweka wawatoe au makosa yao kuwasemea hao mashekhe
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-3ZMCt_vOgJU.html
@SalmanKhan-eb7pt
@SalmanKhan-eb7pt 3 года назад
Mashekhe wapo Unguja kwa sasa..... soon tutakuwanao pamoja inshaallah.
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 3 года назад
Angaliaru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-3ZMCt_vOgJU.html
@jstarmusic_tz
@jstarmusic_tz 3 года назад
Yani Wanasiasa msha Tuona wana nchi Kama mafara naapa sito kaa nikapiga kura mpaka Nakufa
@ammaryassir8662
@ammaryassir8662 3 года назад
Hamkufanya maamuzi kwa maslahi ya watu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Huo ndio ukweli, na unapaswa kutambua kuwa hawako kwa maslahi ya watu!
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 3 года назад
Mim nimeshaichukia hii ACT yote yaliyotokea baadae wakaungane nao mhh Ama kwel Siasa ni kama mchezo Subhanallah Allah atuongoze Waja wake🙄🙄
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 года назад
Kama hawajajiunga zanzibar itabaki ccm tuu watatuburuza wanavotaka
@swafiyyasuleyman3924
@swafiyyasuleyman3924 3 года назад
Hpo sasa hogera my
@saeedabunajash6235
@saeedabunajash6235 3 года назад
@@sameramwajdu9029 hata wakiingia pia hawana la kwenda kulifanya, majorities ya wawakilishi wa ccm waweze kushindwa na wawakilishi wao watatu. Kuingia ni kwa ajili ya maslahi yao binafsi na chama Chao, kutoingia ndio msimamo sahihi kabisa. Dhwalim hawezi kukudhulumu ukamridhia, huwezi kujitetea basi mchukie
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
Huwajui hao waulizeni cuf
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 3 года назад
@@jamesbantom7052 Hao Cuf ndio wanafik Zaid
@reginas1832
@reginas1832 3 года назад
Ngoja nivute subira CHADEMA. ACT wazalendo wameshaunga juhudi. Njaa mbaya sana. Najiuluza Nelson Mandela angekuwa hivyo makaburu yangeendelea kutawala mpaka sasa
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 года назад
Ingieni SUK Nchi isonge mbele. Dai tume huru ya uchaguzi. Dai utawala bora na haki za binadamu. Lakini achaneni na fikra za kuvunja Muungano kwa madai eti mwataka Zanzibar yenye mamlaka kamili.
@nurukimwaga6654
@nurukimwaga6654 3 года назад
Nawapa ushauri chadema tengueni maamuzi yenu ya kuwafukuza wabunge wenu pokeenu ruzuku mkijenge chama chenu wakati wakushika Dola ukifika wtz wenyewe watajua lakufanya
@suleimanrashid58
@suleimanrashid58 3 года назад
Kwakweli silifurahii Hilo kwa yaliyopita .
@salehali4saleh19
@salehali4saleh19 3 года назад
Kama vijana hatutoamka kwa hili basi hatutaamka tena,watu wamepigwa,wameuliwa na wengine Wana kesi mahakamani wazee wanayajenga ikulu haya 2025 in sha Allah nendeni mkaanzishe vurugu tena kwa kufuata kauli za wanasiasa,naichukia siasa na nawachukia wanasiasa
@issaal-busaidi4479
@issaal-busaidi4479 3 года назад
bora kuingia na wacheni kutukana, maalim hana njaa wala wenzake wanachokiangalia maslahi ya wa Zanzibar, angalien mfano 2015 to 2020 walisusia nini kilichokua zaid ya kutawanyika kila kitu, ila nashkur kwa maamuzi magum waliochukua viongozi wetu ili kuijenga nchi na kuonyesha dunia, wako kujenga nchi na si kubomoa,
@allysalim2497
@allysalim2497 3 года назад
Nyie mulimuita Lipumba na CUF kuwa ni wanafiki kwa kuruhusu Wabunge wao kuingia Bungeni sasa Leo nyie tuwaite nani wapuuzi wakubwa nyie njaa zenu zitawatoa roho
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 года назад
Hhhhhhhhhhhh
@ramadhaniomary9241
@ramadhaniomary9241 3 года назад
Jamani suala la Zanzibar linahitaji busara na siyo jazba kubalini maamuzi ya viongozi wenu ili wapate muda wa kutafakari nini wafanye cha ajabu mmesahau hata historia ya mkataba wa Hudeibia mtume s, a, w alifanya mkataba ule huku moyo unamuuma Mwisho si mliona faida yake wazanzibar mmefika muda wa kuwa wamoja sasa kuliko wakati mwingine wowote
@khalidkhaan5688
@khalidkhaan5688 3 года назад
Naukubali sana uongozi wa act sababu ya kuingia ni kupunguza upigwaji wa wananchi kipindi cha uchaguzi.
