Тёмный

KIBOKO YA WACHAWI AFUCHUA SIRI KWA KIJANA ALIYEKUA AKIMDHANIA MAMA YAKE MZAZI KUA NI MCHAWI 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 73 тыс.
50% 1

KIBOKO YA WACHAWI AFUCHUA SIRI KWA KIJANA ALIYEKUA AKIMDHANIA MAMA YAKE MZAZI KUA NI MCHAWI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
diaomond plutnumz,harmonize,alikiba,rayvanny,zuchu,nandy,mbosso,ibrahtz,killy,cheedy,kondegang,anjelah,wasafi tv,wcb,kingsmusic,clouds tv,saraphina,globaltvonline,angalia harmonize,harmonize yupo juu,team konde gang,team wcb,marioo,mabantu,lavalava,bongo music,haji manara,ahmed ally,ally kamwe,magoli ya simba na yanga,magoli ya yanga na azam fc,magoli ya mayele,usajili wa kennedy musonda,usajili wa sawadogo

Опубликовано:

 

29 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 197   
@NakuYona-kn6us
@NakuYona-kn6us 3 месяца назад
Waacheni watumishi wa Mungu wafanye kazi so that kama hutaki kuwasikiliza muache kutoa maneno ya ajabuajabu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 13 дней назад
Yes my Prophet,love you mucho be Blessed
@AdiaAssan
@AdiaAssan 5 месяцев назад
Naomba mungu mm ninavitu vyakichawi kwenye mwili wangu leo naomba unitowe kilamizigo kwenye mwili wangu naomba apanilipo unifunguwe mm nafamiliya yangu naomba kama kunamtu ananichezeya naomba unioneshe naomba kama kunauchawi kwenye chumba iki naomba unioneshe naomba uniponye magonjwa yote kwenye mwili wangu
@MichaelChonjo
@MichaelChonjo 2 месяца назад
Nabii Naomba Kiuchumi Unisaiidie.. ni mimi Michael Chonjo.
@jonhjohnchiteto8653
@jonhjohnchiteto8653 Месяц назад
Nabii naomba unisaidie mm neema jonas mtoto wangu aongei na matatzo mengi sana nabii naomb unisaidie
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 27 дней назад
Mtu wa Mungu Tabirii tiririka Baba. Nakupenda sana jinsi Unavyoifanyakazi yako kwa jinsi Mungu alivyokutuma. Nakuombea sanaa Maisha marefuu mazuri na familia yako Baba. Nifungue nina vifunho nina maadui ni merogwa mno kimaisha na Familia yangu yetu yte. Nisaidie Nabii wa Mungu.
@PriskaMzava
@PriskaMzava 22 дня назад
Nakupenda bure nabii na mimi nasaidie
@jonathansolomon456
@jonathansolomon456 6 месяцев назад
Tapeli tu mungu atusaidie tupate macho ya rohoni
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 2 месяца назад
Sema Mungu akupe wewe macho ya rohoni,
@HappyMallya-mg1gr
@HappyMallya-mg1gr 2 месяца назад
Hebu tapel na ww tuone ,hebu acha watumishi wa Mungu wafanye kaz zao
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 13 дней назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JoyceSamwel-ti5mf
@JoyceSamwel-ti5mf 2 месяца назад
Navunja roho za uchawi kwa jina la yesu zisiguse uzao wangu amen
@user-lb9sl5nd9r
@user-lb9sl5nd9r 2 месяца назад
Kazi nzur sana mutumishi wa mungu siku moja nitafika niko kenya
@AbdulrahimHussein-os7if
@AbdulrahimHussein-os7if Месяц назад
Baba naitwa ramadhani Nina shida Nina kipaji Cha kuimba lakin Nina changamoto yakutokuongea vizuri nisaidie baba
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 8 дней назад
Jamani Mimi mchungaje wangu. Nina shida sana
@ZannahMadame
@ZannahMadame 2 месяца назад
Suzan kafti Bwana asifiwe baba,naomba umuombee mama mdogo wangu amepooza.
