Тёмный

KELVIN WA TOYO ALIVYOPEWA ESCORT YA POLISI ARUSHA, ALIPEWA MILIONI 10 NA MAKONDA BAADA YA KUSHINDA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 месяца назад
Nilifuatilia mashindano hayo kupitia Azam TV. Kiufupi jamaa alipambana sana, ana energy ya kutosha. Big up.
@BarakaOmaryy
@BarakaOmaryy 3 месяца назад
Arusha ina watu makini sana na sio wote ni wavuta bangi hongera sana kelvin umekuwa kioo kwa jamii jitaidi sasa kuelimisha jamii ibadilike taifa la Tanzania litambue kwamba arusha ina watu makini sanaaa na isiwe kama inavyoonekana sasa hongera sana mkuu wa mkoa poll makonda unafanya kazi nzuri sana katika mkoa wetu Mungu akulinde sana
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 месяца назад
Big up sana Bike Rider, nakupa ushauri tu hiyo Milioni 10 iwekeze yote kwa biashara ukiona inakusumbua weka fixed account ila usijenge nyumba maana itaisha halafu utakuwa umeizika yote chini badala ya mzunguko. Endelea kuzingatia kuendesha kwa usalama barabarani maana Taifa linawategemea Vijana katika michezo hii.
@buberwarugaiganisa5190
@buberwarugaiganisa5190 3 месяца назад
Huyu jamaa ni nomah mno, piki piki ilivyo mzingua kwa kuzima dk za mwisho nilihisi kuumia nikijua ndio kashapoteza Mungu saidia kabeba ubingwa. Big up expert
@careemdulla1629
@careemdulla1629 3 месяца назад
Pamoja sana msela wetu chuga boy..🎉🎉🎉
@EmanuelyMadaraka-ts9st
@EmanuelyMadaraka-ts9st 3 месяца назад
Hongera sanaa Kevoo
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 3 месяца назад
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Bro🎉🎉🎉🎉🎉
@Martin-lv1xw
@Martin-lv1xw 3 месяца назад
safi sana kevo...komaa chaliang umetoka mbali
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 месяца назад
Hongera sana kijana
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 3 месяца назад
Hongera sana Kijana. Ila huu mchezo ni hatari jmn sio kwa mbio hizo
@bigshallythedj673
@bigshallythedj673 3 месяца назад
Home oy🔥
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 3 месяца назад
Kijana amepambana sana hatimae amepata faida ya kutokata tamaa🤝
@eddechriss2664
@eddechriss2664 3 месяца назад
United State of Arusha U S A
@johpixel4108
@johpixel4108 3 месяца назад
Big up
@FredrickNdosi
@FredrickNdosi 3 месяца назад
Nakubali man
@amosntabo7671
@amosntabo7671 3 месяца назад
Kila la kheri🎉
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 месяца назад
Vijana kama hawa ndio wa kuajiriwa na sasa hata akifukuza jambazi hatoboi
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 3 месяца назад
Bila escort wangemdedisha 😊😊😊
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 3 месяца назад
Toyo ndio nini?
@dr_godfrey
@dr_godfrey 3 месяца назад
Boda boda kwa hapa arusha wengi wanaita toyo na niaina ya pikipiki wengi walizitumia kubeba abilia ndo jina la toyo likadumu
@CreatureIey-eh8nh
@CreatureIey-eh8nh 3 месяца назад
Kaskazin bike na fbi
@georgekimario228
@georgekimario228 3 месяца назад
Atleast naona haonekan kam mvuta bangi
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 3 месяца назад
Haha oya mwanangu wakumuita F.B.I kevoo yan kelvin tunakula nae dawa sn😂
Далее
Masimulizi ya Birdman
14:31
Просмотров 401 тыс.