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 3 года назад
Maneno mazitto sana
@hassanmohammed7811
@hassanmohammed7811 3 года назад
Sio Jambo baya kinachoangaliwa ni maendeleo ya pamoja ili kuweza kuangalia kwa pamoja wapi tunakosea ili kuweza kupata umoja wenye nguvu huku akifikiriwa zaidi Yule raia wa chini zaidi na mwisho wa siku kwa pamoja kuibuka na Zanzibar mpya (yajayo yanafurahisha)
@dullahshibuabdallah9490
@dullahshibuabdallah9490 3 года назад
Nyote mpo pamoja wauwaji nyinyi
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 года назад
Bora uingie japo kichwa maana kuwa nje kabisa hakutoweka utofauti
@aminayussuf1826
@aminayussuf1826 3 года назад
Bora niwe hivi hivi mie na siasa ni vitu tofauti
@marianamontoedi2333
@marianamontoedi2333 3 года назад
Ulizurura ulaya umefeli na sasa ni msaliti mkubwa
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 года назад
Mwapigania mitumbo yenu mukiwaulisha wanyonge mtihan wallah.
@godwinmasoud7180
@godwinmasoud7180 3 года назад
Kwa maana hiyo Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha ACT Wazalendo wamekubaliana na matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2020? Maana kukubali kuteuliwa kuwa Makamo wa kwanza wa Raisi Zanzibar ni kukubali kwamba uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Maalim Seif alikuwa anaitafuta nafasi hiyo kwa udi na uvumba. Angalia sasa watu walikufa na kuteseka kwa ajili yake, wengine wamekimbia familia zao na kujificha hadi hivi leo. Wakati hayo yakiendelea yeye anaingia Ikulu wale waliojidai kwamba wana uchungu na chama wako wapi sasa. Siasa ni siasa tu, tuwaache wanasiasa wafanye siasa zao kwa wakati wao. Siasa ni maisha. Yajayo yanafurahisha sana.
@yunusabdulrahma6700
@yunusabdulrahma6700 3 года назад
Sasa kam munayajua ayo kwnn mulikua muhamasisha watu waingie barabaran kusudi ili watu wafe
@madinamandour5834
@madinamandour5834 3 года назад
Unafiq tu umewadhihirisha
@felisianmsilwa892
@felisianmsilwa892 3 года назад
Safi sana umesema kwer ndugu
@Oman-tt1hn
@Oman-tt1hn 3 года назад
Mm nataka mashekhe watoke kule waliko tanganyika musijitie pambani muka wasaha nduguzetu walio kuweko ndani kwa muda mrefu mukasubiri kipindi cha uchaguzi ndio mukafanya kampeni zenu kupitia wao
@hajisimaikhatibu443
@hajisimaikhatibu443 3 года назад
Msiba yani hawa viongozi watachomwa sana siku ya kiama kwa kuwadanganya watu
@christophersaimon4398
@christophersaimon4398 3 года назад
wanasiasa wana mambo ya kimarayamaraya
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 года назад
Mmewapigisha watu wengine wamekimbia nchi baadae mnaanza et iliyofanya haya serikali ya shein siasa unafik
@godisgreat1845
@godisgreat1845 3 года назад
Nilikuwa nakwambieni mie. Msiwafuate hawa wanakushawishini mkate muumie halafu wao kiulaini wanakaa meza moja kiko wapi
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 года назад
@@salma0000 bora ulivomjibu 😂 wanachekesha khasaa maandamano hamna alotoka ila viongozi ndio walokamatwa na kupigwa na hayo maandamano walidai wenyewe km wataandamana viongozi wakasema sisi tutayaongoza wapi kuna alietoka hahaha
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 года назад
Kwaiyo wewe ulitakaje
@godisgreat1845
@godisgreat1845 3 года назад
@@sudaissoud3670 wasidhulumu nafsi zao bila sababu maana mwisho wa siku wanabaki na ulemavu wenzao wanapita na ving'ora wao wanaendelea na ujenzi maskini wao
@fathiyajuma2352
@fathiyajuma2352 3 года назад
Mm sijapenda kiukweli
@fathiyajuma2352
@fathiyajuma2352 3 года назад
Yaani nyinyi wabaya
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 года назад
Wale wanaojivua uwanachama wa ACT napenda kuwakaribixha nyumbani CCM