@jmlufuko9565
@jmlufuko9565 Месяц назад
Mbwana yesu asifiwe mtumishi Baba naomba tabiri maisha yagu mimi Emmanuel na mke wagu Deborah Pia tunahitaji kufunguliwa uchumi wetu
@everlynelumiti1918
@everlynelumiti1918 22 дня назад
Naitwa emelia nabii tabiri juu yangu mlinde na mwanangu yasir
@marcykamonjo6910
@marcykamonjo6910 6 месяцев назад
NJoo kenya utusaidie mtumishi
@mchungajisecilia8029
@mchungajisecilia8029 5 месяцев назад
Kiboko ya wachawi ni Yesu kristo, Bwana Yesu atukuzwe katika yote
@gloryalphonce7653
@gloryalphonce7653 6 месяцев назад
Pastor njoo na arusha utufungue
@ALEX-qh9wp
@ALEX-qh9wp Месяц назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombeye mimi na mke wangu maisha yetu kunamtu anaingilia mtumishi
@EasterGlory
@EasterGlory Месяц назад
Muombe Mungu atakusikia wee omba kwa Imani tu so Kila mtu wa kumwamni piga magoti omba kwa Imani Mungu anajibu mwenyew
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 6 месяцев назад
Amen naomba uniombee napitia kwenye kipindi kigumu kila ninachokifanya hakiendi naishi maisha ya dhiki naomba uniombee
@user-qy4br4dn9s
@user-qy4br4dn9s 6 месяцев назад
Yesu mwema akupe maisha malefu siku zote naitwa said saleh
@jerrysonmessy332
@jerrysonmessy332 6 месяцев назад
Amen pastof
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 6 месяцев назад
Njoo Kenya mtumishi wa mungu
@GraceKatsozi
@GraceKatsozi 2 месяца назад
Amina baba naitwa grace from kenya
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 месяца назад
mtumishii nakuppendaga sana ,yaani uiunaokoa wengi
@user-io8bg7jt7h
@user-io8bg7jt7h 6 месяцев назад
bwana yesu asifiwe mtumishi,naomba umuombee mama yangu apone na ugonjwa unamsumbua,Ikupa Michael
@carloskiputa2624
@carloskiputa2624 2 месяца назад
Bwana yesu asifiwe baba naomba unisaidie nasumbuliwa na maladhi kwa mda mrefu bila matumaini ya kupona baba naomba msaada wako
@user-lk5wb2ru1d
@user-lk5wb2ru1d 6 месяцев назад
Bwana Yesu asifiwe baba, naomba useme na mimi juu ya maisha yangu
@user-zg7db8tf9v
@user-zg7db8tf9v 6 месяцев назад
Mtumishi,upo vizuri barikiwa mno!natamani uje Arusha unibadilishe na mie,.niombee sana
@Jescaseleman-mb6ix
@Jescaseleman-mb6ix 3 месяца назад
Amina mtumishi upo vizuri
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 22 дня назад
Yeyote anayetembea na nyota yangu afe
@FettySky
@FettySky Месяц назад
Baba nisaidie Mimi nashida sana
@LydiaMutalemwa
@LydiaMutalemwa 2 месяца назад
Amina baba mtaje mchawi
@ZilpaLungwa-gv9sm
@ZilpaLungwa-gv9sm 2 месяца назад
Naomba mungu anisaidie nipate mtoto nataman nifike kwamtumushi napata tabu mama anaumwa alichanganyikiwa mungu atusaidiye
@GodloveKilasi-yv3jl
@GodloveKilasi-yv3jl 2 месяца назад
Tabili juu yangu by anold mkombozi
@BirigitaAmos
@BirigitaAmos Месяц назад
Naomba unisaidie dada yangu anasubuliwa na nguvu zakichawi
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 Месяц назад
Watu wangapi kabla YESU hajarudi awakute salama
@ZilpaLungwa-gv9sm
@ZilpaLungwa-gv9sm 2 месяца назад
Mungu akubaki mtumishi unasaidiya watu wenye mateso nataman na Mimi nifike
@NeemaShirima-gw4ip
@NeemaShirima-gw4ip 25 дней назад
Nabii naomba uombe familia yangu uiponye na kufeli shuleni
@SauloBita
@SauloBita 2 месяца назад
Amina baba nione
@MaleboySanchenslexa
@MaleboySanchenslexa 3 месяца назад
Ubarikiwe baba
@stenessnkosya9290
@stenessnkosya9290 Месяц назад
Mungu nifanyie njia Steness
@user-mm7gh3yv5r
@user-mm7gh3yv5r 6 месяцев назад
Barikiwa baba miniko kagera ngara
@margaretingasia6346
@margaretingasia6346 2 месяца назад
Finsh Kash return my money in Jesus name amen
@HappyChicken-to4vy
@HappyChicken-to4vy 4 месяца назад
Amin😊
@LadyjJohn
@LadyjJohn 2 месяца назад
Bwana asifiwe baba,naitwa judy naish mwenge baba ndoa yangu inachangamoto Sana baba ad saiz amna chamaana tulichofanya pesa zinapotea tu baba Naomba nisaidiye
@ReginaFedrick
@ReginaFedrick 4 месяца назад
Amina baba Mimi anna kizungu nasumbuliwa na macho
@Feisalmatandula
@Feisalmatandula Месяц назад
🎉nice
@SauloBita
@SauloBita 2 месяца назад
Amina naitwa saulo
@StellaTirumanywa-rn3yy
@StellaTirumanywa-rn3yy 2 месяца назад
Dad,shalom!nitabirie mjukuu kwangu Faith ana mateso sana Dad!
