Тёмный

KIJANA ABUNI ATM YA MAJI, KAMA LUKU, INATUMIA KADI “UNALIPA MAJI KABLA YA KUTUMIA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 2 дня назад
Hongera sana mkuu unaujuzi mkubwa sana
@benancejohn1198
@benancejohn1198 3 дня назад
Serikali ingekuwa inawashika mkono vijana wa namna hii. Wana vitu vya maana kabisa ✊
@hallowkij5677
@hallowkij5677 2 дня назад
mashaalah
@AngazaOneTv
@AngazaOneTv 2 дня назад
Vijana wanamna hiii,wana mchango mkubwa kwa Taifa letu la Tanzanian
@wisemaliva5376
@wisemaliva5376 День назад
Hiki ni kitu kikubwa Sana🌏⭐⭐⭐⭐⭐
@obadiakimaro6375
@obadiakimaro6375 3 дня назад
Hongera sn bro, Je! ushaingiza bidhaa sokoni,?. Toa mawasiliano
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 дня назад
Jamaaa nimesoma nae aiseee
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 2 дня назад
Bora asingetangaza,maana wote waliowahi kutangaza kuanzia hapo ni Siri yao kilichoendelea
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 дня назад
Nyie tangazeni tu hakuna kitakachofanyika hyu kijana atafute nchi nyingine hapa kwa mautopolo viongoz hawatakubali kumshika mkono nchi inanuka rushwa na ss watz ni mautopolo baadh yetu yaani hawa viongoz hawapo ajili ya wananchi
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 3 дня назад
DAWASCO MCHUKUENI HUYU KIJANAA NI MUHIMU SAN WATU KAMA HAWAA
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 дня назад
Taifa aliweze jundeleza vipaji ya vijana kwa sababu wanaogopa wa mangharib.
@AngazaOneTv
@AngazaOneTv 2 дня назад
Huyu jamaa apewe support ni faida kwa taifa letu
@CodeWithCrescent
@CodeWithCrescent 3 дня назад
Congrats,
@SophiaMtega
@SophiaMtega 3 дня назад
Hongera sana kaka
@kiyabonhende8394
@kiyabonhende8394 3 дня назад
Congratulations 👏
@jacksonpetro495
@jacksonpetro495 3 дня назад
Hivyo ndivyo vitu tunahitaji kwenye taifa letu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 дня назад
Hapo ndipo hawa wenzetu wametushika. Kwakua wengine huyu anainda baadhi ya vifaa, na kufanya makinaliano na kampuni yenye kiunda hicho ki housing cha ubunifu
@samsonkivuyo9548
@samsonkivuyo9548 3 дня назад
Sio kubuni, kutengeneza
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 дня назад
Ipo tena wapi?
@dennismongi8970
@dennismongi8970 3 дня назад
Huu mfumo unachangamoto sehemu zenye foleni,presure ya maji ni ndogo kwa hiyo unasababisha watu kukaa bombani muda mrefu
@sylvetermtunga4587
@sylvetermtunga4587 2 дня назад
daaaah
@philipodera8069
@philipodera8069 3 дня назад
Br je naweza pata number za simu za huyu kaka
@user-gz5uv5yq4l
@user-gz5uv5yq4l 3 дня назад
Ameitaja mwishoni kabisa
Далее
MAGOMENI
8:13
Просмотров 1,3 млн
The Hardest Challenge!
00:37
Просмотров 11 млн
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 240 тыс.