@yunusjuma4340
@yunusjuma4340 3 года назад
bora muingie mulipotwambiya tuingie barabarani tulilala majumbani kwetu wala siwalaumu safi sana
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
Walimuza lipumba kwa lowasa hao ukumbuki
@mussaabdallah3596
@mussaabdallah3596 3 года назад
Ww hujui nn unacho kuongea zito katoa pesa zake nyingi ndoo anataka kuzirudisha so hao nilazima waingiii 2 na huyo zito hana uchungu na wa zanzibar mbn lipumba cuf ilipo goma hakupiga kelele km ingiiee Njiaaa kidume wamulize halima mdeeeee wapumbavu aoooooooh
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
@@salma0000 sio kweli walimuuza hawa we si unaona juzi mwengine kajifanya katekwa mwengine anakamatwa hasubui jioni kaachiwa na wengine bara wameandaa vijana wafanye fujo bara wamejipeleka bungeni mwengine yupo ulaya anakula bata kila siku anapiga kelele hakieleweki anacho ongea yaani mambo hovyo hovyo tu watu wanasota majela wengine wamekufa kwa sababu yao miezi mitatu bado si unajionea nini kinacho toka si bora lipumba anaongea aneleweka anaongea kitu gani
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
@@mussaabdallah3596 una ushahidi wowote unachokisema usilete makuzi broo
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
@@salma0000 maana yangu lipumba ndio mpinzani wa kweli wengine hao wanatumwa na ccm
@ramadhankhamis1363
@ramadhankhamis1363 3 года назад
Wanasiasa ni sawa na bilisi...hata umuone mwana siasa anaingizwa kaburini kwa sababu ashakufa...usimuamini...yumkini anaigiza kufa tu huyo
@allysalum9795
@allysalum9795 3 года назад
Bora muingie kweli kbx
@maajidabinass330
@maajidabinass330 3 года назад
ACT waza malengo
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 года назад
Nyie mliochukia mbona mulipoambiwa muingie barabarani hamujaingia waliingia waenyewe maalim na mazrui na wenziwao
@gojvon116
@gojvon116 3 года назад
ndugu yetu sk.Nasser naona bure tu unapoteza wakati wako,na unajitia katika mashakil na kujiumiza na kutupa aila yako haya mambo kwa wewe naona kama hayana faida na wewe na unajitesa bure hii nchi wenyewe wameshaitupa zamaaani na mwenye akili anaweza akafahamu jee utakuja kuigomboa wewe ???? bora hata urudi nyumbani pujini ukajishughulishe na maisha yako na watoto wako
@khatibabass3106
@khatibabass3106 3 года назад
Kumbe kwao ni pujini huyu?
@naytharykhanny8499
@naytharykhanny8499 3 года назад
Tutaona mengi saidi ya haya.lakni Mungu mi muweza.mlichfanya sio feya Ola basi tuuuu
@immudimax6076
@immudimax6076 3 года назад
1st
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 3 года назад
Mmeshapoteza mwelekeo hamtapa milele uongozi enyi wapinzani
@halimomar1617
@halimomar1617 3 года назад
Nishawachukua sasa hawa
@issaal-busaidi4479
@issaal-busaidi4479 3 года назад
wao waliingia bara barani hawakujal kuteswa wala kuuliwa kwa7bu ya nchi, mbon wananchi tulijifungia ndan kujal roho zetu
@omarsaid6784
@omarsaid6784 3 года назад
upo sahihi sana watu wamejaa kasumba
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
Hakuna alie jificha hawaaminiki haoo vigeugeu leo wanasema hivi kesho vile hovyo tuuuu
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-3ZMCt_vOgJU.html
@swafiyyasuleyman3924
@swafiyyasuleyman3924 3 года назад
Si kw vilema na uzalili ulio fnywa loo
@fathiyajuma2352
@fathiyajuma2352 3 года назад
Kwa hiyo mmekubal kwa haya yote yliyotokea so ya kweli ee
@amadeselemane261
@amadeselemane261 3 года назад
Apo kwa ujumla mujitahid mashekhe na uonevu wote umalize
@suleymanially974
@suleymanially974 3 года назад
Uluwa mtamu sanaa
@samsonhaule5422
@samsonhaule5422 3 года назад
Wapemba Kama Nyumbu, hawa kawii kusahau, ila Wana mikwara.