@EvansSeven
@EvansSeven 18 дней назад
Nabii nakuomba ,popote ulipo ukiwa waniskia ,nodaidie mimi Evans Seveni,nipate kazi na ndoa mpya ,nahisi nimerogwa
@FaudhiaMkula
@FaudhiaMkula Месяц назад
Naomba mung atende miujiza kwang kweny moyo kunaniuma sana
@BirigitaAmos
@BirigitaAmos Месяц назад
Beans yeah asifiwe mtumishi naomba unisaidie namtoto anashida ya kuogea
@HadijaRajabu-x6v
@HadijaRajabu-x6v Месяц назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mung anaomba uniombee nipate mtoto
@user-pp6sz2uz8j
@user-pp6sz2uz8j 2 месяца назад
Mungu afungue uchumi wangu
@user-zd6fe3ex3j
@user-zd6fe3ex3j 6 месяцев назад
Mungu akupe maisha marefu mtumishi
@SuzanMushi-lo7ss
@SuzanMushi-lo7ss 5 месяцев назад
Mungu WA kiboko WA chawi fichua na kwetu
@shamtechikuto4286
@shamtechikuto4286 6 месяцев назад
Amina sana🙏🙏🙏 Mungu atupe hitaji la Mioyo yetu nasisi tuepukane na hali ngumu namajaribu yote
@user-mm7gh3yv5r
@user-mm7gh3yv5r 6 месяцев назад
Ubarikiwe baba
@SauloBita
@SauloBita 2 месяца назад
Amina
@msafiryeromin2762
@msafiryeromin2762 6 месяцев назад
Amen baba
@OmanOman-lq9jj
@OmanOman-lq9jj 2 месяца назад
Bwana yesu slifiwa mtumaji. Nabii kiboko ya wachawi. Naomba. Baba. Unisaidiye. Kwa. Watoto. Wangu. Nabii Mimi. Nskukunbali. Sana. Nambii. Wetu. Tanzani.ngu. Katuleteya. Sababu. Kwakweli. Nitabiliye. Nabii wa. Watoto wangu. Nabii
@MariamuJuliasi
@MariamuJuliasi Месяц назад
Naomba umuombee mwanangu ili atembee
@magekimei4676
@magekimei4676 28 дней назад
Mtumishi naomba unifungue kiuchumi nirudishiwe hela zangu nmedhulumiwa niponye kiafya uifungue familia yangu mim mage kimei
@AllenKalinga-u4c
@AllenKalinga-u4c Месяц назад
nabii nisaidie maisha yangu haya eleweki nisaidie
@user-fh3vp1cc1i
@user-fh3vp1cc1i 5 месяцев назад
Amina baba
@annetbabirye4700
@annetbabirye4700 4 месяца назад
Naomba ufungulivu.Aneth Tabata
@fullgblyrics5689
@fullgblyrics5689 6 месяцев назад
Waah imenipendeza mtumishi nena na anga yangu tafadhali
@PendoTemba-in9cf
@PendoTemba-in9cf 2 месяца назад
Baba shalom naitwa pendo wamoshi baba naomba uniombee macho nakoo linanisumbua baba napia naomba uniombee wazazi wenzangu waeze kuangalia watoto wao
@Bachani-Abuu
@Bachani-Abuu Месяц назад
Ongela baba
@MapelaMawazo
@MapelaMawazo 2 месяца назад
Nabihii nashi congo msahawako tu mungu wako
@mountmeruautospares2251
@mountmeruautospares2251 2 месяца назад
Bwana YESU apewe sifa Mimi naitwa Elly Temu naomba kuponywa kibiashara kwani napiga simu Bado sijaipata
@malikiawaamani7132
@malikiawaamani7132 Месяц назад
Yn unakaa kwangu halafu uniite mchawi aisee nakutimua kbs daaa eee Mungu ungemuacha mamangu adumu milele
@AgnesNamwereni-kh6uf
@AgnesNamwereni-kh6uf Месяц назад
Amen
@DanielDamianDanielDaniel
@DanielDamianDanielDaniel 3 месяца назад
Naitwa Daniel Damian. Niko temeke Dar es salama. Naomba unisaidie. Kila ninapopanga mipango yangu sifanikiwi
@SarahJohn-k7i
@SarahJohn-k7i 28 дней назад
Mtumishi mimi sarah John samwel nashida namwangu mdogo,usiku anakua anashtuka shituka anapiga kelele
@user-vx1by3pl9x
@user-vx1by3pl9x 2 месяца назад