@maulidabui1927
@maulidabui1927 3 года назад
Tengua kauli yako mbwa ww
@amadeselemane261
@amadeselemane261 3 года назад
Na ajira za znzbr ziendelee kuwepo
@marezbytreaty3472
@marezbytreaty3472 3 года назад
Ndo walewalee
@jstarmusic_tz
@jstarmusic_tz 3 года назад
Msha pewa pesa
@margarethorgenes4874
@margarethorgenes4874 3 года назад
POA Sana
@BigBoss-jk6fk
@BigBoss-jk6fk 3 года назад
Mazombi nyie tamaa ya 10ml munatutesa na kuwauwa wazee wetu na vijana wetu
@vikitu4793
@vikitu4793 3 года назад
Mlijazwa fitna mkajipeleka wenyewe bila kufikiri. Mwanakulitafuta, mwana kulipata
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Watu washakufa washaumizwa hatuwaamini tena na leo wanachama wengi wamekasirika na kujivua uanachama tunawaachia Chama chenu kam chama ni bendera sawa
@aishaalamry5856
@aishaalamry5856 3 года назад
Unaona eeeee. Wanaadamu hawana kheri. Na wala hawajielewi.
@user412
@user412 3 года назад
Wamefanya maamuzi kwa maslahi ya taifa na wananchiiii. kwani maamuzi yalifanywa ni ya kiungwana kabisa
@allysalim2497
@allysalim2497 3 года назад
Maslahi gani nyie ubinafsi tu umewatawala
@allysalim2497
@allysalim2497 3 года назад
Nyinyi tatizo lenu ni kumfanya mtu mmoja ndie mwenye maamuzi na mwenye uwezo wa kumfanya Mambo yote
@allysalim2497
@allysalim2497 3 года назад
Ktk Chama Cha ACT hakuna mwengine zaidi ya Maalim sasa tunaanza kuamini kwamba yy anataka ukubwa kila siku wacha aende akasumbuliwe na wajukuu zake
@aishaalamry5856
@aishaalamry5856 3 года назад
Hivi alipowachiwa huru baada ya siku 19 ya mateso aliyokuwa anayapata baada ya uchaguzi kuna mtu yeyote anae comment hapa alikuja kumuona. Kama ulikuja, ulimuona hali yake. Hali ya Jussa jee mume iona. Hivi mateso na maumivu waliokuwa nayo bado hamjaelewa kwanini wamekubali serikali ya umoja wa kitaifa. Yaani wao walioteswa wamekuwa wabaya na ww ulokaa nyumbani ndo mzuri. Hakuna njia nyengine ila wakubali ili nchi yetu ibadilike. Kama si hivo tutapigwa na kuuliwa kila uchaguzi mpka imani zetu zitakufa. Jamani fikirini kabla kusema.
@aishaalamry5856
@aishaalamry5856 3 года назад
Yaani sie tumekalia kulaumu tuu. Vyovyote vile tulaumu. Mtu kateswa kafika kukata tamaa kama ataona familia yake leo kusamehe yote kwasababu ya nchi yake munamsema. Hivi tunataka nini tena wa Zanzibari.
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 3 года назад
kweli hayo
@rahiyaussi3816
@rahiyaussi3816 3 года назад
Tuwache
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 3 года назад
Langu jicho
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
Huyo alijificha aka jifanya katekwa
@mzuvendi
@mzuvendi 3 года назад
Wewe huna tofauti na kenge!
@jamesbantom7052
@jamesbantom7052 3 года назад
@@mzuvendi wanasiasa huwajui dogo usipaniki kama kigoli kaona mashine kilicho wafanya wasikubali mapema nini hadi watu wanapata maafa amka boya wewe mi nishaoa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 года назад
Kweli mjomba .matapeli ndio walivyo
@saidabdala4980
@saidabdala4980 3 года назад
Mmmm ndio maana hawawataki kuwatowa UWAMSHO. Wale ndio wasema KWELI.. kuna nini ZANZIBAR 5o miaka naona majumba yanajaaa mapicha ..lakini usishangae. Shekh kuapa kwa kiapo cha yesu.. ustadh ILUNGA kapungu. ALISEMA..
@majidhaji8112
@majidhaji8112 3 года назад
Umeonaee wale ndio walikua wapambnaji ja wale ndio walikua walio wafumbua watu macho wallah
@mussamohdameri5007
@mussamohdameri5007 3 года назад
Nyinyi mmefanya Mambo ya kipumbavu sana
@mohamedmotte1519
@mohamedmotte1519 3 года назад
Uwamuzi sahihi kwa maslahi na maendeleo ya wazanzibar.tusikejeli kama huna cha kusema bora unyamaze tu.
@karimomar8640
@karimomar8640 3 года назад
@@mohamedmotte1519 wanafik
Далее
UTAWALA WA DK SALMIN AMOUR-MAKALA MAALUMU
22:46
Просмотров 13 тыс.
Jussa arejea Zanzibar, apokewa kwa dufu na haluwa
21:10