Plz I'm Diana from niombee katika huu miwili wangu tumbo yangu inafika mahali inajaa ninaanza kuhizi Niko na mimba mwezi ilisha naona siku zangu plz prayer for me 🙏🙏🙏🙏🙏
@LucyMbwana-mh6yv
@LucyMbwana-mh6yv 2 месяца назад
Naomba umfungue mziwandda wangu ufahamu wa kuweza kusema kiakili
@RizikiMbuki-xd3rr
@RizikiMbuki-xd3rr 3 месяца назад
Amina tufunguwe matatizo
@user-nw1gd8qi9s
@user-nw1gd8qi9s 2 месяца назад
Baba naomba uisaidie familia yetu kwan ugomvi umetawala baba
@swaumumwangoka
@swaumumwangoka 3 месяца назад
Apigwe baba
@JestinaJosefu
@JestinaJosefu 4 месяца назад
Namimi uniokoe yesu
@user-li5ol8yo5l
@user-li5ol8yo5l Месяц назад
Njoo kenya nabii
@mashakachonza
@mashakachonza 6 месяцев назад
Okay niangalie na mm kiongoz
@omarykitchenware5144
@omarykitchenware5144 3 месяца назад
😂
@LydiaMutalemwa
@LydiaMutalemwa 2 месяца назад
Nisaidie baba
@user-ni7hq7fq4k
@user-ni7hq7fq4k 6 месяцев назад
Samahan nilikuwa naomba utabir biashara ya mama yang haiendelei ajajeng had Leo na Mimi shulen huwa nasumbuliwa naomba ututabilie nn shida❤
@VeronicaBenedict-bv6os
@VeronicaBenedict-bv6os Месяц назад
Naomb nimim mtumishi uniombee ninavityu vyakichawi mwilin mwangu naomb mtumishi uniombee
@FrankCyril-os7zl
@FrankCyril-os7zl 4 месяца назад
Mtumishi naiomba niombee baba nau nitabirie mahali pakazi
@user-le4gi5bk1z
@user-le4gi5bk1z 28 дней назад
Nisaidie baba mumewangu anataka kuowa ananiacha na watoto niludishie mumewangu nabii naitwa Sophia yohana mesai wa dodoma
@AsteriaJoseph
@AsteriaJoseph 2 месяца назад
Mtumishi kwajina naitwa asteria Joseph naomb unisaindie nipate mme mtumishi naitaji kuolewa mtumishi
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 Месяц назад
Hamna shida njoo nikupe wakukuoa
@user-rb5hd7fl5i
@user-rb5hd7fl5i 6 месяцев назад
Jamani naomben namba za mtumshi
@niyiesther6571
@niyiesther6571 6 месяцев назад
Baba na sisi towa utata katika familia yetu, tujuwe mchawi ni nani. Maana anauwa watu, tunabaki ku Labda, labda. Alafu tunachafuliwa sisi baba nikiwa Burundi wewe unaweza ku funuwa na si tukapona na wachawi wa familia ukawamaliza. Na wanao nichafua Mimi mwanao wasiiishi baba yangu
@user-ve2lo4wg6u
@user-ve2lo4wg6u 5 месяцев назад
Baba maisha yangu ni magumu sana nisaidie sijawah kaa kwenye mahusiano
@MusiniMichonjo
@MusiniMichonjo 3 месяца назад
Nakuamini
@Salma-id4yl
@Salma-id4yl 6 месяцев назад
Ameeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@athanasmgimba5234
@athanasmgimba5234 5 месяцев назад
Naitwa christina baba naomba nitabilie juu ya biashala yangu mahali pangu pakazi
@RegginerSm
@RegginerSm 3 месяца назад
Asante,kwakufunua yaliyo fichika,tupone kwa jina la yesu
@user-uf4cu1pt5o
@user-uf4cu1pt5o 6 месяцев назад
Sema baba tupone
@annamwanyelele9084
@annamwanyelele9084 6 месяцев назад
Anighitambhila kha!!
@RabieGerard
@RabieGerard 6 месяцев назад
Baba naomba nami unifungue kwenye ndoa yangu Aina Amani
@OliverMalau-zm3bh
@OliverMalau-zm3bh 2 месяца назад
Tenda miujiza baba kwangu na watoto wang naitwa oliva
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 месяцев назад
Aminaaa.
@furahamwamkonga9783
@furahamwamkonga9783 6 месяцев назад
Ameen
Далее